LAGE TV ONLINE
LAGE TV ONLINE
  • Видео 235
  • Просмотров 453 613

Видео

KUDUGUDA: KOCHA RAMOVIC HAWEZI KUBADILISHA KITU, WACHEZAJI NDIO WENYWE MAAMUZI, TIMU BADO YA GAMONDI
Просмотров 10 тыс.9 часов назад
KUDUGUDA: KOCHA RAMOVIC HAWEZI KUBADILISHA KITU, WACHEZAJI NDIO WENYWE MAAMUZI, TIMU BADO YA GAMONDI
KADUGUDA: YANGA IMECHEZA ROBO FAINALI 4, SIMBA IMEPITA MIAKA 50 HAWAJARUDI NUSU FAINALI CAF
Просмотров 8 тыс.9 часов назад
KADUGUDA: YANGA IMECHEZA ROBO FAINALI 4, SIMBA IMEPITA MIAKA 50 HAWAJARUDI NUSU FAINALI CAF
YANGA INA MOYO MWEPESI
Просмотров 6512 часов назад
YANGA INA MOYO MWEPESI
MWAKINYO: MABONDIA WAENDELE KUNIBEZA HAWANASIFA, MIMI NAMBA MOJA AFRIKA, TONNY RASHINDI....
Просмотров 42114 дней назад
MWAKINYO: MABONDIA WAENDELE KUNIBEZA HAWANASIFA, MIMI NAMBA MOJA AFRIKA, TONNY RASHINDI....
FRIDGE BOVU: UONGOZI WA YANGA CHINI YA ENG.HERSI UNAMADUDU MENGI SANA, GAMONDI NA MSAIDIZI WAKE
Просмотров 60514 дней назад
FRIDGE BOVU: UONGOZI WA YANGA CHINI YA ENG.HERSI UNAMADUDU MENGI SANA, GAMONDI NA MSAIDIZI WAKE
MWALIMU YANGA: KMC WATOKE WATUONESHE MKATABA, MEYAANAFANYA UTOTO, MOALLIN
Просмотров 54514 дней назад
MWALIMU YANGA: KMC WATOKE WATUONESHE MKATABA, MEYAANAFANYA UTOTO, MOALLIN
KISUGU NA MWALIMU YANGA WACHARUANA SAKATA LA KUHAMA CHAMANZI KWENDA KMC
Просмотров 1 тыс.14 дней назад
KISUGU NA MWALIMU YANGA WACHARUANA SAKATA LA KUHAMA CHAMANZI KWENDA KMC
MASAU BWIRE: ACHAMBUA MCHEZO WA SIMBANA YANGA, JKT NDIO TIMU BORA TANZANIA
Просмотров 5614 дней назад
MASAU BWIRE: ACHAMBUA MCHEZO WA SIMBANA YANGA, JKT NDIO TIMU BORA TANZANIA
AHMED ALLY: KILIWAKUTA YANGA PRINCESSNDIO KITAKAWAKUTA YANGA UWANJA WA KMC
Просмотров 1914 дней назад
AHMED ALLY: KILIWAKUTA YANGA PRINCESSNDIO KITAKAWAKUTA YANGA UWANJA WA KMC
FRIDGE BOVU: SHIDA YA YANGA PRINCESSWACHEZAJI HAWALIPWI KAMA SIMBA QUEENS
Просмотров 8114 дней назад
FRIDGE BOVU: SHIDA YA YANGA PRINCESSWACHEZAJI HAWALIPWI KAMA SIMBA QUEENS
MZAMARU SIMBA: KMC WANAWEKA CAMARA, TUNAWAJUA HAWACHELEWI KUFUKIA MBUZI
Просмотров 82914 дней назад
MZAMARU SIMBA: KMC WANAWEKA CAMARA, TUNAWAJUA HAWACHELEWI KUFUKIA MBUZI
KADUGUDA: SISI TUKIITWA YANGA HAIWEZI KUTUFUNGA MARA TANO, MZEE MPILI ANANIJUA
Просмотров 1,1 тыс.14 дней назад
KADUGUDA: SISI TUKIITWA YANGA HAIWEZI KUTUFUNGA MARA TANO, MZEE MPILI ANANIJUA
ALI KAMWE AFUNGUKA SABABU KUHAMIA KMC, SIMBA NA GAMONDI WATAJWAA
Просмотров 3914 дней назад
ALI KAMWE AFUNGUKA SABABU KUHAMIA KMC, SIMBA NA GAMONDI WATAJWAA
ALI KAMWE ALIVYOKAGUA UWANJA WA KMCA AKIMBIZA PAKA, ATAKAE BANWA AONDOKE
Просмотров 57914 дней назад
ALI KAMWE ALIVYOKAGUA UWANJA WA KMCA AKIMBIZA PAKA, ATAKAE BANWA AONDOKE
KADUGUDA AFUNGUKA ALIVYOKIMBIZWA UWANJANI NA MASHABIKI, KISA IMANI
Просмотров 11414 дней назад
KADUGUDA AFUNGUKA ALIVYOKIMBIZWA UWANJANI NA MASHABIKI, KISA IMANI
YANGA HAIWEZI KUVUMILIA MADUDU, WATAMPIGA MAKOFI, GAMONDI AU AONDEKE
Просмотров 5514 дней назад
YANGA HAIWEZI KUVUMILIA MADUDU, WATAMPIGA MAKOFI, GAMONDI AU AONDEKE
UTACHEKA TAMBO ZA AHMED ALLY MUDA HUU BAADA KUKAA KILELENI, KMC NDIO GETO NJOONI
Просмотров 2921 день назад
UTACHEKA TAMBO ZA AHMED ALLY MUDA HUU BAADA KUKAA KILELENI, KMC NDIO GETO NJOONI
“YANGA WAMEFUNGWA WAKIWA WAMELOGASISI TUNALIA NA VIONGOZI TFF WANAJUA”
Просмотров 4521 день назад
“YANGA WAMEFUNGWA WAKIWA WAMELOGASISI TUNALIA NA VIONGOZI TFF WANAJUA”
TAZAMA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WALIVYOCHARUANA NJEE YA UWANJA BAADA YA KIPIGO
Просмотров 2821 день назад
TAZAMA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WALIVYOCHARUANA NJEE YA UWANJA BAADA YA KIPIGO
AKILIMALI YANGA: PENGO LA BACCA LIPO, GOLI TATU NI NYINGI TUMEUMIA SANA
Просмотров 70321 день назад
AKILIMALI YANGA: PENGO LA BACCA LIPO, GOLI TATU NI NYINGI TUMEUMIA SANA
MCHOME MAPOVU: TABIA ZA MAREFA KUWAPA KADI NYINGI CHANZO CHA KIPIGO YANGA LEO
Просмотров 67221 день назад
MCHOME MAPOVU: TABIA ZA MAREFA KUWAPA KADI NYINGI CHANZO CHA KIPIGO YANGA LEO
KADUGUDA ACHAFUKWA KUHUSU NAFASI YA KAIMU KOCHA STARS, UTARATIBU MBOVU
Просмотров 29321 день назад
KADUGUDA ACHAFUKWA KUHUSU NAFASI YA KAIMU KOCHA STARS, UTARATIBU MBOVU
KADUGUDA: SIMBA BINGWA. HUWEZI KUIFUNGAYANGA KWA KUJIANDAA SIKU TATU. WIKI
Просмотров 9 тыс.21 день назад
KADUGUDA: SIMBA BINGWA. HUWEZI KUIFUNGAYANGA KWA KUJIANDAA SIKU TATU. WIKI
KADUGUDA: VIONGOZI SIMBA WANAPASWA KUWAIGA YANGA, AZAM WANAFELI HAPA
Просмотров 1,5 тыс.21 день назад
KADUGUDA: VIONGOZI SIMBA WANAPASWA KUWAIGA YANGA, AZAM WANAFELI HAPA
SHABIKI SIMBA AICHAMBUA MECHI KIUFUNDI JEAN AHOUA, NOUMA NA AWESU AWESU NI HATARI
Просмотров 1421 день назад
SHABIKI SIMBA AICHAMBUA MECHI KIUFUNDI JEAN AHOUA, NOUMA NA AWESU AWESU NI HATARI
NYOTA WA KMC KENNY: TUMEFANYA MAKOSAWAYATUMIA SIMBA WALIKIKUWA BORA
Просмотров 321 день назад
NYOTA WA KMC KENNY: TUMEFANYA MAKOSAWAYATUMIA SIMBA WALIKIKUWA BORA
TAZAMA MAMA BOCCO ALIVYOSHINDWA KUJIZUIA BAADA YA USHINDI MNONO WA SIMBA
Просмотров 9921 день назад
TAZAMA MAMA BOCCO ALIVYOSHINDWA KUJIZUIA BAADA YA USHINDI MNONO WA SIMBA
PASI MILIONI APAGAWA NA PIRA LA SIMBA ATAJAIDADI YA PASI WALIZOPIGA LEO
Просмотров 5721 день назад
PASI MILIONI APAGAWA NA PIRA LA SIMBA ATAJAIDADI YA PASI WALIZOPIGA LEO
AFISA HABARI KMC: NI KWELI SISI NI WATEJA WASIMBA, IMENIUMA, WATUMEZALILISHA NYUMBANI
Просмотров 22621 день назад
AFISA HABARI KMC: NI KWELI SISI NI WATEJA WASIMBA, IMENIUMA, WATUMEZALILISHA NYUMBANI

Комментарии

  • @Amosiakyoo
    @Amosiakyoo День назад

    Amin sana mtumishi

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 2 дня назад

    Simba yetu Bado sana. Mimi naona Leo tulizidiwa sana na Bravos. Mechi ya marudiano watatufunga kama hatutakirekebisha.

  • @lillianbupe5436
    @lillianbupe5436 2 дня назад

    Amen

  • @ElinihakiMsuya
    @ElinihakiMsuya 2 дня назад

    Jifunzeni kwa huyu Mzee kaduguda mpira siyo mnakurupuka.namm nasema yanga itafika nusu fainali au fannali

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 2 дня назад

    Huyu mtangazaji anajua kweli anachouliza?

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 3 дня назад

    Ataje miaka walofika robo

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 3 дня назад

    Shogaaaamzee

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 3 дня назад

    Huyu Mzee naye ni kalio

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 дня назад

    KADUGUDA NAMPA HESHIMA YAKE,NI MKWELI SANAAA,LICHA YA USIMBA WAKE NI MZEE WA FACT SANA,HONGERA KWAKE MIMI NI YANGA

  • @AbdallahMbonde
    @AbdallahMbonde 3 дня назад

    Simba alicheza nusu fainali ya Klabu Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza mwaka gani? Na ilicheza na timu gani? Na matokeo yalikuwaje? Robo fainali alimtoa timu gani hadi simba ikaingia nusu fainali? Kaduguda atujibu maswali haya

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 3 дня назад

    Mzee anapenda kuisifua yanga sana

  • @medimajogoo
    @medimajogoo 3 дня назад

    mawazo mabovu mchukue ww gamond

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 3 дня назад

    Big up sana Mzee wangu huna baya huna unafiki wala kasumba wew nimtu mpira🔥👍

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 дня назад

    Mbona mmeikata?

  • @RobatAllaya
    @RobatAllaya 4 дня назад

    Vip mbona una gata maneno

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 4 дня назад

    Mzee kaduguda mtu wa maana kabsa huyu,nakukubar sana mzee unajua mno kuhusu mpira❤❤❤

  • @LaulentLameck
    @LaulentLameck 4 дня назад

    MZEE kadugida upo sahihi Burura wachache hawawezi kukuelewa rage alikua sahihi

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 4 дня назад

    Mtangazaji BADO sana. Kilicho mshinda Hungary Nini umemkatisha

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 3 дня назад

      @@JemaMhagama-oz6me Hawa wachambuzi wamezoea kuzodoa, kufitanisha, uchawa na ni vigumu kwao kubadilika. Mtu mwenye akili angetumia muda huu kumsikiliza Kaduguda kuliko kumkatishakatisha kwa kuanza mambo ya umbeya kama walivyozoea. Sielewi tatizo ni la vyuo kukosa walimu wazuri maana ukimuuliza ana elimu gani utashangaa anakuambia ana PHD ya hicho unachoona anafanya hapa mtandaoni. Very boring.

  • @azizaj776
    @azizaj776 4 дня назад

    Mzee Kaduguda Simba hawakutaki achana nao wanasema unajikomba ili urudishwe uongozini ili upoga vita Njaa achana nao simba

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 дня назад

      Achane na simba aende wapi sasa shangazi

  • @ferdinandimani1517
    @ferdinandimani1517 4 дня назад

    Mzee heshima zako.kurusha shilingi to know who advances to the next stage ilikuwa balaa

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 4 дня назад

    Mzeee yupo sahihi ❤

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 4 дня назад

    Mzee Kaduguda, heshima yako. Hawa watoto hawawezi kukuelewa. Halafu hawataki kujifunza kwa sababu hawataki kuonekana kuwa hawajui. Huyu anayekuhoji hana kitu kama hicho na hat wamezoea uchambuzi wa kimajungu na kufitanisha na ndio kipaumbele cha kizazi cha nyakati hizi. Wananunuliwa na kulipwa kwa kufitanisha .

    • @AhadiKeyekeye
      @AhadiKeyekeye 3 дня назад

      Hao ndo wale wazee wa simba, 😅😅😅

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 дня назад

      Ni kweli waandishi na wachambuzi wa leo wengi njaa sana wanaishi kwa bahasha za timu

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 4 дня назад

    Hajaenda walikwenda yanga

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 4 дня назад

    Hawa vijana wa miaka hii ninshida , badala ya kusikiliza madini ya mzee Kaduguda anamkatisha katisha kwa maswali ya kizushi. Jifunzeni kusikiliza na punguzeni kuongea katikati ya maongezi ya uliye mwalika.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 4 дня назад

    Kwa mara ya kwanza robo fainal 1969 ilicheza na asante kotoko ya ghana na centre foward wake alikuwa kitwana manara.

  • @195941233
    @195941233 4 дня назад

    Ameishiwa. Tafsiri za kichwa kibovu 😊

  • @stephanSandika
    @stephanSandika 4 дня назад

    Hayo ndy madini

  • @officiallnobystar
    @officiallnobystar 4 дня назад

    Mzee Kaduguda Anaongea Ukweri Sasa Dah😂😂

  • @ignasamando9593
    @ignasamando9593 4 дня назад

    Huu mzee njaa inamsumbua Mbona anaongea haya saa hizi alipokuwa mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi mbona alikuwa habwabwaji hizo mambo.Kaa kimya uongozi ni mbio za vijiti.

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 4 дня назад

    Mzee Kaduguda pole mzee huyo Mtangazaji anaekifanyia mahojiano, mwalimu wake wa shule alikuwa na kazi, kichwa kizito mno!!!!

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 4 дня назад

    Madunduka watakuja hasira zao na kuporomosha matusi hapa

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 4 дня назад

    Subiri mashabiki wa Simba wakutukane mzee Kaduguda. Maana mashabiki wengi wa Simba walishaaminishwa kwamba robo fainali iliyopita ndio ya kwanza. 1969 robo fainali

  • @rehemahenry3577
    @rehemahenry3577 6 дней назад

    BWANA YESU simama na Mimi maisha yangu yote nikiwa hko oman sina ndugu wala rafiki nakutegemea weweee

  • @KABWEMBIRIZI
    @KABWEMBIRIZI 6 дней назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @judithanthony2690
    @judithanthony2690 7 дней назад

    Amina Kuhani Musa. Ibada ilikuwa 🔥 🔥 🔥 sana. Tumepata Neema ya kugusa Madhabahu Inayotembea. Glory be to God!

  • @KareemMandela-d5l
    @KareemMandela-d5l 12 дней назад

    Mikataba Haiwekwi Hadharani kama mulivyoufanya wa Kagoma nyie washamba tu

  • @EvangelistEdward-c5u
    @EvangelistEdward-c5u 12 дней назад

    Eee Mungu wangu nipo mbele yako naomba Toba Mungu natubu mbele zako unisafishe kwa Damu ya Yesu kristo Ameen

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 13 дней назад

    Unatombwa ww

  • @ProtasWilliam
    @ProtasWilliam 13 дней назад

    Umeongea pumba sana, acha kupanic

  • @ProtasWilliam
    @ProtasWilliam 13 дней назад

    Now days mtu anaamka akishiba Mahindi mabichi anakuja Mbele ya Camera 😊😊

  • @ndiaofficial
    @ndiaofficial 13 дней назад

    Yani maana ya MY hahaahahah huyu jamaa togwa sana shati kabisa kwanz huyu mwalimu wa nin

  • @ajiaally3269
    @ajiaally3269 17 дней назад

    Mlisema haiwezi kuwafunga mara mbili ikatokea mara tatu ikatokea ss mara nne.je ikatokea mara 5utasema nn na mara nne ww si upo kwenye kushirikiahwa mpaka ukasema kamala kauza timu

  • @babajay3445
    @babajay3445 18 дней назад

    Hawa wazee ndio sababu ya simba kupoteza mfululizo mbele ya yanga

  • @KapesaAbdallah
    @KapesaAbdallah 18 дней назад

    Bwana yesu atukuzwe wimbo huu umenigusa sana mungu akazidi kukuongoza katika kipaji chako

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 20 дней назад

    Kdi za Baka na Job ni mpango, il matokeo yawe haya, wamefanikiwa, tuwe makin

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 20 дней назад

    Huyu Mzee kazingua sana kulinganisha CCM na timu yetu nzuri ya simba

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 20 дней назад

    Leo uso umesinyaa kweli umeumia unaongea kinyongeee, bwabwa tu huna lolote.

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 21 день назад

    Mbona mnatuomba sadaka na huyo mtumishi tapeli

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 21 день назад

    Mzee waChapatiiii!

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 21 день назад

    huyu ana mambo ya kizamani na imani za kishirikina tu zimemjaa. Mpira ni sayansi na uwekezaji na uongozi mzuri.