- Видео 637
- Просмотров 1 736 684
Abass Online Tv, Daawa Kenya
Добавлен 5 дек 2021
To support us: Send Donations to: +254724871565 .
Abass Online tv (Eastleigh Daawa, Nairobi, Kenya) ni channel ya Daawa ambayo makao yake iko eastleigh, Nairobi, Kenya. Channel hii inakuletea Mihadhara mbali mbali kila siku...waalimu mbali mbali hushiriki katika mijadala hizi. malengo ikiwa ni kufikisha ujumbe wa uislamu kwa wasiokuwa waislamu kupitia mijadala hizi. matukio haya yanavyoendelea ndivyo tunavyorekodi na kuiweka katika mitandao ili ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi. hivyo ni vizuri kila unapoipata video mpya.. bonyeza kitufe cha like na pia share katika groups za whatsapp na facebook ili uweze kushiriki katika kueneza ujumbe huu. Pia unaweza ukadownload App hii kufwatia link ifuatayo
play.google.com/store/apps/details?id=com.wAbassOnlineTV_16169259
au pia tufwatie facebook kufuatia link ifuatayo
profile.php?id=100087667511010
ukiwa na swali lolote wasiliana nasi katika whatsapp +254724871565

naupenda Sana uislam ila, .....watatu waamua kusilimu 4th. November 2024
Watu watatu wasilimu baada ya kufwatilia mhadhara ...huku maswali yakiulizwa Kwa wingi,
Просмотров: 1 334
Видео
Je, mnaamini injili ya Barnabas, Kwanini viombo vya habari vinahusisha uislam na ugaidi? 3 Nov. 2024
Просмотров 4 тыс.4 часа назад
Kwanini tunasikia kila mara katika vyombo vya habari kwamba Dini ya kiislam inahusika na ugaidi, kwanini hamli nyama ya nguruwe, je, mnaamini injili ya Barnabas? Ni baadhi tu ya maswali tuliyoulizwa mjini Mumias, Kakamega County, nchini Kenya. Kwa haya na mengine mengi, safiri nasi ushuhudie matukio ya Daawa sehemu tofauti tofauti nchini Kenya.
Msikiti wa Shibale ina historia, "Wengi walisilimu baada ya Said Awadh Kuiacha dini Ya Haki" 1.11.24
Просмотров 7577 часов назад
Tumetembelea Msikiti wa Shibale wenye historia kubwa nchini Kenya,
Fundi Seremala wafwatilia Daawa Kwa makini Sana kisha waamua kusilimu, Kisumu City. 29. Oct. 24
Просмотров 97014 часов назад
Fundi wasitiza Kazi Yao Kwa dakika kumi na tano, na baada ya kusikiza Kwa makini mwishowe waliamua kuingia Kwa dini mmoja baada ya mwengine
Maswali Yaulizwa mengi kuhusu dhambi ya asili...23 October 2024
Просмотров 2,5 тыс.День назад
Kama Yesu alikuja kutubebea dhambi, mbona watu bado wanaendelea kuomba msamaha wa dhambi kanisani..
Maswali mengi Yaulizwa Daawa Mashinani, wawili waamua kusilimu.....20 October 2024
Просмотров 1,4 тыс.14 дней назад
Je, uislam inaruhusu kujua, mbona unatumia maji mkimaliza haja, mbona mnaoa wake wengi, mama Yangu hataki niwe Mwislam Kwa kuwa Mwislam akifa huzikwa haraka, hizi ni baadhi ya maswali yaloulizwa Mashinani... Na hapo hapo wawili wakakubali ujumbe wa uislam, ungana nasi katika kuifikisha Daawa Mashinani pamoja...
Swali, Je, Muhammad Kamwoa Aisha Akiwa na miaka Mingapi? 17 October 2024
Просмотров 1,8 тыс.14 дней назад
Kulikuwa na mjadala Kali baada ya Mwalimu Evans kuzua swali, Je, Nabii Muhammad Kamwoa Aisha Akiwa na miaka Mingapi? Swali Hilo lilizua maswali mengine mengi na yakaibuka mengi yaliyokuwa yamefichikana, mfano, Isaka Kamwoa Rebeka akiwa msichana wa Miaka mitatu, Jambo analokanusha Mwalimu Evans lakini Rabbi WA kiyahudi wanakubaliana kwamba Jambo Hilo ni hakika na mtoto wa Miaka tatu Zama zile ni...
Mwalimu Evans Ajaribu kukwepa suali la Utume wa Yesu, 14 October 2024
Просмотров 1,9 тыс.21 день назад
Mwalimu Evans ambaye ni mwalimu wa shule ya Sekondari, Ni Mmasihia, anayeabudu siku ya Jumamosi, anasema Kwa Imani Yake, kufikiria au kudhania kwamba Yesu ni mtume, au Nabii, ni kosa kubwa Sana, ungana nasi usikize majadiliano yalivyonda katika sehemu ya Kwanza ya video hii
"Ni Nani mwandishi wa kitabu cha Matendo" swali dogo lililomwangusha Kauli...10 October 2024
Просмотров 4,3 тыс.21 день назад
Mjini Ukunda tulipambana na wabishi wawili wa kisabato waliojifanya kama wasomi, ila siku ya mwisho, mmoja aliingia mitini, akabaki wa pili Kauli, lakini Kwa siku hiyo alijiangusha Sana Kwa kulemewa kujibu swali dogo Tu, ambalo lilitilia usomiWake Mashaka, siku hiyo hiyo akaamua kusilimu dada mmoja, fwatilia video hii kupata habari zaidi
Allan ajutia kusema mayahudi wa Zama hizi ni waislam...6 October 2024
Просмотров 2,9 тыс.28 дней назад
Allan ajutia kusema mayahudi wa Zama hizi ni waislam...6 October 2024
Wapi ushuhuda wa Yohana katika Quran, Nani mwengine kaumba ndege? Ninani anasamehe dhambi? I4.10.24
Просмотров 2,1 тыс.Месяц назад
Masabato Waja mezani pa maswali kuuliza maswali mbali mbali kutoka katika Quran na vitabu vyao, mfano mmoja auliza: Ni mtume yupi mwengine zaidi ya Yesu ashawahi kuumba ndege Kwa idhini ya Mungu???.... Na mwengine ataka kujua, kama kuna kitabu cha Yohana ndani ya Quran, pamoja na kwanini tunazika na Kanzu, na maswali mengine mengi, usikose kutazama video hii....
Maswali yachacha mjini Ukunda ....1 October 2024
Просмотров 2,6 тыс.Месяц назад
Maswali yachacha mjini Ukunda ....1 October 2024
Uwanja washangaa Kwa kuona ibada ya kiislam kamili kwa biblia....29 September 2024
Просмотров 2,6 тыс.Месяц назад
Uwanja washangaa Kwa kuona ibada ya kiislam kamili kwa biblia....29 September 2024
Mzee ashtuka kusikia kuwa amepotea, na kwamba Yesu sio mwana wa Mungu...25 September 2024
Просмотров 3,5 тыс.Месяц назад
Mzee ashtuka kusikia kuwa amepotea, na kwamba Yesu sio mwana wa Mungu...25 September 2024
aliyesilimu Bura aahidi kumleta mkewe pia asilimishwe. Dada aupenda uislam ila aogopa wazazi wake.
Просмотров 2,1 тыс.Месяц назад
aliyesilimu Bura aahidi kumleta mkewe pia asilimishwe. Dada aupenda uislam ila aogopa wazazi wake.
Kabla ya Muhammad, Waislam walimfwata Nani? na Je, Quran ni kitabu cha washirikina? 21 Sept. 2024
Просмотров 5 тыс.Месяц назад
Kabla ya Muhammad, Waislam walimfwata Nani? na Je, Quran ni kitabu cha washirikina? 21 Sept. 2024
Watoto wa Kiislam, waonyesha ibada ya kiislam katika mhadhara.....16th. September 2024
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
Watoto wa Kiislam, waonyesha ibada ya kiislam katika mhadhara.....16th. September 2024
Mkatoliki akiri kuwa Kweli wao wanamkosea Mungu Kwa mengi... 12th. September 2024
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
Mkatoliki akiri kuwa Kweli wao wanamkosea Mungu Kwa mengi... 12th. September 2024
Mkristo Danieli asoma Suratul Faatiha kwenye mhadhara. Ni nini hasa kinachomzuia kusilimu? 11.9.2024
Просмотров 2 тыс.Месяц назад
Mkristo Danieli asoma Suratul Faatiha kwenye mhadhara. Ni nini hasa kinachomzuia kusilimu? 11.9.2024
mtu mmoja asilimu katika mhadhara.....9th. September 2024
Просмотров 1,9 тыс.Месяц назад
mtu mmoja asilimu katika mhadhara.....9th. September 2024
Daniel ataka kujua kwanini waislam hawana Roho mtakatifu.... 7 September 2024
Просмотров 1,6 тыс.Месяц назад
Daniel ataka kujua kwanini waislam hawana Roho mtakatifu.... 7 September 2024
Je, Yesu ni Mwislam? 6th. September 2024
Просмотров 2,2 тыс.Месяц назад
Je, Yesu ni Mwislam? 6th. September 2024
Je, Yesu ni Mungu? 21st. August 2024
Просмотров 1,9 тыс.2 месяца назад
Je, Yesu ni Mungu? 21st. August 2024
Kwanini Waislam mnaoa wake wengi, kwanini hamsali pamoja na wanawake... kwanini... kwanini...18.8.24
Просмотров 3 тыс.2 месяца назад
Kwanini Waislam mnaoa wake wengi, kwanini hamsali pamoja na wanawake... kwanini... kwanini...18.8.24
Mmoja mwengine aamua kusilimu kijijini Kayole... 18 August 2024
Просмотров 1,7 тыс.2 месяца назад
Mmoja mwengine aamua kusilimu kijijini Kayole... 18 August 2024
Watu wawili waamua kusilimu katika muhadhara kijijini Kayole... Maswali yawaka moto...16 August 2024
Просмотров 1,9 тыс.2 месяца назад
Watu wawili waamua kusilimu katika muhadhara kijijini Kayole... Maswali yawaka moto...16 August 2024
Apostle James akiri kushindwa kujibu swali huku Maswali yaulizwa kwa wingi, kijijini Kayole.13 .8.24
Просмотров 1,9 тыс.2 месяца назад
Apostle James akiri kushindwa kujibu swali huku Maswali yaulizwa kwa wingi, kijijini Kayole.13 .8.24
Pastor atoroka kwenye meza ya maswali baada ya kuona hoja ni nzito kwake....10 August 2024
Просмотров 2,1 тыс.2 месяца назад
Pastor atoroka kwenye meza ya maswali baada ya kuona hoja ni nzito kwake....10 August 2024
Maswali mengi kuhusu uislam yaulizwa mjini Kilgoris... mfano, je wanawake wanaruhusiwa kusali?
Просмотров 1,9 тыс.2 месяца назад
Maswali mengi kuhusu uislam yaulizwa mjini Kilgoris... mfano, je wanawake wanaruhusiwa kusali?
Je, Nyinyi waislam mnamwamini Yesu? 6 August 2024,
Просмотров 1,7 тыс.2 месяца назад
Je, Nyinyi waislam mnamwamini Yesu? 6 August 2024,
Masha Allah Ustaz kwa kazi nzuri
Ni vile Niko Mombasa ningewachalenji kweli kweli,
XP is just a heckler. No substance
Masha'allah Leo Nimependa alivyo fanya Cameraman
Mzee huyo anashekesa sana hajuwi ameubwa kwanini😂
*FROM GAZA: AN IMPORTANT AND URGENT MESSAGE TO THE HYPOCRITICAL SCHOLARS OF THE UMMAH.* *"What do you talk in the Mosques about? Wudu? Tauba?"* *"Some of us have been burnt (alive), some of us have died, some of us are starving."* *"O' Hypocrites, fear Allah...Allah has exposed hypocrites like you...your silence has slaughtered us more than our hardships."* *"You have betrayed the Prophet...on the Day of Judgement you will need us, but we will tell Allah, O' Allah, they abandoned us. O' Allah, increase their punishment upon punishment."* *"We call upon the Prophet, O' Messenger of Allah, these people betrayed your covenant. O' Messenger of Allah, don't intercede for them."*

LRA- Lords resistance army Uganda.
Dakweli sisi wanaume tusipo jichunga wanawake watatupeleka motoni Yani Mzee nwamke alivyo amkatu naekaama akilizikawa hazisomi kabisaa anaona usiku atanyimwa shuhuki kweli mtihani sana
Wakati Muislamu amebanwa na swali, anasema twende msikitini... kuhepa maswali
Masha Allah.
Maa Shaa Allah,,, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu,,,, mswiba mkubwa huyo Mzee katika umri wake kapotezwa na mkewe,,, subhaana Allah.
Ma sha Allah tabaraka Rahman
Please subscribe like and share
Alie muua aliekua Rais wa Ufaransa Charles de Gaule alijiita Jackal alikua ni Mkristo
Masha'allah Masha'allah Masheikh wetu
Barnabas na mwanafunzi wa yesu kristo ama swali tu
Mashaallh❤
Mashaallah kazi nzuri masheikh
Mashallah mashallah
*FROM GAZA: AN IMPORTANT AND URGENT MESSAGE TO THE HYPOCRITICAL SCHOLARS OF THE UMMAH.* *"What do you talk in the Mosques about? Wudu? Tauba?"* *"Some of us have been burnt (alive), some of us have died, some of us are starving."* *"O' Hypocrites, fear Allah...Allah has exposed hypocrites like you...your silence has slaughtered us more than our hardships."* *"You have betrayed the Prophet...on the Day of Judgement you will need us, but we will tell Allah, O' Allah, they abandoned us. O' Allah, increase their punishment upon punishment."* *"We call upon the Prophet, O' Messenger of Allah, these people betrayed your covenant. O' Messenger of Allah, don't intercede for them."*
Masha Allah Ustaz
Waisilam tafuteni njia ya kutafuta watu coz nyinyi hamuelewi bibilia na ulipata MTU hajielewi ndo mnakua ivi hayo maswali nyote jibu lake moja Tu kuje uku mlize
Kiswahili chenyewe hujui jibu utalipata wapi
@@Kutaila99hapo tu😊 nakama bible huwez kuisoma ukaielewa kwahiyo haitakiw kusomwa au???😂 amken
Achilia video watu Wa download wafaidike sheikh
Maa Shaa Allah,, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu,,ukristo mswiba
Masha allah mungu awajazii herii
Aamin
Allah humuongoza amtakae Na kitu muhimu Ni husnul khatima
Indal maut, wal maghfira baadal maut, wal afwa indal hisaab
Hapo sawa hapo kwetu kwenyewe napanda gari Leo usiku niwakute masshaala
Sound improvement please ......learn
Inahitajia hela
Nakupata nikiwa Tanzania
Mashaallah
Masha Allah.
Kati ya waislam na wakirisu nachokishanga nijinsi mukirisu anaweza kusikiliza muhadhala mzima na asisilimu
Kusilimu mpaka uchaguliwe na mungu kazi yetu ni kufikisha
@@saadaabdallah7473 hakika endelea kufikisha wengi wataelewa na wengi watakataa ila nimejikuta katika waelevu ni mesilim Mungu aniongoze na piya nyiye muwe katika watakaoingia peponi inshaAllah
Yes
Na wala c lazima
Uzuri niww kuiona nuru nakuifutwa au kubaki njia panda yesu ni mungu mara yesu mwana wamungu hamna mnachokijua ilimrad muimbe mkate viuno mvae vimin kwa raha zenu🎉🎉🎉🎉
Please subscribe like and share
The first to comment and view alhamdulilah.
Masha Allah Ustaz
Mbona hamtaji majini mapepo wachafu wanaslimu jamaa kawakimbia majini na Dini Yao ya kiislamu namsikiliza akitufundisha jinsi majini ni waislamu wezenu majini mashetani nawashabgaa kijivunia hiyo Dini shutuka kama said alivyoshutuka na waoingia kwenye hiyo Dini hawajui chochote kuhusu majini wakijua awawezi kukaa huko kwenye Dini ya majini
Huu uongo ata saa ivi tushauzoea. Mumeshikilia hapo😂😂😂 Endelea kutumika na iblisi kuabudu binadamu yesu. Leta evidence ya hoja yako
@HusseinAli-fx1ld wewe nyie waislamu mnaabudu jiwe jeusi pale Maka ndipo mnapoelekeza nyuso zenu kibla na Kuna kaburi la huyo mtume wenu Muhammad marehemu Hilo ulikuwa ujui na mashekh awawambii Bora sis wakristo tunamuabudu Yesu aliye hai mbinguni nyie waislamu mnamuabudu marehemu na allah wenu anamuabudu Muhammad na akawaelekeza mfanye kama yeye Quran 33:56
Mashaallah
Ma sha Allah
Subuhana Allah
Allah Akbar
Please subscribe like and share
Abass Allah akuzidishie subra ktk maisha yako km ni mm ningekua nishakasirika na huyu jamaa alieonja.... Allah akujaalie na afya na furaha na IKHLAS
Huyu mwalimu ni hypocrite...wanafunzi wake wamo hatarini maana hajielewi
Alh❤amdulillaah
Saa hii mnafanya kazi ya Jehovah witness door to door kuwadanganya waingie dini ya majini
Hiyo ni maneno yako na chuki zako una ushaindi nayo unayoyasema
Masha Allah Ustaz
Allaahu Akbaaaar
Allah akbar
Taqbiriiiiiiiiiii!! ALLAH AQBAR❤❤
Mash Allah