Rakims Spiritual
Rakims Spiritual
  • Видео 109
  • Просмотров 1 378 151
Nyota Kweli zaidi
Katika mlolongo wa makundi nyota 12 basi ipo nyota ambayo ni kweli zaidi, Kuliko nyota zingine.
Fuatilia katika video hii kuweza kuijua zaidi
Просмотров: 520

Видео

Mussa na Waganga (Experience) 1
Просмотров 81514 дней назад
Hii ni video inayoonyesha kisa cha yaliyomkuta Mussa katika safari yake ya kutafuta mafanikio
Njia Rahisi zaidi ya Kuita JINI | SAL SAL
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
Katika video hii utajifunza namna sahihi ya kuweza kuita jini. Ambayo haitakukera wewe wala Jirani ulionao. Rakims S.
Nyota yenye BAHATI zaidi
Просмотров 1 тыс.21 день назад
Katika video hii utaitambua ni ipi nyota yenye BAHATI zaidi katika mfumo wa makundi nyota 12. Rakims Spiritual
Jinsi ya kusoma AURA | Nguvu za Miujiza
Просмотров 4,5 тыс.3 месяца назад
Aura ni nini? Katika video hii nitakuelekeza juu ya Aura, Aura ni Miale au Nuru inayomzunguka kiumbe hai kwa maelekezo zaidi fuatilia playlist hii chini. #rakimsspiritual #aura #nyota #meditation
Nyota yenye MAPENZI Zaidi? | Kila NYOTA ina NGUVU yake.
Просмотров 3 тыс.3 месяца назад
#nyota #rakimsspiritual ruclips.net/video/LqBpml6Vf9w/видео.html Yaliyomo 0:00 Intro 0: 45 Sifa za nyota? 2:05 Ni nyota gani hii? Katika Video hii utaifahamu ni ipi nyota yenye Mapenzi zaidi kuliko nyota zote 12. Kila nyota ina sifa yake, Lakini katika sifa ya mapenzi ni hii. Rakims S.
Nyota MAKINI zaidi? | Kila NYOTA ina NGUVU yake.
Просмотров 1,7 тыс.3 месяца назад
#Rakimsspiritual #nyota ruclips.net/video/_rOsgPJ_UfU/видео.html Yaliyomo 0:00 Intro 1:30 Tarehe zao za kuzaliwa. Nyota makini zaidi ni nyota gani? Hii ni nyota ambayo inashikilia nafasi ya kwanza kwa kuwa nyota makini zaidi. Fuatilia katika video hii kuweza kuijua ni nyota gani. Rakims S.
Jicho la tatu. (Sheria & Taratibu) 2..
Просмотров 2,6 тыс.3 месяца назад
#rakimsspiritual #playlist Sheria & Taratibu: 1:2 HAKUNA KUUNDA PICHA, HAKUNA KUDHANI PICHA, UELEWA PEKEE Basi katika sheria na taratibu ya pili ambayo ni muhimu kabisa katika jicho la tatu basi tunaona kwamba mtu mwenye kufungua jicho la tatu kuna mambo ambayo hatakiwi kuyafanya ikiwa ni pamoja na: Kutokuunda picha katika akili yake. Kutokudhania picha kwenye fikra yake. Ikiwa kwenye mazoezi y...
Jicho la Tatu ni nini? Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu? (Third Eye) Part 2.
Просмотров 4,1 тыс.3 месяца назад
#Rakimsspiritual #Jicholatatu #meditation #Chakra Jicho la Tatu ni nini? Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu? (Third Eye) Chakra ya SITA Part 2. ruclips.net/video/QY05ncfTYZ0/видео.html ▬▬▬▬ Yaliyomo kwenye video hii ▬▬▬▬. 00:00 Intro 03:26 Muongozo wa Jicho la tatu ni nini? 12:10 Jicho la tatu ni nini? (Chakra ya ngapi) 12:30 Chakra zipo ngapi? 13:31 Hatari ya Jicho la tatu? 14:40 Jicho la tatu ni...
Jinsi ya KUFUNGUA Jicho la Tatu. Hatua kwa Hatua (Sheria & Taratibu) 1.
Просмотров 8 тыс.3 месяца назад
#rakimsspiritual #meditation Jinsi ya KUFUNGUA Jicho la Tatu. Hatua kwa Hatua (Sheria & Taratibu) 1. Ikiwa bado hujafahamu jicho la tatu ni nini basi rejea katika video hii; ruclips.net/video/d28kmELtC24/видео.html Na ikiwa unahitaji kujua zaidi kuhusu Mafunzo zaidi ya jicho la tatu basi bonyeza hapa: www.youtube.com/@Rakims-S?sub_confirmation=1 Katika Video hii utajifunza Jinsi ya KUFUNGUA Jic...
Nyota tajiri zaidi?
Просмотров 4,3 тыс.3 месяца назад
#rakimsspiritual #nyota YALIYOMO 0:00 Intro 0:30 Nyota tajiri zaidi Ipi nyota yenye pesa zaidi? ruclips.net/video/VGCDO6Pjwko/видео.html Nyota ya Bahati zaidi ruclips.net/video/j8jPllxUlY8/видео.html Rakims S.
Nyota yenye utukufu zaidi?
Просмотров 3,9 тыс.3 месяца назад
#rakimsspiritual #nyota
Jinsi ya ku MANIFEST JAMBO na matumizi ya BARAHATIYAH 1 (feedback)
Просмотров 1,1 тыс.3 месяца назад
Katika video hii utaskiliza experience ya mwanafunzi wa group ya Majina ya Barahatiyah, Ikiwa ni pamoja na Mwanafunzi wa meditation katika Experience zao kwenye nguvu za kiroho. Rakims Spiritual ni channel yenye group 3 pekee zilizobakia hivyo kama unahitaji kujiunga ni bora ukajiunga mapema sana. ▬▬▬▬ Yaliyomo kwenye video hii ▬▬▬▬. 0:00 Intro 1:36 Manifestation Unaweza kujiunga nasi kwenye Gr...
Jinsi ya kuMANIFEST JAMBO na matumizi ya BARAHATIYAH 2 (feedback)
Просмотров 1,2 тыс.3 месяца назад
Jinsi ya kuMANIFEST JAMBO na matumizi ya BARAHATIYAH 2 (feedback)
Nyota yenye AKILI zaidi!
Просмотров 8 тыс.3 месяца назад
Nyota yenye AKILI zaidi!
Nyota yenye Pesa zaidi!
Просмотров 8 тыс.3 месяца назад
Nyota yenye Pesa zaidi!
Jinsi ya kusafisha nyota (Feedback)
Просмотров 1,1 тыс.4 месяца назад
Jinsi ya kusafisha nyota (Feedback)
Jinsi ya kuita Jini (Feedback)
Просмотров 1,3 тыс.4 месяца назад
Jinsi ya kuita Jini (Feedback)
Aliyeita Jini wa Kike!
Просмотров 1,8 тыс.4 месяца назад
Aliyeita Jini wa Kike!
Nyota yenye NGUVU zaidi?
Просмотров 10 тыс.4 месяца назад
Nyota yenye NGUVU zaidi?
Jinsi ya kupata mali 2.
Просмотров 6 тыс.4 месяца назад
Jinsi ya kupata mali 2.
Aliyeita Jini | Link ya Group chini | Hakutakuwa na feedback tena
Просмотров 1,1 тыс.4 месяца назад
Aliyeita Jini | Link ya Group chini | Hakutakuwa na feedback tena
Aliyeita jini Salsal 2
Просмотров 2,9 тыс.4 месяца назад
Aliyeita jini Salsal 2
Jinsi ya kujua nyota | Unajimu
Просмотров 7 тыс.4 месяца назад
Jinsi ya kujua nyota | Unajimu
Kitabu cha Maarifa | Kitabu kimoja faida zaidi ya 1,000
Просмотров 1,4 тыс.5 месяцев назад
Kitabu cha Maarifa | Kitabu kimoja faida zaidi ya 1,000
Jinsi ya kupata Mali | Jinsi ya kufanikiwa
Просмотров 2,6 тыс.5 месяцев назад
Jinsi ya kupata Mali | Jinsi ya kufanikiwa
Matokeo ya Aliyeita Jini Sal Sal
Просмотров 4 тыс.5 месяцев назад
Matokeo ya Aliyeita Jini Sal Sal
Hekima Za Rakims Spiritual Outer Space
Просмотров 1,1 тыс.5 месяцев назад
Hekima Za Rakims Spiritual Outer Space
Madini ya Titanium | Njia Za Mafanikio
Просмотров 1,4 тыс.6 месяцев назад
Madini ya Titanium | Njia Za Mafanikio
Jinsi ya kuita Jini | Kupata utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya Kufanikiwa
Просмотров 18 тыс.7 месяцев назад
Jinsi ya kuita Jini | Kupata utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya Kufanikiwa

Комментарии

  • @SirajeSalum
    @SirajeSalum Час назад

    Nisaidie mpaka iwe jumamosi au na siku za kawaida

  • @SirajeSalum
    @SirajeSalum Час назад

    Siku za kawaida siwezi kuita

  • @SirajeSalum
    @SirajeSalum Час назад

    Nisaidie naweza kumuita siku yoyote au

  • @SirajeSalum
    @SirajeSalum Час назад

    Naweza kumuita siku yoyote au au mpaka jumamosi tu

  • @DinoDeuce-o1q
    @DinoDeuce-o1q 2 часа назад

    Kaka ninashida ya manikio niongoze kaka nishatapeliwa sana

  • @JudithHenry-x7l
    @JudithHenry-x7l 5 часов назад

    Mwalimu mwanzoni nikitaka kufungua naona kama vile napaa flani ivi

  • @BakariHasan-x8g
    @BakariHasan-x8g 12 часов назад

    Sijakuelewa kabisa Yan

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual 11 часов назад

      Tuliza kichwa, utaelewa usiwe na haraka

  • @edgarkataiwa2202
    @edgarkataiwa2202 День назад

    💪

  • @HaikaMtei
    @HaikaMtei День назад

    Rakim mi nilifanya meditation nikaskia kama tumbo langu linavutwa kuelekea juu mara kifua kikabana mapigo ya moyo yakawa kwa Kasi nikajiskia vibaya mara koo likaziba nikashindwa kupumua mara nikaskia mgandamizo kwa kichwa nikajarib kumeza mate ile kitu ikarud kweny Koo likawa gumu napumua kwa shida nikawa kweny hiyo hali kama lisaa limoja jee nilikosea wapi?

  • @MorfanMorfan
    @MorfanMorfan День назад

    Kaka vp naomba unicheki kwa namba 0699695323 tafadhali nakuomba

  • @IssaMsobi
    @IssaMsobi День назад

    Mieee naitak kuogea nawewe maana ninashida kubwa

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual День назад

      Karibu kwa mawasiliano nasi unaweza kutuandikia kupitia Email

  • @MaalimSimba
    @MaalimSimba День назад

    Naomba niungwe ktk group

  • @Athumani-z7x
    @Athumani-z7x День назад

    Mwalim Leo usik nimeota Nik kwenye meditation state then jicho la tatu likafunguka nikaanza kupata Kama mateso mara astral projection nikaanza experience na nikaota mjomba wang analia nikishtuka kweli analia je hii ndoto inamaanisha nini mwalimu

  • @MusaDoto-g4h
    @MusaDoto-g4h 2 дня назад

    Mkuu mbona ukiangalia nyota kupitia tarehe na kupitia jina zinakuja nyota tofuti

  • @abelmlandali1894
    @abelmlandali1894 2 дня назад

    Nawezapata namba zako?

  • @ShinunaMohd-l7s
    @ShinunaMohd-l7s 2 дня назад

    Unawez kufungua jicho la tatu upo period mwalim

  • @hawandosi2500
    @hawandosi2500 3 дня назад

    naona nyeupe inayongaa inakuja na kupotea

  • @ShinunaMohd-l7s
    @ShinunaMohd-l7s 3 дня назад

    Nge tujuane

  • @ShinunaMohd-l7s
    @ShinunaMohd-l7s 3 дня назад

    Woyooo

  • @SimbilaDyeshi
    @SimbilaDyeshi 3 дня назад

    Tupo pamoja mwalimu rakims s

  • @TeddyMinja-fp8mg
    @TeddyMinja-fp8mg 3 дня назад

    Ni kweli😂

  • @sabrinahomary390
    @sabrinahomary390 3 дня назад

    Alhamdulillah unajua Allah akujaalie umri mref na moy wa kutoa ulich jaaliwa🙏

  • @BENDidier-c6c
    @BENDidier-c6c 4 дня назад

    Asanteni mwalimu.❤ Kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 4 дня назад

    Alhamdulillah nimesikia sauti yako ntapata usingizi ❤

  • @johnsonpeter5308
    @johnsonpeter5308 4 дня назад

    Rakims spiritual Ukweli na Uhakika

  • @RazakiYusuph
    @RazakiYusuph 4 дня назад

    Shukrani sanaa Mwalimu Mwenyezimungu azidi kukufanyia wepesi na akujaalie Afya Umri mrefu na Nuru ya macho Tuzidi kupata Maarifa kutoka kwako Inshallah

  • @giftboy4597
    @giftboy4597 4 дня назад

    Ng ombe na samaki zinafaa kwa ndoa

  • @HAMISIMOHAMEDLINJENDE
    @HAMISIMOHAMEDLINJENDE 4 дня назад

    Sawa shehe

  • @EgespoMlyuka-v8x
    @EgespoMlyuka-v8x 4 дня назад

    Samahani ustadh mimi ni mfatiliaji wa masomo yako ila nimeipenda sana somo la kuitia majini kwa sababu mimi ni mchimbaji wa midi 15:50 ni kwahiyo naomba namba yakoo zako

  • @ShinunaMohd-l7s
    @ShinunaMohd-l7s 4 дня назад

    Minaomb niulize ukifimb macho unasema maneno gani

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS 4 дня назад

    Nakupataje sas kaka naitaji kusafisha nyota

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS 4 дня назад

    Kaka samahn naomba nambaako

  • @SerinaMasika
    @SerinaMasika 5 дней назад

    Naomba nijiunge

  • @SonniaShii
    @SonniaShii 5 дней назад

    Asanti sana barikiwa

  • @PhilipoDaudDeus
    @PhilipoDaudDeus 5 дней назад

    Mussa homeboy kabisa kutoka geita - katoro 👍 Kiukweli kufanikiwa siyo kazi ndogo, nikumuomba mwenyezi mungu akukutanishe na mtu ambae ni sahihi. Tunahitaji mwenyezi mungu na watu sahihi ili tuweze kuyafikia mafanikio ya aina yeyote. Mwenyezi mungu huwatumia watu katika mafanikio usisahau hilo🙏

  • @AziziRashid-x8f
    @AziziRashid-x8f 6 дней назад

    😂😂😂

  • @KhamisiKhiza-g1f
    @KhamisiKhiza-g1f 6 дней назад

    Akuna lolote kama ingekuw kweli kwanin usimwite wew mwenyewe akupe pesa ili uache kuangaika n mitandao

  • @SerinaMasika
    @SerinaMasika 6 дней назад

    Asalamu Aleykumu mwalimu wetu naomba yako ninashida Sana wewe

  • @kingstonekingstar
    @kingstonekingstar 6 дней назад

    Naomba namba yako

  • @Gjcg...Adidjajojo
    @Gjcg...Adidjajojo 7 дней назад

    Asalam aleykum mwalim asant ila kama hutojal naomba namba yako pls

  • @AishaButati
    @AishaButati 7 дней назад

    ❤❤❤

  • @Dickson.254
    @Dickson.254 7 дней назад

    Huwa mnamwita aji

  • @allyjafari8886
    @allyjafari8886 7 дней назад

    Je hii meditation ya kufungua jicho la tatu tunatakiwa kufumba macho au tunafumbua