Aict Magomeni Vijana Choir
Aict Magomeni Vijana Choir
  • Видео 14
  • Просмотров 57 099
AICT Magomeni Vijana Choir (MVC) - Mtakatifu ni Wewe BWANA
Mtakatifu ni Wewe Bwana
Ni wimbo wa imani, unaobeba sifa na utukufu. Kwa kadiri Mungu anavyofanya makuu katika maisha yetu tunazidi kuuona utakatifu wake.
„Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.“
‭‭Yn‬ ‭14‬:‭12‬
Mambo anayoyafanya ni makubwa kuliko tunavyoweza kufikiria. Uwepo wake unadumu siku zote. Na sifa zake zinapaswa kujulikana na mataifa yote.
Tunaamini kazi zake anazozifanya
Tunatambua utakatifu mkuu alionao
Tunaamini uweza wake
Na pia Tunaamini nguvu ya Msalaba kupitia Kristo Yesu.
„Hakuna aliye mtakatifu kama BWANA; Kwa maana hakuna ye yote ila wewe, Wala hakuna mw...
Просмотров: 5 365

Видео

The Hidden Story of Magomeni Vijana Choir by Richard Sama
Просмотров 2226 месяцев назад
Sasa unaweza kufahamu mengi kuhusu huduma ya MVC tunapoelekea kutimiza miaka 20 ya huduma. Subscribe ujionee exclusive hidden stories of MVC, A series hosted by Gwantiaro Yusuph, we present to you: Richard Sama (MVC Chairperson) #subscribe #Aict Magomeni Vijana Choir #HiddenStory
AICT MAGOMENI-Msaidizi wa askofu akizungumza na watanzania kuhusu SENSA
Просмотров 1962 года назад
Tazama Mahojiano ya moja kwa moja na msaidizi wa askofu mch. Amos Mlagwa wa dayosisi ya Pwani kuhusu sensa.
MICHAEL MAKENE FT AICT MAGOMENI VIJANA CHOIR-SENSA(Official video)
Просмотров 4272 года назад
karibu kutazama wimbo huu maalumu wa SENSA wa ndugu yetu MICHAEL MAKENE akiwa ameshirikiana nasi MVC
AICT MAGOMENI VIJANA CHOIR-SENSA(Official Video)
Просмотров 2 тыс.2 года назад
AICT MAGOMENI VIJANA CHOIR-SENSA(Official Video)
AICT MAGOMENI VIJANA CHOIR (MVC) - MUNGU KWETU (Official Video)
Просмотров 3,1 тыс.3 года назад
Bwana Yesu asifiwe wapendwa..ni furaha yetu kuwakaribisha kutazama wimbo wetu unaopatikana katika album iitwayo "KAMA SI BWANA" tuliyorecord mwaka 2018..Ni imani yetu utabarikiwa kutokana na ujumbe wa Neno la Kristo lililopo humo. Barikiwa mnoo na Kristo Yesu.
MATESO YA YESU-AICT MAGOMENI VIJANA CHOIR (MVC)
Просмотров 3,6 тыс.3 года назад
MATESO YA YESU-AICT MAGOMENI VIJANA CHOIR (MVC)
NENDA MAGUFULI
Просмотров 15 тыс.3 года назад
Huu ni wimbo maalum kwa ajili ya kumuenz Hayati Mh. John Pombe Joseph Magufuli. Waimbaji: Aict Magomeni Vijana Choir Dir: John Buchumi Location: Aict Magomeni Pastorate
MUNGU WANGU NIOKOE - MAGOMENI VIJANA CHOIR(MVC)
Просмотров 1,5 тыс.4 года назад
Song- Mungu wangu niokoe Singers-Aict Magomeni Vijana Choir(MVC) Video Production-Mbc
Ikiwa watu wangu
Просмотров 4174 года назад
Nyimbo : Ikiwa Watu Wangu Waimbaji : AICT Magomeni Vijana Choir Video Production : MBC
Mungu Anaweza _ Aict Magomeni vijana Choir (Mvc)
Просмотров 4,5 тыс.5 лет назад
Mungu Anaweza _ Aict Magomeni vijana Choir (Mvc)
THAMANI YANGU BY AIC MAGOMENI VIJANA CHOIR (MVC)
Просмотров 16 тыс.5 лет назад
THAMANI YANGU BY AIC MAGOMENI VIJANA CHOIR (MVC)
NENDENI ZENU BY AICT MAGOMENI VIJANA CHOIR (MVC)
Просмотров 4,7 тыс.5 лет назад
NENDENI ZENU BY AICT MAGOMENI VIJANA CHOIR (MVC)

Комментарии

  • @TeddylameckTeddy-q5o
    @TeddylameckTeddy-q5o 5 дней назад

    Nawapenda❤ MVC Mungu anawapenda mnooooo

  • @SarahSalileje
    @SarahSalileje 7 дней назад

    Kazi nzur endeleeni kumtangaza bwana Kwa nyimbo na shangwe

  • @AnnaGigwa
    @AnnaGigwa 10 дней назад

    Amina Amina

  • @clementchamshama5359
    @clementchamshama5359 11 дней назад

    Bonge la nyimbo, nimepata nyimbo yangu bora mpaka sasa ya gospel ya mwaka 2025.

  • @SamwelMasali
    @SamwelMasali 12 дней назад

    MVC Mungu awabariki na awazidishie mlipoishia mkaitende kazi yake zaidi na zaidi

  • @JANETHPETRO-w2i
    @JANETHPETRO-w2i 14 дней назад

    Hongereni MVC Kwa kazi nzuri wimbo mzuri Sana nimebarikiwa

  • @shindaimichael8745
    @shindaimichael8745 16 дней назад

    Motoo sana💯💯

  • @cosmaschristopher6506
    @cosmaschristopher6506 16 дней назад

    Hongereni sana magomeni vijana kwaya,kazi yenu ni njema mno mbarikiwe sana watumishi

  • @bathshebanjingo4932
    @bathshebanjingo4932 17 дней назад

    Mtakatifu 😮😮 ni wewe na wewe Bwana.

  • @zeramethusela8813
    @zeramethusela8813 17 дней назад

    Hongereni sana Mungu awabariki

  • @robertisack4886
    @robertisack4886 17 дней назад

    Hongera sana Watumishi wa MUNGU, Kazi ya viwango Mungu aendelee kuwaiunua Hata December 27 mliwasha moto sana🙏 karibuni tena

  • @MINISTERGLORY-Tanzania
    @MINISTERGLORY-Tanzania 17 дней назад

    Tunao amini nguvu ile ile inayotenda kazi ndani yetu itatenda makuu kuliko yale ya kwanza like hapa

  • @quillianpro
    @quillianpro 17 дней назад

    🔥 🔥 🔥

  • @Lumierevitabu
    @Lumierevitabu 17 дней назад

    Kazi nzuri ,tumebarikiwa

  • @samwelkalele7465
    @samwelkalele7465 18 дней назад

    Utukufu kwa Yesu Kristo Amina

  • @PendoGambadu
    @PendoGambadu 18 дней назад

    Amazing for sure 😊 Glory be to the Lord 🙏❤

  • @peterenos2627
    @peterenos2627 21 день назад

    Safi sana watumishi

  • @christinamathias8956
    @christinamathias8956 21 день назад

    Hongereni sana wanangu

  • @NeemaEndrew-v8g
    @NeemaEndrew-v8g 21 день назад

    Perfect Mungu awabariki

  • @deusnyororo2837
    @deusnyororo2837 21 день назад

    🙌🙌🙌🙌

  • @ThomasFikily
    @ThomasFikily 21 день назад

    Wow🙏

  • @ThomasBucheye
    @ThomasBucheye 21 день назад

    Mungu awabariki

  • @Butolokwa
    @Butolokwa 21 день назад

    Kazi nzuri sana Mungu awabariki MVC

  • @gennimabula1878
    @gennimabula1878 21 день назад

    Basesist..... Simon🔥🔥

  • @stanslausdeogratius6902
    @stanslausdeogratius6902 22 дня назад

    Nyimbo nzuri sana

  • @thegoldendeer4736
    @thegoldendeer4736 23 дня назад

    Mpiga drum very unprofessional anakulaje bublish kwenye live recording

  • @EmanuelMafuja
    @EmanuelMafuja 23 дня назад

    ❤❤

  • @scolapeter-p4u
    @scolapeter-p4u 23 дня назад

    Hongereni ❤❤

  • @shigongomalulu5294
    @shigongomalulu5294 24 дня назад

  • @petromihambo1405
    @petromihambo1405 24 дня назад

    Much blessings❤❤

  • @dorcasthomas1684
    @dorcasthomas1684 25 дней назад

    Kazi ya 🔥🔥🔥

  • @allsoulsforjesuschrist5731
    @allsoulsforjesuschrist5731 25 дней назад

    This be the simple understanding of that scripture, I boast in the Holy Spirit alone Who gives revelation for He is the Author of the scriptures. The Son of God Son of Man companionship is the Whole scriptures of Truth but I'll share it with simplicity for edification for these works spoken by our Lord Jesus Christ in the days of His Flesh is not what many think "signs and wonders" and this is why many be in dead works, but He speaks of LOVE for these are the Greater works and this is the Gospel even as to why Paul did speak of it deeply ref 1 Cor 13 that the greatest of these is LOVE. The Son of Man was of lesser stature than the Son of God Who still is the Father, and so according to the stature Language, the Son of Man loved the Father, preached the Gospel to the poor, was made perfect through sufferings thus Glorified declared to be the Son of God is the Greater Works which still is Love for it's the stature language for the lesser (Son of Man) was Glorified by the Better (Son of God Who still is the Father) and so the Greater Works is LOVE. Simple. It's to all saints as He in scriptures address His Disciples and this is why in the context He spake of the Glorification. Faith works by Love, Faith without works (Love) is dead which means it's not of God for we Judge by doctrine, just one Language spoken by James in deep Holy Poetry, thus the Simplicity is LOVE. It's that simple. May many just be taught by the Holy Spirit for His Words are only understood By His Disciples for we judge by doctrine.

  • @Danieljohn-q2f
    @Danieljohn-q2f 25 дней назад

    MTAKATIFU🎉

  • @royale_wine
    @royale_wine 25 дней назад

    My choir, nimependa

  • @Shabanerick
    @Shabanerick 25 дней назад

    Hongereni sana wimbo ni mzuri mnoo na Mungu wa mbinguni awabariki

  • @winfredpeter6275
    @winfredpeter6275 26 дней назад

    Mungu azidi kutukuzwa na kuinuliwa zaidi kupitia wimbo huu

  • @2mgivechalz
    @2mgivechalz 26 дней назад

    Waooohh🎉❤you did it ministers

  • @idarayavijanamagomeni3482
    @idarayavijanamagomeni3482 26 дней назад

    Good job, Mungu azidi kutukuzwa!!

  • @BarakaMkwabi-h4u
    @BarakaMkwabi-h4u 27 дней назад

    ❤❤❤❤

  • @gambadavid3649
    @gambadavid3649 27 дней назад

    God bless you... it's fantastic!

  • @samuelimshiu6430
    @samuelimshiu6430 27 дней назад

    Symon on bezzz 🔥

  • @neemakisanga8199
    @neemakisanga8199 27 дней назад

    Hongereni sana sana wapendwa.Mungu azidi kuwainua zaidi kitaifa na hata kimataifa🙌🙌🙏🙏🙏.mmeimba vizuri sana maneno yanasikika vizuri,mmecheza vizuri,mavazi yamewapendeza Kila kitu ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤.

  • @EdsanChanguzi
    @EdsanChanguzi 27 дней назад

    .mvc ❤you are the be St

  • @leopoldwilliam2128
    @leopoldwilliam2128 27 дней назад

    Nyimbo nzuri sana.

  • @yusuphdeogratius1036
    @yusuphdeogratius1036 27 дней назад

    Hongereni kwa kazi nzuri

  • @lasa4508
    @lasa4508 27 дней назад

    💥🔥🔥🔥🔥

  • @jacksonalphonce238
    @jacksonalphonce238 27 дней назад

    Ndugu viwango vywa juu kabisa🙏

  • @EliaMasunga-qg6ph
    @EliaMasunga-qg6ph 27 дней назад

    🙏🙏🙏 hongereni kwa Kaz nzuri ya kuutangaza ukuu wa mungu mbarikiwe saaaaana ikawe baraka kwa waskilizaji na kwenu pia

  • @rubenpeter-k6x
    @rubenpeter-k6x 27 дней назад

    Nikipewa nafasi ya kusems basi navunja ukimya kwa drummer na Lead congrats

  • @toneidapatrick3727
    @toneidapatrick3727 27 дней назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥