- Видео 73
- Просмотров 132 412
TE.RO. TV
Танзания
Добавлен 10 дек 2021
Technician Room (TE.RO. TV) ni kituo kinacho toa mafunzo ya ufundi mbali mbali Kwa vitendo pamoja na kuonyesha changa moto za kiufundi na namna ya kuzitatua.
jinsi ya kuchora ramani ya vyumba vitatu eps 2-3
Jifunze insi ya kuchora ramani ya nyumba ya vyumba vitatu kwa kutumia ArchiCAD 22
kwa mahitaji ya kupata ramani za nyumba za kisasa, unaweza wasiliana na mimi kwa nambari +25565798781.
Pakua soft ware yako ya ArchiCAD 22 katika link ya hapo chini
free download
getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180

Просмотров: 35
Видео
jinsi ya kuchora ramani ya vyumba vitatu eps 2-2
Просмотров 6814 часов назад
funze jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya vyumba vitatu kwa kutumia ArchiCAD 22 kwa mahitaji ya kupata ramani za nyumba za kisasa, unaweza wasiliana na mimi kwa nambari 25565798781. Pakua soft ware yako ya ArchiCAD 22 katika link ya hapo chini free download getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180
jinsi ya kuchora ramani ya vyumba vitatu eps 2-1
Просмотров 3214 часов назад
Jifunze jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya vyumba vitatu kwa kutumia ArchiCAD 22 kwa mahitaji ya kupata ramani za nyumba za kisasa, unaweza wasiliana na mimi kwa nambari 25565798781. Pakua soft ware yako ya ArchiCAD 22 katika link ya hapo chini free download getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180
jinsi ya kuchora ramani ya chumba kimoja eps 2 final
Просмотров 12114 дней назад
Jifunze jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya chumba kimoja kwa kutumia ArchiCAD 22 kwa mahitaji ya kupata ramani za nyumba za kisasa, unaweza wasiliana na mimi kwa nambari 25565798781. Pakua soft ware yako ya ArchiCAD 22 katika link ya hapo chini free download getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180/
jinsi ya kuchora ramani ya chumba kimoja eps1
Просмотров 8714 дней назад
Jifunze jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya chumba kimoja kwa kutumia ArchiCAD 22 kwa mahitaji ya kupata ramani za nyumba za kisasa, unaweza wasiliana na mimi kwa nambari 25565798781. Pakua soft ware yako ya ArchiCAD 22 katika link ya hapo chini free download getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180/
Jinsi ya kuchora ramani ya vyumba 3. eps 2
Просмотров 9621 день назад
Katika video hii utajifunza jinsi ya kuchora ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu (3) ikewemo Master room ,Dining room, sitting room, kitchen ,toilet kwa kutumia ArchiCAD 22. kwa mahitaji ya kupata ramani za nyumba za kisasa, unaweza wasiliana na mimi kwa nambari 25565798781. ruclips.net/video/ieJtLp1JISE/видео.htmlsi=r_6Qmarmxxjt85IU Pakua soft ware yako ya ArchiCAD 22 katika link ya hapo chin...
Jinsi ya kuchora ramani ya vyumba 3. eps 1
Просмотров 204Месяц назад
Katika video hii utajifunza jinsi ya kuchora ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu (3) ikewemo Master room ,Dining room, sitting room, kitchen ,toilet kwa kutumia ArchiCAD 22. kwa mahitaji ya kupata ramani za nyumba za kisasa unaweza wasiliana na mimi kwa nambari 25565798781. ruclips.net/video/ieJtLp1JISE/видео.htmlsi=r_6Qmarmxxjt85IU Pakua soft ware yako ya ArchiCAD 22 katika link ya hapo chini...
How to Download WhatsApp Status Video & Photo | 3 Easy Methods /Swahili language
Просмотров 222 месяца назад
How to Download WhatsApp Status Video & Photo | 3 Easy Methods /Swahili language : 2024
Jinsi ya kuondoa Password/Pattern/Pin sony ericsson/SONY XPERIA zote bila ya kutumia computer
Просмотров 1702 месяца назад
Video hii utajifunza jinsi ya ku bypass simu ya Sony Ericsson /SONY XPERIA pamoja na kuondoa password bila ya kuiflashi au kutumia computer ruclips.net/video/ieJtLp1JISE/видео.htmlsi=r_6Qmarmxxjt85IU
Jinsi yakuchora bim na arch sehemu 2
Просмотров 813 месяца назад
video hii utajifunza namna ya kuchora ring bim na kuweka arch katika nyumba yako kwa kutumia computer Tell: 255765798781 Pakua software yako kupitia link hii free download link : getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180/
Jinsi yakuchora bim na arch sehemu ya 1
Просмотров 1153 месяца назад
video hii utajifunza namna ya kuchora ring bim na kuweka arch katika nyumba yako kwa kutumia computer Tell: 255765798781 Pakua software yako kupitia link hii free download link : getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180/
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya mwisho
Просмотров 1653 месяца назад
video hii utajifunza namana utavyo weza kuchora ramani ya nyumba aina ya Hidden Roof, ni aina ya ujenzi wa nyumba za kisasa kwa kutumia computer Tell: 255765798781 Pakua software yako kupitia link hii free download link : getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180/
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 17
Просмотров 1393 месяца назад
video hii utajifunza namana utavyo weza kuchora ramani ya nyumba aina ya Hidden Roof, ni aina ya ujenzi wa nyumba za kisasa kwa kutumia computer Tell: 255765798781 Pakua software yako kupitia link hii free download link : getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180/
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 16
Просмотров 1373 месяца назад
video hii utajifunza namana utavyo weza kuchora ramani ya nyumba aina ya Hidden Roof, ni aina ya ujenzi wa nyumba za kisasa kwa kutumia computer Tell: 255765798781 Pakua software yako kupitia link hii free download link : getintopc.com/softwares/3d-cad/archicad-22-free-download-5773180/
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 15
Просмотров 1763 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 15
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 14
Просмотров 2313 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 14
Jinsi ya kutumia Porteus 8.13 sehemu ya 2
Просмотров 603 месяца назад
Jinsi ya kutumia Porteus 8.13 sehemu ya 2
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 13
Просмотров 2754 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 13
Jinsi ya kuchora ramani za nyumba za kisasa kwa kutumia computer sehemu 12
Просмотров 2444 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani za nyumba za kisasa kwa kutumia computer sehemu 12
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemeu ya 11
Просмотров 2664 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemeu ya 11
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemeu ya 10
Просмотров 2344 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemeu ya 10
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 9
Просмотров 2264 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 9
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 8
Просмотров 1394 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 8
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 7
Просмотров 1474 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 7
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 6
Просмотров 3674 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 6
Jifunze jinsi ya kutumia Porteus 8.13 sehemu ya mwanzo 1
Просмотров 1084 месяца назад
Jifunze jinsi ya kutumia Porteus 8.13 sehemu ya mwanzo 1
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 5
Просмотров 2174 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 5
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 4
Просмотров 2144 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu ya 4
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa Sehemu ya 3
Просмотров 2494 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa Sehemu ya 3
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 1
Просмотров 4144 месяца назад
Jinsi ya kuchora ramani ya nyumba ya kisasa sehemu 1
Mkuu minataka unifundishe kuchora na uniuzie programu hio
Karibu
Hapa sijaelewa umefikaje mkuu, epsodi ya 4 imeishia njiani
ipo kuanzia eps 1 mpaka ya mwisho
@TEROTV-zj2vs I mean step ulizoishia epsod ya 4 na ulipoanzia ya 5 vimenichngnya ya nne umeishia unatengneza ukuta wa kufunga South elevation then ya 5 inaanza tayri umeweka milango na madrisha
@@SpoertsHD ni kweli kuna kipande cha dakika 1 kimekosekana nimeona shukran
@@TEROTV-zj2vs pamoja kaka
jina la app kaka
@@NadirOmar-et9yc ArchiCAD 22
kazi nzuri engineer
oh wao maalim juma tumekumis wanao wa mkokotoni
good work
good
good lesson
Barikiwa
Naitak hiyo raman please
@@javaludizi1855 nitafute 0765798781
Naitak hiyo raman please
@@javaludizi1855 nitafute kwa namba hii 0765798781
Good job
Good content
Namba yako ya simu
🎉🎉
Mbn mim inagoma kutoka
Umepata ujumbe gani...!
Samahan me ndo naanza kujifunza umem wa magar kunavitu ganh vya kuzingatia
Good😊
Asante kwa mafunzo nimewaelewa
Kwaiyo apo ukisha maliza tosha kumpafund ajenge au ndo adi ichorwe kwenye kompyuta
Ipo tayari kwa kujengwa
Ipo tayari kwa kujengwa
Asante sana
Contact mkuu tunaomba
Ahsante jaman
Karibu
Nahitaji unifundishe kwa vitendo zaidi boss naomba namba ya WhatsApp
good job
Unyama sana unafanya kazi nzuri sana
Shukran, karibu Sana
Naomba namba yako kiongozi
+255765798781
Mambo vp Naomba namba yako, kuna kitu nataka nikuuliza about installation of Archicad
@luqmankhalfan2612 ahsante Kwa kutufatilia Tell. +255773844561
Safi sana
Shukran
Unatumia progaram gani kuchora ramani kaka
GRAPHICSOFT-ACHICARD 2022
Namba yako tafadhali
Good lesson
May Allah bless U
Shukran
good somo limefahamika
kazi nzuri
nice class i like it
you are welcome
Nice
Hizo sehemu zingne mbona huelezei broh
Fatilia kiongo hiki ruclips.net/video/bWXLMTww1AM/видео.html
Namba plz
Nahitaj namba Kaka please
+255773844561
Mawasiliano yako
0773844561
Habari
safi mmbo vp
Nipe namb yk Kaka plz
Gud
Shukran
Sawa kaka Nina swali bila kujali maana hata siogopi nataka kujifunza , mfano nataka nipime mashine ya radio ikiwa connected na umeme kifaa kimoja kimoja mfano resistor capacitor nk
Unaweza kupima component Ikiwa redio yako ipo kwenye umeme kwa mfano kuangalia volt zinazoingia na zinazotolewa.
@@TEROTV-zj2vs volts najua,, je resistor na capacitor?
@@TEROTV-zj2vs volts najua,, je resistor na capacitor?
@@gnasnassary9475 nashauri upime zikwa nje ya circuit vilevile tumia kiungo hiki utapata kujifunza zaid ruclips.net/video/qHXVAG2O6dg/видео.html
Kama nataka ramani ya maduka ya china na juu je unajishughulisha kwa kazi hii
Karibu
nice
Thanks
Nitumie namba yako boss
0765798781 fund
Unatumia mda mwingi kuongea bdla kufunza
Good
Thanks
Nimeelewa kwakweli,asanteee.
Mbona inaleta namba za mpenz wang
Cjakuelewa