- Видео 9
- Просмотров 1 513
Pascal Bonjo MB
Добавлен 24 апр 2020
Chorale Notre Dame du Mont carmel
Moyo wangu unamsifu Bwana COVER_MB Pascal ft Adroit Sdb
MAGNIFICAT in Swahili
Moyo wangu unamsifu Bwana,
kwani amenitendea makubwa.
Roho yangu inafurahiwa na Mungu,
mwokozi wangu jina lake takatifu.
Katazama udogo wa mtumishi wake,
tangu leo watu wataniita mbarikiwa. Moyo…
Huruma yake imenea siku siku zote
kwa watu wamchao kizazi kwa kizazi.
Mkono wake umefanya nguvu,
amewatupa wenyi kujivuna moyoni. Moyo…
Akawashusha wakubwa katika viti vyao,
akawapandisha wadogo.
Wenyi njaa akawajaza mali
na wenyi mali katoshwa mikono mitupu. Moyo…
Akikumbuka huruma yake
asimamiya Israeli mtoto wake.
Kama alivyo ahidiya baba zetu
Ibrahimu na wazao wake siku zote. Moyo…
Sifa kwa baba na kwa mwana na kwa roho mtakatifu,
kama mwanzo sasa na milele. Moyo…
Moyo wangu unamsifu Bwana,
kwani amenitendea makubwa.
Roho yangu inafurahiwa na Mungu,
mwokozi wangu jina lake takatifu.
Katazama udogo wa mtumishi wake,
tangu leo watu wataniita mbarikiwa. Moyo…
Huruma yake imenea siku siku zote
kwa watu wamchao kizazi kwa kizazi.
Mkono wake umefanya nguvu,
amewatupa wenyi kujivuna moyoni. Moyo…
Akawashusha wakubwa katika viti vyao,
akawapandisha wadogo.
Wenyi njaa akawajaza mali
na wenyi mali katoshwa mikono mitupu. Moyo…
Akikumbuka huruma yake
asimamiya Israeli mtoto wake.
Kama alivyo ahidiya baba zetu
Ibrahimu na wazao wake siku zote. Moyo…
Sifa kwa baba na kwa mwana na kwa roho mtakatifu,
kama mwanzo sasa na milele. Moyo…
Просмотров: 119
Видео
Regardez l'humilité de Dieu_cover by Pascal BONJO MB
Просмотров 73Год назад
Un Dieu qui s'humilie pour nous, et s'offre pour notre salut.
DON BOSCO IN ZMB (Salesians 40 years ago in Zambia)
Просмотров 5702 года назад
[PER AMORE DELLA GIOVENTU VENERO QUARANT'ANNI FA] o Ma Salesians mu ZMB anabwera zaka forty(40) zipitazo Ndipo amachita zinthu zosiyanasiyana Kupezeka kwa Don Bosco pakati pawo ndi pakati pathu: TITOKOZA MULUNGU Kupezeka kwa ma Salesians ndi ntchito zawo: TITOKOZA MULUNGU o Tuletasha lesa pakutupela Don Bosco papita imyaka makumi cine o Great you are dear Salesians in ZAMBIA, ZIMBABWE, MALAWI a...
Salesians 40 years in Zambia. project video in process
Просмотров 402 года назад
Don Bosco song soon out.. @pascalbonjomb6552
Père pierre cours de peda generale partie 2
Просмотров 174 года назад
donné en ligne à cause du covid-19
Père Pierre MAIBWE cours de pedagogie générale partie 1
Просмотров 2164 года назад
donné en ligne à cause du covid-19 Avec ou sans le confinement la science continue.... le docteur en sciences de l'éducation enseigne à distance
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
J'aime bien la chanson
Courage mon maestro. Pascal Mb🙏💪
C'est une belle chanson. Honneurs à Don Bosco
Yes i am sema kilomètre