- Видео 13
- Просмотров 33 557
KWAYA YA WATAKATIFU PETRO NA PAUL
Танзания
Добавлен 8 мар 2021
CHUNGU YA UPENDO NA. DEO F. NKOKO
WIMBO MAALUMU KWA AJILI YA KUMUOMBEA PUMZIKO LA MILELE MWALIMU NA MWANAKWAYA MELKISEDEKI STEVEN.
Wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Wat. Petro na Paul ya Parokia ya Tukuyu wakishirikiana na upendo group,
ORGANIST: -GASPAR D. IDAWA
MTUNZI: DEO F. NKOKO
S. ENGENEER:KAZIMILI MABOGO
AUDIO &VIDEO -MOZEN PRODUCTION
MAWASILIANO:0746775116
Wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Wat. Petro na Paul ya Parokia ya Tukuyu wakishirikiana na upendo group,
ORGANIST: -GASPAR D. IDAWA
MTUNZI: DEO F. NKOKO
S. ENGENEER:KAZIMILI MABOGO
AUDIO &VIDEO -MOZEN PRODUCTION
MAWASILIANO:0746775116
Просмотров: 1 628
Видео
HONGERA CASTORY
Просмотров 4342 года назад
Enjoy watching catholic videos old videos and new video from my channel
Tunaonja upendo wenu Na. Gaspar Dominick Idawa
Просмотров 7123 года назад
karibuni mtusidie kuwashukuru wakristu mbalimbali wanaotuwezesha kujenga nyumba ya Mapadri na kanisa
SITEGEI Na. Deo Felix Nkoko
Просмотров 9783 года назад
Enjoy watching catholic videos old videos and new video from my channel
MPENI BIKIRA MARIA HESHIMA BY GODWIN JAMES
Просмотров 6663 года назад
Tunaendelea kupata vitu vyetu vya muda kidogo
TUMNYAMAZISHE SHETANI BY Gaspar D. Idawa Kwaya ya Watakatifu Petro na Paul Tukuyu
Просмотров 1,3 тыс.3 года назад
Tunaendelea kuwaletea vionjo vya zamani kidogo
SALAMU MARIA -Traditional - Kwaya ya Watakatifu Petro na Paul -Tukuyu
Просмотров 2943 года назад
karibu uutazame wimbo wa Bikira Maria toka kwenye albam yetu ya ukuu wa Maria
LITANIA YA BIKIRA MARIA ( BIKIRA MARIA UTUOMBEE) BY GASPAR IDAWA
Просмотров 7 тыс.3 года назад
Tuendelee kupata vionjo vya zamani kidogo wapendwa usisahau ku subscribe mpendwa
NISHIKE YESU MKONO BY DEOGRATIAS KALOLELA
Просмотров 10 тыс.3 года назад
ENDELEA KULA VIONJO VYA ZAMANI KIDOGO
UKUU WA MARIA BY DEO NKOKO
Просмотров 7373 года назад
TUPATE VIONJO VYA ZAMANI KIDOGO KUTOKA KWAYA YA WATAKATIFU PETRO NA PAUL KUTOKA PAROKIA YA TUKUYU JIMBO KUU KATOLIKI LA MBEYA.
MWANAMKE NI NGUZO YA JAMII BY GASPAR D. IDAWA
Просмотров 9 тыс.3 года назад
WIMBO MAALUMU TOKA KWAYA YA WATAKATIFU PETRO NA PAUL PAROKIA YA TUKUYU JIMBO KUU KATOLIKI LA MBEYA KWA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HONGERENI AKINA MAMA WOTE
Hongera sana; sauti nzuri, utulivu na pongezi kwa mtunzi. Mungu azidi kuwainua kutoka kiwango hadi kiwango. 🎉🎉
Hongereni kwa kazi nzuri 🙌
Hongerenii sana kwa utume mko vizuriii sanaaa nmependaa sana wimbo wenuu
Mtunzi umetisha sana ,,Mungu akubarik na Kwaya yote kwa kuimba vizuri
Hongereni sana kwa uinjilishaji wa njia ya kuimba.
Hongereni sana kwa uinjilishaji wa njia ya kuimba.
Hongera sana kwa Ujumbe mzuri kwa siku ya wanawake,barikiwa sana.
Safi sana
Wimbo mzuri sana
Asante sana
Mmetisha sanaaa
Asante sana
Mungu azidi kuwapa kipawa zaidi mumtumikie bila kuchoka hongeren sana
Mubarikiwe mnoo kwa sapoti yenu kuu katika kufanikisha Siku ya Wanawake Duniani nawashukuruni mnoo.
Ubarikiwe nawe kwa sapoti yako
Hongereni sana jamani
tunashukuru