- Видео 100
- Просмотров 37 111
HALMASHAURI YA WILAYA YA RUFIJI - RUFIJI DC
Добавлен 26 июл 2020
Видео
TUNAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI WA DARAJA LA MBAMBE
Просмотров 79День назад
TUNAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI WA DARAJA LA MBAMBE
WANANCHI KIWANGA WAHAMASISHANA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA ORODHA YA MPIGA KURA
Просмотров 1021 день назад
WANANCHI KIWANGA WAHAMASISHANA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA ORODHA YA MPIGA KURA
TWENDENI TUKAJIANDIKISHE, ZIMEBAKI SIKU MBILI
Просмотров 1321 день назад
TWENDENI TUKAJIANDIKISHE, ZIMEBAKI SIKU MBILI
NIMEJIANDIKISHA ILI NIMCHAGUE KIONGOZI NINAYEMTAKA
Просмотров 1021 день назад
NIMEJIANDIKISHA ILI NIMCHAGUE KIONGOZI NINAYEMTAKA
TUSISUBIRI KUJIANDIKISHA SIKU YA MWISHO
Просмотров 7321 день назад
TUSISUBIRI KUJIANDIKISHA SIKU YA MWISHO
DC GOWELE: NISISIKIE ASKARI WA HIFADHI ANAKAMATA MWANANCHI KIJIJINI
Просмотров 733 месяца назад
DC GOWELE: NISISIKIE ASKARI WA HIFADHI ANAKAMATA MWANANCHI KIJIJINI
RUWASA KUTEKELEZA MRADI WA MAJI NYAMWAGE, MLOKA
Просмотров 223 месяца назад
RUWASA KUTEKELEZA MRADI WA MAJI NYAMWAGE, MLOKA
UTETE- KINGUPIRA KUJENGWA KWA TABAKA GUMU.
Просмотров 1863 месяца назад
UTETE- KINGUPIRA KUJENGWA KWA TABAKA GUMU.
CHUO CHA VETA RUFIJI CHAFUNGULIWA RASMI, WAZAZI WAHIMIZWA KUPELEKA WANAFUNZI
Просмотров 604 месяца назад
CHUO CHA VETA RUFIJI CHAFUNGULIWA RASMI, WAZAZI WAHIMIZWA KUPELEKA WANAFUNZI
"SERIKALI IMENISAIDIA, MWANANGU ALIKUWA ANAPATA SHIDA"
Просмотров 924 месяца назад
"SERIKALI IMENISAIDIA, MWANANGU ALIKUWA ANAPATA SHIDA"
MASHIRIKA YA TCRS, ACT ALLIENCE, WATOA MSAADA WA MAFURIKO RUFIJI
Просмотров 224 месяца назад
MASHIRIKA YA TCRS, ACT ALLIENCE, WATOA MSAADA WA MAFURIKO RUFIJI
AISHUKURU SERIKALI KWA MISAADA YA VIFAA VYA SHULE
Просмотров 684 месяца назад
AISHUKURU SERIKALI KWA MISAADA YA VIFAA VYA SHULE
GOWELE ALIVYOUNDA KAMATI KUMALIZA MGOGORO WA ARDHI KITONGOJI CHA SIASA NYAMAKULUKULU
Просмотров 1534 месяца назад
GOWELE ALIVYOUNDA KAMATI KUMALIZA MGOGORO WA ARDHI KITONGOJI CHA SIASA NYAMAKULUKULU
GOWELE AKABIDHI CHEREHANI KWA KIKUNDI CHA USHONAJI NGUO IKWIRIRI.
Просмотров 804 месяца назад
GOWELE AKABIDHI CHEREHANI KWA KIKUNDI CHA USHONAJI NGUO IKWIRIRI.
GOWELE AKABIDHI MATENKI YA MAJI SHULE ZA SEKONDARI IKWIRIRI, MAMA SAMIA
Просмотров 774 месяца назад
GOWELE AKABIDHI MATENKI YA MAJI SHULE ZA SEKONDARI IKWIRIRI, MAMA SAMIA
DC GOWELE AKABIDHI VYAKULA, MAFUTA, SABUNI KWA WAHANGA WA MAFURIKO KATA YA MGOMBA
Просмотров 494 месяца назад
DC GOWELE AKABIDHI VYAKULA, MAFUTA, SABUNI KWA WAHANGA WA MAFURIKO KATA YA MGOMBA
'WARUFIJI WATAWAHESHIMU KWA KUBADILISHA MAISHA YAO'-RC KUNENGE
Просмотров 1544 месяца назад
'WARUFIJI WATAWAHESHIMU KWA KUBADILISHA MAISHA YAO'-RC KUNENGE
MADIWANI WAELEZA WALICHOJIFUNZA BAADA YA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAAFA
Просмотров 454 месяца назад
MADIWANI WAELEZA WALICHOJIFUNZA BAADA YA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAAFA
MAFURUKU KUUZA POMBE ZA KIENYEJI NYUMBANI-DC GOWELE
Просмотров 335 месяцев назад
MAFURUKU KUUZA POMBE ZA KIENYEJI NYUMBANI-DC GOWELE
DC GOWELE AFANYA UKAGUZI WA UKARABATI WA MAJENGO CHAKAVU HOSPITALI YA UTETE
Просмотров 635 месяцев назад
DC GOWELE AFANYA UKAGUZI WA UKARABATI WA MAJENGO CHAKAVU HOSPITALI YA UTETE
LIONS CLUB, AL AMEEN, RAFQAT WARUDI TENA KUTOA MSAADA RUFIJI
Просмотров 665 месяцев назад
LIONS CLUB, AL AMEEN, RAFQAT WARUDI TENA KUTOA MSAADA RUFIJI
MKANDARASI ATAKIWA KUKESHA BARABARANI, KUREKEBISHA BARABARA UTETE-NYAMWAGE
Просмотров 2576 месяцев назад
MKANDARASI ATAKIWA KUKESHA BARABARANI, KUREKEBISHA BARABARA UTETE-NYAMWAGE
TAZAMA MAMA ANAVYOCHAPA KAZI ZA KIUME
Просмотров 536 месяцев назад
TAZAMA MAMA ANAVYOCHAPA KAZI ZA KIUME
KANISA LA MWAMPOSA LATOA MSAADA RUFIJI
Просмотров 256 месяцев назад
KANISA LA MWAMPOSA LATOA MSAADA RUFIJI
WANAWAKE WA KIISLAM WAJITOLEA KUUGUZA WAGONJWA WANAOLAZWA KITUO CHA AFYA IKWIRIRI
Просмотров 626 месяцев назад
WANAWAKE WA KIISLAM WAJITOLEA KUUGUZA WAGONJWA WANAOLAZWA KITUO CHA AFYA IKWIRIRI
Utunge.
Kazi ifanyike
Mbunge .mloka umekutupa Sana kweli Balabala mpka leo umeshidwa kusimamia ijegwe
Poleni sana ndugu zangu Mungu aweke wepesi
Izo ni siasa kweny roho za watu
Kazi nzuri Kikubwa Ushirikiano. KAZI IENDELEE.
Mungu hawajaalie utekelezaji mwema.
Uko sahihi wasisitize Wana Rufiji kuwa wavumilivu, usemacho ni kweli Abishae HAIJUI RUFIJI. Ahsante Mkuu. KAZI IENDELEE. Ah
Pole Babu yangu kupitia changamoto hii naamin Serikali yetu itashughurikia , KAZI IENDELEE.
Mkubwa dawa Ahsante kwa kutukimbilia KAZI IENDELEE.
Hakika sisi Rufiji na lindi ndugu kweli, lakin pia tuna udugu wa Utani kwa Makabila yetu, Mungu awabariki. KAZI IENDELEE
Mungu akujaalie kheri na baraka hakika Wana Rufiji tupo na wewe, Kazi Iendelee.
Poleni sana ndugu zangu wa nyumbani kwetu kibiti japo Sasa iv haipo rufiji
Hivi ni kweli mh😮
Ni kweli kabisa
Si kweli
Poleni sana
Mmmhh!!
Naibu waziri wambie wahame hayo maeneo litakuwa ziwa
Wakat usaf unafanuika hayo hayakujulikana nakama yalijulikana mkakati ulikuwa upi ama ndio mmeaza dlama zingine kwai Aflika mbona kilasiku niwanafuzi hayuwajawai kuwa walim
Hapo hakuna wa2 wenye akiri, uwezo wao n mdogo Sana kiutendaji
Manenoooo manenoooo
Washali serikali kuwezesha maji kurudi juu ili maji yasipotee tusiwe na akili mgando wezetu wenye akili hawa wana pumpu juu ili maji yasipotee Sisi blabla tu
ILA MGAO WA UMEME BADO UPO...ILIZO..?????
Washeni hicho kinu kimoja kilichokamilika halafu vifuate hivyo vingine kwa hatua. Hatununui hayo magenerator!
Mazingaombwe yameanza
Kwanini mliyaacha yajae kiasi hicho? Kwanini hakuanza kuyaruhusu kutoka pale tu yalipofika kiwango mnachotaka kufikia hiyo May 25? Wafidieni raia, wengine shughuli zao humo zimebeba mikopo mikubwa, ndoto zao na Hatma ya maisha yao. Mahindi, mpunga, migomba, ufuta, viazi, maboga, mbogamboga nk vilitapakaa bonde lote. Na mlikuwa mnawaona wakiwa wanaanza kulima.
This is fantastic comment on empowering development Hawahofii maisha ya watu watu wengne wana mikopo ya kausha damu
Kwahyo badae mtatuambia bwawa limekauka mbona hamueleweki kama ...............
mheshimiwa Biteko kuwa makini nahawa wanaoitwa wataaramu wakafunguli maji kuliko inavyotakiwa halafu mwezi wa kumi wakwambie kina chamaji kimepungua halafu watu wasione umuhimu wa bwawahilo kuwamacho ikiwezekana nenda uwepo uangalie kinachofanyika magufuri iliweza tanroad kwavile alikuwa hakai ofisi huo ndio ushauri wangu wanyakaziwengi hawajari mambo ya nchi wanajaripesa kuwa mácho
HAPO UKIWAAMBIA WANANCHI KUHAMA YATAANZA YALE YA WAMASAI MARA OOOH TUMAFUKUZWA KWENYE ARIDHI YETU
Sasa nyie nyie ndo mwatuambia tulime.nyie nyie tena mwasema maji ayatakiwi kuchepushwaa.sasa bila ya maji tutalima vipi yani mnatushangaza
Mawazo mazuri mnooo
Asnte MKUU wetu kwa ziara yako iliyobaini changamoto mbalimbali za Barbara yetu kata ya Mbwara tuna Imani zitafanyiwa kazi kwa wakati muafaka Hongera kwa kuchapa kazi
Ikwiriri pazuri.