- Видео 109
- Просмотров 269 091
Kaimbe Swahili Catholic songs
Танзания
Добавлен 2 фев 2012
Nyimbo za Kikatoliki. Unafika Kanisani, hujui wimbo unavyoimbwa, unaogopa ukiimba utaharibu, unakuwa bubu. Sikiliza hapa "Kaimbe" Kanisani. Nitakua naongeza mara kwa mara.
Kwahiyo shea, laik na sabskraib. "kaimbe ni jina rahisi la uwanja wetu hapa.
TAZAMA: Unaweza kurudiarudia sauti unayotaka kusikia kwa kuigusa/kuiklik muda kwenye mgawanyo chini kwenye maelezo ya wimbo.
If you are Swahili speaking Catholic diaspora anywhere in the world, and would like to teach others Swahili liturgical songs, this channel is for you. Songs will be added regularly.
So share, like and subscribe. "kaimbe" is the simple name for this channel.
NB. You can always playback a particular voice (part) by touching/clicking its chapter time in description under the song.
Kwahiyo shea, laik na sabskraib. "kaimbe ni jina rahisi la uwanja wetu hapa.
TAZAMA: Unaweza kurudiarudia sauti unayotaka kusikia kwa kuigusa/kuiklik muda kwenye mgawanyo chini kwenye maelezo ya wimbo.
If you are Swahili speaking Catholic diaspora anywhere in the world, and would like to teach others Swahili liturgical songs, this channel is for you. Songs will be added regularly.
So share, like and subscribe. "kaimbe" is the simple name for this channel.
NB. You can always playback a particular voice (part) by touching/clicking its chapter time in description under the song.
Tazama anakuja By John Mgandu
0:00 Sauti Zote
0:43 Shairi
1:35 Sauti ya Kwanza
2:10 Sauti ya Pili
2:45 Sauti ya Tatu
3:20 Sauti ya Nne
0:43 Shairi
1:35 Sauti ya Kwanza
2:10 Sauti ya Pili
2:45 Sauti ya Tatu
3:20 Sauti ya Nne
Просмотров: 144
Видео
Hazina ya Mbinguni By David B. Wasonga
Просмотров 5594 часа назад
Mahali fulani nimekosea matamshi. Shukrani nimetamka shukurani 0:00 Sauti Zote 2:33 Sauti ya Kwanza 3:32 Sauti ya Pili 4:31 Sauti ya Tatu 5:30 Sauti ya Nne 1:12 Shairi
Anakuja Mwenye Enzi By. F. A Nyundo
Просмотров 71212 часов назад
0:00 Sauti Zote 1:52 Sauti ya kwanza 2:40 Sauti ya pili 3:28 Sauti ya tatu 4:17 Sauti ya nne
Aleluya Kuu Aleluya Chorus By George Fredrich Handel Part 2 of 3. Tafsiri ya TEC
Просмотров 1,3 тыс.8 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 1:48 Sauti ya Kwanza 3:30 Sauti ya Pili 5:12 Sauti ya Tatu 6:54 Sauti ya Nne
Aleluya Kuu Aleluya Chorus By George Fredrich Handel Part 1 of 3. Tafsiri ya TEC
Просмотров 1,4 тыс.8 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 1:23 Sauti ya Kwanza 2:46 Sauti ya Pili 4:09 Sauti ya Tatu 5:32 Sauti ya Nne
Macho yangu humwelekea Bwana daima By Joseph Makoye
Просмотров 2,1 тыс.9 месяцев назад
Macho yangu 0:00 Sauti Zote 0:57 Shairi 2:05 Sauti ya Kwanza 2:51 Sauti ya Pili 3:37 Sauti ya Tatu 4:23 Sauti ya Nne
Wewe Bwana ndiwe Mtakatifu By Ernestus M. Ogeda
Просмотров 1 тыс.9 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 1:16 Shairi 2:50 Sauti ya Kwanza 3:58 Sauti ya Pili 5:06 Sauti ya Tatu 6:14 Sauti ya Nne
Nalisema nitayakiri maasi By Fr. Amedeus Kauki OFMCap
Просмотров 8219 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 0:50 Shairi 2:08 Sauti ya Kwanza 2:51 Sauti ya Pili 3:34 Sauti ya Tatu 4:17 Sauti ya Nne Download PDF drive.google.com/file/d/1E-U9Kq9lAMFc5O3CccVUlcVu2GeoW2uI/view?usp=sharing
Nitaenenda Mbele za Bwana By John Mgandu
Просмотров 1 тыс.9 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 0:38 Shairi 1 1:23 Shairi 2 2:08 Sauti ya Kwanza 2:35 Sauti ya Pili 3:02 Sauti ya Tatu 3:29 Sauti ya Nne
Moyo wangu umekuambia By J. D Mkomagu
Просмотров 1,9 тыс.9 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 0:39 Shairi 1:42 Sauti ya Kwanza 2:17 Sauti ya Pili 2:51 Sauti ya Tatu 3:25 Sauti ya Nne
Ataniita nami nitamwitikia By Dr. A. X. Matofali
Просмотров 1,2 тыс.10 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 0:52 Shairi 1:56 Sauti ya Kwanza 2:40 Sauti ya Pili 3:24 Sauti ya Tatu 4:08 Sauti ya Nne
Uwe kwangu By J. D. Mkomagu
Просмотров 3 тыс.10 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 1:13 Shairi 2:50 Sauti ya Kwanza 3:50 Sauti ya Pili 4:51 Sauti ya Tatu 5:51 Sauti ya Nne
Ndiwe sitara yangu By Ernestus Ogeda
Просмотров 2,1 тыс.10 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 0:52 Shairi 1 2:05 Shairi 2 3:19 Sauti ya Kwanza 3:59 Sauti ya Pili 4:39 Sauti ya Tatu 5:19 Sauti ya Nne
Njoni Tuabudu Tusujudu by Robert A. Maneno (RAM)
Просмотров 1,1 тыс.10 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 0:49 Shairi 1:51 Sauti ya Kwanza 2:30 Sauti ya Pili 3:09 Sauti ya Tatu 3:48 Sauti ya Nne Kwenye sauti ya nne nimekosea, badala ya kuimba "Tusujudu" nimejikuta nimeimba "Tushukuru" Nimeona uvivu kurudia.
Hiki ni Chakula cha Mbingu By Rev. Fr. D. Ntapambata
Просмотров 2,8 тыс.10 месяцев назад
0:00 Sauti Zote 0:50 Shairi 1:56 Sauti ya Kwanza 2:37 Sauti ya Pili 3:18 Sauti ya Tatu 3:59 Sauti ya Nne Hiki ni chakula cha mbingu, (hakika) Mkate safi wa wampendao, (na pia) kweli ni uzima wa Roho. Yesu shibisha roho yangu, Bwana tuliza hofu yangu, Kaa katika moyo wangu. Nipe nguvu za kukujia Nipe neema za kukufuata, Nipe Moyo wa kukupenda.
Kazi ya mikono yetu uithibitishe By Clement I. P. Msungu
Просмотров 1,7 тыс.10 месяцев назад
Kazi ya mikono yetu uithibitishe By Clement I. P. Msungu
Tunakushukuu Bwana Bwana By F.A Nyundo
Просмотров 1,4 тыс.10 месяцев назад
Tunakushukuu Bwana Bwana By F.A Nyundo
Ee Bwana Mungu wetu utuokoe By Shanel Komba
Просмотров 1,3 тыс.10 месяцев назад
Ee Bwana Mungu wetu utuokoe By Shanel Komba
Unijulishe njia zako - II By Ernestus M. Ogeda
Просмотров 1,2 тыс.11 месяцев назад
Unijulishe njia zako - II By Ernestus M. Ogeda
Mwimbieni Bwana By Davis Milenguko
Просмотров 1,6 тыс.11 месяцев назад
Mwimbieni Bwana By Davis Milenguko
Ee Mungu nchi yote itakusujudia By John Mgandu
Просмотров 1,1 тыс.11 месяцев назад
Ee Mungu nchi yote itakusujudia By John Mgandu
Dondokeni Enyi Mbingu By P.F Mwarabu
Просмотров 1,3 тыс.11 месяцев назад
Dondokeni Enyi Mbingu By P.F Mwarabu
Furahini katika Bwana By Joseph Mkomagu
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
Furahini katika Bwana By Joseph Mkomagu
Astahili Mwanakondoo By Remigius Kahamba
Просмотров 1,2 тыс.Год назад
Astahili Mwanakondoo By Remigius Kahamba
Mawazo ninayowawazia ninyi By John Mgandu
Просмотров 3,5 тыс.Год назад
Mawazo ninayowawazia ninyi By John Mgandu
Tumsifu Yesu Kristu Mwalimu. Mbona kupotea hivi..,....
🙏❤
Sasa si ndo ndio❤❤
Usituache mayatima Tena,😮 Karibu sana Bro.
Asante sana
Nyundo❤❤❤❤❤❤❤
Ulipotea San mzee 🤩🤩
😅😅😅😅 sana
Kidogo ningesahau nilikua natayarisha namna gani😄🤣
Nzuri
Mungu awe pamoja nanyi. Naombeni pia wimbo wa:- 1-jina maria jinatukufu(fr Gregory kayetta) 2-bwana nakupenda wewe mungu wangu(Jerome sam de mwaya)
This is a very good idea more so to us who are eager to learn different voices.Thanks you so much, keep it up.
🎉🎉🎉❤
in memory of my father. wimbo uwafikie wote
Very nice song
so helpful
Naeza pata hizi
I mean notes
Hongera sana, wimbo mzurii wa tafakari.
Mungu akubariki baba kwa kazi nzuri hii
Asante sana, akubarikia pia
Hongera choir ukwakata , na mwl wangu filbert msungu , kaka uinjilishaji mzuri , mimi nakukubali mwl wng.
Big up mwl Florian .singo....safi sana utunzi mzuri . From mwl Charse dar
Wimbo mzuri
🎉
Nyimbo nzuri sana
Very nice song we sung in archdiocese of Nairobi family day
Mwalimu kaazi nzuri naoommba no yakoo
Naezaje jua kuinterprate hizi chords???
❤❤❤❤
kazi safi
hongera sana. Nabarikiwa sana na Neno hili kupitia wimbo huu
Amina. 🙏🏿
Wao viwawa kigango cha kigogo
Asante kwa wimbo huu naweza kuufundisha bila shida be Blessed
Kazi smart🤗
❤❤❤
Barikiwe sana
rejea kazi, tume ku miss
Narejea soon
🙏
nimependa sana
Nmkuu hongera naomba kupata no zako
Kazi mzuri
Praise Jesus Christ the Father is a great song.
Naomba wimbo wa aaaaaamina Do mi re mi fa soooo
Binadamu anapambana na kila challenge......uvumbizi huu ni kati ya mambo muhimu sana katika uimbaji....
Namna gani naweza kupata vitabu vya mziki vya nyimbo izi?natafuta sana nakala ya izi nyimbo
Nyimbo nyingi nimezipata swahilimusicnotes.com chache nimeomba kwa watu mbalimbbali
Nitafanya bidii niongeze link kwenye nyimbo
@@kaimbe Nachunga kabisa na hapo unaweza tuma mwenye adresse mail itakuwa vizuri sana
Jamaa! kwani uliacha kupost? 😢😢sisi Mafans wako una tuacha mayatima😂😂😢😢 rudi kazi, endelea ku post. Sisi ni wafutiliaji wakubwa sana wa channell hii.
Nzuri sanas
daaa safii sanna
Nimeipenda ❤🎉
Nifanyie hiki Ni chakula..... Samuel Abado tafadhali 🤗
Kazi nzuri sana. Mungu akubariki
Naomba wimbo wa mwanzo na wakatikakati jumapili ya nne ya pasaka
Hongera mtumishi kazi nzuli