Ndachi Sda Church
Ndachi Sda Church
  • Видео 6
  • Просмотров 31 653
Ndachi SDA Choir | Tutamuona
Bado kitambo kidogo tutamuona Yesu akija mawinguni, kila moyo uliochoka unaweza kutiwa moyo na ukweli huu wa thamani!
Просмотров: 226

Видео

NDACHI SDA CHOIR | Yule ajidhaniaye
Просмотров 2,5 тыс.Год назад
Kwaya hii inatukumbusha kuwa "anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke." na ikiwa mtu ameanguka basi ajue kwamba "Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili." 1 Kor 10:12 ,13
Ndachi SDA Choir | Sheria
Просмотров 24 тыс.2 года назад
Wimbo huu unakupasha habari kuhusu siku zijazo kwa mujibu wa kalenda ya unabii wa Biblia na unatuambia tunapaswa kufanya nini sasa na wakati ujao
NDACHI SDA CHOIR | Ayubu
Просмотров 2,3 тыс.2 года назад
Barikiwa na wimbo huu kutoka kwa waimbaji wa kwaya ya kanisa la Waadventista wasabato Ndachi unaokutia moyo kumtegemea Mungu unapopitia mambo magumu kama alivyofanya Ayubu.
NDACHI SDA CHOIR | Inueni macho yenu
Просмотров 2,2 тыс.2 года назад
Wimbo wa kwaya ya Kanisa la Waadventista Wasabato Ndachi kutoka katika album ya "Sheria". Barikiwa unapotazama na kuwashirikisha wengine
KARIBUNI WOTE
Просмотров 6772 года назад
Karibuni katika uzinduzi wa santuri mwonekano (DVD) Ya kwaya ya waadventista wasabato Ndachi, Mungu awabariki wote

Комментарии