HABIB IBRAHIIM ONLINE TV
HABIB IBRAHIIM ONLINE TV
  • Видео 70
  • Просмотров 9 155

Видео

UKWELI KUHUSU PICHA YA SHEIKH ABUL FADHILI QASSIM MAFUTA ALLAH AMHIFADHIUKWELI KUHUSU PICHA YA SHEIKH ABUL FADHILI QASSIM MAFUTA ALLAH AMHIFADHI
UKWELI KUHUSU PICHA YA SHEIKH ABUL FADHILI QASSIM MAFUTA ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 1,8 тыс.4 дня назад
UFUNGUZI WA MASJID SHEIKH ABDULMALIK MALINDI - (KENYA) 1446AHUFUNGUZI WA MASJID SHEIKH ABDULMALIK MALINDI - (KENYA) 1446AH
UFUNGUZI WA MASJID SHEIKH ABDULMALIK MALINDI - (KENYA) 1446AH
Просмотров 3884 дня назад
MASJID SHEIKH ABDULMALIK KWA FAMAU MALINDI - (KENYA)MASJID SHEIKH ABDULMALIK KWA FAMAU MALINDI - (KENYA)
MASJID SHEIKH ABDULMALIK KWA FAMAU MALINDI - (KENYA)
Просмотров 785 дней назад
HAYA NDIO MANENO YA KASSIM MAFUTA KUHUSU YEYE KUPIGA PICHAHAYA NDIO MANENO YA KASSIM MAFUTA KUHUSU YEYE KUPIGA PICHA
HAYA NDIO MANENO YA KASSIM MAFUTA KUHUSU YEYE KUPIGA PICHA
Просмотров 2,3 тыс.5 дней назад
MAULIDI YA MASJID RIYADHA MAMBRUI - KENYAMAULIDI YA MASJID RIYADHA MAMBRUI - KENYA
MAULIDI YA MASJID RIYADHA MAMBRUI - KENYA
Просмотров 506 дней назад
ISHARA ZINAZO THIBITISHA UNAAFIKI WA KASSIM MAFUTA NA KUVUJA KWA PICHA ZAKEISHARA ZINAZO THIBITISHA UNAAFIKI WA KASSIM MAFUTA NA KUVUJA KWA PICHA ZAKE
ISHARA ZINAZO THIBITISHA UNAAFIKI WA KASSIM MAFUTA NA KUVUJA KWA PICHA ZAKE
Просмотров 1,2 тыс.9 дней назад
ASSAYID JAAFAR SWADIQ AKIELEZEA TAFSIRI YA SURATUL MARIAMASSAYID JAAFAR SWADIQ AKIELEZEA TAFSIRI YA SURATUL MARIAM
ASSAYID JAAFAR SWADIQ AKIELEZEA TAFSIRI YA SURATUL MARIAM
Просмотров 579 дней назад
SHURAFAA - ALLAHU - SHAFAA MAULIDI YA RAMA YA KISWAHILISHURAFAA - ALLAHU - SHAFAA MAULIDI YA RAMA YA KISWAHILI
SHURAFAA - ALLAHU - SHAFAA MAULIDI YA RAMA YA KISWAHILI
Просмотров 1459 дней назад
MAULIDI YA ABDALLAH ALY MOKOWEMAULIDI YA ABDALLAH ALY MOKOWE
MAULIDI YA ABDALLAH ALY MOKOWE
Просмотров 699 дней назад
DHIKRI YA MAULIDI YA MABAROBARO MAWENI MALINDI - KENYADHIKRI YA MAULIDI YA MABAROBARO MAWENI MALINDI - KENYA
DHIKRI YA MAULIDI YA MABAROBARO MAWENI MALINDI - KENYA
Просмотров 9610 дней назад
DARSA YA IJUMAA MASJID JUMA QADEEM MALINDI - KENYADARSA YA IJUMAA MASJID JUMA QADEEM MALINDI - KENYA
DARSA YA IJUMAA MASJID JUMA QADEEM MALINDI - KENYA
Просмотров 1910 дней назад
This stream is created with #PRISMLiveStudio
KUMBU KUMBU ZA MAULIDI YA LAMU 1444AHKUMBU KUMBU ZA MAULIDI YA LAMU 1444AH
KUMBU KUMBU ZA MAULIDI YA LAMU 1444AH
Просмотров 2311 дней назад

Комментарии

  • @ZongoKibwana
    @ZongoKibwana 25 минут назад

    Tena akizidi kudhalilisha wenzake Allah nae aibu zake Ata zitoa zaidi ya hizo mwambieni awemakini Sana,

  • @ZongoKibwana
    @ZongoKibwana 26 минут назад

    Huyo Mtume wetu tu Allah amemsamehe mpaka atakayo Kuja Kuya fanya kwa kujua yeye ni binaadamu pamoja mitume imehifadhiwa sasa huyo mafuta mnataka kumpa tarja kuliko ya mitume huyo ujinga

  • @ZongoKibwana
    @ZongoKibwana 28 минут назад

    Majahili nyinyi unao taka kufanya mafuta malaika kwamba amekamilika

  • @AlliiHasssan
    @AlliiHasssan Час назад

    ALLAH AMHIFADHI SHEIKH WETU QASIM MAFUTA NI SHEIKH WA SUNAH

  • @KhadijaMbaruku
    @KhadijaMbaruku 2 часа назад

    Sheikh Kassim, hawana la kusema hawa wamebaki kuwaaharibia sifa zenu ili tuwakatae. Wallahy halitotokea hili kamwe. Da'awa iendelee

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 2 часа назад

      @@KhadijaMbaruku ibilis mkubwa hauna la kusema nyamZa

  • @sumaisabu9816
    @sumaisabu9816 3 часа назад

    Mnafiki mkubwa shehe gani kutwa mizozo tu kama picha ni kharam bas wangelianza kuzipiga vita kina sudaysi

  • @duniaduaratv1216
    @duniaduaratv1216 4 часа назад

    Yani huyu Allahu anamfedhehesha kwakuwa ndio kazi yake kufedhehi wanazuoni. Kisu kwa kisu pua kwa pua sikio kwa sikio

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 2 часа назад

      @@duniaduaratv1216 Amiiiiiiin mola Am angamize

  • @OFFICIALNACHOT.R
    @OFFICIALNACHOT.R 11 часов назад

    Kazi bado iko makhurafi lazima tuwaeke sawa

  • @KasimuKiduba
    @KasimuKiduba 11 часов назад

    Hii kuna mtu kampiga kwa mbali sisi wajuzi wa picha alafu waka zoom kdg

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 11 часов назад

      Nadhani hivyo please subscribe my channel ili upate taarifa zetu

  • @KasimuKiduba
    @KasimuKiduba 12 часов назад

    Haifai kabisa kusambaza lakini Mashalaah Ana nuru sn usoni lkn jamani makosa

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 11 часов назад

      Ndio lakini kama amesema mambo ya kiunafiiki lazima atangazwe

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 13 часов назад

    Afadhali amejulikana sura yake ili watu wamjue na mipango yake na kundi lake la kuvuruga uislam lijulikane

  • @ZongoKibwana
    @ZongoKibwana 16 часов назад

    Allah angemuhifadhi na hiyo fedheha kama yeye angelikuwa Ana hifadhi ya wenzake

  • @Abuushaymaatz
    @Abuushaymaatz 17 часов назад

    Allah amuhifadhi sheikh Abul Fadhwil

  • @mohdsaid6153
    @mohdsaid6153 18 часов назад

    Dini sio wafuasi

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b День назад

    Ulishaonawapi jadida mdogo kumuuliza mkuu wa majadida?

  • @IsmailRashid-m8x
    @IsmailRashid-m8x День назад

    Mbona hizo picha zipo tofaut km ni za passport

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 День назад

    Huu ulimwengu sio ulee wa Karne ya 20 tena. Habari za kuleta kashfa badala ya kutetea hoja zako juu ya suala unaloliamini zishapitwa na wakati. Hizo wamebaki nazo wana siasa! Na kama una chuki zako na mtu fulani basi mtafutane huko huko mitaani na sio kutuletea mitandaoni. Hizi habari za ku-edit picha ishakuwa kawaida mno siku hizi. Waweza kujikuta kwenye magazeti ya udaku upo nyumba ya kulala wageni (guest house) na mwanamke huku mkiwa kitandani kama mlivyozaliwa tena gazeti likiwa na kichwa kikubwa "FULANI AKUTWA GUEST NA MCHEPUKO"! kumbe wame-edit picha yako tu.

  • @abdulsalum2852
    @abdulsalum2852 День назад

    Dah aisee siku ya Qiyama itakua hapatoshi yni unapotosha umma unahisi sisi hatuijui AI Dah

    • @duniaduaratv1216
      @duniaduaratv1216 4 часа назад

      Kitu gani, passport size zake watu wanazo na alizojipiga kwa camera ya mbele pia. Huyu ni mfedhehi na yeye anafedhehiwa na Allah

  • @ZongoKibwana
    @ZongoKibwana День назад

    Kubali shekh hiyo picha sio ya kutengeza acha kujiekea uzio

    • @Abuushaymaatz
      @Abuushaymaatz 17 часов назад

      Sina wasiwasi kuwa hiyo ni editing

  • @ZongoKibwana
    @ZongoKibwana День назад

    Shida kasimu anadhalilisha Sana wenzake alafu yeye anajifanya kakamilika

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 7 часов назад

      Ndio kabisa kaka hapo nakupa support please subscribe

  • @zuberimohamed7699
    @zuberimohamed7699 День назад

    MashaAllah MashaAllah..baraka Allah ❤

  • @harunankussa-rr2fp
    @harunankussa-rr2fp 2 дня назад

    Kumbuka Allah atakuuliza kwa hayo maneno mche mola wako

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 2 дня назад

    Allah akuifadhi sheik mafuta amiyn

  • @jamalmanyanda7218
    @jamalmanyanda7218 2 дня назад

    Chuki zenu dhidi ya da'wa salafiyah zinawatesa sana nyie watu wa bidaáh

  • @ismailmenk8188
    @ismailmenk8188 2 дня назад

    Kwani nyie Muna Uislamu ngani uliotofautiana na wakati wa Mtume yupo kazi kugombana kwa mambo ya kijinga tu kwani nyie hamujui kama Dunia ipo ktk machafu ya Zinaa,liwati kamari,pombe,music na machofu mengi kwanini tusiwe wa moja nyie kazi yenu Ujinga tu.

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 дня назад

    Busara inahitajika musitumie maneno makali Sana nyote ni waislamu

  • @RuqayyaAbdallah-s1o
    @RuqayyaAbdallah-s1o 2 дня назад

    Acheni ujinga tafuteni la kufanya izo akili zenu ndo zina mafuta ya taa

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 2 дня назад

    Kassim mafuta Allah akuhifadh dawa yako imebadilisha wengi pia nawe ni binaadam lazma yakukute ya kibinaadam Aliyekamilika ni Allah pekee

  • @ibrahimsaid5538
    @ibrahimsaid5538 3 дня назад

    Mnafiki ni ww

  • @AbdillahBakar-qx9sr
    @AbdillahBakar-qx9sr 3 дня назад

    Yani watu wengine wajinga kweli sasa hii nd nin mtu nzima na akili zake kufanya utoto huu

  • @IddiMakame-i2l
    @IddiMakame-i2l 3 дня назад

    JEE AMEKURUHUSU SHEIKH KASSIM UZIPOST PICHA ZAKE HIYO NI HASAD

  • @KaramaKarama-jm7qo
    @KaramaKarama-jm7qo 3 дня назад

    Mahizby hakki mbona hamuitaki?Mukiitwa manaswara Kisha mwakasirika na mwasema mwatusiwa.Basi kubalini nyinyi manaswara bana Lau sivo toweni maneno ya sheikh Kassim kama yalivotoka kinywani mwake acheni kumzulia

  • @OFFICIALNACHOT.R
    @OFFICIALNACHOT.R 3 дня назад

    Viherehere waulize sasa mbona ummenyamaza

  • @MohammedBakari-pn9yg
    @MohammedBakari-pn9yg 3 дня назад

    Watu wangoma wameshindwa hoja ktk masahala ya dini wameona kutafuta picha yakitambulisho ya sheikh kassim mafuta ili wamdogoshe ..hamtoweza kuinyongesha haki hata mfanyenin...washirikina wakubwa........ALLAH azidi kumpa afya njema na ucha mungu sheikh kassim mafuta na mfano wake ili waendelee kufundisha mwenendo sahihi...akiwemo sheikh muhammad bachu na Abdallah humein

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy 3 дня назад

    Uaduy wenu hautudhuru daawatu sarafiya inasonga mbele

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 дня назад

      Hii daawa ya salafiya itazid kuendelea Lakin upotofua wa kassim lazima ubainishwei hii sio daawa ya dada yake mtu

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 3 дня назад

    Nampenda sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu kwa ajili ya Allah

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 3 дня назад

    Allah amuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na ampe mwisho mwema

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 3 дня назад

    Mbn sasa unaificha wakati unajifanya uogopi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu ashasema atakae sambaza picha yake hayuko radhi nae Allah atahukumu baina yenu

  • @LushweKuandika-lm9zc
    @LushweKuandika-lm9zc 3 дня назад

    Kwa walio tenda dhambi ya kuisambaza picha hii na kuiedit wamewasaidia baadhi ya watu wasio mjua sheikh Allah amhifadh pamoja na kuwa n madhambi lakn wapo walio chekelea na wapo walio huzunika kwa dhulma aliyo fanyiwa sheikh Allah yupo hai na analipa kwa kila jema kwa jema na kila ovu kwa kadr ya uovu huo. Endeleen kujikusanyia madhambi yenu mtalipwa siku ya malipo In shaa Allah.

  • @wadantz123
    @wadantz123 3 дня назад

    Mmmh bas tena ndugu zang msiwape maneno manaswara mwisho wakaanza kutuona wajinga

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 3 дня назад

      @@wadantz123 unajua ukielimisha mjinga Pia wewe utakuwa mjinga ndo maana tume waacha waendelee na ujinga

    • @wadantz123
      @wadantz123 3 дня назад

      @OFFICIALNACHOT.R bas haya

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 3 дня назад

    Masufi wapumbavu sana ndio maana imamu shafi anasema mtu akiingia katika usufi mchana haimfikii jioni ispokuwa kashakuwa mpumbavu,

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 3 дня назад

      @@abduwahabi7019 sawa kufari aliye zaliwa na Firauni khurafi mkubwa

  • @OfficialFatima-n6k
    @OfficialFatima-n6k 3 дня назад

    😢

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 3 дня назад

      @@OfficialFatima-n6k please subscribe my channel for more

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 3 дня назад

    BILA SHAKA MWENYE CHANNEL HII PIA NI KAHABA😂😂

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 3 дня назад

      @@jumanneissa8226 Mimi ndo mwenye channel .... Channel ni yangu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 дня назад

      Mukijibiwa nyie mutaanza kulalamika yaani hatarii

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 3 дня назад

      @NassorHassan-no1cr achana na wao ni watu wasio jielewa..... please subscribe my channel ili upate taarifa zetu

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 3 дня назад

      @NassorHassan-no1cr kama unavyo lalamika au sio

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 3 дня назад

      @jumanneissa8226 kulalamika kivipi ?

  • @murayaabdi-um5ik
    @murayaabdi-um5ik 3 дня назад

    Wey vipi hapo

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 дня назад

    Waislam tunahali mbaya yaani mapovu yanayowatoka kwa picha wewe na wenzio mmeelewa dini vibaya saana kasimu mafuta

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 4 дня назад

      @@selemankishema5780 sana yaani yeye aseme picha ni haraam naye apige please subscribe my channel ili upate taarifa zetu

  • @mkhandihealthcare5106
    @mkhandihealthcare5106 4 дня назад

    MASUFI MTATESEKA SANA

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 4 дня назад

      @@mkhandihealthcare5106 Labda kama mtayeseka nyie makhurafi

  • @MrVingving
    @MrVingving 4 дня назад

    Allah ndie hakimu,

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 4 дня назад

    Nyie mahizib subirini mtajua hàmjui sijui mtaweka wapi nyuso zenu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 дня назад

      Hii ndo daawa salafiya ukipinda tu unatandikwa hakuna cheo hapa

  • @zizuzidu9803
    @zizuzidu9803 4 дня назад

    Watu waovu (mujrifuun) wanachuki kubwa sana na maduat wa daawatu salafiyaaa. Kamwe hamtoweza ewe mahzubiyuun wafitini

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 4 дня назад

      @@zizuzidu9803 mimi sina ubaya na mtu yeyote wala sheikh Fadhil QASEEM

    • @zizuzidu9803
      @zizuzidu9803 4 дня назад

      @@OFFICIALNACHOT.R kama wewe sio mfitinishaji, ni kinyegezi gani kilichokupelekea usambaze haya.

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 4 дня назад

      @zizuzidu9803 mi nimeona mwenzangu Amepost nimeona amepata viewers wengi na mm nimeona heri ni post

  • @zizuzidu9803
    @zizuzidu9803 4 дня назад

    Acha kupiga porojo, jidhihirishe wewe ni nani

    • @OFFICIALNACHOT.R
      @OFFICIALNACHOT.R 4 дня назад

      @@zizuzidu9803 mimi ni HABIIB IBRAHIIM from malindi