Fido Mgaigai
Fido Mgaigai
  • Видео 35
  • Просмотров 1 118 868

Видео

HUYU HAPA BABA AMINATA TARUMBETA OG NDANI YA SINGELIMIKA FESTIVAL 2025 RONGONI BEACH RESORT
Просмотров 1327 часов назад
SINGELIMIKA FESTIVAL 2025
HUU NDIO MOTO WA JEUSI MC KWENYE TAMASHA LA SINGELIMIKA FESTIVAL 2025 RONGONI BEACH RESORT
Просмотров 2287 часов назад
SINGELIMIKA FESTIVAL 2025
HILI NDIO BALAA LA JETTY MC KWENYE TAMASHA LA SINGELIMIKA FESTIVAL 2025 RONGONI BEACH RESORT
Просмотров 5067 часов назад
SINGELIMIKA FESTIVAL 2025
TAZAMA BALAA LA BOB KIJINO SINGELIMIKA FESTIVAL 2025 RONGONI DAR.mp4
Просмотров 2357 часов назад
SINGELIMIKA FESTIVAL 2025
SINGELIMIKA FESTIVAL 2025 RONGONI BEACH RESORT DAR ES SALAAM (FULL EVENT)
Просмотров 2 тыс.9 часов назад
SINGELIMIKA FESTIVAL - KUINUA SANAA NA UTAMADUNI WA SINGELI Kuhusu Singelimika Festival. Singelimika Festival ni tamasha kubwa la muziki wa Singeli, lililoasisiwa na Msanii na mtangazaji mahiri, Fido Mgaigai. Tamasha hili linawaleta pamoja wasanii wa Singeli kutoka kila kona ya Tanzania, likiwa na dhamira ya kusherehekea, kukuza, na kuelimisha jamii kuhusu muziki huu wa kipekee. Kwa Nini Uwe Se...
Fido Mgaigai ft Misso Misondo - Shamba Boy (Offical Audio)
Просмотров 17412 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #shambaboy
Fido Mgaigai - Mchepuko (Official Audio)
Просмотров 8212 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #mchepuko
Fido Mgaigai - Usishike Simu yake (Official Audio)
Просмотров 9912 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #usishikesimuyake
Fido Mgaigai ft Msaga - Sumu Mwanaume wa maana (Official Audio)
Просмотров 8312 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #mwanaumewamaana
Fido Mgaigai ft Easy Man - Mapenzi (Official Audio)
Просмотров 10912 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #mapenzi
Fido Mgaigai - Mama (Official Audio)
Просмотров 6612 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #mama
Fido Mgaigai - Usisononeke (Official Audio)
Просмотров 6312 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #usisononeke
Fido Mgaigai - No where Like Home (Official Audio)
Просмотров 9612 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #nowherelikehome
Fido Mgaigai Mvua (Official Audio)
Просмотров 10212 часов назад
#singelimika #album #fidomgaigai #mvua
Fido Mgaigai Sina Jema (Official Audio)
Просмотров 12312 часов назад
Fido Mgaigai Sina Jema (Official Audio)
Fido Mgaigai - Udhaifu wangu(Official Audio)
Просмотров 12812 часов назад
Fido Mgaigai - Udhaifu wangu(Official Audio)
Fido mgaigai - Usisononeke (Official Audio)
Просмотров 94514 дней назад
Fido mgaigai - Usisononeke (Official Audio)
Fido mgaigai Ft Msagasumu - Mwanaume wa maana (Official Audio)
Просмотров 6912 месяца назад
Fido mgaigai Ft Msagasumu - Mwanaume wa maana (Official Audio)
Fido Mgaigai - Mine (Official Audio)
Просмотров 1932 месяца назад
Fido Mgaigai - Mine (Official Audio)
Fido Mgaigai - Usishike simu yake (Official Audio)
Просмотров 7293 месяца назад
Fido Mgaigai - Usishike simu yake (Official Audio)
Fido Mgaigai - Mchepuko (Official Video)
Просмотров 8 тыс.5 месяцев назад
Fido Mgaigai - Mchepuko (Official Video)
Fido Mgaigai-Mchepuko(official Audio)
Просмотров 6305 месяцев назад
Fido Mgaigai-Mchepuko(official Audio)
Fido Mgaigai ft Miso Misondo _ Shamba boy
Просмотров 10 тыс.7 месяцев назад
Fido Mgaigai ft Miso Misondo _ Shamba boy
Fido Mgaigai X Yakkah Boom _ Salaam (Lyrics video)
Просмотров 1,2 тыс.7 месяцев назад
Fido Mgaigai X Yakkah Boom _ Salaam (Lyrics video)
Fido Mgaigai X Yakka Boom _ Salaam
Просмотров 4398 месяцев назад
Fido Mgaigai X Yakka Boom _ Salaam
Fido Mgaiagi Ft Mabantu - Ugaigai (official video)
Просмотров 6 тыс.8 месяцев назад
Fido Mgaiagi Ft Mabantu - Ugaigai (official video)
Fido mgaigai - Napenda madem
Просмотров 8289 месяцев назад
Fido mgaigai - Napenda madem
FIdo mgaigai ft Dulla makabila - Kwa mfano
Просмотров 4,5 тыс.9 месяцев назад
FIdo mgaigai ft Dulla makabila - Kwa mfano
Fido Mgaigai - Ugaigai( Official Music Audio )
Просмотров 1,3 тыс.9 месяцев назад
Fido Mgaigai - Ugaigai( Official Music Audio )

Комментарии

  • @dayclass_og
    @dayclass_og 3 часа назад

    Singel mik yamoto wani wote walifanyw pw San kk Fido Day class musanii namgom zangu kalikk

  • @JuniorSalali-g1c
    @JuniorSalali-g1c 16 часов назад

    Apo Scombizo ndo kakimbiza👊

  • @ShabaniKuga-oc6vp
    @ShabaniKuga-oc6vp День назад

    Hapo wahuni wanataka kusikia 45

  • @robbyhans1436
    @robbyhans1436 День назад

    Wahuni sio watu wazuri wamekosa kitu cha kuiba wamebeba mzura wa jamaa 😂😂😂 aliyeona jamaaa anaibiwa mzura wakat jetty mc anaimba agonge like hapa

  • @allykamila3445
    @allykamila3445 День назад

    Nimeangalia show nzima na matokeo ni haya hapa: 6:10 Virus: Marks 55/100 10:21 Sijui nani: Marks 35/100 16:43 Sijui nani: Marks 50/100 19:46 Sijui nani: Marks 55/100 23:59 Sijui nani: Marks 65/100 27:08 Msaga Sumu: Marks 75/100 (Legend) 32:18 Sijui nani: Marks 45/100 33:43 Sijui nani: Marks 40/100 36:56 Man Fongo: Marks 70/100 39:15 Dakota: Marks 70/100 42:22 Sijui nani: Marks 45/100 45:10 Sijui nani: Marks 50/100 55:14 Fido Mgaigai: Marks 85/100 1:21:00 Kidene: Marks 60/100 1:25:55 Jetty mc: Marks 90/100 1:31:35 Dogo Elisha: Marks 75/100 1:35:52 Seneta Kilaka: Marks 60/100 1:38:28 Barobaro: Marks 60/100 1:42:18 Mdogo Sajenti: Marks 70/100 1:46:15 Sijui nani: Marks 60/100 1:48:32 Mchina Mweusi: Marks 60/100 1:50:27 Mimah: Marks 80/100 1:55:09 Sumadu: Marks 75/100 2:00:00 Pk mr konki: Marks 70/100 2:04:23 Sijui nani: Marks 60/100 2:07:24 Msomali: Marks 75/100 2:10:39 Sijui nani: Marks 65/100 2:11:56 Bob Kijino: Marks 75/100 2:15:45 Sijui nani: Marks 75/100 2:17:53 Jeusi MC: Marks 85/100 Ubunifu: 30/100 Sound Quality: 50/100 Maandalizi (Wasanii): 30/100 Jukwaa: 30/100 Organisation: 40/100

    • @allykamila3445
      @allykamila3445 День назад

      Singelimika Festival Review: Tamasha lilikuwa na changamoto kadhaa: • Ubunifu (30/100): Hakukuwa na utofauti wa kipekee. • Sound Quality (50/100): Sauti ya wastani, ilihitaji marekebisho. • Maandalizi ya Wasanii (30/100): Wengi hawakuwa na rehearsal nzuri. • Jukwaa (30/100): Halikuvutia, lilihitaji maboresho. • Organisation (40/100): Uratibu ulikuwa na changamoto. Wasanii waliobamba: Jetty MC (90/100), Fido Mgaigai (85/100), Jeusi MC (85/100), Mimah (80/100). Msaga Sumu (75/100) - Legend! Mapendekezo: • Kuongeza ubunifu (surprise acts, collabs). • Kuboresha sound check na technical setup. • Wasanii waandae performances vizuri. • Kuboresha jukwaa (taa, visuals). • Uratibu bora kwa ufanisi zaidi. Tamasha lilikuwa safi, lakini lina nafasi ya kuboreshwa!

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 2 дня назад

    hatari

  • @lundundatz1825
    @lundundatz1825 2 дня назад

    Kaka hiiindio melody akoo kaka umetisha mnooo fidoooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ashamorecharles
    @ashamorecharles 3 дня назад

    usiombe muhuni awe na hisia za mapenzi kuna songi limepigwa hapo masela hisia KALI MNOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

  • @Wamoro-og
    @Wamoro-og 3 дня назад

    Morogoro ipewe heshima kwenye singeli tuache ubishani, JETTY MC ndo aliyeondok na Kijiji chake, hapa JAy combati hakuepo, RAYZAKO 6G, BASLEY bway, KIDENSA Mc,

    • @becaozil6553
      @becaozil6553 2 дня назад

      kabisaaaa kk moro ipewa heshima jetty amekiwash kinoma........na hap wakal kibao awap sumado,jaycomabt,rayzako 6g

    • @Wamoro-og
      @Wamoro-og 2 дня назад

      @becaozil6553 hatar

  • @MichaelJordan-xf9qd
    @MichaelJordan-xf9qd 3 дня назад

    Bob kijino maskombizo

  • @RayuuAbdallah
    @RayuuAbdallah 3 дня назад

    🎉🎉

  • @evansiswai6089
    @evansiswai6089 3 дня назад

    Unyama sana

  • @kigodolotv
    @kigodolotv 3 дня назад

    Et Camera 📸 man upo wap😂😂

  • @JRCANNABINO
    @JRCANNABINO 3 дня назад

    Noma

  • @dayzamc8082
    @dayzamc8082 3 дня назад

    Bila kuchoka kaka hii pia ume uwa kali na ukali wake

  • @dayzamc8082
    @dayzamc8082 3 дня назад

    Dayza mc apa On love kazi Safi

  • @dayzamc8082
    @dayzamc8082 3 дня назад

    Fido unyamaa sana hii ukiwa na king msaga Ana saga sum zake

  • @mussamressa
    @mussamressa 3 дня назад

    Mwamba ana vibe sana aseee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Neemanyimbo
    @Neemanyimbo 3 дня назад

    Noma2

  • @MajogoDewizy-mi2vu
    @MajogoDewizy-mi2vu 4 дня назад

    Unalilia viatu ?

  • @Singeli_trending
    @Singeli_trending 4 дня назад

    🔥🔥🔥

  • @Singeli_trending
    @Singeli_trending 4 дня назад

    🔥🔥🔥

  • @Singeli_trending
    @Singeli_trending 4 дня назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @Chazmusic_official
    @Chazmusic_official 5 дней назад

    😂😂

  • @Officialmozebtz
    @Officialmozebtz 5 дней назад

    Noma

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 5 дней назад

    All the way from zenji#marashi ya karafuuu🙌🙌🔥🔥

  • @KIM_MWANEY
    @KIM_MWANEY 5 дней назад

    Soon naomba collabo 😅😅😅

  • @KIM_MWANEY
    @KIM_MWANEY 5 дней назад

    Umetisha mzee wangu ❤❤❤

  • @seven_dozen_mc
    @seven_dozen_mc 5 дней назад

    😅😅😅😅

  • @MajogoDewizy-mi2vu
    @MajogoDewizy-mi2vu 7 дней назад

    like home

  • @EssahPointEntertainment
    @EssahPointEntertainment 13 дней назад

    KALIIII🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KhadijaAlly-e8n
    @KhadijaAlly-e8n 14 дней назад

    Please naomba unitafute

  • @JahSon-z5m
    @JahSon-z5m 15 дней назад

    Fido mgaimgai fire man🎉🎉🎉🎉

  • @ottgvg
    @ottgvg 15 дней назад

    Umeau mzazi

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 15 дней назад

    Nilishakataa Kudownload Nyimbo kwenye simu yangu ila hapa nawaza nidownload or niwe narudi kusikiliza hii faraja ili nisiendele kusononeka...🫡🫶

  • @Ochu05
    @Ochu05 15 дней назад

    Fido ni kwel nisisononeke ila hii nyimbo imeniumiza sanaa, na inazidi kunipa amasa ya upambanaji ahsant kwa nyimbo mzur

  • @dianalucas6184
    @dianalucas6184 17 дней назад

    Inspiration song

  • @RabiotRejino
    @RabiotRejino 17 дней назад

    Tupe album kabsa tu enjoy mazima 🎉🎉👍🫣🫣😱😱

  • @RabiotRejino
    @RabiotRejino 17 дней назад

    Wamalize 🎉🎉wagahaaan ok

  • @nkind1773
    @nkind1773 18 дней назад

    Mkubwaa kama mkubwaaa kwenye Uboraa

  • @MajogoDewizy-mi2vu
    @MajogoDewizy-mi2vu 18 дней назад

    Usisoneke mgaigai good music brother 👏👏

  • @KizostarBoyTz45
    @KizostarBoyTz45 18 дней назад

    Ama kweli hii ndo maana ya SINGELIMIKA🎉🎉🔥🔥🫡🫡

  • @Singeli_trending
    @Singeli_trending 19 дней назад

    🔥🔥🔥

  • @Singeli_trending
    @Singeli_trending 19 дней назад

    Usisononeke

  • @richiekendrick749
    @richiekendrick749 19 дней назад

    Nwendo ule ule kaka fdo

  • @SALEHABDULI
    @SALEHABDULI 19 дней назад

    😊😊

  • @makizonemc1374
    @makizonemc1374 19 дней назад

    Kaka nipe colabo nipite🎉

  • @makizonemc1374
    @makizonemc1374 19 дней назад

    🎉🎉🎉🎉 zangu apa

  • @MajogoDewizy-mi2vu
    @MajogoDewizy-mi2vu Месяц назад

    💯💯 mgaigai

  • @MajogoDewizy-mi2vu
    @MajogoDewizy-mi2vu Месяц назад

    Wamaaana