- Видео 740
- Просмотров 220 701
Ma'ahad Sheikhil Isla'am Ibn Taymiyyah Pongwe
Добавлен 24 май 2022
Hii Ni Channel Rasmi Ya Ma'ahad Sheikhil Isla'am Ibn Taymiyyah na Itahusika Kurusha Darsa, Semina, Mihadhara Na Vipindi Vingine Vyote Ambayo Vinaendeshwa Na Kusimamia Na Ma'ahad Yetu Au Markaz Zingine Za Kisalafy Zilizopo Nchini, Kuuelimisha Ummah Wa Kiislamu Ndio kipaumbele chetu.
04. الرد المحرق على الهذيان المفرط - المجلس الرابع
04. الرد المحرق على الهذيان المفرط - المجلس الرابع
Просмотров: 312
Видео
03. الرد المحرق على الهذيان المفرط - المجلس الثالث
Просмотров 117Месяц назад
03. الرد المحرق على الهذيان المفرط - المجلس الثالث
02. الرد المحرق على الهذيان المفرط - المجلس الثاني
Просмотров 82Месяц назад
02. الرد المحرق على الهذيان المفرط - المجلس الثاني
01. الرد المحرق على الهذيان المفرط - المجلس الأول
Просмотров 145Месяц назад
01. الرد المحرق على الهذيان المفرط - المجلس الأول
Nafasi ya Masjid Katika Kusomesha Dini
Просмотров 4942 месяца назад
Nafasi ya Masjid Katika Kusomesha Dini
KUYAWEKA SAWA MANENO YA MUDIYR WA SHAMS EL MA’ARIF KUHUSU VIGAWANYO VYA TAWHEED
Просмотров 7273 месяца назад
KUYAWEKA SAWA MANENO YA MUDIYR WA SHAMS EL MA’ARIF KUHUSU VIGAWANYO VYA TAWHEED
03.RADDI KWA DR. ISLAM MUHAMMAD SALIM WA MOMBASA KENYA (Part 03)
Просмотров 2123 месяца назад
03.RADDI KWA DR. ISLAM MUHAMMAD SALIM WA MOMBASA KENYA (Part 03)
02.RADDI KWA DR. ISLAM MUHAMMAD SALIM WA MOMBASA KENYA (Part 02)
Просмотров 2043 месяца назад
02.RADDI KWA DR. ISLAM MUHAMMAD SALIM WA MOMBASA KENYA (Part 02)
01.RADDI KWA DR. ISLAM MUHAMMAD SALIM WA MOMBASA KENYA (Part 01)
Просмотров 1973 месяца назад
01.RADDI KWA DR. ISLAM MUHAMMAD SALIM WA MOMBASA KENYA (Part 01)
SWALI :- MBONA MUNAMTOA MTU KWENYE MANHAJ (USALAFI) KWA KOSA MOJA TU?
Просмотров 1583 месяца назад
SWALI :- MBONA MUNAMTOA MTU KWENYE MANHAJ (USALAFI) KWA KOSA MOJA TU?
Je! Ni Kweli Sheikh Ibnu Uthaymin Amejuzisha Kuchukuwa Elimu Kutoka Kwa Sheitwaan?? Majibu Dr. Islam
Просмотров 1523 месяца назад
Je! Ni Kweli Sheikh Ibnu Uthaymin Amejuzisha Kuchukuwa Elimu Kutoka Kwa Sheitwaan?? Majibu Dr. Islam
KHUTBA YA IJUMAA - BIDA'A YA MAULID-02-MAULIDI YALIANZA LINI
Просмотров 6213 месяца назад
KHUTBA YA IJUMAA - BIDA'A YA MAULID-02-MAULIDI YALIANZA LINI
KHUTBA YA IJUMAA - (BIDA'AH YA MAULIDI) LILE AMBALO HALIKUWA DINI SIKU ILE HALIWEZI KUWA DINI LEO
Просмотров 4364 месяца назад
KHUTBA YA IJUMAA - (BIDA'AH YA MAULIDI) LILE AMBALO HALIKUWA DINI SIKU ILE HALIWEZI KUWA DINI LEO
KHUTBA YA IJUMAA - Uhalisia Wa Maisha Ya Dunia
Просмотров 1844 месяца назад
KHUTBA YA IJUMAA - Uhalisia Wa Maisha Ya Dunia
KHUTBA YA IJUMAA - Umuhimu Wa Kupupia Kutenda Kheri, 30-08-2024
Просмотров 1554 месяца назад
KHUTBA YA IJUMAA - Umuhimu Wa Kupupia Kutenda Kheri, 30-08-2024
KHUTBA 23.08.2024M- KISA CHA QAARUUN NA MAFUNZO YANAYOPATIKANA NDANI YAKE - 02
Просмотров 3354 месяца назад
KHUTBA 23.08.2024M- KISA CHA QAARUUN NA MAFUNZO YANAYOPATIKANA NDANI YAKE - 02
KHUTBA - UMUHIMU WA KUJITOLEA KATIKA DINI YA ALLAH
Просмотров 6305 месяцев назад
KHUTBA - UMUHIMU WA KUJITOLEA KATIKA DINI YA ALLAH
KUTHIBITISHA KUWA ALLAAH YUKO JUU YA VIUMBE VYAKE
Просмотров 2615 месяцев назад
KUTHIBITISHA KUWA ALLAAH YUKO JUU YA VIUMBE VYAKE
AINA ZA FITNAH NA NAMNA YA KUJIEPUSHA NAZO
Просмотров 3205 месяцев назад
AINA ZA FITNAH NA NAMNA YA KUJIEPUSHA NAZO
MWENYE AKILI NI YULE ALIEPATA MAWAIDHA KWA KUFA NDUGU YAKE
Просмотров 4105 месяцев назад
MWENYE AKILI NI YULE ALIEPATA MAWAIDHA KWA KUFA NDUGU YAKE
MASHEIKH HAWA (WAKISUFI) KWANINI HAWATETEI HESHIMA ZA MASWAHABA WA MTUME ﷺ ?? - Sheikh Kassim Mafuta
Просмотров 7936 месяцев назад
MASHEIKH HAWA (WAKISUFI) KWANINI HAWATETEI HESHIMA ZA MASWAHABA WA MTUME ﷺ ?? - Sheikh Kassim Mafuta
HUKMU YA UCHAWI NA MCHAWI KATIKA SHERIA YA KIISLAMU
Просмотров 5696 месяцев назад
HUKMU YA UCHAWI NA MCHAWI KATIKA SHERIA YA KIISLAMU
07. NI NANI ALIYE MUUA AL-HUSSEIN رضي الله عنه - Mukhtasari Wa Majaalis Zilizopita
Просмотров 3186 месяцев назад
07. NI NANI ALIYE MUUA AL-HUSSEIN رضي الله عنه - Mukhtasari Wa Majaalis Zilizopita
06. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Kuuliwa Kwa Hussein رضي الله عنه
Просмотров 1966 месяцев назад
06. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Kuuliwa Kwa Hussein رضي الله عنه
05. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Watu Wa Mji Wa Kufa (IRAQ) - 02
Просмотров 2576 месяцев назад
05. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Watu Wa Mji Wa Kufa (IRAQ) - 02
04. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Watu Wa Mji Wa Kufa (IRAQ)
Просмотров 2616 месяцев назад
04. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Watu Wa Mji Wa Kufa (IRAQ)
03. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Ni Nani Ahlu Bayti??
Просмотров 2476 месяцев назад
03. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Ni Nani Ahlu Bayti??
02. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Ni Nani Al-Hussein رضي الله عنه ??
Просмотров 2676 месяцев назад
02. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Ni Nani Al-Hussein رضي الله عنه ??
01. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Utangulizi
Просмотров 4776 месяцев назад
01. NI NANI ALIYE MUUA HUSSEIN رضي الله عنه - Utangulizi
6. MFULULIZO WA KHUTBA ZA IJUMAA 2023 - NAFASI YA MASWAHABA WA MTUME ﷺ KATIKA UISLAMU - Part 07
Просмотров 556 месяцев назад
6. MFULULIZO WA KHUTBA ZA IJUMAA 2023 - NAFASI YA MASWAHABA WA MTUME ﷺ KATIKA UISLAMU - Part 07
Allah akuhifathi
Maa shaa allah
بارك الله فيكم!!
ALLAH atujaalie mwisho mwema AMIN
بارك الله فيك يا شيخ
Jazaakallaahu khayra. Tumepata faida walillaahil hamdu
Kuna bweni kwa wasichana?
Mohammad S.A.W
vp mbona mnatuma sehem fupi mnaikata
Ilikatika kwa tatizo la Internet, baaraka Allah fiykum
Subhanna hu wataala
Allah hu Akbar
MASHAALLAH
بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا
SUBHANLAAH wako wapi wano sema Sheikh ALAAH amwifadh ati ajuwi kiarabu? ALAHUMUSTAAN
Mashallah sheikh jamada ALLAH akuhifadhi
mimi nawapenda sana masalafi Allah awalindea na maadui na watu wenyekuchukia
Ni kawaida yao hao jamaa kutoka nje ya Mada
Nilifikiri raddi kubwa ya maana tukajulishwa makosa ya muhammad bachu tunayoyasikia tofauti na tangazo lenyewe
kamuambie aliekutuma watu hawana habar na yeyee
Ni kimbelembele tu chake au alitajwa jina kwenye tangazo?? Au atuongoze
Raddi inaongelea aqiida ya salaf juu uwepo wa Allah juu ya arshi ww unasema ni radd ndogo? Kwan uliambiwa radd inamhusu bachu? Bachu mwmyw ndiye aliyejiingiza kimbelembele wala watu wa pongwe hawana mpango naye
Tumewagundua nyinyi niwaropokaji bila ya ilim nakwashar mulizozianzisha kwawatu wasunatil jama tumewapa siku mtanyamaa umoja baada yamungin nakitakachofata mtakiona kwahio wende umusikileze muhamad nasoro bachu alivokufundisha
Bachu kamkosoa abuu fauzan ,,,wala sie huyu ,,huyu ni abuu sufyan ,,,kwahio umeona wewe ulivyokuwa mropokaji .
@@ABUUJAAFAR92 ukimsikiliza Sheikh Bachu unapatafaida kubwa sana
@@saidirashid7552 Radd haimuhusu bachu sasa mnamtaja bachu hapa wa kazi gan? Markaz ya pongwe haina mpango na bachu na wala ktk radd wala hakukusudiwa bachu ila bachu mwnyw alitaka ajiingize kwakuwa anaona raha kujibishana na watu wa pongwe na anaona atapata umaaruf zaidi watu wakiona eti anapigana radd na watu wa pongwe Bachu akasome kwanza
maashaallah tumepata faida kubwa ila na ww shekh tutakufundisha na kukupiga raghdi pale ulipokosea soma kwanza kiarabu allah akuongoze kwenye mstari wa sawa sawa
أجوبة تحرق قلوب الأكثر ثرثرة ومعرفة
Nyundo ilo mpaparisha mropokaji bila kujuwa anawenzake 😂😂
Ma Shaa Allah
We hear nothin
Mshllh
Mashekhe wa kisufi mumeelewa
Mishekhe ya kisufi ndo michawi sana kazi yao kutuma majini kudhuru watu
حفظه الله تعالى
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh akhy, hii lini?
Walaykum Salam warahmatullah wabarakaatuh, Tarehe 30.04.202M
Wewe kiza Wewe! Kwa hyo mtume hapo ghadir alifanya sulhu? Maana unasema kulikua na mzozo wa maswahaba na kumchukia aliiy, au ndo unataka kuthibitisha kua mapenzi kwa ahlulbayt ni lazima kama allah alivosema sihitaji Malipo ispokua mapenzi kwa ahlulbayt wangu? Na unasema kua Kuna ishara Bali dalili za wazi kua abubakari alichaguliwa na mtume kua ni kiongozi, sasa hapa na kuuliza? Japo haukutoa dalili yenye nguvu na hautotoa kuhusu abubakari kuchaguliwa kua kiongozi, sasa abubakari saqifa bani saida alikwenda kufanya nini? Kuna nukta nyingi ambazo umejigonga lkn kwanza jibu haya, sasa kama Wewe uko Hoi namna hii walio chini yako Wana Hali gani? Halafu kutajiwa hadithi ndani ya vitabu vyenu kwani ni uongo hazipo? Hebu eleza vizuri bwana mwanzo wa tukio La ghadir lilivyoanza mpaka hayo yaliotokea mpaka baada ya hapo, na huo ukomvi wa chuki ya maswahaba ulianzaje na alioyafanya alii mpaka achukiwe ni yapi, halafu je hyo sulhu iliondoa chuki za maswahaba kwa aliiy au haikuondoa kwa baadhi Yao au wote? Maana Kuna maneno mbele ya sulhu hiyo اللهم وآل من وٓله وعاد من عاده Kwani aliiy alikua na nafasi gani mpaka sulhu ifanywe na mtume halafu aombe dua hiyo? Na je hakukua na maswahaba wengine ambao nao walichukiana na sulhu Yao ilifanywa wapi? Na kwa nini sulhu ya aliiy ifanywe kwenye tukio kubwa kiasi hicho? Kwani maswahaba wangefa na chuki hiyo wangepata hasara gani? Halafu kwa nn mtume asisuluhishe tu mpaka amfananishe aliiy na Wewe kuhusu upemzi? Yani yeyote ambae mimi ni mpenzi wake bas huyu aliiy ni mpenzi wake. Kiza hapa hautojibu mpaka utakufa! Zaidi ya Kuja na kejeli na kubabaika. Kama mwanaume jibu nukta hizo.
Allah akuhifadhi sheikh na akuchunge
Mashallaah huyu shekh anakipaji cha pekeake apewe ulinzi
Allah ampe hifadhi kutokana na kila Shari Na Watu wake.
Allaahumma amen mimi nataka niwe salafi kwaajili ya huyu shekh nafuatilia sana darsa zake sijui ntatumia njia gani