- Видео 107
- Просмотров 288 197
Tayo media tz 288K views
Танзания
Добавлен 18 дек 2019
Tayo media inakukaribisha kwa matangazo ya kibiashara kwa gharama nafuu sana
[LIVE] Tottenham Hotspur vs Manchester United EFL Carbon Cup 24/25 Full Match
#mancesterunited #tottenhamhotspur
Просмотров: 1 487
Видео
SIMBA vs CS SFAXEN /FULL MATCH HIGHLIGHTS
Просмотров 8087 часов назад
#cafchampion #cssfaxensc#simbasc
Wasanii mbali mbali wagushwa na msiba wa Fred kilushwa
Просмотров 15Месяц назад
Wasanii mbali mbali wagushwa na msiba wa Fred kilushwa
Wasanii mbali mbali waeleza walivyogushwa na msiba wa Fred Kirushwa
Просмотров 76Месяц назад
Wasanii mbali mbali waeleza walivyogushwa na msiba wa Fred Kirushwa
MASANTULA AUMIZWA NA KIFO FRED KILUSHWA
Просмотров 15Месяц назад
MASANTULA AUMIZWA NA KIFO FRED KILUSHWA
YANGA WALIA NA ZAMBRON WAKALA WA PACOME ZOUZOU
Просмотров 69Месяц назад
YANGA WALIA NA ZAMBRON WAKALA WA PACOME ZOUZOU
SIMBA WAMSHUSHIA KIPIGO CHA MAGOLI 3 NAMUNGO FC TAZAMA MAGOLI YOTE
Просмотров 20Месяц назад
SIMBA WAMSHUSHIA KIPIGO CHA MAGOLI 3 NAMUNGO FC TAZAMA MAGOLI YOTE
Shabiki wa simba atamba na ushindi wa leo
Просмотров 22Месяц назад
Shabiki wa simba atamba na ushindi wa leo
MCHOME KUHAMIA YANGA, SIMBA YAZIDIWA MBINU
Просмотров 62Месяц назад
MCHOME KUHAMIA YANGA, SIMBA YAZIDIWA MBINU
SHABIKI WA SIMBA AOMBA KUVAA JEZI YA YANGA
Просмотров 23Месяц назад
SHABIKI WA SIMBA AOMBA KUVAA JEZI YA YANGA
TAZAMA SIMBA WALIVYOONDOKA KINYONGE UWANJA WA TAIFA
Просмотров 2972 месяца назад
TAZAMA SIMBA WALIVYOONDOKA KINYONGE UWANJA WA TAIFA
MGANGA WA YANGA ATOA SIRI ALIVYOWAFANYIA SIMBA
Просмотров 472 месяца назад
MGANGA WA YANGA ATOA SIRI ALIVYOWAFANYIA SIMBA
Can you please stop talking 😂
why? becouse I d'not how to speak english
ℍ𝕖𝕪
Simba ❤
SIMBA NGUVU MOJA
Avec votre statut et à ce stade de la compétition, vous encaissez 3 buts sans en marquer, faible ASEC
Yanga acheni kuwa wapore kwenye haki jamani ra mazembe siyo gori rakini mmekaa kimyatuu yani yanga mtaerimika rini uporewenu
Hiyo jezi chama hata haimpendez😂😂😂😂
ACha unafki wewe mbona wewe ukivyanga nguo upendezi
Kavae wewe
Saaaaaan
Munajiangushatuu pumbavu nyie
Hingereni 😊
Sema hongereni
Yes yanga
Hongeren
Dakika za jioni kabisa
Uwiiiiiii
Yanga funga hao
Badowajasema Yanimpakawasemehaoooo
Kifo cha yanga kibaya mno tena cha kimasikin hasa
Habari njema.
NIMEFRAI SIMBA KUFUNGWA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
SIMBA NGUVU MOJA
Ume Tisha kk
Bola ulitume jongoo cafali ndefu kuliko yanga
Afadhali tutapumua ssa khaa kulikua akutokekki wallah yanga mbovu yanga mbovu kikowapi😂 simba kawa chui💚💚💚💚💚🙏
Daaa!!! 😢😢😢 Mungu ibariki Simba tusiwe Kama watani wetu yanga😂😂😂😂
Kufa Kufa Tu Hakuna Kufa Kiume Wala Kike Alie Kufa Anaambiwa Amekufa Hambiwi Kafa Kiume Wacheni Kubadili Maneno Ubaya Ubwela Leo Fyuuuuuuuuuu Mji Umependeza Tunasherehekea Siku Kuu Ya Uhuru Kwa Raha Constantine Mmetufurahisha Sn Tunawashukuru Sn Muendelee Kupata Ushindi Kl Mechi Mungu Awajaalie
Simba anapoint 3 na goli 2 ww nil nje ndani na nyie ndiyo mlisema simba watatia aibu Taifa..
Piga haooooo
Mshanyewa tyr
Asante yesu
Ongera mnyama umekufa kiume sio sawa na zuwena wa jana
Wachejazi wamepambana sana,binafsi siwadai. Hawa kwa Mkapa lazima wafe nyingi tu.
Kifo ni kifo tuu
Kuna tim imefungwa 4-0katika mechi mbili tabili imetoka nchi gan hiyo
Ahaaaaahaa manguchiloooo hayoooooo yanajifungaaaaa malipo ni hapa hapa jana mkamsifia mwalabu leo kakunyonyaaaaaa
🦁🦁🦁🦁
Siyo sawa na bure
Ahaha Tutapumuwa wanamchiiii Jamani nilikuwanawaza wakishinda tusingepumuwa
Hakuna cha kupumua nyie kufen tu
Penalty vp hakun leo
Kulia ni kupokezana
Kwa kwel
Nyie mbona mjafunga ata moja tena nje ndani 😂😂😂 kweli wenye akili ni 2
Ubay ubwela Mungu yuko nasi dakika ya 87 tunafunga gori
Mpila uishe basi
Daah ndo ivo
Ushindi mmesha shenyetwa na nyie kama yanga😊😊😊
😂😂😂😂😂piga kolooooooo hao😊😂😂😂😂
Sio haba kuliko 0🎉🎉🎉❤
Refa maliza mpira tunakaa mbali
Ikiwezekana tatu
Piga haoooo
Funga simba hawo
Mungu ibaliki simba
Duuuu
Hahahahaahah