- Видео 37
- Просмотров 10 527
Swahili Online TV
Танзания
Добавлен 17 июн 2019
Karibu katika chaneli yetu ambayo utapata mawaidha mbali mbali yahusuyo dini tukufu ya uislam
Hapa utakutana na Masheikh wote wenye ushawishi katika jamii kwa namna wanavyowasirisha mawaidha yao kwa ubora na uhakika wa visa,hadithi na aya za Quran tukufu.
Tunakuhakikishia kukuletea kile unachohitaji katika maisha yako ya kiimani
Karibu Swahili Islamic Online TV.
Hapa utakutana na Masheikh wote wenye ushawishi katika jamii kwa namna wanavyowasirisha mawaidha yao kwa ubora na uhakika wa visa,hadithi na aya za Quran tukufu.
Tunakuhakikishia kukuletea kile unachohitaji katika maisha yako ya kiimani
Karibu Swahili Islamic Online TV.
qur'aan ndo ufunguo wa mambo yote duniani"dr shenaz Sheikh"
usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu
pia tufate kwenye account zetu zifuatazo
Facebook: / islamic swahili
Instagram: /islamic swahili
Tiktok: /islamic swahili
Transcript
pia tufate kwenye account zetu zifuatazo
Facebook: / islamic swahili
Instagram: /islamic swahili
Tiktok: /islamic swahili
Transcript
Просмотров: 90
Видео
DR SHEHNAZ VISIT TANZANIA
Просмотров 5014 дней назад
Ziara ya dr shenazi sheikhs nchini Tanzania akipokelewa na muft wa tanzania dr sheikh Abubakar zubeir akiongozwa na mwenyeikiti JUWAkita TAifa mama Shamim Khan wakitoa semina msiktiki wa shia nchini Tanzania pamoja na semina ya wanawake iliyofanyika @Salam restaurant and cafe dar es salaam
LULU DIVA NA HEMED PHD WAZICHA NDANI YA STARTIMES:TUTAWAPA MKASA MZIMA LIKE ZIKIWA NYINGI
Просмотров 12414 дней назад
usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili
CHAWA WA SHARIFU FIRDAUS NA SHEIKH KIROBOTO WAMJIA JUU SHEIKH KISHK "NJOO NA FATWA USIJE NA KAMUSI"
Просмотров 34914 дней назад
@KishkiOnlineTV @TamanFirdaus @AfricaTV2 usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili
MACHAWA WA SHARIFU FIRDAUSI WAMVAA SHEIKH NURDIN KISHK "WEWE NI FEKI"
Просмотров 1,6 тыс.14 дней назад
@KishkiOnlineTV @TamanFirdaus @AfricaTV2 usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili
"Ili Mjadala Niufunge Tokeni Hadharani Fanyeni Hivi" Sh Kishk Awapa Mtihani Mzito Masharifu Feki
Просмотров 2521 день назад
usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili
UST. KADOGOO AWASHANGAA WANAOTETEA MAFUTA YA UPAKO KWENYE UISLAMU, AWATAJA SHEIK KISHIK NA SHARIF
Просмотров 8528 дней назад
usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili Transcript
SHEIKH NURDIN KISHK AWAFANANISHA MASHARIFU FEKI NI KAMA MWAMPOSA TU
Просмотров 7728 дней назад
usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili Transcript
SHEIKH KISHK ALIA NA MASHEKHE WANAOSOMA RUQYA NA HAWANA ELIMU NAZO..AWA MBOGO
Просмотров 2828 дней назад
SHEIKH nurdin kishk awa mbogo awataka masheikh wawapinge wasoma ruqya siyo ya kisheria wawe makini wanapoteza umma usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili
wake zetu tusiwafanye makahaba tuwaheshimu na tuwajali sana
Просмотров 1428 дней назад
sheikh Yusph Abdi akiwa mkoani kigoma anena maneno hayo tuwajali na kuwaheshimu wake zetu tusiwafanye makahaba tuwe nao katika kila hali ya huzuni na furaha usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic sw...
Sheikh :Niyonkuru Abduljabari Atupa dongo kwa Masheikh wanaofanya shirki kwa kufanya ramlii
Просмотров 23428 дней назад
awataja masheikh wote wanaofanya shirki nakusema wafuate suna za mtume na waache tabia kufanya shiriki usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili
Maneno Ya Sheikh Izudin Juu Ya Usharif "Usharifu Ni Nasaba ,We Ni Sharif Jina Tuu Umejipa Jina"
Просмотров 2728 дней назад
sheikh izundin amkingia kifua sheikh kish asema mashirifu wengi ni feki na hawana nasaba na mtume Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili
Usharifu unaujua wewe, wewe ni msoma dua hauna nasaba ya usharifu
Просмотров 1,2 тыс.28 дней назад
HUYU HAPA SHEIK YUSUF DIWANI AKIZUNGUMZIA UWEZEKANO WA MTU KUJIITA SHARIFF IKIWA HATOKI KATIKA UKOO MTUKUFU WA BWANA MTUME MUHAMMAD SAW usiondoke kwenye channel hii bila ya kubofya neno subscribe hapo chini ya video hii na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu pia tufate kwenye account zetu zifuatazo Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islami...
Kumekucha Sharifu Feki Amgusa Pabaya Sheikh Kishk"Sifa Hizi Huna Za Kumfanyia Mtu Dua Acha Utapeli"
Просмотров 137Месяц назад
Kumekucha Sharifu Feki Amgusa Pabaya Sheikh Kishk awa mbogo "Sifa Hizi Huna Za Kumfanyia Mtu Dua Acha Utapeli" awatahadharisha wakina sheikh mazinge na wenzake wanasoma dua .dua zao ni feki hazina ukweli wowote waache utapeliii Facebook: / islamic swahili Instagram: /islamic swahili Tiktok: /islamic swahili
SHEIKH AL HADI MUSA AKIRI MAKOSA AOMBA RADHI KWA MH MUFTI BARAZA HILI SI LA BABA YAKO WALA MAMA YAKO
Просмотров 210Месяц назад
SHEIKH AL HADI MUSA AKIRI MAKOSA AOMBA RADHI KWA MH MUFTI BARAZA HILI SI LA BABA YAKO WALA MAMA YAKO
Sheikh Zubieir bizimana alia na mahari za mabinti kuwa kubwa awataka wazazi wapunguze mahari
Просмотров 140Месяц назад
Sheikh Zubieir bizimana alia na mahari za mabinti kuwa kubwa awataka wazazi wapunguze mahari
hii siyo romantic ni umagharibi🤣 wadada mpoo @KishkiOnlineTV @AfricaTV2
Просмотров 20Месяц назад
hii siyo romantic ni umagharibi🤣 wadada mpoo @KishkiOnlineTV @AfricaTV2
SHARIFU FIRDAUSI AJIBU MAPIGO!! HAKUNA UPAKO NINAKARAMA/HAKUNA ANAEWEZA KUNIROGA/KISHKI
Просмотров 1,3 тыс.Месяц назад
SHARIFU FIRDAUSI AJIBU MAPIGO!! HAKUNA UPAKO NINAKARAMA/HAKUNA ANAEWEZA KUNIROGA/KISHKI
WAISLAM MNAIBIWA HAKUNA MASHARIFU WA UPAKO HAWA NI WEZI HATA KUSOMA AL FATIHA HAWAJUI.
Просмотров 1,5 тыс.Месяц назад
WAISLAM MNAIBIWA HAKUNA MASHARIFU WA UPAKO HAWA NI WEZI HATA KUSOMA AL FATIHA HAWAJUI.
Rais Mstaafu DR Jakaya kikwete Aahidi Mayatima |ISLAM TV|2021
Просмотров 73 года назад
Rais Mstaafu DR Jakaya kikwete Aahidi Mayatima |ISLAM TV|2021
Wasenge nyie majizi
Matapeli wakubwa nyie
Maashaallaah
Kwan miak yoote mlikuwa wapi
Yaaan hadi apo ushamuelewa huyo anaelegeza sauti
Maashaa Allah
@@NahimanaAssumani tabaraka llah sambaza link wapate wengi kufaidika subscribe channel hii
Sawa kabisa, hiki kitu hakiendi kabisa. Na hatujirushi ila umelinywa leo😂
Hujui kitu mshirikina wewe salama zikufikie popote ulipo
Kusoma hujui humfikii kishki wewe na vibaraka wako
Kudadadeki , nyie kama mnafanya ushirikina kwa watu ambao elim yao ni ndogo mkiwa mnajua kabisa hawa elim yao ni ndogo. Laana ya ALLAH iwatafune mpaka mwisho wenu.
Akili huna wewe hujasoma kabisa na sharifu wako feki hata Quran hajui kusoma eti sharifi
jaman jaman jaman tumuogopeni muumba wetu dunia tutaiwacha TU kwaio msitapeli watu jamn jamn mtu anajinyima anapoteza muda na kuwakusanya watu kwa kuwatapeli 😢😢😢😢😢 atujaalie mwisho mwema ushahid wakutosha tumeupata acheni utapeli turud kwa mola wetu acheni achen 😢😢😢😢😢
Ww ni muhongo sana kumanmako uyoo si aliakua mkirsto
Wewe acha uongo kudanganya watu wapigaji kama wakina mwamposa washirikina nyie
jaman shekhe kishki anasema kama huna mtaji kachukue nami nitakuongeza
kaka sharfu anatuchanganya kwenye usomaji wa quan wengi tunamjuwa miaka minne alikuwa ajui kitu achen uchawa mnajizalilisha
Mume wa majini na wachawi hebu tuambie Nikkah ilifungwa wapi na hao majini, acha kuzingua dogo
Allah amempa nn huyo shekhe wamchongo mutaumbuka Na mutafedheheka matapeli wakubwa Allah awaangamize nyote Na mufedheheke tukiona hadharani njaa zmewazidi mpaka katka Dini ya Allah munaleta mzahaha.
Mashallah....Darsa nzuri sana
Sawa wewe nabii ibrahim na huyo mjinga mwenzako ni jibril maana ulioga maji moto hukuungua😂😂
Washirikina
😅 mcheni alah acheni uongo huyo sio SHARIFU huyo ni sharifa
Anza kusoma wewe usojitambua
Mtoto wa miaka minne hawezi kuwa na kumbukumbu ya haya yote...feki sana!
Munatia asila tutawachinjaa waogoo wakibwaa nyiee
Sasa ww ulikuwa na miaka 4 jee yeye alikuwa na miaka migapi na ww unaonekana ww ndo mzee mbona amuna akilii
Allah akuhifadh shekhe kwa kuongea ukweli
Apo alikuwa aneishasilimu ?😂
Ivi umri wa miaka 4 unaweza kua na ufahamu wa kutosha unasema anaumri wa miaka 4 yupo kwake acheni unafki unaapiatu na marazi sio ya kawaida kwaiyo amuamini kupitia mungu mnafk mkubwa
Jinga hili
Dina Hawana Kisha njaaa inawasumbua kishenzi....Allah ☝️atawanyoosha na uwongo wenu....eti Firdausi mkanga mkubwa kwendeni uko ata kusoma qur an pia balaa Kisha alifanya kusilimu
Rudi msikitini kafanye usafi .
Jirekebishe dogo . Wewe n mganga na unapendezea kweli . Mazinge omba mwisho mwema baba yangu huyo dogo asije fanya mwisho wako ukawa mbaya
Halafu cyo talehe ni tarehe
Njaa itakuwa unatafuta umaarufu Kwa kuwapotesha wat
Nyie hamna adabu bakora za nguvu mnahitaji wapumbavu wakubwa njaa tu natamaa ila mtafedheheka nyie
Yule siyo shalifu huyu ni jadali kwanza mshilikina mwizi tapeli jambazi nashangaa hadi mazinge yumo Kweli Pesa inafanyamtu kusaliti Dini
Kinachomponza sharifu firdaus n rafudhi yake tu lkn hana shida na n sharifu kwl allah amjaalie hekma na busara na uvumilivu pia! Lkn mtambue kuwa hakuna mjuaji dunia mjuaji ni allah pekeake kwahyo tusipelekane motoni jmn sisi sote n wa moja!
Ametapeli watu asomewe albadili ajifie zake
Sheikh hata hawezi kuisoma Alamtaraa
Allah awape pigo kubwa kbla ya mezi minne wote wanaotetea utapeli wa bint Fridausi sheikh feki
Kawaida ya waganga wa kienyeji anafatwa kutoka kla Kona na watu wakubwa haimanishi kuwa yy n muhimu Kwa kla mtu
Afanye shenzi ww na Kila anayetetea shirki fanyeni Leo vtisho vya kijinga hamna kitu njaa yakusumbua ..fanyeni na zitawarudia wenyewe IBTHAAL ifanyike ...kuzika vitu Kisha mvitoe ..biashara shenzi nyire...kwanza Hana
Mweusii kama roho yako nyeusii tapelii kubwaaa
Mr mganga tapeliii
Kwaiyo ww na huyu sheikh fardusi😂na mkubwa eti miaka minne😂sheikh muogope Allah hii ni dunia tu tunapita angalia akhera yako 😂
Hapo aulixwe bila hayo maji mungu hawec kuku ponya?
Ndugu mbona unatoa ushuhuda WA mpotovu Firdaus❓wewe NI yeye NI kitu kimoja;washirikina,wanadanganya waislamu na mnacheza na uislamu.Siku inakuja Allah atawaumbua
Mcheni Allah, hii ni Dunia tu
Itafika muda wakweli watakadhibishwa , na waongo watasadikishwa , hizi ndizo zama zenyewe, matapeli wanapigiwa debe kuliko maelezo.
Wanao athirika zaidi ni watu wa vijijini na matukio kama haya ya uovu maana nilimsikia ndugu yangu mmoja anasema kweli huyu ni sharifu lakini mashekhe wanamuonea wivu Lanini alhamdulillah masheke wnazidi kuelimisha umma na huu usharifu wa uongo
Hembu siku moja fundisheni dini kwanza tuone acheni huo uchawi kwanza kama kweli kuna sharifu hapo
Uchawi huo hamna sharifu hapo