- Видео 87
- Просмотров 39 171
HARADALI MEDIA
Добавлен 15 май 2024
Welcome to learn the word of God. Christians believe that God sent his Son to earth to save humanity from the consequences of its sins.
CHRISTOPHER MWAKASEGE/IMANI ZETU NDIYO NGUVU KATIKA KUFANYA LOLOTE/USIPOAMINI USIFANYE.....
Karibu Haradali Media hapa tunakwenda kujifunza namna imani inavyoweza kutupa kibali katika kufanya jambo lolote na mwalimu Christopher Mwakasege. Nikuombe uweze ku subscribe chanel hii pia ku like na kushare
Просмотров: 134
Видео
CHRISTOPHER MWAKASEGE/UCHUMI WA KIMUNGU HAUTEGEMEI VITU BALI UPO KATIKA NYAKATI.
Просмотров 49719 часов назад
Semina ya neno la Mungu na maombezi yanayoyoendeshwa na mtumishi wa Mungu Christopher na Diana Mwakasege.
DAMIAN NDIMBO:-ZIJUE SIFA TISA ZA WATOAJI MBELE ZA MUNGU
Просмотров 201День назад
Karibu mtu wa MUNGU leo tunajifunza sifa tisa za watoaji mbele za Mungu wetu. Usiache ku subscribe chanel hii kwa updates mbalimbali za mafunzo kuhusu neno la Mungu. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimu...
GOSPEL SONG:-MBONA SASA BY NORBERT
Просмотров 13214 дней назад
Karibu kutazama wimbo wa Gospel kutoka kwa mtumishi wa Mungu Norbert wenye ujumbe unaohamasisha upendo katika jamii zetu. #nenolamungu #gospelmusic #biblianijibu #biblianijibu #mzeewaupako #mwamposa #mwamposalive #damianndimbo #haradalimedia #haradalitv
Damian Ndimbo:-Misingi 8 ya utoaji mbele za Mungu....
Просмотров 35614 дней назад
Mtazamaji wetu wa Haradali Media karibu leo tuweze kujifunza kuhusu misingi 8 ya utoaji. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamungu #mzeewaupak...
DAMIAN NDIMBO:WAISLAMU NJOONI MJIBU HOJA YA SHEKHE SALEHE ZAGHALI KUHUSU KUPIGA ADHANA KIMAKOSA....
Просмотров 47514 дней назад
Karibu mtazamaji wetu Haradali Media leo tunajifunza kupitia Waislamu ambao wamekuwa wakikosea kufanya Adhana asubuhi. Mwalimu Damian Ndimbo atatupitisha hatua kwa hatua kupitia somo hili. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini ...
Askofu Gwajima aeleza magumu aliyopitia- sikiliza mpaka mwisho
Просмотров 70521 день назад
Karibu kusikiliza mahubiri ya Askofu Gwajima utaimarika zaidi kiroho.
DAMIAN NBIMBO:- SEHEMU YA PILI/ AINA SITA (6) ZA MATOLEO MBELE ZA MUNGU WA MAJESHI🔥🔥🔥......
Просмотров 34628 дней назад
Leo katika UTAIJUA KWELI NAYO ITAKUWEKA HURU tunajifunza aina 6 za matoleo. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamungu #mzeewaupako #suguye #ga...
DAMIAN NDIMBO:-NJIA TISA ZA KUJIPATIA KIPATO SEHEMU YA PILI.....
Просмотров 148Месяц назад
Hizi ndiyo njia tisa za kujipatia kipato halali katka kulijenga kanisa na mwalimu Damian Ndimbo. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamungu #mz...
DAMIAN NDIMBO:-HIZI NDIYO NJIA SAHIHI KANISA KUKUA KIUCHUMI NA WAAMINI WAKE.........
Просмотров 442Месяц назад
Karibu tujifunze njia sahihi za wakristo kukua kiuchumi ili tuweze kulijenga kanisa. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamungu #mzeewaupako #s...
DAMIAN NDIMBO:-KATI YA BWANA YESU NA MTUME MUHAMAD(S.A.W) NANI HAJUI KUSOMA NA KUANDIKA?
Просмотров 162Месяц назад
Haradali tv leo hii tunaenda kuanalia maandiko yanatuambia nini kuhusu Yesu Kristo na Mtume Mohamad mtume wa waislam nani anajua kusoma na kuandika? #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyando...
KIJIWE CHA MAARIFA:-KISA CHA TAJIRI KUFUNDISHWA MAANA YA UPENDO NA MASIKINI.....
Просмотров 121Месяц назад
Katika maisha tunazungukwa na watu mbalimbali ambao ni jirani zetu. Neno la Mungu linatufundisha kuwa mpende jirani yako kama nafsi yako. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradali...
KIJIWE CHA HEKIMA ;MWANADAMU NA UVUMILIVU KATIKA MAISHA YAKE
Просмотров 184Месяц назад
Karibu kutazama video inayofundisha uvumilivu na kulizika na ulichonacho katika maisha na Irine Minja. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamun...
MTOTO ALIYEJIUA SIKU YA BIRTHDAY YA MAMA YAKE MZAZI....
Просмотров 360Месяц назад
MTOTO ALIYEJIUA SIKU YA BIRTHDAY YA MAMA YAKE MZAZI....
HITMA KATIKA UISLAM NI JAMBO LA KIJITUNGIA TU/HAKUNA POPOTE IMEELEKEZWA WALA KITABU CHA HADITHI...
Просмотров 166Месяц назад
HITMA KATIKA UISLAM NI JAMBO LA KIJITUNGIA TU/HAKUNA POPOTE IMEELEKEZWA WALA KITABU CHA HADITHI...
SHEIKH SALEH ZAGAR/KUPIGA ADHANA NI KELELE/ TENA NI KUBWEKA ALFAJIRI YAPASWA KUACHWA MARA MOJA....
Просмотров 299Месяц назад
SHEIKH SALEH ZAGAR/KUPIGA ADHANA NI KELELE/ TENA NI KUBWEKA ALFAJIRI YAPASWA KUACHWA MARA MOJA....
IRINE MINJA:-TUMKUMBUKE MUNGU BABA KATIKA KILA NYAKATI TUNAZOPITIA MAISHANI.......
Просмотров 213Месяц назад
IRINE MINJA:-TUMKUMBUKE MUNGU BABA KATIKA KILA NYAKATI TUNAZOPITIA MAISHANI.......
UMUHIMU WA JUMUIYA NDOGO NDOGO ZA KIKRISTO...🙏🙏
Просмотров 113Месяц назад
UMUHIMU WA JUMUIYA NDOGO NDOGO ZA KIKRISTO...🙏🙏
KATI YA YESU KRISTO NA MTUME MOHAMAD S.A.W NANI TUMFUATE?
Просмотров 3432 месяца назад
KATI YA YESU KRISTO NA MTUME MOHAMAD S.A.W NANI TUMFUATE?
YOHANA OMARY KIBAVU:-MWISLAMU WA KWANZA NI MWANAMKE/OSTADHI MAZINGE APEWA ELIMU....
Просмотров 6742 месяца назад
YOHANA OMARY KIBAVU:-MWISLAMU WA KWANZA NI MWANAMKE/OSTADHI MAZINGE APEWA ELIMU....
DAMIAN NDIMBO :-UJUE UMUHIMU WA SADAKA YA SHUKRANI....
Просмотров 2662 месяца назад
DAMIAN NDIMBO :-UJUE UMUHIMU WA SADAKA YA SHUKRANI....
DAMIAN NDIMBO :-NJIA 9 ZA KUJIPATIA KIPATO
Просмотров 3432 месяца назад
DAMIAN NDIMBO :-NJIA 9 ZA KUJIPATIA KIPATO
DAMIAN NBIMBO :-ZIJUE SIFA NANE ZA WATOAJI MBELE ZA BWANA MUNGU...........
Просмотров 4212 месяца назад
DAMIAN NBIMBO :-ZIJUE SIFA NANE ZA WATOAJI MBELE ZA BWANA MUNGU...........
DAMIAN NDIMBO:-SABABU 24 KWANINI BAADHI YETU TUNATOA LAKINI HATUBARIKIWI ZAIDI...?
Просмотров 4202 месяца назад
DAMIAN NDIMBO:-SABABU 24 KWANINI BAADHI YETU TUNATOA LAKINI HATUBARIKIWI ZAIDI...?
🟥DAMIAN NDIMBO:-MISINGI 7 YA UTOAJI MBELE ZA BWANA MUNGU WETU..
Просмотров 5902 месяца назад
🟥DAMIAN NDIMBO:-MISINGI 7 YA UTOAJI MBELE ZA BWANA MUNGU WETU..
🟥SHUHUDA YA MAMA ALIYETAPELIWA NA NABII KIBOKO YA WACHAWI SIKILIZA HADI MWISHO.....😭
Просмотров 6 тыс.3 месяца назад
🟥SHUHUDA YA MAMA ALIYETAPELIWA NA NABII KIBOKO YA WACHAWI SIKILIZA HADI MWISHO.....😭
🟥DAMIAN NDIMBO:AJIBU UPOTOSHAJI WA USTADHI SULE KUHUSU WAARABU NI WANA WA ISMAIL.....
Просмотров 7113 месяца назад
🟥DAMIAN NDIMBO:AJIBU UPOTOSHAJI WA USTADHI SULE KUHUSU WAARABU NI WANA WA ISMAIL.....
🟥DAMIAN NDIMBO:-BWANA MUNGU NA ALLAH (S. W. T) NANI HANA MFANO?.........
Просмотров 3863 месяца назад
🟥DAMIAN NDIMBO:-BWANA MUNGU NA ALLAH (S. W. T) NANI HANA MFANO?.........
🟥DAMIAN NDIMBO/JE TORATI INATUHUSU WAKRISTO?
Просмотров 5093 месяца назад
🟥DAMIAN NDIMBO/JE TORATI INATUHUSU WAKRISTO?
🟥WACHAWI WANAVYOWACHUKUWA WATOTO WACHANGA WODINI/USHUHUDA WA KUTISHA NA WENYE MAFUNZO MAKUBWA SANA..
Просмотров 3553 месяца назад
🟥WACHAWI WANAVYOWACHUKUWA WATOTO WACHANGA WODINI/USHUHUDA WA KUTISHA NA WENYE MAFUNZO MAKUBWA SANA..
🎉🎉❤
ubarikiwe
Amen
ubarikiwe sana mtu wa Mungu.....
Amina,bila shaka tutakuwa tena wote novemba
Karibu sana mbez msumi baba
,🙏🙏
Masoma mazuri🎉🎉🎉
Mwenye masikio na asikiee funzo zuri 🎉🎉
Hahaha. Stori nzuri na inafundisha. Well done my dada
Amen 🙏🙏
Mungu akubariki sana kazi
Nawe pia unaweza kusubscrib Kwa ya kwangu
❤
Tunafunzwa kushukuru kwa tunachopewa
Tuwa nenee mibaraka mema watt
Aisee so sad. Tujifunze kuongea mema kwa watoto wetu.
Kweli kabisaaa mtumishi wa Bwana
Asante mwalimu
Hamsomi biblia mnakimbilia miujiza acha mnyooshwe
Uko sahihi
ww mama acha uwongo
Ukweli ni upi?
Nakukubali sana Damian nd
Amen ubarikiwe
Sawa kabisa kweli
Ijue kweli itakuweka huru
Duh, ama kweli ujinga mzigo
Karibu kwa maswali zaid
We mpumbavu ulienda kufanya nini?
Kaenda ili iwe darasa kwa wengine
Mimi ni Mkristo lakini nina hakika 100% Papa ni Antichrist kwa matendo yake.
Uliza uelimishwe usisikie upotoshaji
@@haradalimedia ndio uelimishe sasa tukuone kweli Mwalimu. Mimi nimehudguria ibada nyingi za kikatoliki mnafanya ibada kama mko kwa waganga wa kienyeji, mnakufuru waziwazi.
Hiko kibuyu mnachokizungushaga chenye kufuka moshi wa Wood, pamoja na mishumaa kama mnafanya ibada za Freemason huwa mna maana gani?
Hiko kibuyu mnachokizungushaga chenye kufuka moshi wa Wood, pamoja na mishumaa kama mnafanya ibada za Freemason huwa mna maana gani?
Jibu swali. Mpaka hapo sijaona ulichojibu zaidi ya kupiga mahesabu kuonesha kwamba Uislamu ndio 666 wakati huo Ukatoliki ndio unaopotosha watu, kwa kuabudu masanamu, na ishara za kimasonia.
Swdakt mwlm Allah ukhfdh
Wajinga ndo waliwao 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mungu amempiga sasa
Hao ni ile taasisi ya dunia wazushi bidaa tupu, waislamu wa chama kilee cha
karibu kujifunza iliyokweli ya Mungu
Mfateni congo 😂😂😂
Huyu ameshafunguliwa ufahamu hawezi kurudi kwa shetani tena
Jumuiya ndogo ndogo roho mmoja moyo Mmoja katika kristo
Amenii
Mwendo wa Kisinodi
Dr sule ni mganga wa kienyeji anayetumia kitabu cha shetani
Hakika dini mbele Mungu ni uislamu
Mpokee Yesu afanyike Bwana na mwokozi wako 🙏🙏
Mungu akubariki
Umeshaenda sehemu gani ukawatoa waisilam ukawaingiza kweny ukristo ?
Hapa pia ni sehemu ya kuwatoa watu kuzimu
Hi😊
Welcome 🤗
Sijawah kuona mdahalo anaongea mtu mmoja daa sijui kwa nini wa kristo mnaona aibu kuwka mambo yenu hadharani
jibu hata wewe hapa
Hujuwi Jambo
666 ya Papa ni uhalalishaji wa ndoa ya jinsia moja.
Hakuna kanisa la Mungu linaloruhusu ushetani Kama huo
Unavozungumza na tatu za talaka ya kiislamu sio hivo kama 666 waislamu wanavoacha wanatumia.hivi 123 lakini huzo namber 666 hizo ni.kweli nambe za primason
Wakati mwingine hutumika kujifunza kwa mifano ili makafiri waelewe
Mambo ya uchawi ya metapaka African kwa wenzetu hamnaga hayo huwezi sikia ety mtoto amepotea
Hawa ni wale wachungaji wakipendishwa debet wanaongea utumbo
@@Pablolookman tuarike popote tunakuja kutoa ilimu
Hao wachungaji wameshakua vichaaa kwanza vitu vimefichwa hawataki kuambia wafuasi wao ukweli
Ndugu huwezi kazi ya uchambuzi,
Mjomba tunakuomba urudi kwenye mihazara(Ila kwa hapa umechemka)
Karibu kuuliza swali usaidiwe
Hapo umefanya KAZI nzuri Sana ubarikiwe
Mbambe Iringa
Tuombeane
Ameni
Kaka unakuja kama kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu unatafuta kondoo uwameze
Uliza swali usaidiwe kumjua Mungu wa kweli na Neno lake
Swali langu bibilia Ina taja makiristo wa uongo mim nimkirsto ila hapa mwalim mbele tunakuona kama mtu Lakin wew ni mbwamwitu sikatai hoja zake ila hapa hawataju waisla ni makiristo wa uongo ndio hata uisilam unashida ila unashulika na kutoa kibazi unaacha liboriti katka uroma ubariwe mim sikuiti mtumish kwa sababu huji mada unayoiongea
Damian Ndimbo wewe kweli ni kiboko ya waislamu Mungu akubariki na akupe maisha mrefu uzidi kuwanyoosha waislamu
Ameni tuendelee kuombeana
Yesu Kristo amekuandaa kwa kazi hiyo miongoni mwa watu. Nakutia moyo kuwa Bwana atakujalia kupata mahitaji yako yote na haja zako katika kila eneo la maisha. Kazi nzuri. Nakuombea. Ubarikiwe.
Mbarikiwe Haradali Media Kwa Uinjilishaji.
Amina sana
Ubarikiwe
Kwenda domo kaya wewe.
Unajisikiaje sasa hivi🤣🤣
Akili Yako aina uwezo wakufasili puran Wala injili
Mungu akufunguwe ufahamu umpokee Yesu afanyike Bwana na mwokozi wako🙏🙏🙏
Kabisa❤