- Видео 4
- Просмотров 2 182
Frank Ngonyani
Танзания
Добавлен 21 июн 2016
Uinjilishaji, Maombi, Ibada, Kwaya(Nyimbo za Injili)
Frank Ngonyani- MTAKATIFU (Official Lyrics Video)
Wimbo "MTAKATIFU" umetungwa na kuimbwa na Frank Ngonyani mahususi kwa kumwabudu na kumsifu Mungu.
Audio imetengenezwa na Producer Immanuel Mpanda kutoka Great Nation (GN) Music Studio.
Rylics Video Imetengenezwa na Kuhaliliwa na Director KISUSA (OPKSTUDIOZ) @opkstudioz
Fuatilia kwa kubonyeza alama ya Subscribe, comment, like na ku share maudhui ya chaneli hii, ili ubarikiwe na Mungu kupitia huduma ya Frank Ngonyani kwa nyimbo nyingi zaidi za kusifu na kuabudu.
Nifuatilie kupitia mitandao ya kijamii (Follow me in all platforms):
Instagram: @frankngonyani2024 frankngonyani2024
RUclips: @franktngonyani
Facebook: Frank Ngonyani web. frank.ngonyani/
Spotify: Frank Ngon...
Audio imetengenezwa na Producer Immanuel Mpanda kutoka Great Nation (GN) Music Studio.
Rylics Video Imetengenezwa na Kuhaliliwa na Director KISUSA (OPKSTUDIOZ) @opkstudioz
Fuatilia kwa kubonyeza alama ya Subscribe, comment, like na ku share maudhui ya chaneli hii, ili ubarikiwe na Mungu kupitia huduma ya Frank Ngonyani kwa nyimbo nyingi zaidi za kusifu na kuabudu.
Nifuatilie kupitia mitandao ya kijamii (Follow me in all platforms):
Instagram: @frankngonyani2024 frankngonyani2024
RUclips: @franktngonyani
Facebook: Frank Ngonyani web. frank.ngonyani/
Spotify: Frank Ngon...
Просмотров: 1 126
Видео
Frank Ngonyani - MWAMBA Lyrics
Просмотров 2712 месяца назад
Wimbo "MWAMBA" umetungwa na kuimbwa na Frank Ngonyani mahususi kwa kusifu. Audio imetengenezwa na Producer Immanuel Mpanda kutoka Great Nation (GN) Music Studio. Rylics Video Imetengenezwa na Kuhaliliwa na Director KISUSA (OPKSTUDIOZ) @opkstudioz Fuatilia kwa kubonyeza alama ya Subscribe, comment na ku share maudhui ya chaneli hii, ili ubarikiwe na Mungu kupitia huduma ya mtumishi wa Mungu Fr...
Frank Ngonyani- SIJAONA KAMA WEWE (Official Lyrics Video)
Просмотров 8182 месяца назад
Wimbo "SIJAONA KAMA WEWE" umetungwa na kuimbwa na Frank Ngonyani mahususi kwa kusifu. Audio imetengenezwa na Producer Immanuel Mpanda kutoka Great Nation (GN) Music Studio. Rylics Video Imetengenezwa na Kuhaliliwa na Director @onesmophiliberth7089 @opkstudioz @opkstudioz Fuatilia kwa kubonyeza alama ya Subscribe, comment na ku share maudhui ya chaneli hii, ili ubarikiwe na Mungu kupitia hudum...
Umuhimu wa Maombi kwa Mkristo- Frank Ngonyani
Просмотров 713 месяца назад
Umuhimu wa Maombi kwa Mkristo- Frank Ngonyani
Barikiwa sana kwa kazi njema ya kumtukuza bwana Mungu wetu.
Hakika yesu ni mwamba maana yeye ndo kila kitu kwetuu
Hongera sanaa kaka
Hahahahahahaahahh God bless you my brother more than ase you made it perfect
Mungu akubariki sana
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kazi yako ikazidi kuwa njema sana kama tulivyo umbwa katika wema sana.may God bless you much
@@isakaaroni999 Amina sana mpendwa, Mungu ni mwema.
Hongera sana
Hongera sana
@@simionambakisye Ahsante sana baba.
Mungu abariki kazi yako na kukufanyia wepes mkuu
Ahsante sana Wensesiraus🙏🙏
Ongera Sana Kaka mungu akutie nguvu na azidi kukupa kibali
@@EgidiusMzalendo Ahsante sana mzalendo. Ameeeen.
Kazi yako njema Baba wa mimi❤
Ahsante sana Mtoto wa mimi. Mungu wetu ni mwema kwa kweli.
Hongera sana kaka! 👏👏
@@livingkomu1782 Ahsante sana mpendwa.
Hongera kaka
Ahsante Sana Pascal, Mungu ni mwema.
Wimbo mzuri 👏👏👏👏👏
@@godwindaud6503 Ahsante sana. Mungu ni mwema..
Aiseee ujumbe mzuri sana! Hongera sana mtumishi
@@sarafihavango3563 Ahsante sana dada. Mungu ni mwema.
Hongera sana hakika Yesu ni mwamba
@@MakrinaRuhaya Ahsante sana dada Makrina.
Kazi nzuri sana mtumishi wa Mungu.Kazi yako njema sana Kweli Yesu ni Mwamba❤
Ameen, Nashukuru kwa kunitia moyo. Utukufu kwa Mungu.
Hongera sana Kazi nzuri sana
Ahsante sana. Jina la Bwana lipewe utukufu.
🙏
Ahsante
Hongera Sana Mtumishi wa Bwana wimbo mzuri
Ahsante sana Martha. Utukufu kwa Mungu.
Hongera Sana mtumishi
@@michaelbwire5887 Ahsante sana mpendwa.
Hongera brother Frank
Ahsante Sana
Hongera sana kaka ngonyani Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vingine 🙏🙏
@@LightnessMassawe-to3vb Ahsante mzazi wa Lightnes. Ahsante sana.
Hongera sana Mtumishi wa Mungu, Mwenyezi Mungu azidi kukuinua zaidi.
Ahsante Jeremia, Ameeeen.
Good job ma hubby Mungu wetu akuinue Zaid babaa
@@savelakaminyoge1220 Big Ameeeen, Nashukuru kwa Maombi na support yako mke wangu. Mafanikio yangu ni yetu.
Mungu apewe sifaaa🫴kazi nzuri
Ameeeen. Ahsante sana mshana.
🙏 amen
Ahsante Remy
Hongeraa sanaa kaka MUNGU azidi kukuinua zaidi.
Ahsante sana mdogo wangu. Ameeeen.
God bless you more mtu wa Mungu
Ahsante sana
Hongera sana..wimbo mzuri sana...😊 ujumbe mzuri pia
Ahsante sana. Mungu ni mwema ametenda.
Hongera kaka frank
@@LeontiaPeter Ahsante sana. Mungu ni mwema.
👌✊👏
❤