- Видео 7
- Просмотров 2 683
RECHA TV
Добавлен 11 июл 2023
O LEVEL AND A LEVEL
hii ni video inayowahusu wanafunzi wa Kidato cha nne na chasita ikiwa inalengo lakufanya mafunzo na kutoa naelekezo kwanzia Matokeo ya kidato cha nne 2023/2024 mpaka wanaFunzi wa A level...imeonyesha vitu hivi
1.Jinsi ya kupata matokeo ya kidato cha nne 2023/24 na kidato cha sita 2024 RESULT 2023/24
2. Jinsi ya kuomb mkopo mwaka ujao
3.jinsi ya kuapply vyuo kwanzia Certificate, Diploma na Degree
4. Jinsi ya kuhakiki vyeti vyako
kwamaana iyoo kadli siku zinaenda nitakuwa natoa video kuhus mambo hayo
Video zinazofata nitakuwa natoa link ya WhatsApp group langu ili tuwe tunawasilian kwa haraka zaidi
1.Jinsi ya kupata matokeo ya kidato cha nne 2023/24 na kidato cha sita 2024 RESULT 2023/24
2. Jinsi ya kuomb mkopo mwaka ujao
3.jinsi ya kuapply vyuo kwanzia Certificate, Diploma na Degree
4. Jinsi ya kuhakiki vyeti vyako
kwamaana iyoo kadli siku zinaenda nitakuwa natoa video kuhus mambo hayo
Video zinazofata nitakuwa natoa link ya WhatsApp group langu ili tuwe tunawasilian kwa haraka zaidi
Просмотров: 31
Видео
JINSI YA KUHAKIKI CHETI CHA KUZALIWA KABLA YA KUOMBA MKOPO
Просмотров 845Год назад
VIDEO HII INAONYESHA JINSI YA KUHAKIKI CHETI ZA KUZALIWA KABLA YA KUOMBA MKOPO KWA MWAKA WA MADOMO 2023/2024 KAMA UTAPATA SHIDA NI VIZURI KWENDA OFISI ZA RITA ZILIZO KARIBU NAWE
MAMBO MAZURI HAYA HAPA SASA
Просмотров 87Год назад
Video hii inaonysha jinsi gani ya kujaza taarifa zako kwenye akaunti ya ajira portal mwanzo mpaka mwisho jambo muhimu ni kuwa makini kipindi unajaza taarifa zako kwenye akaunti iyo Asante
NJISI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA AJIRA PORTAL
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
VIDEO HII INAHUSU JINSI GANI YA KUPATA ACCOUNT YA AJIRA PORTAL KWA HARAKA KWANZIA WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA HII VIDEO INAONYESHA NJISI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA KUOMBIA AJIRA KWENYE OFISI NA TAASISI TOFAUTI TOFAUTI KUPITIA AJIRA PORTAL
HII HAPO SASA ITAKUFANYA KUPATA ELIMU ZAIDI
Просмотров 132Год назад
VIDEO HII INAONYESHA JINSI GANI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU NI AIBU KUBWA KAMA MPAKA MDA HUU UJAIANGALIA NA UNATAKA KUFUNGUA ACCOUNT YA KUOMBA MKOPO ZINGATIA KUFATA MAMBO MUHIMU WALIO ORODHESHA BODI YA MIKOPO ILI KUWEZA KUPATA MKOPO WAKO KWA USAHIHI KABISA KUPATA TAARIFA ZAIDI NA ZENYE UWAKIKA TEMBEREA OFFICIAL PAGE YA BODI YA MIKOPO, USIAMINI MANENO YA WATU TU OMBA MKOP...
MAMBO YA KUZINGATIA KUOMBA MKOPO
Просмотров 339Год назад
Video hii imeonyesha mambo ya kuzingatia na sifa ili kuweza kupata mkopo wa elimu ya juu 2023/2024 mambo hayo yote yapo kwenye website maalumu ya bodi ya mikopo kuwa makini sana wakati wa kujaza fomu za maombi ya mikopo kwa kuzingatia sheria na utaratibu ulio tolewa na bodi ya mikopo ili kukuwezaesha kupata mkopo huo
JINSI YA KUPATA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KWA NJIA RAHISI
Просмотров 192Год назад
Video hii inaonyesha njia ya kupata matokeo ya kidato cha Pili, Nne, na Sita kwa njia rahisi kupitia website ya Necta Tembelea website ya Necta kuweza kupata taarifa tofauti tofauti kwa haraka sana
Samahani vip kama kwenye email hawajanitumia sms yeyote kutoka ajira portal
Good
Na namna ya ku update the attachment je?
NICEE
Mbona wanaleta email confirmation failed why
Jarbu kufungua Kwa umakin
Namna ya kupata hyo verification number
Asante Kwa soma kiongozi
NICE
Nakubali sanaa kaka kwa mafunzo yako
Ok
Thanks
Kaza buti
Nice way