KWAYA YA VIJANA KKKT MAJOHE
KWAYA YA VIJANA KKKT MAJOHE
  • Видео 16
  • Просмотров 11 725
Kwaya ya vijana Majohe - Amefanya Video Visualizer
#gospelmusic #gospelevent #gospelrehab#kwayazetu #choir
Просмотров: 593

Видео

kwaya ya Vijana majohe - Amefanya (Official Music Audio)
Просмотров 337Месяц назад
Wimbo wa kwaya ya Vijana kkkt majohe ambao upo katika album yetu. Production Writer - Noel Haruni Producer-BEM records
KWAYA YA UMOJA KKKT MAJOHE (Reformation)
Просмотров 5552 месяца назад
Kwaya ya umoja kutokea mtaa wa majohe walivyo shiriki katika uimbaji wa Matengenezo katika usharika wa Segerea KKKT. Uimbaji ambao umekuwa ukifanyika kila mwaka katika majimbo mbali mbali. Lengo la uimbaji huu ni katika kuwa jenga waimbaji wote na walutheri kiujumla juu ya kuimba kwa ku zingatia misingi ya uimbaji wa kilutheri #gospelmusic #kkktkariakoomorningglory #kkktkijitonyama #kkktmbezibe...
HAKUNA MWINGINE (PERFOMANCE MABIBO EXTERNAL)
Просмотров 5935 месяцев назад
Ibada ya Super Sunday iliyo fanyika Ushirika wa kkkt mabibo external chini ya uongozi wa Umoja wa Vijana wa ushirika huo hakika Mungu Ali onekana kwa namna ya kipekee Sana #gospelmusic #mungukwanza #nyimbompya #gospelvibes
AMEFANYA (PERFOMANCE)
Просмотров 5235 месяцев назад
Wimbo huu tuli hudumu katika usharika wa Mabibo external katika uzinduzi wa kongamano la 9 la vijana hakika tulimuona Mungu kwa namna ya kipekee. #gospelchoir #gospelmusic #choir #churchchoir #youthchoir
AMEFANYA SONG
Просмотров 4386 месяцев назад
Kama vijana fahari yetu tunayojivunia ni Nguvu zetu wenyewe ambazo ndyo faida kwa kanisa #gospelmusic #mungukwanza #nyimbompya #nyimbozainjili #nyimbozawokovu #nyimbozayesu
NIMEPENDELEWA
Просмотров 633Год назад
Jumapili ya uzinduz wa Tamasha la #Twenzetukwayesu hakika tulimuona Bwana akituhudumia kwa Namna ya Kipekee Sana #gospel #nimependelewa #twenzetukwayesu #liveperformance
Igizo la Mateso ya Yesu (Mtaa wa Majohe)
Просмотров 597Год назад
Umoja wa Vijana wa mtaa wa Majohe walivyo Fanya igizo la Kuteswa kwake Yesu na igizo Limeanza Pale Yesu anapo Kula karamu na wanafunzi wake #gospel #yesukwanza #jesusfilm
MSHUKURU MUNGU ( LIVE PERFORMANCE)
Просмотров 1,5 тыс.Год назад
Tulipata kibali cha kutumika Katika ibada ya The Year of Victory 2023 iliyofanyika usharika wa kkkt segerea. Mungu ameendelea kufanyika baraka kwetu Hatuna budi kumshukuru Mungu Katika hilo. #injiliyakristo #mshukuruMungu #jinalaketamu #kkktjimbolakati #gospel #gospelmusic2023
HAKUNA MWINGINE (LIVE PERFORMANCE )
Просмотров 3,8 тыс.Год назад
Kwaya ya Vijana ya Mtaa wa Majohe wakimsifu Mungu Katika Ibada ya kumsifu Mungu na kumshukuru iliyofanyika ushirika wa Ukonga kkkt .hakika tulizidi kumuona Mungu kupitia Ibada hii #injiliyakristo #twenzetukwayesu #kkktkariakoopraiseteam #liveperformance
SITAOGOPA LOLOTE
Просмотров 2933 года назад
kwaya ya vijana ikihudumu katika ibada ya mavuno
MAZOEZI YA SAUTI YA VIJANA KKKT MAJOHE
Просмотров 3203 года назад
mazoez ya mwanzo ya wimbo wa Sitaogopa lolote naamini Mungu ataenda kutenda kupitia maombi ambayo yapo katika wimbo huu .pata muda wa kusikiliza ....
KILA NENO SONG
Просмотров 2743 года назад
Mazoez ya kwaya ya vijana wimbo wa kila Neno ambao umekuwa na ujumbe kwa wakristo ambao wanamtukia Mungu na hata ambao hawatumiki shambani mwake kufaham kwamba hatujui siku wala Muda wa kuja bwana Mungu kuchukua wateule
UPENDO WAKE MUNGU
Просмотров 2453 года назад
UPENDO WAKE MUNGU

Комментарии