- Видео 119
- Просмотров 53 409
WIZARA YA KILIMO ZANZIBAR
Добавлен 9 авг 2021
Huu ni ukurasa rasmin kwa ajili ya habar na matukio kutoka Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo
SALAMU ZA WAZIRI WA KILIMO ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
SALAMU ZA WAZIRI WA KILIMO ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Просмотров: 34
Видео
Afisa Kiungo wa Mradi wa Uhimilivu wa Mifumo ya Chakula Tanzania.
Просмотров 1214 часов назад
Afisa Kiungo wa Mradi wa Uhimilivu wa Mifumo ya Chakula Tanzania Mohamed Faida Haji amesema ni vyema kwa wakulima kufuatilia bei za mboga mboga kabla ya kuanza shughuli zao za kilimo ili kuepuka kupungua kwa bei za mazao . Ameyasema hayo alipokuwa katika ziara ya kutembelea soko la mwanakwerekwe ikiwa ni muendelezo wa kuwajengea uwezo kwa vitendo mabwana na Mabibi shamba ili kuhamasisha wakulim...
WIZARA YA KILIMO ZANZIBAR
Просмотров 1316 часов назад
WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo imeleza kuwa itaendelea kuunga mkono jitihada za washirika wa maendeleo na kuwasaidia wakulima ili wapate tija katika kazi zao nchini. Mratibu wa Mradi wa Uhimilivu wa Mifumo ya Chakula Tanzania Zanzibar, Sihaba Haji Vuai ‘Kidume, ameyasema hayo alipokua akifungua mafunzo ya Mabibi na Mabwana shamba, Maafisa kilimo wa wilaya na Maafisa ushirika...
SHAMBA LA VITANGO BAHARI LAZINDULIWA UKUNJWI
Просмотров 1016 часов назад
SHAMBA LA VITANGO BAHARI LAZINDULIWA UKUNJWI
MKANDARASI NA MSHAURI ELEKEZI WAKITOA TAARIFA YA KITAALAMU YA UJENZI WA BONDE LA CHEJU B
Просмотров 62День назад
MKANDARASI NA MSHAURI ELEKEZI WAKITOA TAARIFA YA KITAALAMU YA UJENZI WA BONDE LA CHEJU B
SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI ZANZIBAR UFUNGUZI WA MRADI WA BONDE LA CHEJU B
Просмотров 62День назад
SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI ZANZIBAR UFUNGUZI WA MRADI WA BONDE LA CHEJU B
HUTUBA YA MHE. WAZIRI MAZRUI WAKATI WA UFUNGUZI WA MRADI WA CHEJU B
Просмотров 28День назад
HUTUBA YA MHE. WAZIRI MAZRUI WAKATI WA UFUNGUZI WA MRADI WA CHEJU B
Ujumbe wa Mradi wa Uhimimilivu wa Mifumo ya Chakula wafanya ziara katika Mabonde ya Unguja
Просмотров 5821 день назад
Ujumbe wa Mradi wa Uhimimilivu wa Mifumo ya Chakula wafanya ziara katika Mabonde ya Unguja
MINISTER OF AGRICULTURE, IRRIGATION, NATURAL RESOURCES AND LIVESTOCK VISITS FARMERS' VALLEYS
Просмотров 6628 дней назад
MINISTER OF AGRICULTURE, IRRIGATION, NATURAL RESOURCES AND LIVESTOCK VISITS FARMERS' VALLEYS
WAZIRI WA KILIMO AKIJUBU MASUALA BARAZA LA WAWAKILISHI - MKUTANO WA 17
Просмотров 35Месяц назад
WAZIRI WA KILIMO AKIJUBU MASUALA BARAZA LA WAWAKILISHI - MKUTANO WA 17
KUPANDA MICHE JOZANI
Просмотров 212 месяца назад
MICHE 1000 KUPANDWA MSITU WA HIFADHI YA JOZANI KWA AJILI YA KULINDA MASHAMBA YA WAKULIMA.
FAO WIZARA KILIMO NA WIZARA AFYA KWA PAMOJA WAJA NA KAMPENI YA LISHE KWA NJIA DALADALA PEMBA
Просмотров 1453 месяца назад
FAO WIZARA KILIMO NA WIZARA AFYA KWA PAMOJA WAJA NA KAMPENI YA LISHE KWA NJIA DALADALA PEMBA
TAHA YAJA NA SULUHISHO LA KUHIFADHI VITUNGUU MAJI
Просмотров 1313 месяца назад
TAHA YAJA NA SULUHISHO LA KUHIFADHI VITUNGUU MAJI
TARI WAPO CHAMANANGWE NA TEKNOLOJIA YA MAKAPI YA MIWA
Просмотров 2053 месяца назад
TARI WAPO CHAMANANGWE NA TEKNOLOJIA YA MAKAPI YA MIWA
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA - CHAMANANGWE PEMBA
Просмотров 1,1 тыс.3 месяца назад
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA - CHAMANANGWE PEMBA
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA KIKOSI KAZI CHA WIZARA KILIMO KINAELEKEA PEMBA
Просмотров 1053 месяца назад
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA KIKOSI KAZI CHA WIZARA KILIMO KINAELEKEA PEMBA
TEKNOLOJIA KIGANJANI KWA MAAFISA KILIMO
Просмотров 343 месяца назад
TEKNOLOJIA KIGANJANI KWA MAAFISA KILIMO
Ni jukumu letu kutunza Rasilimali za Misitu
Просмотров 403 месяца назад
Ni jukumu letu kutunza Rasilimali za Misitu
UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA UMEDHIBITIWA ZANZIBAR
Просмотров 383 месяца назад
UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA UMEDHIBITIWA ZANZIBAR
SHERIA NGUMU KWA WIZI WA MAZAO MUHIMU
Просмотров 223 месяца назад
SHERIA NGUMU KWA WIZI WA MAZAO MUHIMU
MATAYARISHO YA SIKU YA CHAKULA CHAMANANGWE
Просмотров 603 месяца назад
MATAYARISHO YA SIKU YA CHAKULA CHAMANANGWE
TAARIFA MAALUMU JUU YA HAKI ZA WANYAMA
Просмотров 254 месяца назад
TAARIFA MAALUMU JUU YA HAKI ZA WANYAMA
mtangazaji bwana mdogo mambio makubwa na ya mada asanteni tumefaidika
Mimi nipo dar es salaam nawezaje kupata mawasiliano yako kwa ajili ya ushauli ninapojiandaa kufanya kilimo hiki cha cabage
Ndaba fund
sawa sawa umenena vema ufatiliaji ndio jambo muhimu
Rabies as a viral zoonosis, we have to be careful.
Big up ZNZ, big up USAID.
Nzuri kabisa pia somo nzuri.
Hawa chatu ni wa nini
huyo chatu aliumwa siku ya Maonesho ya kilimo. hapo anatibiwa
Haswa s
saf sana😊
Hongera sana ukitka kujifunza zaid inkuajee
Big up umenisaidia sana
I dont care but waziri hapa umeongea sio reality, to be honest idara ya misitu imekufa kabisa haina mbinu mpya na misitu mengi inahifadhiwa na private sector eg Jane ball, na wafanyakazi wengi idara ya misitu wamehamia kwenye michanga na maliasili zisizorejesheka na bandarini na pemba ndio imekufa kabisa pale kizimbani utadhani sio idara na ngezi ndio kabisaaa (ninaushahidi wa hili). Mkurugenzi huyu kazi yake kila fursa anampa mwanae alimtoa uchumi wa blue. na pia profesional wengi wameenda sector binafsi hii ni ushahidi tosha misitu pemba ni nothing. Kwenye maendeleo tupunguze siasa at Mkuu wa hifadh misitu ni HR (simtaji jina). In short we should to open our mind and focus on development and not story telling
Hongera sana MH wangu Tekeleza kile tulokutuma wana micheweni
Kwa wafugaji
Migomba inastawi vizuri ikiwekewa mbolea ya samadi/mboki. Sasa huko zanzibar Samadi inapatikana wapi?
Kwa wafugaji
HONGERENI SANA TIMU YETU
Hongera serekali yetu mungu awabarimi
Watching from Kenya
What is the average acreage of a shamba in Zanzibar ??
Mbegu zinapatiksnaje Niko mtwara natamani kulima miwa pia soko lake likoje na mbolea gani zinatumika
nimeipenda
Heka moja inachukua miche minga ya cabbage
Naomba namba ako ya simu
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏❤❤🇹🇿🇹🇿Love burundi 💪🙏
Mimi ninaekaa mkoan wa KAGERA ambako siyo baridi na siyo joto natakiwa nitumie mbegu ipi sahihi lakini iwe ni kabiji yenye kutoa tundra kubwa
leo nimejifunza meng sanaa kuhusu kilimo cha kabej Allah awazidishie nyote mleo tuletea elimu hii
🥊
ahsante
Hongereni Zanzibar 🙏
Ahsante
Safi
Aina ya migomba kimwari bado haizalishwi kwa vingi sana.....
Safi sana tujitahidi kutoa elimu kwa wakulima ili tuzidishe uzalishaji wenye tija...
Good job vijana
Good
thanks WIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO kwa kazi yenu nzuriii
♥️🤝
thanks for watch please subscribe for get new education
Asante sana
Mnatumia mbolea ganii ktk mua?
Nice... Hii ni kilimo organic kabisa hiki hakitumii madawa makali ya viwandani. Kudos!
Hiyo migomba huko nyoma yenu ,bona haikatiwi na badala yake imeaa makuti tena hata ndizi zenyewe zitazaliwa hafifu kwa makuti hayo. Kwani watu wa Wizara ya kilimo hamuoni hiyo mkawashauri wenye migomba hiyo walime migomba kwa tija?
tulime pamoja, kudos
Good juma mama
👍
Subhanallah Shukran ukhty kwa ufafanuzi 😍😍😍allah akuhifadhi mtaalam wetu