Nahjusalaf Online Tv
Nahjusalaf Online Tv
  • Видео 162
  • Просмотров 132 875

Видео

IKIWA UNATAKA CHOCHOTE DUNIANI NI JUU YAKO KUFANYA MAMBO HAYA MATATU
Просмотров 835 месяцев назад
IKIWA UNATAKA CHOCHOTE DUNIANI NI JUU YAKO KUFANYA MAMBO HAYA MATATU
TAHADHARI EWE MTUMISHI 01 _ Abuu Umeir Adam Khamis
Просмотров 225 месяцев назад
TAHADHARI EWE MTUMISHI 01 _ Abuu Umeir Adam Khamis
NI SALAFIY AU NI AHLU SUNNAH WAL-JAMA'AH ? _ Tarjama Abuu Ayman Al-Shiraaziy
Просмотров 655 месяцев назад
NI SALAFIY AU NI AHLU SUNNAH WAL-JAMA'AH ? _ Tarjama Abuu Ayman Al-Shiraaziy
TAHADHARI EWE MTUMISHI 02 | Ustaadh Abuu Umeir Adam Khamis
Просмотров 325 месяцев назад
TAHADHARI EWE MTUMISHI 02 | Ustaadh Abuu Umeir Adam Khamis
Mwenye Azma Ya kuacha maasi - Tarjama Abuu Ayman Al-Shiraaziy (Allah amuhifadhi)
Просмотров 505 месяцев назад
Mwenye Azma Ya kuacha maasi - Tarjama Abuu Ayman Al-Shiraaziy (Allah amuhifadhi)
HUKMU YA NDOA ZA KWENYE MAIGIZO AU TAMTHILIYA
Просмотров 987 месяцев назад
HUKMU YA NDOA ZA KWENYE MAIGIZO AU TAMTHILIYA
ALAMA ZA RAFIKI WA KWELI
Просмотров 387 месяцев назад
ALAMA ZA RAFIKI WA KWELI
FADHLA ZA KUMFUTARISHA ALIYEFUNGA - Ustaadh Abuu Umeir Adam - Allah amuhifadhi
Просмотров 417 месяцев назад
FADHLA ZA KUMFUTARISHA ALIYEFUNGA - Ustaadh Abuu Umeir Adam - Allah amuhifadhi
MTU HUYU FUNGA YAKE HAIKUBALIKI - Ustadh Abuu Umeir Adam Khamis (Allah amuhifadhi)
Просмотров 1207 месяцев назад
MTU HUYU FUNGA YAKE HAIKUBALIKI - Ustadh Abuu Umeir Adam Khamis (Allah amuhifadhi)
MPENI MUAJIRIWA UJIRA WAKE, KABLA HALIJAKAUKA JASHO - USTADH ABUU UMEIR ADAM KHAMIS
Просмотров 1137 месяцев назад
MPENI MUAJIRIWA UJIRA WAKE, KABLA HALIJAKAUKA JASHO - USTADH ABUU UMEIR ADAM KHAMIS
SIO MAKURUHU KUMPA SALAAM MTU ANAYESWALI - Sheikh Abuu Hashim (Allah amhifadhi)
Просмотров 187Год назад
SIO MAKURUHU KUMPA SALAAM MTU ANAYESWALI - Sheikh Abuu Hashim (Allah amhifadhi)
Ustaadh Abuu Umeir Adam Khamis - Hukmu ya Kutoa upepo mbele za Watu
Просмотров 270Год назад
Ustaadh Abuu Umeir Adam Khamis
Sheikh Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Uwajibu wa kuwafuata Maswahaba
Просмотров 567Год назад
Sheikh Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Uwajibu wa kuwafuata Maswahaba
Sheikh Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Hikma ya Zakaatul fitr 01
Просмотров 238Год назад
Sheikh Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Hikma ya Zakaatul fitr 01
Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Usikae na Wazushi, watakupa maradhi ya moyo
Просмотров 261Год назад
Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Usikae na Wazushi, watakupa maradhi ya moyo
Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Hali ya Wema Waliotangulia katika Ramadhwaan
Просмотров 162Год назад
Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Hali ya Wema Waliotangulia katika Ramadhwaan
Sheikh Abdul Khattwaab Abdallah Humeid - Katika adabu za Salaam
Просмотров 213Год назад
Sheikh Abdul Khattwaab Abdallah Humeid - Katika adabu za Salaam
HALI YA DUNIA - SIKU FURAHA NA SIKU NYINGINE HUZUNI
Просмотров 243Год назад
HALI YA DUNIA - SIKU FURAHA NA SIKU NYINGINE HUZUNI
Sheikh Muhammad Ibn Uthaymiyn (Allaah amrehemu)- FANYA SUBRA NA TARAJIA MALIPO KUTOKA KWA ALLAH
Просмотров 45Год назад
Sheikh Muhammad Ibn Uthaymiyn (Allaah amrehemu)- FANYA SUBRA NA TARAJIA MALIPO KUTOKA KWA ALLAH
Sauti Ya Qur-aan Short Clip - القارئ صلاح مصلي
Просмотров 52Год назад
Sauti Ya Qur-aan Short Clip - القارئ صلاح مصلي
Sheikh Abuu Haashim Abdul-Qaadir - MAANA YA SUNNAH KWA MASHIA
Просмотров 237Год назад
Sheikh Abuu Haashim Abdul-Qaadir - MAANA YA SUNNAH KWA MASHIA
Sheikh Abuu Haashim Abdul Qaadir - Umuhimu Wa Kalenda Ya Kiislam
Просмотров 1232 года назад
Sheikh Abuu Haashim Abdul Qaadir - Umuhimu Wa Kalenda Ya Kiislam
Sheikh Abuu Haashim - Miongoni Mwa Itikadi Chafu Za Mashia - No 01
Просмотров 5042 года назад
Sheikh Abuu Haashim - Miongoni Mwa Itikadi Chafu Za Mashia - No 01
UVUTAJI WA SIGARA NA MADHARA YAKE - Abul Khattwaab Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Просмотров 1,3 тыс.2 года назад
UVUTAJI WA SIGARA NA MADHARA YAKE - Abul Khattwaab Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
KUWEKA SAWA UFAHAMU MBOVU WA MUHAMMAD BACHU | Abuu Haashim Yupo Sahihi Kabisa
Просмотров 4472 года назад
KUWEKA SAWA UFAHAMU MBOVU WA MUHAMMAD BACHU | Abuu Haashim Yupo Sahihi Kabisa
NDOTO NI AINA TATU
Просмотров 1 тыс.2 года назад
NDOTO NI AINA TATU
Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Umuhimu Wa Wakati | Mauti Huja Ghafla
Просмотров 7082 года назад
Abul Khattwaab Abdallah Humeid - Umuhimu Wa Wakati | Mauti Huja Ghafla
Abul Khattwaab Abdallah Humeid - MAHIMIZO YA KUHIFADHI WAKATI & NASAHA KWA WAPENZI WA MPIRA
Просмотров 5982 года назад
Abul Khattwaab Abdallah Humeid - MAHIMIZO YA KUHIFADHI WAKATI & NASAHA KWA WAPENZI WA MPIRA
UONGO WA MUHAMMAD BACHU | KIJANA ALIYEKUBUHU KATIKA UONGO
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
UONGO WA MUHAMMAD BACHU | KIJANA ALIYEKUBUHU KATIKA UONGO

Комментарии

  • @SuleAli-xn6wk
    @SuleAli-xn6wk Месяц назад

    Hv nyinyi mbona kila kitu nunajifanya muko sawa

  • @mwalivanduabdul
    @mwalivanduabdul 2 месяца назад

    Hv ww abuu ruduud una elimu gani? Ahahaha ahahaha jahil mkubwa abuu kasome

  • @HemedRamadhanJuma
    @HemedRamadhanJuma 2 месяца назад

    Nyinyi bachu ana elimu kubwa kulikoni nyinyi mana bachu anatoa ushahidi kutoka kkatika vitabu mbona nyinyi hamtupi ushahidi katika vitabu kazi yenu matusi na kejeli nyie watu wa maulidi mna shida sana mnapoteza waislam Allahh awaongoze muijue haki

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 2 месяца назад

    Mashaallah Tabarakallah sheikh Abdallah humeid Allah akuhifadh. Allah awafungulie wanafunzi milango ya kheri katika ilmu na awape kheri katika maisha mazuri duniani na Akhera na wanawake wema.

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 3 месяца назад

    Mahizbu Salafy mahadadiya leta hoja kijana acha mipasho wewee mipasho mwisho

  • @Badrumchekwa
    @Badrumchekwa 3 месяца назад

    Sasa ww shekhe hapo umepata nn kwa kuitoa hyo acha hzo kuzodoana vitu visivyo vya msing

  • @NahimanaMoussa-jq4tl
    @NahimanaMoussa-jq4tl 3 месяца назад

    Kiukweli Sheikh Nurdin Kishki kakosea,,, ila kwakweli Hujatumia hekima ya hali ya juu kweny kumkosoa,, Lau kama ungemsogelea ukamkosoa akakataa ndio ungetumia njia kama hii,, Allah atustiri sote na atuongoze

  • @idrissamsilagi9978
    @idrissamsilagi9978 4 месяца назад

    Mtume kasema hata kama mtu kafanya khatwa kweli lakini kumfikishia hasharani ni kumdhalilisha

  • @idrissamsilagi9978
    @idrissamsilagi9978 4 месяца назад

    Kishk hata Mimi simkubali na wewe huko ndiyo ufikishaji kwanini usifuate inbox

  • @salimakida95
    @salimakida95 4 месяца назад

    Nadhani abuu hashim amekimbilia kujibu kwa muhemko hajamuelewa,alichosema huyo shekh kamawewe una ushahidi wako wakutosha Baki na msimamo wako tutakutana kesho mbele ya alwah hatuhitaji kugombana.Leo imefikia mpaka ndugu hawasemani Kisha tofauti za kiitijkadi

  • @allyhamad9665
    @allyhamad9665 4 месяца назад

    Hayo nimaneno yako mbona hajawahi pofuka mtu

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 4 месяца назад

    Huyu jamaa angekua bongo wangemtia ndani tungemsahua

  • @maalimhemedsalumu
    @maalimhemedsalumu 4 месяца назад

    Chuki na hasad ndio zilizo kutawala

  • @RamaMshangama-nc5wi
    @RamaMshangama-nc5wi 4 месяца назад

    Mashekhe zetu tunawapenda sana,ila tafadhalini kama kuna mmoja wenu anakosea ni bora kuwekana shura kuliko hii njia mnayotumia kwa sasa imekuwa hakuna tofauti sasa kati ya mashekhe na watu wengine,allah awaongoze

  • @salummbarouk4216
    @salummbarouk4216 4 месяца назад

    Mtume Muhammad s.w.a alikuwa dhehebu gani

  • @andrewmoi2186
    @andrewmoi2186 4 месяца назад

    We auna KAZI nyingine ya kufanya mjinga wewe ata auna akili kiski sio mwenzako

  • @hubamaringo
    @hubamaringo 5 месяцев назад

    Allah atuongoe kwakweli Kuna mashekh kazi Yao kukosoa wenzie tu kila siku

  • @HermesHamis96
    @HermesHamis96 5 месяцев назад

    Jamani mi nina swali sio kwa shari kuna watu wana sema kuwa ukijiita salaf umejipandisha darja kuwa wewe ni mtu mwema sasa ana uliza kwamba una uhakika gani wa kuingia pepon naomba ufafanuzi kidogo hapo

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 5 месяцев назад

    Shekhe bado hujaelewa hio thiory.hata kwenye kuran ipo hio.waulize wajuz wa elimu hizo wakujuze.huwa ninaumia sana mashekhe mnavyonasa kwenye mtego wa makafir.roho yangu inaniuma sana.allah atuongoze.

    • @ZakariaBoy-fv3kh
      @ZakariaBoy-fv3kh 5 месяцев назад

      Quran ipi

    • @mohamedkamota1903
      @mohamedkamota1903 4 месяца назад

      Sheitwan anachezea kichwa chako, ZINDUKA akutakii kher sheitwan anakudanganya tu

  • @mirajiramadhani8128
    @mirajiramadhani8128 5 месяцев назад

    Kishki yuko sahihi mana yuko na elimu kuliko wewe salafi usotaka kusoma

  • @UstaSoloka
    @UstaSoloka 5 месяцев назад

    ukiwa na elim ya Allah fanya kazi ya Allah usipende kuchunguza watu ulisoma kupeleleza watu washekhe vipi

  • @HamisiR
    @HamisiR 5 месяцев назад

    Yani we unakosoaga wenzako na hatujawahi kukuona

  • @hadijamohamed623
    @hadijamohamed623 5 месяцев назад

    Fanya yako bwana weeee kwani mtume Muhammad S.A.W alikuwa shehebu gani bwana weee

  • @mustafahlokol7338
    @mustafahlokol7338 5 месяцев назад

    Mawahabi wamekuja kuharibu na kubomoa uislamu

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 5 месяцев назад

    mipasho tu siku hizi.... sema hivi niseme hivi.,., hatariiiiiiiii

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 5 месяцев назад

    mashekhe wasasa hawa😂😅😅...tutaelewana tu, kila mmoja anakimbilia mtandao kujibizana.... usalafi uyoeeeeee😂😂😂

  • @abdulbandari1551
    @abdulbandari1551 5 месяцев назад

    Wanaopiga radd hawana hoja

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 5 месяцев назад

    Shehe muogope allah kumuita mwenzako mohamadi bichwa kuwe na hekima kuna watu nyuma yenu wanaowasikiliza sasa hapo kweli kupituka mipaka

    • @omarali797
      @omarali797 5 месяцев назад

      Usishangaye, hawa masheikh zenu wa kisalafi ndiyo sifa zao

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 5 месяцев назад

    Mtu mwenyewe haonekani kakaa kama jini ndo shekh Gani huyoo

  • @abuumusab720
    @abuumusab720 6 месяцев назад

    Mashaa Allah

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 6 месяцев назад

    Hujawahi kuwa salaf na mpaka Sasa hivi sio salaf ndio maana ghurafi said kwa kuuzeesha uso

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 5 месяцев назад

      Muhabi anamkataa Mhabi Mwenzie!!

  • @AmiriUshanga
    @AmiriUshanga 6 месяцев назад

    Kweli dunia imejaa wajinga wengi na mazezeta ukiwepo mjinga wa kwanza ni wewe na zezeta mkubwa kuliko wote ni wewe mumukua mwa fanana namashia kila waonapo jina la shia husema wamekusudiwa wao na nyinyi viwahabi golo hivyo hivyo someni jamaa

  • @omaryfiqh2906
    @omaryfiqh2906 6 месяцев назад

    Endeleeen kugombana tyu waislam. Dini mashinani yarudi nyuma. Watu waritqrishwaaa nyie ki kelele tyu

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis 6 месяцев назад

    Mm nawambia masalaf hawafai ni wabaguz na nyinyi si masala ss hiv hakuna salafi

  • @MsarakaPinja-sv6vg
    @MsarakaPinja-sv6vg 6 месяцев назад

    Duh

  • @AsiaBakary
    @AsiaBakary 6 месяцев назад

    Madhehebu kwani kipindi cha mtume kulikuwa na madhehebu kulikuwa na uislamu tena walikuwa na umoja

  • @BURHANMOHD-r5z
    @BURHANMOHD-r5z 6 месяцев назад

    Mtume alikuwa madhehebu gani?

    • @OmariKaya
      @OmariKaya 6 месяцев назад

      Hata mimi nahitaji kujua mtume alikua dhehebu gani

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 6 месяцев назад

    masuni wa kisalafi hawajui wanachofanya ,kazi kugombana wote hawana elimu

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 6 месяцев назад

    Mm nampnda Sheikh Muhammad na sisi ndio tulomwita na kupitia yeye tulitamani kusoma dini zaidi

  • @YazidSalum
    @YazidSalum 6 месяцев назад

    Barakallahu fika nakupenda kwa ajili ya Allah Allah akuhifadhi Akhy abdallah humeidi

  • @TwoBrother-tc2cu
    @TwoBrother-tc2cu 6 месяцев назад

    Umri bado unakuruhusu njoo shule mwalimu wangu mkuu nimeshaongeanae atakupokea

  • @ExcitedDandelion-kb3ug
    @ExcitedDandelion-kb3ug 6 месяцев назад

    Ivi kugombana ndo suluhu na kuwaeka watu wazi kuhu haki

  • @AsmaaIssa-wz6by
    @AsmaaIssa-wz6by 6 месяцев назад

    Allah akuhifadhi na azidi. Kukuongoza shekhe wangu❤❤

  • @AsmaaIssa-wz6by
    @AsmaaIssa-wz6by 6 месяцев назад

    Ukickia mtu anasema masalafy Ni majadidah hao Ni mazezeta wa Baraiyani😅😅😅

  • @AsmaaIssa-wz6by
    @AsmaaIssa-wz6by 6 месяцев назад

    Ukickia mtu anasema masalafy Ni majadidah hao Ni mazezeta wa Baraiyani😅😅😅

  • @AsmaaIssa-wz6by
    @AsmaaIssa-wz6by 6 месяцев назад

    Ukickia mtu anasema masalafy Ni majadidah hao Ni mazezeta wa Baraiyani😅😅😅

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 6 месяцев назад

    Masalafi wanalana wenyewe kwa wenyewe sasa. Inna lillahi wainna ilayhi rajiun

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 6 месяцев назад

    Masalafi wenyewe kwa wenyewe wanalana sasa. Inna lillahi wainna ilayhi rajiun

  • @AsmaaIssa-wz6by
    @AsmaaIssa-wz6by 6 месяцев назад

    Cku zote mtu anapo mtukana mwenzake yy huwa anatukanwa Mara dufu zaidi.endelea kutoa daawa kaka yangu achana na hao wanaotukana Alf hawajui kitu tangu walivyopata smrt phone na wakajua kuandika comment atupowiiii

  • @AsmaaIssa-wz6by
    @AsmaaIssa-wz6by 6 месяцев назад

    Cku zote mtu akisema hakki lzm wapingaji watakuwepo. pasua kaka yangu Allah yupo pamoja na ww ndio kishki haeleweki