Ilitokea shida ya kiufundi TUNAOMBA samahani wasikilizaji na watazamaji wetu
Barikiweni wote mnaotufatilia
Anaeomba mbn maombi hayasikiki
Gerald ODINGO tuwie radhi kuna shida ya kiufundi wakati unaokuja tutaweka sawa barikiwa kwa kufuatilia mahubiri haya
Mungu awabariki, ninafwatilia vizuri kabisa
Msionyeshe waumini kwasababu hakikisha hakuna watu
Ameeeeeeeeeeeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiweni sana
Mungu awabariki
Asante kwa matangazo mazuri ,ya moja kwa moja kutoka unyankindi sda church,,,lakin tunaomba sauti zilekebishwe kwa vipindi vijavyo,,hasa maiki inaposhikwa na mwanaume sauti huwa nzito sana na wakati wa uimbaji.
Tunabarikiwa sana
Asante sana mtumishi Bwana
Anina mtumishi
Nimebarikiwa na ibada ya leo
AMIINA
Mubarikiwe sana
TUNAWASHUKURU SANA WAPENZI WATAZAMAJI MNAOENDELEA KUTUFUATILIA KATIKA HAYA MAFUNDISHO.
Ameen
Dr heresia nakupata vzr Sana
Amen