- Видео 26
- Просмотров 107 006
Unabii choir Bukoba sda 2023
Добавлен 18 фев 2023
Видео
JIHUSISHE ☆☆ UNABII CHOIR BUKOBA SDA (OFFICIAL VIDEO)
Просмотров 5074 месяца назад
JIHUSISHE ☆☆ UNABII CHOIR BUKOBA SDA (OFFICIAL VIDEO)
HATIMAYE NYUMBANI~ UNABII CHOIR BUKOBA [OFFICIAL VIDEO]
Просмотров 6964 месяца назад
HATIMAYE NYUMBANI~ UNABII CHOIR BUKOBA [OFFICIAL VIDEO]
TUKITAZAMA RAMANI~ UNABII CHOIR BUKOBA[OFFICIAL VIDEO]
Просмотров 9666 месяцев назад
TUKITAZAMA RAMANI~ UNABII CHOIR BUKOBA[OFFICIAL VIDEO]
KAA TAYARI IFIKAPO MAY 26. 2024 ALBAM HII ITAKUFIKIA MBASHARA. KAZI NZURI SANA UTABARIKIWA MNO.
Просмотров 3708 месяцев назад
KAA TAYARI IFIKAPO MAY 26. 2024 ALBAM HII ITAKUFIKIA MBASHARA. KAZI NZURI SANA UTABARIKIWA MNO.
PUMZIKO BY UNABII CHOIR BUKOBA SDA ( Official video)
Просмотров 1,2 тыс.10 месяцев назад
PUMZIKO BY UNABII CHOIR BUKOBA SDA ( Official video)
HATULEGEI~UNABII CHOIR BUKOBA SDA[Official video]
Просмотров 1 тыс.11 месяцев назад
HATULEGEI~UNABII CHOIR BUKOBA SDA[Official video]
ATAPE ~ UNABII CHOIR BUKOBA SDA( OFFICIAL VIDEO)
Просмотров 2,3 тыс.Год назад
ATAPE ~ UNABII CHOIR BUKOBA SDA( OFFICIAL VIDEO)
DORCAS _UNABII CHOIR BUKOBA SDA (Official video)
Просмотров 717Год назад
DORCAS _UNABII CHOIR BUKOBA SDA (Official video)
LUSIFA // UNABII CHOIR BUKOBA SDA ( OFFICIAL VIDEO)
Просмотров 2,8 тыс.Год назад
LUSIFA // UNABII CHOIR BUKOBA SDA ( OFFICIAL VIDEO)
BADO KITAMBO BY UNABII CHOIR BUKOBA SDA 2023 《OFFICIAL VIDEO 》contact us:+255629954346
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
BADO KITAMBO BY UNABII CHOIR BUKOBA SDA 2023 《OFFICIAL VIDEO 》contact us: 255629954346
Unabii choir Bukoba sda 2023 Live Stream
Просмотров 500Год назад
Unabii choir Bukoba sda 2023 Live Stream
UNABII CHOIR BUKOBA SDA// DORCAS LIVE PERFORMANCE- CAMP MEETING NKWENDA KARAGWE
Просмотров 1,5 тыс.Год назад
UNABII CHOIR BUKOBA SDA// DORCAS LIVE PERFORMANCE- CAMP MEETING NKWENDA KARAGWE
MZABIBU-UNABII CHOIR BUKOBA SDA(( OFFICIAL VIDEO))contact us +255629954346
Просмотров 2,3 тыс.Год назад
MZABIBU-UNABII CHOIR BUKOBA SDA(( OFFICIAL VIDEO))contact us 255629954346
EWE ROHO~UNABII CHOIR BUKOBA SDA 2023( OFFICIAL VIDEO). contact us:+255629954346
Просмотров 1,7 тыс.Год назад
EWE ROHO~UNABII CHOIR BUKOBA SDA 2023( OFFICIAL VIDEO). contact us: 255629954346
MLANGO WA REHEMA~UNABII CHOIR BUKOBA SDA2023 ( OFFICIAL VIDEO) contact us: +255629954346.
Просмотров 11 тыс.Год назад
MLANGO WA REHEMA~UNABII CHOIR BUKOBA SDA2023 ( OFFICIAL VIDEO) contact us: 255629954346.
NI KITU GANI_ UNABII CHOIR BUKOBA SDA2023 (OFFICIAL VIDEO) for more contact us +255629954346
Просмотров 58 тыс.Год назад
NI KITU GANI_ UNABII CHOIR BUKOBA SDA2023 (OFFICIAL VIDEO) for more contact us 255629954346
TUNATAKA NYAMA// UNABII CHOIR BUKOBA SDA 2023 ( OFFICIAL VIDEO ) Dir. LabanPro
Просмотров 13 тыс.Год назад
TUNATAKA NYAMA// UNABII CHOIR BUKOBA SDA 2023 ( OFFICIAL VIDEO ) Dir. LabanPro
Jaman watu wa unabii mbarikiwe sana tunapenda kazi yenu
❤
Duh kwa kweli wimbo mzuri sana
Barikiwa sana unabii. Mungu awazidi kuwatia nguvu
Amen, mbarikiwe sana
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri. Binafsi nabarikiwa kwa nyimbo hizi.
Bwana Atukuzwe katika huduma hii takatifu. Mungu Awabariki sana, na nimewamithiiii❤
Bwana awabariki kwaya ya unabii muishi maisha marefu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤
Amen mbarikiwe wapendwa wasafiri wa Mbinguni. Hongera kwako Mchungaji wangu Mr.Mutulah hi kwao Bukoba.
Unabii choir songeni mbele,,, kaka Mbaga nafurahi kukuona
Amina
Barikiwa sana unabii choir
Barikiwa pia mtu wa Mungu
Hongeren kwa wimbo mzuri, safi sana Andrew nakuona Mungu awainue zaid na zaidi
Amina. Tunathamini mchango wako
Ásante sana wimbo mzuri sana. Mbarikiwe
Amina nawe ubarikiwe pia
Be blessed home travelers
Amen. The same to you.
Barikiwa wajoli wa baba
Amina, ubarikiwe pia mjoli
🔥🔥 mbarikiwe kwa wimbo mzuri
This song soothes my heart. May God shower blessings upon you😇
Amina
Mungu atukuzwe kwa kazi zenu
Wimbo mzuri sana mbarikiwe sana
Barikiwa sana ❤❤
Aminaaa nabarikiwa
Mwende mbali watumishi wa Mungu akiwepo kijana wangu barikiwa sana
Blessings over blessings... Mbarikiwe sana
Waoh
Mbalikiwe sana
Barikiwa sana Unabii Choir.
Well done my church choir
Barikiwen hakika Kazi ya Bwana iendelee kuvuka kipaka hadi mipaka
Amina
Tunabarikwa
Mbarikiwe sana, kwaya yangu ya utotoni, enzi za washa moto ufanye kazi😊
Jina la Bwana lipewe sifa na utukufu
Amina barikiwa sanaa
Mbarikiwa sana
Can’t wait
Waooooooooooooooooooo Amina Amina Amina
Albam ya Nikikumbuka Edeni haipatikani popote, na nyimbo zake ni one of the best
Nawaona barikiwa
Kuna raha sana siku ya sabato. Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri.
Amina. Tubarikiwe sote
Mbarikiwe sana
Barikiwa sana Unabii choir, nyie ni waviwango
Amina. Nawe ubarikiwe pia
Barikiweni watu wa Mungu.
Amina Mungu awatie nguvu
Mungu na awabariki saana kwa wimbo
Counting the blessings be blessed
Amen Mungu awabariki sana
Amina. Ubarikiwe pia mtu wa Mungu
Ameen!!.....
Hakika BWANA DUMU KUTUPA NGUVU NA UJASIRI KTK KAZI HII YA UTUME
Amina mbarikiwe sana mzidi kusonga mbele 🙏
Be blessed ❤❤❤
Amina. ❤ tufanye kazo ya Bwana kwa nguvu zote
❤❤❤❤❤ nawapenda unabii
Tunakupenda pia