- Видео 66
- Просмотров 4 270
Biblia Husema Broadcasting
Добавлен 4 июл 2023
MUNGU ANAKUREJESHEA ULIYO YAPOTEZA || HIMIZO LA HOSSANA MACHEO
#mahubiri
#injili
#preachings
#gospelpreaching
#injili
#preachings
#gospelpreaching
Просмотров: 6
Видео
HIMIZO: NI MAKOSA KWAKO MKRISTO KUTOWEKEZA.
Просмотров 137 часов назад
HIMIZO: NI MAKOSA KWAKO MKRISTO KUTOWEKEZA.
JOSEPHINE DNA | FAMILIA YANGU ILINICHEKA NILIPO-OKOKA, LAKINI KUOKOKA KWANGU KULILETA MWANGAZA KWETU
Просмотров 129 часов назад
Msanii Josephine 'DNA' anatupa safari yake ya wokovu na vile kuokoka kwake kulileta mwangaza kwa nyumbani. Sikiliza upate kujua mipango yake ya usanii ni yapi. Usikose ku-jiandikisha, like na shiriki.
Umuhimu Wa Mkristo Kuwa na Moyo wa shukrani || HIMIZO NA VICTOR MANDALA.
Просмотров 2712 часов назад
Umuhimu Wa Mkristo Kuwa na Moyo wa shukrani || HIMIZO NA VICTOR MANDALA.
ZIPPORAH MOSES| SAFARI YANGU YA WOKOVU ILIANZA NIKIWA DARASA LA SITA KWA KUJENGA KANISA LA NYUMBANI
Просмотров 2816 часов назад
Msanii Zipporah Moses anatupa safari yake ya wokovu kutoka darasa la sita mwaka wa 2001. Sikiliza upate kujua mipango yake ya usanii ni yapi. Usikose ku-jiandikisha, like na shiriki.
BECKY SUDHE: WOKOVU NI WA KILA MTU, VIJANA WASIOGOPE KUOKOKA. || Kenyan Gospel.
Просмотров 5021 день назад
Karibu katika kipindi kingine cha Fahamu Msanii wako naye Benson Mwanza. Raundi hii tunaye msanii, Becky Sudhe, akitueleza vile wokovu si ya watu wazee pekee, ila vijana wanahimizwa waingie katika wokovu. Pia pata kumsikiliza Becky akitueleza safari yake katika wokovu. Karibu katika kipindi cha leo.
Mwanamke niliyemuamini alinipangia njama nibakwe baada ya kunipa malazi.
Просмотров 181Месяц назад
Katika kipindi cha Mavuno Drive, tunamfahamu msanii, Lydia Cheryl ambaye anatuelezea safari yake. Msanii huyu kutoka Kisumu, anatuelezea jinsi alivyomuamini mwanamke jirani na kupewa malazi lakini mwenyeji alikuwa na njama tofauti.
Esther Anderson || Kuishi Kaburini: Safari Yangu na Ugonjwa uliokosa tiba wakati wa COVID-19
Просмотров 49Месяц назад
Pata kusimuliwa safari ya Esther Anderson, @Mujune katika kipindi cha fahamu msanii wako naye Benson Mwanza. Anderson, anavyosimulia, alipata ugonjwa uliokosa tiba na hata kujiona ameaga.
INVESTMENT & CON GAMES: Sikiliza na upate mawazo ya jinsi ya kuepuka ulaghai wa kuwekeza mtandaoni
Просмотров 28Месяц назад
Kwenye kipindi chetu cha Wisdom Wednesday, tunaye mgeni, Betty Ndukui akituelezea jinsi ya kuepuka utapeli na ulaghai wa kuwekeza mtandaoni. Usisahau, Jiandikishe, like na shiriki pia.
JINSI YA KUOMBA NA NANI ANAFAA KUOMBA | HIMIZO YA LEO.|
Просмотров 81Месяц назад
YOHANNA 14:12-14 Ninawaambia hakika, mtu yeyote akiniamini ataweza kufanya miujiza kama hii na hata zaidi, kwa kuwa mimi ninakwenda kwa Baba yangu. Kitu chochote mtakachoomba kwa jina langu, nitawafanyia, ili Baba yangu apate kutukuzwa kwa yale ambayo mimi Mwanae nitawafanyia. Mkiniomba chochote kwa jina langu nitawafanyia.”
STROKE: FAHAMU MENGI KUHUSU KIHARUSI
Просмотров 35Месяц назад
Pata kuelewa kiharusi, jinsi ya kuepuka na kushinda ugonjwa huo na jinsi physiotherapy husaidia katika kupona.
Understanding the proposed Religious Organization Bill 2024;90% of Kenyan clergy risk imprisonment
Просмотров 191Месяц назад
Je, huu ndio mwisho wa uhuru wa kuabudu nchini Kenya kama tujuavyo? Usisahau kujiandikisha like au shiriki.
Dr. Geoffrey Wango: KWA NINI WANAWAKE HUSHINDA ' MID-LIFE CRISIS' KULIKO WANAUME. || HOSANNA MACHEO.
Просмотров 402 месяца назад
Wanawake mara nyingi hudumisha mitandao ya kijamii yenye nguvu zaidi, ambayo inaweza kutoa usaidizi wa kihisia na kutia moyo wakati wa changamoto. Je, wanaume wanashauriwa kufanya hivyo? Dr. Wango anatuelimisha leo.
IMANI ITAONEKANAJE? || IMANI ITAONEKANA KUPITIA MATENDO YETU. || YESU KRISTO.
Просмотров 722 месяца назад
Matendo yako ndiyo yatanena na kuonyesha imani yako iko wapi. Usikose ku-like, subscribe na share.
UNAPOFANYA CHOCHOTE FANYA NA MATARAJIO NA IMANI. MUNGU ATATENDA. || MARK 5:25-31
Просмотров 462 месяца назад
Na alikuwepo mama mmoja aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na miwili. 26 Mama huyu alikuwa amehangaika sana, akiwa ametibiwa na waganga wa kila aina na kutumia fedha yake yote kwa waganga lakini hakupata nafuu. Hali yake ilizidi kuwa mbaya. 27 Alikuwa amesikia habari za Yesu kwa hiyo alimfuata kwa nyuma, akapenyeza kati ya watu, akaligusa vazi lake. 28 Maana alisema...
PENINA: My dreadful experience in Two accidents and my brother’s head split in three months.
Просмотров 902 месяца назад
PENINA: My dreadful experience in Two accidents and my brother’s head split in three months.
Woman with the issue of blood || Futa Yaliyopita kwa imani || Matthew 9:21-22
Просмотров 652 месяца назад
Woman with the issue of blood || Futa Yaliyopita kwa imani || Matthew 9:21-22
WHY THE SUICIDE RATE IN MEN IS A FEMINIST TOPIC; Are Women the cause of high suicide numbers in men?
Просмотров 172 месяца назад
WHY THE SUICIDE RATE IN MEN IS A FEMINIST TOPIC; Are Women the cause of high suicide numbers in men?
Roho Mtakatifu atakapokuja atawasaidia watu kuelewa makosa yao na kufahamu hukumu ya wakati ujao.
Просмотров 922 месяца назад
Roho Mtakatifu atakapokuja atawasaidia watu kuelewa makosa yao na kufahamu hukumu ya wakati ujao.
Grace M : Sichagui Kazi, Nmewahi Fanya Mjengo. Ningetaka collabo ya Eunice Njeri na Evelyne Wanjiru.
Просмотров 362 месяца назад
Grace M : Sichagui Kazi, Nmewahi Fanya Mjengo. Ningetaka collabo ya Eunice Njeri na Evelyne Wanjiru.
SHOCK. How I Turned A Witch To Be a Hard-core Christian After She Was Sent To Destroy Me. | BASIL|
Просмотров 832 месяца назад
SHOCK. How I Turned A Witch To Be a Hard-core Christian After She Was Sent To Destroy Me. | BASIL|
DAVID AND BATHSHEBA, DHABIU ZA MUNGU NI NINI | The sacrifices of God are a broken spirit | PSALMS 51
Просмотров 552 месяца назад
DAVID AND BATHSHEBA, DHABIU ZA MUNGU NI NINI | The sacrifices of God are a broken spirit | PSALMS 51
JINSI YA KUZUIA MPANGO WA KANDO KULA JASHO LAKO.
Просмотров 1372 месяца назад
JINSI YA KUZUIA MPANGO WA KANDO KULA JASHO LAKO.
DORMAX : HOW I GOT MARRIED TO A CHURCH'S PASTOR, AFTER SLEEPING IN IT FOR 2 MONTHS IN JERICHO.
Просмотров 1982 месяца назад
DORMAX : HOW I GOT MARRIED TO A CHURCH'S PASTOR, AFTER SLEEPING IN IT FOR 2 MONTHS IN JERICHO.
JINSI YA KUJITIKASA ILI KUTUMIKIA MUNGU ||NENO LITAENDELEA NA PST. WANJALA GEOFFREY MUNIALO
Просмотров 3994 месяца назад
JINSI YA KUJITIKASA ILI KUTUMIKIA MUNGU ||NENO LITAENDELEA NA PST. WANJALA GEOFFREY MUNIALO
MDOGO HUBARIKIWA NA MKUBWA || HIMIZO NA VICTOR MANDALA
Просмотров 784 месяца назад
MDOGO HUBARIKIWA NA MKUBWA || HIMIZO NA VICTOR MANDALA
SIRI YA MAMBO YA USONI || HIMIZO NA VICTOR MANDALA
Просмотров 934 месяца назад
SIRI YA MAMBO YA USONI || HIMIZO NA VICTOR MANDALA
JINSI YA KUELEWA LUGHA YA MUNGU || HIMIZO NA VICTOR MANDALA.
Просмотров 364 месяца назад
JINSI YA KUELEWA LUGHA YA MUNGU || HIMIZO NA VICTOR MANDALA.
Sadaka Yako Ni Silaha Yako || HIMIZO NA VICTOR MANDALA.
Просмотров 284 месяца назад
Sadaka Yako Ni Silaha Yako || HIMIZO NA VICTOR MANDALA.
MPANGO WA ADUI KUABISHA MKRISTO || HIMIZO NA VICTOR MANDALA
Просмотров 275 месяцев назад
MPANGO WA ADUI KUABISHA MKRISTO || HIMIZO NA VICTOR MANDALA
Napenda kusikia sana,kupitia hapa nimehenda kiwango ingine🙏
Haki wewe pastor,mwikali mbarikiwa sana 🙏
Post more of this, so much blessing, a very strong voice from God through his servant and the BHB
Amen nena nami Bwana
Asante sana kwa himizo.
Ameen
Wonderful testimony
Glory to God
Amen
🙏🙏🙏❤️
🙌🙌🙌🙌
Amen 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Victor naomba wimbo wa Hezekiah
Hakika mungu wetu ni mwaminifu
Amen Tabby🙏
Halleluyah
very encouraging
Hii kipindi hukuja lini
Kila siku kwa nusu saa kuanzia 0930
Hallelujah
Amen! B blessed
Mafunzo mazuri mtumishi
amen and amen dadaangu esther mwikali mungu akubariki kwa mahuniri na neno
Napenda sana story za Bible. Asante sana 🙏🙏🙏jina la MUNGU lipewe sifa
Tuko pamoja adi tamati ni mama Eric wa south b
Amina
AMEN and AMEN ❤
Hivi Yesu ni kweli amezalia Date 25/12?