L & EK MINISTRIES
L & EK MINISTRIES
  • Видео 10
  • Просмотров 815
USINIPITE BY LYDIA KATEGELA MSEKALILE
USINIPITE NIKIWA KATIKA DUNIA YA DHIKI NA
MATESO USINIPITE KWANI KILA NINAPO KWENDA
PAMEJAA MACHUKIZO KWA MUNGU, DHAMBI, LAANA NA
MAGONJWA HIVYO LAZIMA KUMWAMBIA YESU
USINIPITE UNAPO WAGUSA WENGINE MIMI
PIA USINIPITE. UNAPO WAPONYA WENGINE NA MIMI UNIPONYE. BARIKIWA SANA NA WIMBO HUU. MWIMBAJI NA MTUNZI LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров: 46

Видео

MAISHA BY LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 323 года назад
Kama wimbo unavyosema, ni wazi kabisa watu wengi wanaishi watakavyo na si wala kuishi kama mapenzi ya Mungu. Inatupasa tuyaache maisha ambayo hayampendezi Mungu na kuishi Maisha ya kumpendeza Mungu. Tumgeukia Mungu, hizi ni nyakati za mwisho. MTUNZI NA MWIMBAJI LYDIA KATEGELA MSEKALILE
BWANA YESU BY LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 733 года назад
Ni kupitia Yesu tu tunaweza kuokolewa na kuwa na uhusiano na Mungu. “Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.” (Matendo ya mitume 4:12 ). Hakuna chochote kama sisi wanadamu tunapaswa kufanya zaidi ya kumwamini, kumpenda, kumsujudu, kumwabudu, kumsifu n.k, yaani yoote tunayopaswa kuyatenda kwa...
HATA YESU BY LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 1023 года назад
Mathayo 24:3-27 Yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa Mizeituni, wanafunzi walimwendea faraghani, wakamwuliza, “Tuambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonesha kuja kwako na mwisho wa nyakati?” Yesu akawajibu, “Jihadharini msije mkadanganywa na mtu. Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi. Mtasikia juu ya .....NI MAANDIKO ...
ULINDE MOYO WAKO MITH 4:23- 26 BY LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 793 года назад
Mit 4:23 - 26 Maneno yanatueleza kwamba Moyo ni lazima uulinde kulikoni chochote ulichonacho. Moyo ukipata ulinzi kamili, uhakika wa kutimiza neno la Mungu katik maisha yako. Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. MTUNZI NA MWIMBAJI LYDIA KATEGELA MSEKALILE
MUHUBIRI : LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 603 года назад
Mhubiri sura ya 12 mstari wa kwanza unasema "Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo." Mungu atusaidie kutambua wito wetu katika kuyatenda na kuyaishi maisha yakumpendeza Mungu.MTUNZI NA MWIMBAI LYDIA KATEGELA MSEKALILE
TAZAMA UFUNUO 22:12 - 15: LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 523 года назад
Ufu 22:12-15 SUV Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho........ Neno la Bwana linatukumbusha kuwa Bwana yu aja na tuwe tayari. Je ujira wako ni dhambi yaani mauti au ni uzima wa milele? Badili maisha yako ndugu yangu ili akija uende naye mawinguni. MTUNZI NA MWIMBAJI: LYDIA KATEGEL...
BWANA NI NURU YANGU ZABURI 27: 1 - 3 LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 1513 года назад
Zaburi 27:1- 3 BWANA NI NURU YANGU….. Huu wimbo unatokana na mashairi ya watu wa Mungu mbalimbali wa Israel ya kuabudu ambapo baadae yakawekwa kwenye maandiko matakatiafu ya Mungu, BIBLIA. MTUNZI NA MWIMBAJI: LYDIA KATEGELA MSEKALILE
MPIGIENI ZABURI 33: 1- 8 :LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 1043 года назад
Zaburi 33:1-8 Mpigieni BWANA vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo….. Huu wimbo unatokana na mashairi ya watu wa Mungu mbalimbali wa Israel ya kuabudu ambapo baadae yakawekwa kwenye maandiko matakatiafu ya Mungu, BIBLIA. MTUNZI NA MWIMBAJI: LYDIA KATEGELA MSEKALILE
NIENDE WAPI : LYDIA KATEGELA MSEKALILE
Просмотров 1163 года назад
Yohana 14:3 Swahili NT Na nikienda na kuwatayarishieni nafasi, nitarudi na kuwachukueni kwangu, ili nanyi muwe pale nilipo mimi. Huu wimbo umejengwa katika ahadi aliyotuaahidi Bwana wetu Yesu Kristo. Mtunzi na mwimbaji :Lydia Kategela Msekalile.

Комментарии