- Видео 93
- Просмотров 40 521
Lawi Mshana
Танзания
Добавлен 6 май 2013
Victorious living and overcoming challenges of life
Maombezi ya kurudisha mwenzi aliyekutelekeza
1. Unajua mtu anaweza kulishwa vyakula (limbwata) na kusahau nyumba yake?
2. Unajua mtu anaweza kuvalishwa kinyago cha sura mbaya asivutie mkewe au mumewe?
2. Unajua mtu anaweza kuvalishwa kinyago cha sura mbaya asivutie mkewe au mumewe?
Просмотров: 1
Видео
Maombezi ya kuangusha ngome za shetani zinazokutesa
Просмотров 14 часа назад
Unajua kama huna mlango wa kutokea hilo sio jaribu bali ni ngome?
Mkopo ni nadhiri lazima ulipe. Usikope kwa imani.
Просмотров 114 часов назад
Jifunze zaidi kupitia www.lawimshana.com
Unajua Mungu ameweka muda wa kukopeshana?
Просмотров 19День назад
Kwa mafunzo zaidi ingia katika tovuti hii www.lawimshana.com
Kukopa, Bajeti na Matumizi
Просмотров 714 дней назад
Pata somo hili kwa maandishi kupitia blog: lawimshana1.blogspot.com/
Unajua kuwa Mshindi ni sifa muhimu kuliko kuitwa Mkristo?
Просмотров 4514 дней назад
Soma ujumbe huu kwa maandishi kupitia Blog ya lawimshana1.blogspot.com/
Tumetumwa kuhubiri dini au Ufalme?
Просмотров 1821 день назад
Pata ujumbe huu kwa maandishi kupitia hii blog: lawimshana1.blogspot.com/
Ongeza thamani ya maisha ya wengine ndipo utafanikiwa
Просмотров 42Месяц назад
Hatukuletwa duniani kwa ajili ya maisha yetu binafsi. Saini ya dole gumba inathibitisha kwamba hufanani na mtu yeyote duniani. Hivyo kuna kazi maalum ambayo ni wewe tu unaiweza. Wafilipi 2:4 “Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.” Mungu alikusudia kumbariki Ibrahimu ili awe baraka kwa wengine. Mwanzo 12:2 “nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na ku...
Tatizo lako unahudhuria ibada badala ya kushiriki ibada
Просмотров 32Месяц назад
Katika maono nilikutana na mpendwa akaniambia bado tatizo lake halijaisha. Nikamwambia, ‘Unajua tatizo lako unahudhuria ibada badala ya kushiriki ibada!’ Kwa kifupi Mungu anapenda tujue kwamba mtu anaweza kuhudhuria (kujaza namba kwenye ibada) lakini hajamaanisha na hana lengo la kukutana na Mungu kipekee. lawimshana1.blogspot.com
Mpe Mungu sababu ya kukubariki
Просмотров 14Месяц назад
Hivi karibuni nikiwa safarini nilisikia sauti ndani ya moyo wangu ikisema, “MPE MUNGU SABABU YA KUKUBARIKI.” Ilibidi niandike maneno haya. Mungu yuko tayari wakati wote kutubariki. Na sisi tunahitaji sana kupata baraka kutoka kwake. Maswali ya kujiuliza ni: 1. Je, tunaweza kumpa Mungu sababu ya kutubariki? 2. Tuna sifa za kupokea baraka zake? 3. Mungu ananufaika na baraka tunazomuomba? lawimsha...
Jina la Yesu - Mama Mchungaji Lawi
Просмотров 9 тыс.Месяц назад
Yesu aliyemshika Petro asizame na akatuliza mawimbi ya bahari, yuko tayari kukusaidia hata wewe leo. Unachotakiwa tu - usisahau kumuita ili ‘akuokoe.’ Mt 14:28-32 “28 Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. 29 Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu. 30 Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akap...
Unaweza kuwa na tatizo usilolijua
Просмотров 602 месяца назад
Mtu mmoja alimpeleka ndugu yake hospitalini ili akapimwe macho. Madaktari wakamshauri na yeye pia apimwe. Alishangaa sana kugundua kwamba yeye ndiye mwenye matatizo makubwa ya macho kuliko yule ndugu yake aliyemsindikiza. Nimegundua kwamba nikiita wagonjwa mbele ili niwaombee kuna watu hawatapita kwa vile hawajui ni wagonjwa. Hivyo kuna wakati naombea kila mmoja kwa kumfuata pale alipo. Nimesha...
Ndoa - Mama Mchungaji Lawi
Просмотров 1562 месяца назад
MUNGU HAKUKUSUDIA WANANDOA WAISHI KAMA WAPANGAJI Wakati pekee ambapo katika uumbaji Mungu alisema SI VEMA au HAJAFURAHI ni pale alipoona Adamu ni mpweke. Mwanzo 2:18 “Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.” Leo tuna wanandoa wengi wanaoishi kama wapangaji - yaani wanaishi pamoja lakini kila mmoja ana mipango yake, malengo yake na maono yake. ...
How can you validate the authenticity of your faith in God
Просмотров 124 месяца назад
How can you validate the authenticity of your faith in God
Unawezaje kuthibitisha uhalisia wa imani yako kwa Mungu
Просмотров 374 месяца назад
Unawezaje kuthibitisha uhalisia wa imani yako kwa Mungu
Watashindana hawataweza - Mama Mchungaji Lawi
Просмотров 3,9 тыс.4 месяца назад
Watashindana hawataweza - Mama Mchungaji Lawi
Je ni sawa kuwatoza watu kwa ajili ya huduma za kiroho?
Просмотров 734 месяца назад
Je ni sawa kuwatoza watu kwa ajili ya huduma za kiroho?
Simu ya mkononi - Mama Mchungaji Lawi
Просмотров 3374 месяца назад
Simu ya mkononi - Mama Mchungaji Lawi
Mabaya waliyokutendea yamekuwa na manufaa kwako
Просмотров 934 месяца назад
Mabaya waliyokutendea yamekuwa na manufaa kwako
The evil they did to you has benefited you
Просмотров 214 месяца назад
The evil they did to you has benefited you
Jinsi ya kuwa mtu mwenye thamani anayetafutwa
Просмотров 315 месяцев назад
Jinsi ya kuwa mtu mwenye thamani anayetafutwa
Tuvunje maagano ya shetani mashuleni
Просмотров 335 месяцев назад
Tuvunje maagano ya shetani mashuleni
Mungu anataka unufaike na taabu yako
Просмотров 955 месяцев назад
Mungu anataka unufaike na taabu yako
Barikiwa sana mama mchungaji
Amen wimbo uko sawabarikiwe❤❤❤
Amen 🙏
Amen mungu die mrisi wetu munbu akubariki dada eimbo uko poa
Amen mungu ambariki yimbo sako
Mungu akuinue viwango hadi viwango ❤pitia yangu pia barikiwa
Maombi yako yanahitajika sana
@@MinjaMshana Amen ntafanya hivo🙏🙏🙏
Habari njema sana Mungu atusaidie
@@EmanuelMshana-e9k Amina
Amen
Amen Amen Mtumishi nimebarukiwa
Amina. Karibu sana.
Asante. Sana kutukumbusha
Asante. Sana kutukumbusha
Amen
Amen
Wao dada Minja Yesu akuinue zaidi na zaidi pamoja na familia yako.
Ameen
Ujumbe Mzuri sana, Mungu akubariki mchungaji
Amina
Amina. Mungu ni mwema.
Bwana yesu asifiwe nainjoi na cm ya mkononi aisee Mungu aendelee kuinua huduma yako mama
Amen. Is a real strong message.God bless you man of God. From this message I remember what The Lord Jesus took me through in my life, which strengthened me very much spiritually.
@@ernestmshana3752 Amen. Glory to God who cares for His people!
Amina Sana mutumishi nimekuelewa
Amina. Mungu akusaidie kupitia ujumbe huu.
Hili ni somo la muhimu sana. BWANA YESU akubariki kwa ujumbe huu.
Amina! Mungu ni mwaminifu kwa watu wake.
Baba askofu ubarikiwe kwa ujumbe was leo
Amina. Mungu ni mwema.
Amina baba askofu Asante kwa somo ra leo
Amina. Barikiwa.
Amina. Mungu anajali watu wake.
Ubarikiwe mtumishi kwa neno renye utisho na upako wa mungu Asante kwa neno ra mungu amina
Amina. Mungu akutane na haja ya moyo wako.
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa neno ra uzima na uchaji wa mungu umefungua fahamu zangu amina
Amina.
Ubarikiwe mtumishi kwa neno renye utii na upako wa mungu amina
Amina. Barikiwa na Bwana.
Ni kweli mtumishi mafundisho yako yanatujenga. Mungu azidi kukutumia.
Amina. Sifa kwa Bwana!
Amina
Asnte kwa baba kwa mafundisjo
Amina. Karibu sana.
Asante sana Mtumishi wa Mungu ni somo ambalo wengi wetu hatuna elimu nayo sana nimebarikiwa kwakweli
Ubarikiwe sana mpendwa kwa MAFUNDISHO mazuri
Saafiiiiiiiii
The way has opened, be blessed man of God.
Thanks 🙏
Thanks!
Mwananchi
Ahsante
Very good presentation, message delivering is very clear. You are not only a preacher but also teacher. Keep going 👍🏾
This is a potent message for this time. However, there is a noise in the background that detracts from your reading and presentation. Please look into it.
So sorry. It is raining heavily in our country so there was a lot of frogs singing outside and the recording room is not soundproofed.
@@DrLawiMshana Thank you for the response, pastor. The frogs there are enjoying a freedom that most of us lack at this time. May the latter and former rain come equally heavily.
Amen.
Barikiwaa
Amen
Mbawana yesu asifiwe .Nibashukuru sana Kanisa halipaswi kukua na jina Kwasababa la mwanzo halikua na jina ukisoma bibilia Matendo ya Mitume
barikiwa baba mchungaji