- Видео 7
- Просмотров 340 335
MrHakiry
Добавлен 3 янв 2011
ijaza.mp4
MJUKUU WA 42 WA SAYYD ABDUL QADRI JEYLANI ,SAYYD MUHAMMAD QAYLANI AKIMPA IJAZA MLEZ WA TWARIKAT LQADIRIYA SAYYD OTHMAN BIN ABDUL QADIR, WELEZO ZANZIBAR.
Просмотров: 4 747
Видео
ZIKR.mp4
Просмотров 61013 лет назад
DARBAH
Просмотров 62713 лет назад
SHEIKH QULATEN.mp4
Просмотров 5 тыс.14 лет назад
qadiriya Sheikh.mp4
Просмотров 132 тыс.14 лет назад
SWAHIB LMAQAM
Просмотров 33 тыс.14 лет назад
سبحان الله سبحان الله سبحان الله
mwenyezi mungu naomba balaka zako.nazabwana mtume na zashekh wangu uyu
Waliii.wa.mungu
❤
Allah awasamehe watu hawa wanaoKohoa wakidhan.wanafanya ibada na huku wakitajaraj malipo Bidaa ni mbaya sana.Nimekumbuka nami nilikuepo enz izoo
Hivi ndio kina omar abu bakar na ali hivi maswahaba walikuwa wanicheza hivi? Niswali nauliza
Mashallah
Swahibu wirdu al sheikh muhammadi ibin nassoro al qadirriya shafiiyiya
Hii code hamuwezi kuijua mpaka cc watu wa twarika
Maasha llaah mabrook alhalmdulillaah rabbil aalamiin
Mashaallah
Usipinge uliza wenye kujua huenda ww ndio hujui hao si wajinga kukusanyika na wakafanya hivyo
Alihabibi sheikh wetu mhammad nassor (R A)
Mashallah
good
Wazee wetu walikuwa na imani thabiti na ndio sababu mambo yao yalikwenda kama walivyokusudia,Leo anatokea mtu anawakejeri wazee wetu,inahizunisha Sana,ukilishwa sumu daima itakuua tu,warda Abbas ninakushauri watafute masheikh wa kitasawwuf ili uweze kuelimika badala ya kuyaponda mambo mema
Warda Abbas kama unadhani kuwa umeelimika basi ninachokufahamisha Bado hujaelimika na bahati mbaya huijui twariqa haya yote yanayofanyika yana ushahidi ulio wazi,nihatari Sana kulilaumu jambo ambalo hulifahamu nakuwaona wenzio kuwa wapo ktk hasara kumbe hasara ipo kwako,kabla ya kuwaponda kwanza unatakiwa uisome tasawwuf ndipo utagundua aina za dhikri na faida zake,vinginevyo utajikuta umeingia kwenye mdomo wa joka baya ambalo ni uwahabi,ambao kazi yao nikuyapinga kila ibada na kitabu Cha mwenyezimungu swt
Allah amraham shekh Muhammad nassor
Waliyullah
Yaan napend sana maashaallah
Watu wa peponi hao
Mashaallah Mashaallah
Mashaallah Mashaallah
Allah Akbar,makao makuu yetu
Hii ndotwariqa sahihi
allahu akbar
Hakun ibada Kama hii ktk dini
Muungu awasameh na atulinde na uzushi huu
Masha Allah. Hii ndio fahari yetu wazanzibar basi natuutunze utamaduni wetu. Raha sanaa
Tumtegemee Allah
mashawah allah barik
Masufi mnaharibu dini mnazua kwenye dini
Kasome
Bidaa!!
Upo wap ubidaa wake
Maa shaa allaah
Jaman hum kuna mtu anaitwa (binam mwana fa) eti anasema ni bidaa iliokithir mm nna maswali yng nahitaji anijibu 1)mtume aliwahi kupiga kura na alikua ana chama cha siasa?, 2)mtume alisegenya na kuzini? 3) mtume kasema uongo? Sasa muulizen yy je hayafanyi hayo tuache na raha zetu tulia ukoooo
Mdungi sijaivyo ati yoti sio bidaa haifai na hayo yote pia hayafai
Mashaallah Allah awabarik nawaona hapo babu mabruk, ba Sharif sele, somo yng MZEE MDUNGI, ba joji, ba MAKAME kombo, Dah kwa kweli NI wengi siwezi kuwesha pongezi kwenu nyote mliotoka M'balungini pita na zako na mkafika hapo nyumban TUMBATU nimemiss sana tena najifaharisha kua mm ni mtumbatu popote najitangaza bila kigugumizi chochote
Jaman karibun nyumban TUMBATU ila mm niko mjini NYERERE Zanzibar
Bidaaa iliyo kithiri - Mtume hakufundisha hivi.
Binam mwana fa dhikr bidaa ilo jina cunampenda uyo msanii au?
Uko sahihi!!
Peace of allah bin apon you please alsufi al qadiriya be written English because wee need to understand your all video I always interst the history of sheekh aweys sul qadiriya rahma tullah caleyk
MaashaaAllah. This is teariqatul-qadiria uweisiyya. Sheikh Muhammad bin Nassor who was swahibul-maqaam and swahib zaman
Yaani namkumbuka kaka yangu mwana muliidu Juma chande MUNGU amrehemu
Kwetu raha sanaaa
Haya ndo mambo ya kusikiliza.chexea mdungi ww
Allah awasamehe na atusameh sie na wazazi wetu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo tunakwenda mkokotoni pia wanafanya. Yaani shida usiku mzima watu kazi kukwangua vifua tu ikifika asubuhi watu wote hoi. Nilikuwa sipendi kweli maana usiku hapalaliki. Kwa sasa nimeelimika Alhamdulilah. Kuna mambo tunafanya kwa vile wazee wetu walifanya .Tujiulize tunafanya ibada kwa vile wazee wetu walivyofanya au tunafanya kwa kufata amri za Allah na vigezo vya Mtume wetu Muhammad sallallahu alayhi wasalam. Tujiulize yeye na maswahaba zake walikuwa wakifanya vioja hivi? Maana kuna watu watasema kuna ubaya gani wa kumsifu mtume? Lakini sio kwa sampuli hii. Tunatakiwa kumswalia kila wakati na hasa hasa siku ya ijumaa. Na kumswalia kwenyewe ni kwa mfano kama huu. Allahuma swali alaa Muhammad waalaalihii muhammad kamaswalayta......... Jamani kutafuta elimu ni muhimu. Tatizo letu hatupendi kusoma waislam tunajiona kwa vile tumezaliwa waislam tunaswali swala tano na kufunga habari imekwisha. Allah atufanyie wepesi kwenye kuitafuta haki na kuachana na yaliyo batwil. Amiin
Wazee wako walikua sawa na hoja wanazo tatizo ulikua mdogo hukuwaomba wakutaftie shekhe wenye dalili. Lkn nakuomba rudi tafuta wanaoendeleza kisha kawaombe mjadala lakini wafate mashekhe wao NA sio kuwafata walikua hawajui. Huwenda tukafikiri wamekosea kumbe wazee wetu walikua karibu ya MTUME SAW kiuzazi kuliko sie vijukuu NA asili ya wazee wetu ni kufata kwa maswahaba ra. Lkn ile aya ilo shuka kuwa kufata mila za wazee wetu hawakukusudiwa waislamu ila ilikududiwa wale walioabudu masanamu sababu wazee wa waislamu ni maswahaba ra. Lkn watu wanapotosha kujifanya aya ilikusudia wazee wa waislamu NA hio wameanzisha makafiri kuwa wazee wetu waislamu ni wapotovu kwaio tuwafuate wao makafiri ndio wapo sahihi. Unaona wanavyoberuza. Lkn pia muislamu akifata mambo ya kikafiri muhimu aonywe
@@hilalalhabsi2047 Assalam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Dadili hazipo ndio maana nikasema akhii. Tumo tunafata mambo yasoeleweka. Hio aya mie nimeifahamu kwamba inaongelewa waliyokuwa wanaabudu masana kama wazee wao. Lakini tusiseme kwamba hizi aya zinawagusa wao tu zinatugusa na sie na ndio ikawa fundisho kwetu. Kwani hivi leo hamna wanaoabudu masanamu wanaomshirikisha Allah na kadhalika? Quran ni muongoza kwa waliopita, tuliopo sasa na wajao. Kufanya dhikr kupo lakini sio kwa njia hio na kumzushia Mtume wetu kwamba kayafanya au maswahaba zake wamefanya kwa njia hio. Ndio tukaambiwa elmu ni fardhi kwa kila muislam wakike na wakiume. Na elmu bora ni iya akhera. Elimu ya kushikamana na Quran na kushikamana na mafundisho ya Mtume wetu Muhammad salallahu alayhi wasalam. Mie naishiahapo. Kazi yangu ni kutuma ujumbe mwenye kuongoa ni Allah. Nakuombea wewe na najiombea mie Allah atujaalie tuache yalio batwil na tufuate yaliyo sahih. Assalam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh
@@wardaabasi6558 waalaikum salaam wa rahma tullah wabarakatu. NA mimi nilikua huko ulipo kwenda weye saivi. Nilikua nikifundishwa kuwaita makafiri watu wa dhikri za kukohoa NA na aina nyingi kwa mfano maulid kuzuri bakaburi NA mengine mengi. Nilipenda kumuomba Allah sw anibainishie ukweli. Nilikuja kuumwa nikapata Shekh mmoja nikamuomba anifunze dua. Wakati ananifunza namuambia shirki bidaa😂. Akaleta dalili zote nikatoka nazo kuwapelekea mashekhe wetu wanopinga nikiwapa wanaingia mitini hawanijibu wsnakimbia. Nikajua ukweli upo wapi. Sasa nipo ulipoondoka
@@hilalalhabsi2047 mie nilikuwa huko kwenye madhikiri hayo maulid , khiitma na kadhalika na sio nasema hivi kwa kujisifu na maovu niliyokuwa nikiyatenda. Baada kupewa nasaha na kwa rehma za Allah Alhamdulilah najitahidi kujiweka mbali na mambo yaliyokuwa hayana mashiko ya hadithi sahih. Kawaida ya Iblis ni kutupambia mambo maovu ili tuyaone mazuri. Nakupa mfano mdogo tu mtu utamwambia kufanya Birthday party haifai hivi walikuwa wakifanya wagiriki wanawasha mishumaa kwa ajili ya waungu wao na hio ni shirki na mwenye kumshirikisha Allah na mauti yakamfikia hajatubia basi anakwenda motoni. Kwa sababu atakuwa ni MushrikL . Allahumma ajirna mina nnar. Mtume wetu wala maswahaba hakutufundisha kulifanya hilo ila alikuwa akifunga siku yake aliyozaliwa. Kwa nini tusiige alivyofanya yeye. Tena mwambie mtu hivyo kwamba Birthay haifai mtafikia kugombana kwa vile lile jambo mtu analipenda na hajawa tayari kuliwacha. Mtu atakuuliza kuna ubaya gani kwani?. .. Na kuhusu makaburi hadithi ipo kuhusu kuzuru makaburi hilo sikupingi na nini cha kusema wakati upo makaburini unawatolea salam waislam waliozikwa hapo makaburi wote na kusema maneno hayo nyie mmetangulia nasie tupo nyuma yenu. Hayo mazushi mengine ya kwennda kusoma quran kwenye qabr nawaachia wenyewe. Na kwenye mambo ya khitma ndugu zetu huna la kuwaambia lolotee. Mtu wakati yuhai swala haitaki kusoma quran alikuwa hataki. Eti leo kafariki mumsomee quran ili iwej? Mambo yatakayomfaa ni Sadakatul jariya, elmu yenye na mtoto mwema ..Ama kwa dua hilo limethibiti na sio watu kukusanyana kila mwaka siku alokufa mtu watu wakajaza matumbo yao. Inatakiwa Kila baada ya swala kuwaombee dua au wakati itakapomaliza adhan wazee wetu.. Na jengine kuhusu kwimwita mtu kafir wakati huna ushahidi wowote haifai. Hebu tujitahidi kufata vigezo vya kipenzi wetu alikuwa anakaa na majirani zake kwa wema hata kama walikuwa ni makafir. Kuna hadithi moja Mtume Muhammad alichinja na alipochinja akagawa fungu akaamrisha akapelekewe kitoweo jiran yake wakati alikuwa sio muislam. Ule ukaribu wetu na kufahamishana kwa busara na amani basi ndio kunavutia watu kwenye Uislam na sio kibabe babee. Waislam tunatakiwa tuwe wenye akhlaq nzuri lakini leo la kuskitisha wabishi ndio sie wazinifu, wezi,.waongo, wenye kudhulumu watu, qashirikina , mashekhe waongo wenye kutafuta maslah ya kidunia ni sie waislam japo kuwa sio wote. Kweli tutapata nusra? Tumekuwa wenye kufuata mambo ya maajabu maajabu. Hivi karibuni Egypt baadhi ya waislam wanataka kuhalalisha kulala na mait kama si ushirikina ni kitu gani?i. Sababu yao kuu nini eti hadithi. Hi imefasiriwa na Anas bin Malik. Tulikuwa tupo kwenye mazishi ya mmoja ya watoto wa Mtume salallahu alayhi wassalam alikuwa amekaa kwenye kaburi, yaani ndani. Nimemuona Mtume Muhammad salallahu alayhi wassalam macho yake yakitokwa na machozi. Akasema, kuna yeyote kati yanu aliyekuwa hajafanya jimai na mkewe jana usiku? Talha akasema mie. Akaambiwa ashuke aingie ndani ya kaburi.Sasa hao wanaotaka kuhalalisha hilo tendo wamechukulia aliambiwa aikingie kwenda kujimai na maiti kwa vile yeye hakuwa miongoni mwa waliokuwa wamefanya jimai. Sasa hapo kwa watu wengine wasokuwa na ufahamu na kufata Mashekhe wanayoyafagilia mambo hayoya kuhalalisha upotovu . watafuata tu bila kuchanganua. Kwa leo yangu ni hayo tu. Allah anisamehe pale nilipokosea. Amiin
@@wardaabasi6558 naombo andika massage kwa ufupi kwasababu unamakosa yanakaribia mia katika maelezo yako kwa hio unanipa tabu nikufunze lipi. Sema moja kisha jengine. Mie nimekuekea maulid NA kuzuru makaburi kwasababu vihoja vyenu vyote navijua NA kimbilio lenu. Wala usiseme ulihusiwa bali sema ulipata bilisi akakupotoa. Njio uliokwenda mbaya omba tena NA sikiza u shauri. Kafiri hawezi kukufundisha uislamu u kabaki salama. Sasa nilikuambia kawatake hoja huko kwa wazee wako NA sio kutiwa jazba za kijinga.
Zikr ndio dawa.
Subhanallah uslam huu ni ule mliyourithi kutoka kwa mababu zenu Laakin si uislam waliokuwa nao mtume sala na salam ziwe juu yake na maswahaba Nalaiti jambo hili ingalikuwa ni dini basi wangelikuwanalo mtume na maswahaba zake Nyinyi tunawajuwa ni watu washirikina wenye kutufu na kuzunguka ktk majeneza na ktk makabuli Na uchafu wenu emeenda mbali mno mpaka mkawazika mashekhe zenu ktk miskiti na mkawa mnayatumia makaburi hayo kuomba sa,ada na majambo yenu maiti hizo badala ya kumuomba allah Na mkazunguka kwa kutufu ktk makaburi hayo NYIE NI WATU WACHAFU KTK DINI HII TUKUFU ni watu ambao mnatakiwa kupigwa vika kama tunavyo wapiga vita mashia qaatala humullah Nyie mskiti wa ngamiani mburahati mmemzika shekhe wenu na mnatufu ktk kabuli lake hii ni shirki acheni uchafu huu Njia yenu hii ni khabitha MUOGOPENI ALLAH KWAKE MTAREJEA
Hujaijua dini nenda kasome umjuwe MUNGU na mtume wake
Nenda kasome adab na jinsi ya kujibu watu kwanza kisha njoo ujibu maswali haya chini: Kukaa pamoja na kumkumbuka Allah ni dhambi au ibada ambayo huzungurukwa na malaika? Sheikh wetu kazikwa nyuma ya msikiti tunakotawadha, wala siyo ndani ya msikitini na hatumuombi yeye haja zetu bali allah pekee Tatizo la mawahabi ni ukosefu wa tarbiya na adab. Mtu asiye na akhlaq huwa anawafukuza watu ktk dini
Allah akbar
Shehe Allah akuhifadhi, hawa majahili yapaswa kupigwa jihadi kwa ushirikina wao na kuwatukuza mashehe zao badala ya Allah
@@jebbywise akishasoma ndio ataoa sehemu watu wanakohoa?
Nikisikia zikri natamani nikeshenayo
Mashaalah tumbatu jongowe hyooo
From tumbatu hiyo huyo mzee ameshatangulia mbele ya haki niyamuda hiyo duuh munatuza
Mzee yupi huyo
shamsu al atiqya R.A
Hamdu, Allah akuzidishie pa1 na wote waliohudhuria,