Mtembezionline
Mtembezionline
  • Видео 65
  • Просмотров 1 065 889

Видео

Rais atoa neno Kwa Watu Wa Arusha
Просмотров 3507 лет назад
Rais atoa neno Kwa Watu Wa Arusha
Sifa zinazoambatana na Wahaya wakiwa na uwezo wa kimaisha
Просмотров 14 тыс.7 лет назад
Sifa zinazoambatana na Wahaya wakiwa na uwezo wa kimaisha
Uhusiano kati ya Wahaya na waganda
Просмотров 17 тыс.7 лет назад
Uhusiano kati ya Wahaya na waganda
Utofauti kati watu wa kabila la wahaya na makabila mengine
Просмотров 5 тыс.7 лет назад
Utofauti kati watu wa kabila la wahaya na makabila mengine
Wahaya kwanini hawawezi kufanya kazi ngumu
Просмотров 8 тыс.7 лет назад
Wahaya kwanini hawawezi kufanya kazi ngumu
Wahaya wanavyoishi na utaratibu wao kwenye Maisha
Просмотров 11 тыс.7 лет назад
Wahaya wanavyoishi na utaratibu wao kwenye Maisha
Asili ya wahaya kuwa wapenda sifa na watu wa kujivuna
Просмотров 113 тыс.7 лет назад
Asili ya wahaya kuwa wapenda sifa na watu wa kujivuna
Kumbe Watu wa Kabila la wahaya wana asili ya Kirundi na waganda
Просмотров 18 тыс.7 лет назад
Asili ya wahaya wengi ni watu kutoka sehemu mbalimbali kama vile Rwanda na Burundi na baadhi ni kutoka Uganda.. Kambi popote -MtembeziinKagera
Tundu lisu ana haya kuhusu ndege mpya
Просмотров 5487 лет назад
Tundu lisu ana haya kuhusu ndege mpya
TABIA ZA NDANI ZA MSUKUMA
Просмотров 17 тыс.7 лет назад
Tabia za nje kabisa ambazo mtu yeyote anaweza kuijua kwa watu wa kabila la wasukuma ni imani na ukarimu bila kubagua wala kinyongo.. KAMBI POPOTE - MtembeziUsukumani
MJUE MSUKUMA HALISI AMBAYE KWAO NI USUKUMANI
Просмотров 48 тыс.7 лет назад
Watu wa kabila la wasukuma wengi yao ni wahamiaji kutoka sehemu za karibu ya Usukumani - KAMBI POPOTE - #MtembeziUsukumani
MJUE MSUKUMA NA TABIA ZAKE
Просмотров 42 тыс.7 лет назад
Msukuma ni nani na historia yake imetokea wapi? tazama upate kujua kwa kina #Mtembeziusukumani
Tazama maisha ya Omar bakhresa Na Nyumba yake pamoja Na Magari anayomiliki
Просмотров 277 тыс.7 лет назад
Tazama maisha ya Omar bakhresa Na Nyumba yake pamoja Na Magari anayomiliki
Uzuri Wa Ndondo ni huu..
Просмотров 797 лет назад
Uzuri Wa Ndondo ni huu..
Tazama jinsi ya Wimbo Wa kampeni ya IshinaMimi ulivyokonga moyo
Просмотров 2397 лет назад
Tazama jinsi ya Wimbo Wa kampeni ya IshinaMimi ulivyokonga moyo
Uzinduzi Wa Ndondo Cup 2017 Uwanja Wa Kinesi,Dar es salaam
Просмотров 4387 лет назад
Uzinduzi Wa Ndondo Cup 2017 Uwanja Wa Kinesi,Dar es salaam
Afisa Habari Bodaboda ana wito huu kwa serikali tamasha la usalama barabarani
Просмотров 807 лет назад
Afisa Habari Bodaboda ana wito huu kwa serikali tamasha la usalama barabarani
Mechi ya kirafiki Kati ya Yanga vs Ruvu Shooting ndani ya Azam complex Chamazi
Просмотров 4,7 тыс.7 лет назад
Mechi ya kirafiki Kati ya Yanga vs Ruvu Shooting ndani ya Azam complex Chamazi
Malalamiko ya watu wa kilwa kwenye uhifadhi wa historia
Просмотров 1,2 тыс.7 лет назад
Malalamiko ya watu wa kilwa kwenye uhifadhi wa historia
Video: Hawa ndiyo vinara wa wizi wa kutumia pikipiki
Просмотров 2497 лет назад
Video: Hawa ndiyo vinara wa wizi wa kutumia pikipiki
Kinachotegemewa kwenye Uchumi wa mji wa Kilwa
Просмотров 1837 лет назад
Kinachotegemewa kwenye Uchumi wa mji wa Kilwa
Asili ya watu wa Kilwa na mwenyeji halisi
Просмотров 23 тыс.7 лет назад
Asili ya watu wa Kilwa na mwenyeji halisi
Ruge hajaridhishwa na hili sakata la RC Makonda
Просмотров 2147 лет назад
Ruge hajaridhishwa na hili sakata la RC Makonda
Robert Selasela ahaidi kuja na mabadiliko haya TFF
Просмотров 697 лет назад
Robert Selasela ahaidi kuja na mabadiliko haya TFF
KAMBI POPOTE - MAANA YA NENO INSHOMIRE
Просмотров 2,7 тыс.7 лет назад
KAMBI POPOTE - MAANA YA NENO INSHOMIRE
KAMBI POPOTE - SABABU ZA WAHAYA KUJISIFIA NA KUPENDA SIFA
Просмотров 2,5 тыс.7 лет назад
KAMBI POPOTE - SABABU ZA WAHAYA KUJISIFIA NA KUPENDA SIFA
KAMBI POPOTE - WAHAYA NA MAISHA YA SASA
Просмотров 9 тыс.7 лет назад
KAMBI POPOTE - WAHAYA NA MAISHA YA SASA
Mapokezi ya Meneja Wa Azam ambaye Kufunga ndoa Na mkuu Wa Wilaya ya Pangani Bi Zainab
Просмотров 10 тыс.7 лет назад
Mapokezi ya Meneja Wa Azam ambaye Kufunga ndoa Na mkuu Wa Wilaya ya Pangani Bi Zainab
Diwani mwenye kata kubwa kuliko zote Ilala aiomba serikali kwenye hili
Просмотров 327 лет назад
Diwani mwenye kata kubwa kuliko zote Ilala aiomba serikali kwenye hili

Комментарии

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 4 дня назад

    Hakuna maneno ya kibantu kwa kiswahili wabantu wakija pwani ya afrika mashariki kiswahili kina umri wa miaka mia nane kiswahili ni kitikuu na kiarabu na kiswahili kilianzia pembe ya afrika na shungwaya

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 26 дней назад

    walikuzulumu ila haki iko kwa allah tu

  • @SensetionHotel-f1d
    @SensetionHotel-f1d 28 дней назад

    Tanga sio wavivu bwana

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Месяц назад

    Dah aisee jamaa ata kama alikuwa mtu wasiasa ila alikuwa anaipambania zanzibar sana na lengo kuu kuuvunja muungano dah wallah nalia

  • @MussaMc-g6j
    @MussaMc-g6j 2 месяца назад

    Roho yangu ilikua ngum sana kuhusu Siasa ila sku moja nliskializa hotba yako sijui ilikuaje ah nikajikuta napnda siasa zako .. toka ufariki. Sina Iman na siasa na hakuana mfan wako wa kunishawish tena . Da !

  • @snoopchidi
    @snoopchidi 3 месяца назад

    mashaalah Omar mungu akuzidishie chidi hapa ndugu yako wa kibokoni nipo Ireland hope you are well bro!!!

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 3 месяца назад

    Allah akupe makaazi mema

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 3 месяца назад

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR I AM PROUD OF PEOPLE OF TANGA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nacophai.t2601
    @nacophai.t2601 4 месяца назад

    Mkoa wenye wasomi wengi na shule nyingi

  • @nacophai.t2601
    @nacophai.t2601 4 месяца назад

    Hivi mbona hili kabila linaandamwa hivi au kwakua hawakwenda utumwani😂

  • @helpers10
    @helpers10 5 месяцев назад

    Mnajivuna lakini mnakunya kwenye migomba!! Sasa elimu yenu imewasaidia nini??

  • @safuwanfauzi5014
    @safuwanfauzi5014 5 месяцев назад

    Ali bin Al-Hassan the settler of swahili coast

  • @HusseinHaule-pr5ov
    @HusseinHaule-pr5ov 8 месяцев назад

    Allah atujahaliye na sisi japo hata vibanda vya kuishi na familia zetu Inshaallah

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 8 месяцев назад

    Walio mzulumu maalim sefu na wazanzibar wajiandae kesho mbele ya haki Allah ametoa ahadi kwa alie dhulumu

  • @AbedakonkwaBisimwa
    @AbedakonkwaBisimwa 8 месяцев назад

    Wahaya na sisi wa mushi wa kongo ni ndugu ki hustoria

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 9 месяцев назад

    Amiin

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 9 месяцев назад

    Alla ampenda mja wake ssiye kuwa na kibri na madharau

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 9 месяцев назад

    Bismilahi mashallaa

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 11 месяцев назад

    MashaAlla tabaraqallah. Huyu ni mimi miaka mitatu ijayo insha'Allah. Taqabal ya rab. Mpe amani na mali zake ❤❤

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s Год назад

    Leo hapa ndo utakua kama seif ni mkweli na sio mkerrketwa msikilizeni vizuri anachokizungumza anajitoa makosa ya watu wake

  • @isayacharles2850
    @isayacharles2850 Год назад

    Sasa zungumzia kila kabila, Utagundua kuna makabila yana weledi, utu, ustarabu, upendo, akili, uchamungu, ushujaa, ucheshi. Lakini muhaya out ❌

  • @isayacharles2850
    @isayacharles2850 Год назад

    Wahaya ni kabila lilotokana na koo za kibantu, sasa wao wanamatatizo sana, wana ukabila, wezi, malaya, walevi, wasaliti, wanatamaa,ubinafsi, wanapenda kujitia mkuu wasio weza kuufanya ❌

  • @alaalamulquranonline4721
    @alaalamulquranonline4721 Год назад

    JAMANI NASHIDA NA HAIDAR HUYUU

  • @gracerugimbana
    @gracerugimbana Год назад

    Mkoa.ulio.barikiwa.mataifa.mengi.na.wasomi.embu Achan.zen.wahaya.ndio.ssi.sifa.nikwa.bwana

  • @pmbalele
    @pmbalele Год назад

    Chief Charles, her granddaughter and the other commentator are correct that we Sukumas are peace-loving people. That explains why people from other tribes and countries find Sukumas are different for they are easy-going people. They are hard working and love dancing over the weekends or during dry seasons. Their peace loving can also be attributed to their land which is almost flat or with hills here and there - not scary mountains like Kilimanjaro or those found in Morogoro. Rain is not as violent like Bukoba. I briefly lived in Kigoma and found people there were too reserved - not talking to strangers like me a typical Sukuma. I now live in Wisconsin USA. Other than isolated incidents, people here behave like Sukumas - hard working and enjoy weekends or off days. So an individual from Wisconsin will find it easy to live among Sukumas for they are get-along people. Of course we Sukumas think everybody in the world speaks Sukuma. My grannie was always disappointed every time I introduced people from other tribes and Americans and told her that they could not understand what she was saying.

  • @DottontendelDottontendel-qb5lr

    Huwa wanaoroho mbaya huwa wanaubaguzi huwa wanajipenda waokwawao nikama watusi

  • @dullakhb3401
    @dullakhb3401 Год назад

    Kabla ya wadigo na waarabu kuja pwani waliokuwa wakiishi mwanzo

  • @HamadiMageti-ku2hg
    @HamadiMageti-ku2hg Год назад

    Mwenyezimungu akulipe kheri malim seif kwakutetea zanzinbar yetu mw mungu akupe kaul thabit

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 Год назад

    Mola ukuingize katika pepo yke na jecha atakulipa huko kwani nae ameshaondoka

  • @zohrasaid7067
    @zohrasaid7067 Год назад

    Allah amjaalie mahali Pema Peponi Maalim Seif Sharif Hamad MPENDWA Wa Wazenjibar😭😭😭

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 Месяц назад

      Kaka usilie mie nalia ujuwe tutapata wapi tena mtu kama huyu yeye Sera zake ni zanzibar tu

  • @ZuleikhaSuleiman-o2t
    @ZuleikhaSuleiman-o2t Год назад

    Nasikia sauti ya seikh Ali jaabir akisoma qur an

  • @DJELLYLWEZIMULA
    @DJELLYLWEZIMULA Год назад

    Mi muhaya nawakilisha nikiwa kinondoni

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Год назад

    Tutafute pesa

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 Год назад

    Huyu hadi amejisalimia kwa kioo 😂😂

  • @thomasialute7828
    @thomasialute7828 Год назад

    Huyu Elfu 2015 alishinda uchaguzi yaani mungu paka anajua

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 Месяц назад

      Mpaka wakaghairisha matokeo lakini magufuli mamamae ndio kayageuza

  • @mamohamed1252
    @mamohamed1252 Год назад

    Unadanganya Malaysia hakuna sex tourism bro. Ni nchi yenye maadili makubwa. Zungumza, Philippines na Thailand huko ndiko kwenye mambo hayo.

  • @hyasintaraphael9531
    @hyasintaraphael9531 Год назад

    Mmmmh Bora wewe mwenye sura nzr unalipwa sh ngp kwa mwezi, alafu unaesema wahya malaya jitadhimin je kwa wahya unaingia

  • @hyasintaraphael9531
    @hyasintaraphael9531 Год назад

    We mama ako angekuwa na tabia njema angee kaa kwao usizaliwe, umalaya hata kwenu upo ndo maana ujielewi

  • @ismailiamblosi2681
    @ismailiamblosi2681 Год назад

    Tajiri uza malizako zote na pesa uwape masikini

  • @ismailiamblosi2681
    @ismailiamblosi2681 Год назад

    Tajiri uza malizako zote na pesa uwape masikini

  • @ismailiamblosi2681
    @ismailiamblosi2681 Год назад

    Tajiri uza malizako zote na pesa uwape masikini

  • @madurahooswe4626
    @madurahooswe4626 Год назад

    Safiiii

  • @hassanalawy4325
    @hassanalawy4325 Год назад

    Cku akifa Shein.....Laana atakazolaaniwa cjui itakuwaje

  • @gracendibaa2544
    @gracendibaa2544 2 года назад

    Safi sana

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 года назад

    Tanga yetu❤❤❤❤alhamdulillah

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 года назад

    Unawafanyiaga wewe kazi zao? Acha dharau

  • @jmiano5870
    @jmiano5870 2 года назад

    part of wasukuma ni agikuyu wa kenya.

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 Год назад

      Sure coz mimi my mom is from kikuyu na my dady ni sukuma naweza sikia kila kitu

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 года назад

    MashaAllah

  • @glorygasper8411
    @glorygasper8411 2 года назад

    Yaa

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 года назад

    Nakupenda bure alikiba jamani mu2 wawa2