- Видео 130
- Просмотров 70 886
Durusu Kiswahili
Танзания
Добавлен 27 сен 2019
Kiswahili kinabadilika kila kuchao. Maneno mapya yanaongezeka na mengine ya awali yanaachwa au yanabadili maana. Durusu Kiswahili ipo kupambanua mabadiliko haya kwa kuangazia maneno mapya, maana mpya na jinsi yanavyotumiwa katika lugha hii adhimu ya Kiswahili. #DurusuKiswahili
Mtazamo wa wanafunzi kuhusu Kiswahili #burundi #shorts
@burundinews103sub @KiswahiliWithAbdulkarim
Просмотров: 340
Видео
Kiswahili Havana, Kuba 2024
Просмотров 5864 месяца назад
Balozi wa Tanzania nchini Kuba, Humphrey Polepole aeleza jinsi Tanzania inavyokuza Kiswahili katika eneo la Karibe na fursa zilizopo kuelekea Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Havana.
Umuhimu wa teknolojia katika kueneza lahaja Kiswahili - Dkt. Mwanahija Ali Juma
Просмотров 504 месяца назад
Teknolojia ni muhimu katika kuhifadhi na kueneza lahaja za Kiswahili - Dkt. Mwanahija Ali Juma
Kiswahili Burundi: Mtazamo wa wanafunzi
Просмотров 7414 месяца назад
Muda wa kufundisha na mtazamo wa baadhi ya wanafunzi, ni miongoni mwa mambo yanayotanza kasi ya ukuaji wa Kiswahili nchini Burundi.
Ufafanuzi: Kwa nini ni Mabasi Yaendayo Haraka
Просмотров 974 месяца назад
Japo neno mwendokasi au mabasi ya mwendo kasi linatumika miongoni mwa wasemaji wa Kiswahili, kimantiki, si sahihi. Sababu zipo kwenye video.
Kiswahili Somalia: Lahaja ni muhimu
Просмотров 4084 месяца назад
Kufuatia kujiunga kwa Somalia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wasomi wanasema kwamba lahaja za janibu hiyo, kama vile Chimbalazi/Chimwiini au Kibarawa, Kibajuni zitaongeza mchango katika Kiswahili sanifu. Huu hapa mtazamo wa mtafiti wa lahaja za Kiswahili, Dkt. Mwanahija Ali Juma.
Ufafanuzi: Kwa nini AI ni Akili Mnemba
Просмотров 2974 месяца назад
Katibu Mtendaji wa BAKITA Consolata Mushi afafanua mantiki iliyoongoza uteuzi wa Akili Mnemba kuwa kisawe cha Artificial Intelligence.
Huduma za Maktaba Zanzibar mkondoni
Просмотров 2424 месяца назад
Mkurugenzi wa Bodi ya Huduma za Maktaba - Zanzibar Bi. Ulfat Abdulaziz Ibrahim, anaeleza jinsi bodi inavyohakikisha kuwa huduma zinapatikana kwa watumiaji wote.
Jumuiya ya Afrika Mashariki iwe na msimmao mmoja kuhusu Kiswahili
Просмотров 2074 месяца назад
Katibu mkuu wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Dkt. Caroline Asiimwe akieleza umuhimu wa kuwa na sauti moja katika masuala yanayohusu Kiswahili.
Safari ya Kiswahili bado, wasafiri tusichoke
Просмотров 1074 месяца назад
Wanafunzi na wasomi ni wengi lakini matumizi ya Kiswahili yanasuasua, asema Prof. Chacha Nyaigotti-Chacha
Kiswahili Italia na Ujerumani
Просмотров 3534 месяца назад
Dkt. Flavia Aiello na Dkt. Roberto Gaudioso waeleza hali ya Kiswahili nchini Italia na Ujerumani mtawalia.
Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine - Prof. Fikeni Senkoro
Просмотров 3575 месяцев назад
Prof. Fikeni Senkoro akidadavua uhusiano uliopo baina ya Kiswahili na taaluma nyingine.
Kwa nini Waziri Dkt. Damas Ndumbaru anaogopa kujitambulisha kuwa ni “ daktari”
Просмотров 1986 месяцев назад
Waziri Damas Ndumbaru asimulia yaliyomkuta alipotambulishwa kwa cheo cha “daktari ”
Kiswahili kilivyochangia Afrika Mashariki kushinda kuandaa AFCON 2027
Просмотров 586 месяцев назад
Dkt. Damas Ndumbaru: Kiswahili ndiyo lugha ya pekee isiyo ya kikoloni
Hotuba ya Rais wa CHAUKIDU katika ufunguzi wa kongamano la 8 la kimataifa
Просмотров 287 месяцев назад
Hotuba ya Rais wa CHAUKIDU Dkt. Filipo Lubua wakati wa ufunguzi wa kongamano la nane la kimataifa la CHAUKIDU. Mada ya kongamano ilikuwa Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine: Dira ya Muskatakabali. #KiswahiliKienee
Salamu za kuwakaribisha wageni wa kongamano la 8 la CHAUKIDU
Просмотров 307 месяцев назад
Salamu za kuwakaribisha wageni wa kongamano la 8 la CHAUKIDU
Tanzania kutoa Tuzo ya Mwalimu Nyerere, MASIKIDU Ufaransa
Просмотров 937 месяцев назад
Tanzania kutoa Tuzo ya Mwalimu Nyerere, MASIKIDU Ufaransa
Kukabili changamoto za ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
Просмотров 2247 месяцев назад
Kukabili changamoto za ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
Nafasi ya walimu na wanajamii katika ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
Просмотров 1837 месяцев назад
Nafasi ya walimu na wanajamii katika ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
Sehemu ya 3: Mfumo unawabagua Wamarekani Weusi
Просмотров 1007 месяцев назад
Sehemu ya 3: Mfumo unawabagua Wamarekani Weusi
Sehemu ya 2: Kuboresha uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi
Просмотров 927 месяцев назад
Sehemu ya 2: Kuboresha uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi
Kuboresha uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi ili kukikuza Kiswahili - Sehemu ya 1
Просмотров 1787 месяцев назад
Kuboresha uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi ili kukikuza Kiswahili - Sehemu ya 1
Usipotumia akiliunde, nafasi yako itachukuliwa na wanaoitumia @ChatGPT-AI
Просмотров 4677 месяцев назад
Usipotumia akiliunde, nafasi yako itachukuliwa na wanaoitumia @ChatGPT-AI
Tuwaandikie wageni msamiati mwepesi - Nyambari Nyangwine
Просмотров 1448 месяцев назад
Tuwaandikie wageni msamiati mwepesi - Nyambari Nyangwine
Mchango wa migogoro katika ukuaji wa Kiswahili
Просмотров 140Год назад
Mchango wa migogoro katika ukuaji wa Kiswahili
Kiswahili kinalipa ukiwa na ubongo - Wallah bin Wallah
Просмотров 275Год назад
Kiswahili kinalipa ukiwa na ubongo - Wallah bin Wallah
Mwalimu, huwezi kufundisha kitu ambacho hukijui
Просмотров 95Год назад
Mwalimu, huwezi kufundisha kitu ambacho hukijui
Kweli kabisa. Kiswahili kinakua😊
Huyu mwenyewe hajui kiswahili vzuri . Kiswahili kipo tanzania achana na wasanii , watanzania tunazungumza kiswaili vzuri sana na tunazungumza vzur na tunakosoa mtu anapokikosea .
We jidanganye na jiridhishe, Ukweli unaujua japo unajifanya huujui. hata hiyo ni gani unayoongeza yaweza kukuonyesha ulivyo mtupu kwenye ugwiji, weledi na unyakanga wa Kiswahili.
Sio Caribe bali ni Caribbean okay.thankx
Tanganyika hasio nchi ya Waswahili ni nchi ya Wazaramu,Wahaya,Wachaga ,wamakonde ,Wahehe ,Watanganyika ni Wanigeria wa East Africa sawa,hawana milla wala tabia wao ni wizi na Umalaya tuu ,Ukiwa muarabu maana yake lugha yako ni kiarabu tuu ukizungumza lugha nyenyike ni foreign language to you,nauliza suali Watanganyika wana lugha ngapi¿if you are Scottish English is foreign language 2 you okay it would be very please to you to know who you are.thanks
Kiswahili fusgha kweo ni Zinjibar 💯👌 every body knows about it.thanks
Wewe ni mzushi tu hauna lolote
👍👍👍🇹🇿👍👍
Kwanini hamkitumii?
Kiswahili ni lugha ashirafu tamu na adhimu toka Lamu twavyofahamu
Swadakta maneno yako nikweli
Kiitaliano na Kiswahili, lugha mbili ninazozipenda mno ❤ Mm ni mkalimani wa Kiitaliano, natumai nitakua mkalimani wa Kiswahili pia (nikiendelea kusoma kwa bidii). Kiswahili ni kama bahari inayojaa maneno, misemo, methali, nahau na kadhalika. Kama wahenga wanavyosema mvumilivu hula mbivu na siku moja juhudi zangu zitazaa matunda.
Jiunge na vyama vya wanataaluma kama vile CHAUKIDU pamoja na EAITA.ORG ujinoe pamoja na wataalamu wengine.
Sasa iyo inatusaidia na nini
Mawazo yote kuhusu kiswahili Cha Kenya na Tanzania ni potofu. Wote wanaongea kiswahili kizuri tu. Ni sawa na kiingereza Cha england, Canada, marekani, Scotland etc. lafudhi yaweza kuwa tofauti lakini lugha ni ileile
ruclips.net/video/qKsohAEciho/видео.htmlsi=hCMDXfQ4IuhoghLz
Kiswahili kipo kabla yahii mipaka yakenya na tanzania musidanganye watu ilakiswahili fasaha kinaongelewa unguja mjini
Kila kilicho nde
Hamujambo?mimi naitwa isaie VUGUZIGA kutoka Rwanda,nikawa mpenzi wa rugha ya kiswahili,lakini Kuna changamoto katika jamii,ukijaribu kuongea lugha hii unachukuliwa ama kuonekana mujambazi kwawanawo jihusisha na lugha mbarimbari haswa kimombo,kinginecho kinareta usumbufu mukali ni kwamba wenge wadhani wanajuwa kiswahili,ukitazama vyema ukawakuta hawana ujuzi wowote kuhusu lugha hii,na kingine kuweka kikomo ni ugombaniaji chimbuko ya kiswahili kati ya mu Tanzania na mu Kenya,je mwatushauri nini?
Hatujambo, ushauri ni kwamba ushirikiane na wote wanaokipenda Kiswahili utajifunza mengi.
Kiswahili kwetu sisi watanzania kizuri sio deal sana tuongee juu ya tanzania ya kesho
Zanzibar ndokwenye kiswahili na sio bara
Bara ndo nini? Maana wote ni watanzania na lugha yetu ni kiswahili au yale
mi nasoma kiswahili mwenyewe, natoka italia na ninakipenda kiswahili saaaana kweli
Tatizo pwani ya kenya mlikizarau sana kiswahili sisi wa zanzibar tutakwenda nacho hivyo hivyo ijapokua watu wa bara ya Tanganyika hukiharibu lakini hatujakiacha
Ni lugha pekee Africa ambayo ni rahisi kuwa Lingua franca
Kujifunza kiswahili unapoteza mda wako
We waache tu wa puuzie watajua hawajui maana maisha ni safari ndefu ata mie nilikuaga hivo hivo maisha yakanibidi niende kutafuta maisha Zanzibar nilijutia sana😂 😂😂😂😅
Wa Kenya mliacha Kiswahili na mkaona Kingereza ni lugha yenu basi tulieni na English yenuuu
Kenya na Pwani Ni sehemu tafauti. Pwani yetu iliunganishwa na Kenya 1963.Sisi tulikua chini ya mamlaka ya Zanzibar
Hapo sawa
Uswahilini tuna mda, tusichokifanya leo tutafanya kesho. Kunastarehe tele Uswahilini. Magonjwa ya kimawazo si mengi, upendo na utu umezambaa mno.
Pongezi nyingi Madame
félicitations, vous parlez couramment le swahili
Tatizo ni kasumba ya ujinga kuthamini sana lugha za kigeni, lugha ya Kifaransa si ya Burundi ni ya taifa la Ufaransa kwa hiyo mkataa kwao ni mtumwa poleni sana. Those who deny their culture and language are stupid, are part of the ignorant, Ceux qui nient leur culture et leur langue sont stupides, font partie des ignorants. vraiment désolé pour le Burundi et les francophones
C'est vrai
Ahsante sana Jazaka LAAH khaira hapo nimekuelewa kwa ufasaha mzuri
Kongole sana kwa Baraza la Kiswahili Tanzania na washititi wote wa Kiswahili, hakika tutazidi kubidhaisha lugha yetu adhimu ya Kiswahili👏👏💪
HUMPHREY SLOW!! I KNOW WHAT POLEPOLE MEANS IN SWAHILI!!
Kiswahili ni fahari yetu sisi Waafrika.
Ndiyo kiswahili ni lugha nzuri sana❤
Ndiyo kiswahili ni lugha nzuri sana ❤❤
Watching from Angola 🇦🇴 Portuguese speaking nation 🇦🇴.... Mimi Ninapenda sana kizungizia lugha ya Kiswahili
Being a grandson of a fijian chief, our legend state we traveled down the river Rufiji in Africa south of Tanzania, Apparently we were warrior who also worked as gold mines Egypt
In Africa, in this Taqanaika region, dwelt for a long time warrior group of people called the'Viti 'people Africa king them very well
I'm from fiji Island pacific My grandfather came from Tanganyika Rufiji river 1st century cushites from Ethiopia settle in Tanganyika 10th century AD about this time the fable of fijian from Tanganyika
ooh u are most welcome i am tanzanian my mother came from Rifiji
Mbona umefanana sana na Dr zeyana au muko ndugu?
Ufafanuzi mzuri sanaaaaaaaaa
Hapana si akili bandia bali ni akili mnemba.
Kiswahili ni lugha yenye mswano mkubwa.
Mmefanya vyema sana ukuza lugha hii yetu adhimu.
Asante Consolata kwa kunielimisha kuhusu chimbuko la neno mnemba. Kiswahili fahari yetu kitukuzwe.
Ahsnte madam ulfat mwalim wangu kipenzi upo sawa nakuaminia
However Kiswahili cha Zanzibar ndio asili. Lakini waandishi na watangazaji wa redio za SMZ ndio chanzo cha kufuja kiswahili cha ZNZ pamoja na vituo binafsi vya redio watangazaji almost ni Watanganyika huwa wanazungumza Kibongo tu.
Muwamba Ngoma ngozi huvutia kwake!!! " Wakaitukua"? Au wakaichukua?
Eti " nthe ndani" au nje ndani? Mbona bado sana
@@graciousakida3811Elewa Kuna lahaja tafauti katika mwambao wa Pwani. Hakusema makosa hapo
Asante sana kwa video hii. Najifunza Kiswahili sasa na najaribu kutazama video kwa Kiswahili ili kuboresha uwezo wangu wa kusikiliza.
Ok merci mère Boss 🤝
Future kwa Kiswahili