BORAMEDIA
BORAMEDIA
  • Видео 1 078
  • Просмотров 26 117 337

Видео

ZAMARADI ATUKANWA MATUSI MAZITO NA MDOGO WAKE 'SITAKI UMFANYE MWANANGU MSUKULE'
Просмотров 4,4 тыс.19 часов назад
#Zamara #boramedia
WOLPER AMUWASHIA MOTO MWIJAKU, "NAJUA RICH MITINDO ANAKUTUMA"/NIKOME
Просмотров 1,3 тыс.День назад
#wolper #boramedia
WOLPER ATHIBITISHA NDOA YAKE KUVUNJIKA/AANIKA MACHAFU YOTE YA MUMEWE
Просмотров 1,6 тыс.День назад
#wolper #boramedia
WAWILI WAKAMATWA MAUAJI YA GRAYSON, MAMA WA MTOTO NA CHIEF GODLOVE WAIBUA MAZITO
Просмотров 4,7 тыс.14 дней назад
#grayson #boramedia
KIMENUKA ZUCHU ATUKANWA MATUSI MAZITO, KISA NI HIKI, MAPYA YAIBUKA
Просмотров 12 тыс.14 дней назад
#zuchu #boramedia
ZUCHU AMUOMBA RADHI JUMA LOKOLE, AANIKA MAZITO KATI YAO
Просмотров 3,3 тыс.14 дней назад
#zuchu #boramedia
ZUCHU ADAI NTAMNG'ANG'ANIA DIAMOND MPAKA ANIOE, AMTUPIA DONGO ZITO AALIYAH
Просмотров 15 тыс.14 дней назад
#zuchu #boramedia
KIFO CHA MTOTO GRAYSON MAPYA YAIBUKA, CHIEF GODLOVE ALIA KWA UCHUNGU SANA, NI BABA YAKE ?
Просмотров 26 тыс.14 дней назад
KIFO CHA MTOTO GRAYSON MAPYA YAIBUKA, CHIEF GODLOVE ALIA KWA UCHUNGU SANA, NI BABA YAKE ?
MTOTO AFARIKI DUNIA MAMA AKIWA ANAPONDA RAHA NA MPENZI WAKE
Просмотров 39 тыс.14 дней назад
MTOTO AFARIKI DUNIA MAMA AKIWA ANAPONDA RAHA NA MPENZI WAKE
SHILOLE APATA AIBU KUBWA ALIYEKUA MUMEWE AANIKA MAZITO YA NDANI "SHISHI NDIO ALINITONGOZA,"
Просмотров 14 тыс.21 день назад
#shilole #boramedia
MTOTO WA SHILOLE AFUNGUKA MAZITO, ANAUMIZWA NA SKENDO CHAFU ZA MAMA YAKE
Просмотров 51221 день назад
MTOTO WA SHILOLE AFUNGUKA MAZITO, ANAUMIZWA NA SKENDO CHAFU ZA MAMA YAKE
BABA LEO AJIBU SHUTMA NZITO YA WIZI MAREKANI, ADAI KUFIKISHA WAKAZI MAHAKAMANI
Просмотров 47321 день назад
#babalevo #boramedia
BABA LEVO AKUMBWA NA SHUTMA NZITO YA WIZI, WAKAZI AANIKA MAZITO
Просмотров 53228 дней назад
BABA LEVO AKUMBWA NA SHUTMA NZITO YA WIZI, WAKAZI AANIKA MAZITO
MAZITO YAIBUKA WAZAZI WA KWELI WA JOAN MARTHA MWAIPAJA WAPATIKANA/ MAMBO YOTE HADHARANI
Просмотров 84828 дней назад
#marthamwaipaja #boramedia
AUNT EZEKIEL AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UJAUZITO WAKE "BAÐO MIEZI MINNE NIJIFUNGUE"
Просмотров 8 тыс.Месяц назад
AUNT EZEKIEL AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UJAUZITO WAKE "BAÐO MIEZI MINNE NIJIFUNGUE"
DIAMOND AMUUMBUA WILL PAUL, AWEKA WAZI UKWELI WOTE, NIMELIPWA MILLION 400, ANATAFUTA KIKI TU
Просмотров 322Месяц назад
DIAMOND AMUUMBUA WILL PAUL, AWEKA WAZI UKWELI WOTE, NIMELIPWA MILLION 400, ANATAFUTA KIKI TU
HAPAKALIKI; MAMA DANGOTE NA ZUCHU WAZUA MAPYA/WAPIGANA, ADAI ZUCHU HAWEZI KUOLEWA NA DIAMOND
Просмотров 5 тыс.Месяц назад
HAPAKALIKI; MAMA DANGOTE NA ZUCHU WAZUA MAPYA/WAPIGANA, ADAI ZUCHU HAWEZI KUOLEWA NA DIAMOND
MKE WA BARNABA AANIKA MAZITO "NIMECHOKA NAOMBA TALAKA YANGU"/ MWANAUME MUHUNI SANA WEWE
Просмотров 892Месяц назад
MKE WA BARNABA AANIKA MAZITO "NIMECHOKA NAOMBA TALAKA YANGU"/ MWANAUME MUHUNI SANA WEWE
KESI YA BINTI ALIYELAWITIWA WANNE WADAKWA, ALIYEWATUMA, UKWELI WOTE WAJULIKANA
Просмотров 2,5 тыс.4 месяца назад
KESI YA BINTI ALIYELAWITIWA WANNE WADAKWA, ALIYEWATUMA, UKWELI WOTE WAJULIKANA
DIVA AMWAGA MAZITO YA NDANI ABDULRAZACK AAIBIKA VIBAYA
Просмотров 5 тыс.4 месяца назад
DIVA AMWAGA MAZITO YA NDANI ABDULRAZACK AAIBIKA VIBAYA
PAULA AJIFUNGUA MARIOO ATHIBITISHA
Просмотров 1,7 тыс.8 месяцев назад
PAULA AJIFUNGUA MARIOO ATHIBITISHA
SARAH WA DIAMOND AELEZEA JINSI DIAMOND ALIVYOMPIGA TUKIO ZITO
Просмотров 49 тыс.8 месяцев назад
SARAH WA DIAMOND AELEZEA JINSI DIAMOND ALIVYOMPIGA TUKIO ZITO
KAJALA AMUOMBA MSAMAHA P FUNK MAJANI, WAKUMBATIANA MBELE YA MKEWE
Просмотров 8 тыс.8 месяцев назад
KAJALA AMUOMBA MSAMAHA P FUNK MAJANI, WAKUMBATIANA MBELE YA MKEWE
WEMA SEPETU NA WHOZU MAMBO HADHARANI, NDOA YAO KUFUNGWA HIVI KARIBUNI
Просмотров 2,7 тыс.9 месяцев назад
WEMA SEPETU NA WHOZU MAMBO HADHARANI, NDOA YAO KUFUNGWA HIVI KARIBUNI
WEMA AMSAMEHE WHOZU,FAMILIA YAKE WAMJIA JUU "HATUMTAKI KABISA HUYO WHOZU"
Просмотров 3,8 тыс.9 месяцев назад
WEMA AMSAMEHE WHOZU,FAMILIA YAKE WAMJIA JUU "HATUMTAKI KABISA HUYO WHOZU"
KUMEKUCHA: RESTY AELEZA UNYAMA WOTE ALIOFANYIWA NA NIFFER
Просмотров 3,8 тыс.9 месяцев назад
KUMEKUCHA: RESTY AELEZA UNYAMA WOTE ALIOFANYIWA NA NIFFER
WOLPER KUVUNJA NDOA YAKE KISA MWANAMKE HUYU/ ATHIBITISHA KULALA NA MUMEWE
Просмотров 8 тыс.9 месяцев назад
WOLPER KUVUNJA NDOA YAKE KISA MWANAMKE HUYU/ ATHIBITISHA KULALA NA MUMEWE
MANGE AMVUA NGUO MUME WA NIFFER/ 'MWANAUME BWEGE WEWE UNALELEWA'
Просмотров 9 тыс.9 месяцев назад
MANGE AMVUA NGUO MUME WA NIFFER/ 'MWANAUME BWEGE WEWE UNALELEWA'
FAMILIA YA WEMA SEPETU YAMPELEKA WHOZU MAHAKAMANI
Просмотров 13 тыс.10 месяцев назад
FAMILIA YA WEMA SEPETU YAMPELEKA WHOZU MAHAKAMANI

Комментарии

  • @bibiejuma5094
    @bibiejuma5094 2 дня назад

    Ata Yusuphu waliomdumbukiza kisimani ni ndugu zake wa damu tuzingatie msemo huu

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 3 дня назад

    Tumsubiri zamaradi na yeye aongeee

  • @halimasalim5477
    @halimasalim5477 4 дня назад

    Sawa

  • @PendoIsaya-ot4qo
    @PendoIsaya-ot4qo 4 дня назад

    dooh ila ndoa hiz 🙌

  • @blessedaggie9159
    @blessedaggie9159 5 дней назад

    Ndo huyu alimnunulia gari?

  • @rosemarynitwa2498
    @rosemarynitwa2498 5 дней назад

    Hivi ugomvi na ndugu mpk muulete huku kwenye mitandao? Hapana hii sio kabisa!

  • @eunicewangila2326
    @eunicewangila2326 6 дней назад

    Humu nchini bado watu wanatapeliana,wanakuchekea usoni ila rohoni

  • @stellatemu2458
    @stellatemu2458 6 дней назад

    Jmn msiachane mnapendezana

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 6 дней назад

    Kupenda kuchafua watumishi WA Mungu uyo mtumishi ana mke na watoto wake unafiki Tu jaki Baki na mumeo wapeke yako uwezi kupata labda ununue mdoli

    • @naplousemukunzi10
      @naplousemukunzi10 5 дней назад

      Jacky alitafuta pesa zamani We hauoni alivo tembea na kila musani wa bongo?

  • @samwa9496
    @samwa9496 6 дней назад

    Msituchoshe na kiki zenu za kijinga

  • @sharifamunisi4378
    @sharifamunisi4378 6 дней назад

    Miwani kama kobe

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 6 дней назад

    Wow am happy to hear this voice again, well come back

  • @Mamaboys-m7x
    @Mamaboys-m7x 7 дней назад

    Naamin anaongea kwa hasira na uchungu Aliokuwa nao lakin Mwenyezi mungu ameharamisha kumkataa ndugu yako wa kuzaliwa nae but kuna kitu nyuma ya huyu mdada zama alifanya for good hakunaga dada anaetaka mdgo wake aharibikiwe

    • @leehhams5393
      @leehhams5393 6 дней назад

      @Mamaboys-m7x kuna madada hawapendi wadogo zao wawazidi. Hao madada wapo na wanaumizs ndugu zao sana.

  • @vero57
    @vero57 7 дней назад

    Hayo mafuta bei gani ,?? Mpaka aweze kujenga nyumba kama ile?? Kutakua na sponsor kabisa hapo no question!!!!!

  • @KamisaRamdan
    @KamisaRamdan 7 дней назад

    Richi ni mwanaume tena kindume kwamwonekano mdongo ila kwa hakili na mazungumuzo Yake nikidume🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @StellaShirima-t4x
    @StellaShirima-t4x 7 дней назад

    Richi ni mstarabu sana bonge lamume

  • @FurahaCosmas
    @FurahaCosmas 7 дней назад

    Hz skendo n ngum moton mtaenda weng

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 7 дней назад

    MANGE KIMAMBI IPOWAPI? KANURUSIKA

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 7 дней назад

    Ni kkkkkk masupastar wa Tazania wanaishi kwa kkkkkkkkk

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 7 дней назад

    Majuto tena si mketema...... sipendi ndugu wakigombana japo kuna wengine hawavumiliki.poleni sana Mungu awafanyie wepesi in sha Allah

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 7 дней назад

    Itakua ni kweli jack kwa biashara gn anayoifanya adi kujenga hile nyumba😅

  • @KkhamisKha
    @KkhamisKha 7 дней назад

    DC kam DC umemchana kiukwer mjengo uuzwe kila mtu achukue chake 😂😂😂😂😂 Huyo ndio rich sio hamones

  • @KkhamisKha
    @KkhamisKha 7 дней назад

    Mali zinamchanganya mdada

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 7 дней назад

    acheni kuwachafua watumishi wa Mungu

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 7 дней назад

    Wacheni kujidhalilisha mitandaoni.Damu nzito kuliko maji. Malizeni tofauti zenu nyumbani mkiwa mmefunga milango.🙄.

  • @AssaniAlly
    @AssaniAlly 7 дней назад

    Umeongea ukweli mujak

  • @CATHERINEWANZAUMUTISO
    @CATHERINEWANZAUMUTISO 7 дней назад

    True akuna divorce

  • @leehhams5393
    @leehhams5393 7 дней назад

    Mimi namuelewa huyu dada.kuna wakati tunaumizwa sna na ndugu zetu tuliowaamini tunatamani tu dunia ijue ukwel manaa unakuta huyu dada anapakaziwa mabaya kila kona.

  • @Shadia544
    @Shadia544 7 дней назад

    Kumekucha tena huyo mchungaji tena katoka wapi jamaniii 😂😂😂😂Ila walimwengu jamaniii haya Sie tupo😂😂

  • @Aminah-i9p
    @Aminah-i9p 7 дней назад

    Mitandao imeleta shida hawa mabinti, hawana wazazi hivi haya NI malezi ya ndugu,daah tumefika mbali Sana,hii ni balaa ndugu moja,,mitandaoni,,mambo kama movie hivi

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 7 дней назад

    Wewe sara ulipendwa .....namuda wako uliisha hebu muacheni mwenzenu mh

  • @ElinahStephano
    @ElinahStephano 8 дней назад

    Kwann msimalizane wenyewe jmn

  • @diksonswairoman5689
    @diksonswairoman5689 8 дней назад

    Ndugu yako ndo adui yako ulikuwa ujuiii😂😂

  • @zr7808
    @zr7808 8 дней назад

    Shauri kwangu kwa dada na kaka zetu, si bustara kutowa ugonvi wenu ku social media haifai kabisa. Mimi siwajui lakini naona vibaya kutowa ugonvi wenu hazarani😢

  • @benosilwani5208
    @benosilwani5208 8 дней назад

    Tuanzie wap jmn kwa Bite au zama mbn mwaka uko speed sana

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 8 дней назад

    Bite na Mather huku zamaradi na mdg wake, jamani,amani na iwe kwenu,nawatia moyo,siku hizi ndugu wengi hawaelewani maadili yamepotea upendo nao unasua sua

    • @madamharrieth9453
      @madamharrieth9453 3 дня назад

      Afu Kuna mie na Dada angu naomba mungu anitie nguvu hii situation ni ngumu nimeshindwa kwa moyo huyu wa nyama

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 8 дней назад

    Naona mabichwa tu 😂😂😂😂

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 8 дней назад

    Mtihani

  • @ZaitunJuma-l5p
    @ZaitunJuma-l5p 8 дней назад

    Mh jaki akae t atulizane. Yn huku mkoani kwetu mwanaume anachit kila CK n yupo kwenye ndoa n humfany kitu na nakwambia hauli n anachit na wanawake zaidi y mmoja.

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 8 дней назад

    Wandugu wakigombana shika jembe ukalimeeee wakipatana chukuwa gunia ukavune hauna point

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 8 дней назад

      Ni kweli kabsa yaani bora wangemalizana ndani tu, em asituchoshe.

    • @Mikeys-m9w
      @Mikeys-m9w 8 дней назад

      😅 Tuna yetu yametushinda ​@@humbleshoal

  • @RayChausa-g6m
    @RayChausa-g6m 8 дней назад

    Waaaa kazi ipo

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 9 дней назад

    Usahau kuolewa

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 9 дней назад

    Anochamba wenzake ujuwe ni Mwanakharamu hamjuwi Baba yake. Wa Bongo mtapata tabu kwa lugha ya kiswahili ya Zuchu.... Kiswahili kinakushindeni. Mtangazaji wacha kutia sumu baida ya Watu... Kwani kila anopendwa huolewa???? Wangeolewa wengi basi.

  • @alrahbialrahbi277
    @alrahbialrahbi277 9 дней назад

    Diamo hakae na wanawake

  • @susans4490
    @susans4490 9 дней назад

    Miezi sita anajua kuna mwenziwe na hajaacha 😂😂😂ndo maana akaonyeshewa

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 9 дней назад

    Mazito

  • @humbleshoal
    @humbleshoal 9 дней назад

    Jamani huyu dada mtangazaji nilimisi sauti yake.

  • @PendoIsaya-ot4qo
    @PendoIsaya-ot4qo 10 дней назад

    ila mwijaku hana akir kabisa 😂😂😂kwan kuzaa ndo nn watu wanazaa watoto sita nawanaachana sembuse wao watoto wawili mwijaku alfu nyumba niya jack si richi🙌

  • @OfficialPachelie
    @OfficialPachelie 10 дней назад

    Uuum kwanini ndoa za tanzania hazidumu😮

  • @Shadia544
    @Shadia544 10 дней назад

    😂😂😂HII dunia inamengi sana 😂😂😂