- Видео 204
- Просмотров 82 603
Nbs Tanzania
Танзания
Добавлен 7 май 2013
MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA WADADISI WA UTAFITI WA KILIMO WA MWAKA 2023/24 YAHITIMISHWA RASMI IRINGA
MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA WADADISI WA UTAFITI WA KILIMO WA MWAKA 2023/24 YAHITIMISHWA RASMI IRINGA
Просмотров: 50
Видео
UZINDUZI WA KITABU CHA WASIFU WA KIUCHUMI WA MKOA WA DODOMA
Просмотров 1047 часов назад
UZINDUZI WA KITABU CHA WASIFU WA KIUCHUMI WA MKOA WA DODOMA
NBS YATHIBITISHA TAKWIMU ZA WAPIGA KURA WALIOJIANDIKISHA KUPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Просмотров 4,5 тыс.День назад
NBS YATHIBITISHA TAKWIMU ZA WAPIGA KURA WALIOJIANDIKISHA KUPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
KIKAO KAZI CHA UANDISHI WA RIPOTI ZA KINA ZITOKANAZO NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
Просмотров 11114 дней назад
KIKAO KAZI CHA UANDISHI WA RIPOTI ZA KINA ZITOKANAZO NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
KONGAMANO LA WANAWAKE NA TAKWIMU MKOA WA SINGIDA KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Просмотров 11714 дней назад
KONGAMANO LA WANAWAKE NA TAKWIMU MKOA WA SINGIDA KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
MAFUNZO KWA MAAFISA HABARI KUHUSU USAMBAZAJI WA TAKWIMU KATIKA MFUMO WA TAIFA WA TAKWIMU (NSS)
Просмотров 4114 дней назад
MAFUNZO KWA MAAFISA HABARI KUHUSU USAMBAZAJI WA TAKWIMU KATIKA MFUMO WA TAIFA WA TAKWIMU (NSS)
ZIARA YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI DKT. ALBINA CHUWA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA UTAFITI WA TASAF
Просмотров 8221 день назад
ZIARA YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI DKT. ALBINA CHUWA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA UTAFITI WA TASAF
NBS YASHIRIKI MAONESHO YA BARAZA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI (NEEC) MKOANI SINGIDA
Просмотров 83Месяц назад
NBS YASHIRIKI MAONESHO YA BARAZA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI (NEEC) MKOANI SINGIDA
HAFLA YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WADADISI WA UTAFITI WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA TASAF
Просмотров 189Месяц назад
HAFLA YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WADADISI WA UTAFITI WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA TASAF
KIKAO CHA TATHMINI YA MPANGO WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA PILI WA TSMP II
Просмотров 140Месяц назад
KIKAO CHA TATHMINI YA MPANGO WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA PILI WA TSMP II
UWASILISHAJI WA MATOKEO YA UTAFITI WA 2022 DHS KANDA YA KATI (DODOMA, MANYARA NA SINGIDA)
Просмотров 1252 месяца назад
UWASILISHAJI WA MATOKEO YA UTAFITI WA 2022 DHS KANDA YA KATI (DODOMA, MANYARA NA SINGIDA)
ZIARA YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI DKT. ALBINA CHUWA JIJINI MWANZA KUKAGUA SHUGHULI ZA KITAKWIMU
Просмотров 4772 месяца назад
ZIARA YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI DKT. ALBINA CHUWA JIJINI MWANZA KUKAGUA SHUGHULI ZA KITAKWIMU
NBS YAFAFANUA UMUHIMU WA TAKWIMU ZA KILIMO KATIKA UKUAJI WA UCHUMI (NANENANE 2024) JIJINI DODOMA
Просмотров 743 месяца назад
NBS YAFAFANUA UMUHIMU WA TAKWIMU ZA KILIMO KATIKA UKUAJI WA UCHUMI (NANENANE 2024) JIJINI DODOMA
UJUMBE WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU KWEYE MAONESHO YA WAKULIMA (NANENANE 2024) JIJINI DODOMA
Просмотров 223 месяца назад
Ofisi ya Taifa ya Takwimu
HAFLA YA UFUNGAJI WA MAFUNZO YA WATAKWIMU WA MIKOA NA HALMASHAURI KUHUSU UCHAKATAJI WA TAKWIMU
Просмотров 403 месяца назад
HAFLA YA UFUNGAJI WA MAFUNZO YA WATAKWIMU WA MIKOA NA HALMASHAURI KUHUSU UCHAKATAJI WA TAKWIMU
KIKAO CHA TANO CHA BARAZA LA SITA LA WAFANYAKAZI WA NBS
Просмотров 843 месяца назад
KIKAO CHA TANO CHA BARAZA LA SITA LA WAFANYAKAZI WA NBS
MAFUNZO YA WAKUFUNZI WA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI TANZANIA WA MWAKA 2024
Просмотров 2223 месяца назад
MAFUNZO YA WAKUFUNZI WA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI TANZANIA WA MWAKA 2024
MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA 2022 WILAYA YA RUANGWA MKOA WA LINDI
Просмотров 713 месяца назад
MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA 2022 WILAYA YA RUANGWA MKOA WA LINDI
KIKAO CHA USHIRIKIANO KATI YA NBS NA SHIRIKA LA UNFPA
Просмотров 324 месяца назад
KIKAO CHA USHIRIKIANO KATI YA NBS NA SHIRIKA LA UNFPA
KIKAO CHA 11 CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
Просмотров 574 месяца назад
KIKAO CHA 11 CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
MAKAMU WA RAIS DKT. PHLIP MPANGO ATOA MAAGIZO BANDA LA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU WIKI YA MAZINGIRA
Просмотров 184 месяца назад
MAKAMU WA RAIS DKT. PHLIP MPANGO ATOA MAAGIZO BANDA LA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU WIKI YA MAZINGIRA
ZIARA YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI DKT. ALBINA CHUWA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MKOA WA SINGIDA
Просмотров 965 месяцев назад
ZIARA YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI DKT. ALBINA CHUWA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MKOA WA SINGIDA
ZIARA YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI DKT. ALBINA CHUWA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MKAONI DODOMA
Просмотров 625 месяцев назад
ZIARA YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI DKT. ALBINA CHUWA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MKAONI DODOMA
MAFUNZO YA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA WANAWAKE WA UWT KANDA YA KATI DODOMA
Просмотров 485 месяцев назад
MAFUNZO YA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA WANAWAKE WA UWT KANDA YA KATI DODOMA
MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA WILAYA YA KARATU
Просмотров 235 месяцев назад
MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA WILAYA YA KARATU
MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA VIONGOZI WA MKOA, WILAYA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOA WA MANYARA
Просмотров 355 месяцев назад
MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA VIONGOZI WA MKOA, WILAYA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOA WA MANYARA
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WATAKWIMU KUHUSU UKUSANYAJI NA UBORESHAJI WA TAKWIMU ZA KIUTAWALA
Просмотров 585 месяцев назад
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WATAKWIMU KUHUSU UKUSANYAJI NA UBORESHAJI WA TAKWIMU ZA KIUTAWALA
UWASILISHAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 KWA MADIWANI WANAWAKE
Просмотров 1215 месяцев назад
UWASILISHAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 KWA MADIWANI WANAWAKE
USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA VIONGOZI WA WILAYA YA KARATU
Просмотров 776 месяцев назад
USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA VIONGOZI WA WILAYA YA KARATU
MAENDELEO YA TASNIA YA TAKWIMU NDANI YA MIAKA 60 YA MUUNGANO.
Просмотров 2426 месяцев назад
MAENDELEO YA TASNIA YA TAKWIMU NDANI YA MIAKA 60 YA MUUNGANO.
great
Kakojoe ulale gongo la mavi
Hivi. Hujui kuwa tuko wengi tuliobobea ktk statistics kuliko wewe? Stop cheating!
Mbona huelezi juu ya waliofariki kati ya 2022 na 2024 lakini unazungumzia waliohitimu miaka kumi na nane. Wewe ndiye mpotoshaji mkubwa. Chawa wewe.
Nyie na serikali ni wabongo ,mnatuziga tu kmbka sio watu wote wanajiandksha,weng wamepuuza kutokn na wiz wa kura unaofanywa na serikali
Hawa machawa tu
Unadanganya nani wewe mama umetumwa hawa wanafunzi wa miaka 14 na. 13 tumewaona waziwazi na wale hewa walio kufa mmewandikisha ccm muwe naibu wewe mama hiyo tarifa kampe mumeo
Tuwe na hofu ya Mungu!?uongo ni dhambi!
Acha kudanganya watu wewe,watoto ni wengi.sana.kuliko
Mama mpotosgaji sana huyu, sisi tunataka wapigakura yeye anatambua mambo ya watu wa miaka 15, miaka 1516 na 17 haruhusiwi kupiga kura! Muongo mkubwa wewe!
Huyu mama ni hivyo kabisa, anatufanya watanzania wote ni wajinga
Unachambua sensa ya 2022 na siyo uandikishaji wa wakaazi
Uchawa ni mbaya sana. Zoezi la NIDA kwa nini halikamiliki? Kwa taifa linalijielewa ni kuwa taarifa za kila mtu zingekuwa nida. Kwa sababu hiyo idadi ya wanaotimiza miaka 18 kwa kila mwaka ingejulikana kwa muda wo wote, po pote pale. Daftari la kudumu la mpiga kura lisingehitajika maana system ingetoa. Kuendelea kutokamilika kazi ya NIDA ni rahisi kufikiriwa kuwa ni ya kupanga na zaidi ni hila. Mara nyingi ni kuhusishwa na kuchakachua kura na taswira yake. Kazi ya NIDA ikamilike na data hizo zisomane. Uchakachuaji utapungua katika chaguzi
Takwimu za Tamisemi za wapiga kura zihakikiwe upwa na chombo huru.Wapeni kazi hiyoTLS wahakiki tujiridhishe.
Wewe ni chawa na hta hujajindiksha
haziwezi kuwa sawa ye ngetaja tu hesabu za sensa kuwa zilikuwa hizi na hizi kwa huo umri sasa anaposema walioandikishwa ziko sawa yee alikuwepo walipoandikishwa malehem na wanafunzi wa fomu one sasa atajuaje ziko sawa?
asituletee za kuleta uyu bora angetaja tu hesabu za sensa kuwa zilikuwa hizi na hizi kwa huo umri sasa anaposema walioandikishwa ziko sawa yee alikuwepo walipoandikishwa malehem na wanafunzi wa fomu one anajuaje ziko sawa?
We mama we uwenahofu yamungu umekuja namaelekezo toka juu mwaka huu tutakufa namtu nyie endeleeni kutuchukulia poa
Hakuna waliokufa?
Hata ukimwangalia limekaa kijambazijambazi
Asa Lema na akili gani za kitakwimu watu wenye akili kumwamini mtu mwenye anaongeaga kama ni Form 4 Failure ndiye atajua mambo makubwa ya takwimu za nchi?
Mbona wewe mama nakuona kuwa wewe ni mtu mkubwa na mzima una akili kuna watu waliokufa lakini waliandikizwa akili zako sichunguzwe vizuri angalau na family yako maana umetumiwa vibaya sana ccm ni wezi sana.
Mmmm wewe mama usitumike je kule walikochukua wanafunzi umefuatilia
Alichokiongelea ni takwimu sio majina elewa hilo mengineyo ni ya uandikishaji
Yes, issue ni kujiandikisha na siyo issue ya sensa
Acha kukadilia takwimu, tupe uhalisia.....hiyo kati ya ....inaonesha estimation.....hivo mme over estimate the actual statistics.
Huyu mama afunguliwe mashitaka, TLS mshughulikieni mara moja , anatufanya sisi n tabula lasa
Haki huinua taifa. Yaani watu waburuzwaburuzwa tu. Ni aibu tu. Nani sasa anapotosha??
Andhaa kanoon,.....😢😢😢
hakuna kitu takwimu zilizotolewa ni fake kwani huwezi hesabu wapiga kura huku wengine wakiwa chini ya umri wa kupiga kura kwy shule za msingi na sekondari na majna hewa ya watu waliokufa na kupotea zamani. huyu mama ni mtu wa mshahara hawezi jitokeza kusema ukweli kupingana na bosi wake
Je, una uhakika? Mbona zimetolewa takwimu nyingi za kupikwa? Kuweni na hofu ya Mungu Watanzania.
Albina tutakushtaki uchaguzi ukiharibika trust me!! Kuwa over 18 ni zaidi ya 50&???? Wanafunzi kulazimishwa kuandikishwa na wafu je??? You on record
Jamani hii si kweli kuna idadi hiyo ila siyo kweli wameenda kujiandikisha hebu tuache kubariki uongo jamani hao watu mna uhakika gani hawajafa?? Ndo maana mkawaandikisha hata waliokufa ...
Uko Tanzania au nchi nyingine?
^100% very good mtaalam😊🎉😢😅😊
hakuna kitu takwimu zilizotolewa ni fake kwani huwezi hesabu wapiga kura huku wengine wakiwa chini ya umri wa kupiga kura kwy shule za msingi na sekondari na majna hewa ya watu waliokufa na kupotea zamani. huyu mama ni mtu wa mshahara hawezi jitokeza kusema ukweli kupingana na bosi wake
15:12 15:14
15:12 15:14
15:12 15:14
Hesabu na sio mahesabu
Wanzania weng wenye sifa z kupga kura hawajajiandkxha kukubalian n Icho kitu ngum xan
Malaki 1:14
Mtanzania Tuna mdanganya nani? Watu wote wana macho wanaona vitendo vinavyo tendwa Walio andikishwa mashuleni ni watoto wetu na wanaeleza mazingira yaliotumika kupelekwa kujiandikishan
Hakuna.waliokufa
Viongozi wandini wamesema ukweli na wanafunzi wameandikishwa humuo gopi hata mungu
VIONGOZI WA DINI KAZI YAO NI KUHUBIRI NA KUPOKEA SADAKA ZA WATU, WANAJUA NINI MAMBO YA TAKWIMU/STATISTICS AU MAHESABU? WANAJUA NINI MAMBO YA SENSA ZA WATU WAKATI SI KAZI YAO WALA HAWANA DATA ZOZOTE ZAIDI YA KUTEGEMEA MTAKWIMU MKUU NA OFISI YAKE? HAO VIONGOZI WA DINI NDIO WANAJUA KILA KITU?
Kwanini watanzania ni waongo hataki kuwa wakweli
Na kusema uongo ni dhambi
Bona wanafunzi mmeandikisha kupiga kura
Inasikitisha sana kwa kweli
Pumbavu komaa kutudanganya nyau wewe
Hata wewe Mama yangu unajua unadanga, unachofanya unawaachia rahana wajuu na vitukuu vyako bila kujali kizazi chako utakavyokiumiza
Harufu ya uchawa
Wewe mama utakufa neno la MUNGU niupanga uwongo ni kifo
Ww mama mzee danganya watu lakini ujue kuna mungu anakuona
Hata na ww mimama mzee kiasi hicho unamua kudanganya watu hii ya watu waliokufa hiyo nayo mnasema wamefufuka takataka nyinyi watu wa ccm
😂😂😂😂
Mutakufa na hiyo uongo zenu
Hongereni vijana mnaupiga mwingi
Hesabu ya watanzania ifanywe Kwa makini kwani ni Kwa maendeleo yetu