- Видео 358
- Просмотров 221 270
NURU YA SUNNAH
Добавлен 24 мар 2023
ASSALAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH
LENGO KUU LA CHANELI HII NI KUKULETEA DURUUS, MIHADHARA, QUR'AN, KHUTBA, MAWAIDHA, KALIMA NA MAZURI MENGI YANAYO HUSU DINI YETU YA UISLAM
TOA MAONI YAKO TUPO TAYARI KUKUSIKILIZA NA KUKUSAIDIA KWA AJILI YA ALLAH
✍️KAMA KUNA DARSA YA KITABU CHOCHOTE UNACHO HITAJI AU MAWAIDHA NA MIHADHARA TUAMBIE KUPITIA NJIA ZETU ZA MAWASILIANO,
TUTAKUWEKEA KWENYE CHANELI YETU, KWA KADRI ALLAH ATAKAVYO TUWEZESHA.
ALLAH AWABARIK
✍️Ni mimi ndugu yenu Ummu Swafaa wa Charambe, Dar es salaam, Tanzania
Kwa mawasiliano zaidi ya Whatsapp
Wasiliana na kaka yangu Abdulhamiid👇👇
✍️Al akh Abdul Hamiid wa Chamazi, Dar es salaam, Tanzania.
WhatsApp: +255760576040

NINI MAANA YA MANHAJ SALAF NA NI UPI USALAFI|| SEHEMU YA KWANZA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
NINI MAANA YA MANHAJ SALAF NA NI UPI USALAFI|| SEHEMU YA KWANZA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров: 74
Видео
03. ATHAR MBALIMBALI JUU YA SUALA LA KUTAFUTA ELIMU||ABUU RUMAISWAA ABDURRAHIIM
Просмотров 2614 дней назад
03. ATHAR MBALIMBALI JUU YA SUALA LA KUTAFUTA ELIMU||ABUU RUMAISWAA ABDURRAHIIM
02. MALAIKA HUWAFUNIKA WENYE KUTAFUTA ELIMU KWA MBAWA ZAO ||SHAIKH ABUU RUMAISWAA ABDURRAHIIM
Просмотров 2114 дней назад
02. MALAIKA HUWAFUNIKA WENYE KUTAFUTA ELIMU KWA MBAWA ZAO ||SHAIKH ABUU RUMAISWAA ABDURRAHIIM
01. UTANGULIZI WA KITABU CHA ELIMU||ABUU RUMAISWAA ABDURRAHIIM
Просмотров 3614 дней назад
01. UTANGULIZI WA KITABU CHA ELIMU||ABUU RUMAISWAA ABDURRAHIIM
MWANAMKE UKIYAFANYA HAYA UTAONGEZA MAPENZI KWA MUME WAKO||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 7614 дней назад
MWANAMKE UKIYAFANYA HAYA UTAONGEZA MAPENZI KWA MUME WAKO||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
TOFAUTI YA UJINGA KATIKA DINI NA ELIMU ||ABUU LUQUMAAN OMAR
Просмотров 4014 дней назад
TOFAUTI YA UJINGA KATIKA DINI NA ELIMU ||ABUU LUQUMAAN OMAR
13. MWISHO WA KITABU; YANAYO MSAIDIA MKE KUPATA SIFA ZA WANAWAKE WEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 3721 день назад
13. MWISHO WA KITABU; YANAYO MSAIDIA MKE KUPATA SIFA ZA WANAWAKE WEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
12. YANAYO MSAIDIA MKE KUPATA SIFA ZA WANAWAKE WEMA 02.||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 7421 день назад
12. YANAYO MSAIDIA MKE KUPATA SIFA ZA WANAWAKE WEMA 02.||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
11. MAMBO YANAYO MSAIDIA MWANMKE KUPATA SIFA ZA WANAWAKE WEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 3021 день назад
11. MAMBO YANAYO MSAIDIA MWANMKE KUPATA SIFA ZA WANAWAKE WEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
10. KUMRIDHISHA MUME||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 5121 день назад
10. KUMRIDHISHA MUME||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
09. KUMSHUKURU MUME NA KUONGEA MANENO MAZURI|SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 2821 день назад
09. KUMSHUKURU MUME NA KUONGEA MANENO MAZURI|SHAIKH ABDALLAH HUMEID
08. HATOI MALI YA MUME WAKE AU MALI YAKE ILA KW IDHINI YA MUME||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 2621 день назад
08. HATOI MALI YA MUME WAKE AU MALI YAKE ILA KW IDHINI YA MUME||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
07. KUHIFADHI SIRI ZA MUME||SIFA ZA MKE MWEMA|| SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 2621 день назад
07. KUHIFADHI SIRI ZA MUME||SIFA ZA MKE MWEMA|| SHAIKH ABDALLAH HUMEID
06. MWANAMKE KUMUHUDUMIA MUME WAKE||SIFA ZA MKE MWEMA|| SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 10421 день назад
06. MWANAMKE KUMUHUDUMIA MUME WAKE||SIFA ZA MKE MWEMA|| SHAIKH ABDALLAH HUMEID
05. ORODHA YA SIFA ZA MKE MWEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 15421 день назад
05. ORODHA YA SIFA ZA MKE MWEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
04. FADHILA NA UBORA WA MKE MWEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 7721 день назад
04. FADHILA NA UBORA WA MKE MWEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
03. MAKEMEO JUU YA KUMKASIRISHA MUME, KUKHALIFU AMRI YAKE NA KUPOTEZA HAKI ZAKE||SHAIKH HUMEID
Просмотров 10321 день назад
03. MAKEMEO JUU YA KUMKASIRISHA MUME, KUKHALIFU AMRI YAKE NA KUPOTEZA HAKI ZAKE||SHAIKH HUMEID
02. HAKI KUBWA ZA MUME JUU YA MKE WAKE ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 11921 день назад
02. HAKI KUBWA ZA MUME JUU YA MKE WAKE ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
01. UTANGULIZI; SIFA ZA MKE MWEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 22521 день назад
01. UTANGULIZI; SIFA ZA MKE MWEMA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
07. UHARAMU WA KULA WADUDU WA AINA ZOTE, ISIPOKUA WALIO TAJWA KWA DALILI||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 8721 день назад
07. UHARAMU WA KULA WADUDU WA AINA ZOTE, ISIPOKUA WALIO TAJWA KWA DALILI||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
06. KUFAA KULA NDEGE WANAO ISHI KWENYE MAJI NA NCHI KAVU||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 7121 день назад
06. KUFAA KULA NDEGE WANAO ISHI KWENYE MAJI NA NCHI KAVU||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
05. KILA KILICHO AMRISHWA KUULIWA KATIKA WANYMA BASI NI HARAMU KULA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 2621 день назад
05. KILA KILICHO AMRISHWA KUULIWA KATIKA WANYMA BASI NI HARAMU KULA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
04. SIO KILA WANACHO ACHA KULA WAARABU NI HARAMU||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 3021 день назад
04. SIO KILA WANACHO ACHA KULA WAARABU NI HARAMU||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
MAREKEBISHO YA DARSA NO. 03 KATIKA TAFSIRI||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 6821 день назад
MAREKEBISHO YA DARSA NO. 03 KATIKA TAFSIRI||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
03. WANYAMA WALIO TAJWA KWA DALILI KUFAA KULIWA ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 7221 день назад
03. WANYAMA WALIO TAJWA KWA DALILI KUFAA KULIWA ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
02. KUBAINISHA WANYAMA AMBAO NI HALALI KULIWA ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 7321 день назад
02. KUBAINISHA WANYAMA AMBAO NI HALALI KULIWA ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
01. UTANGULIZI MSINGI WA KWANZA ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
Просмотров 9921 день назад
01. UTANGULIZI MSINGI WA KWANZA ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
05. MWISHO WA KITABU,:KUKIRI UWEPO WA NJIA JUU YA JAHANAM
Просмотров 1621 день назад
05. MWISHO WA KITABU,:KUKIRI UWEPO WA NJIA JUU YA JAHANAM
04. KUTHIBITISHA KUONEKANA KWA ALLAH NA KUSHUKA KWAKE||SHAIKH ABUU FAWZAAN SALEH ABDALLAH
Просмотров 3221 день назад
04. KUTHIBITISHA KUONEKANA KWA ALLAH NA KUSHUKA KWAKE||SHAIKH ABUU FAWZAAN SALEH ABDALLAH
03. KUTHIBITISHA MAJINA NA SIFA ZA ALLAH||ABUU FAWZAAN SALEH ABDALLAH
Просмотров 2221 день назад
03. KUTHIBITISHA MAJINA NA SIFA ZA ALLAH||ABUU FAWZAAN SALEH ABDALLAH
Haya n mafundisho ya dini au stori tu Ikiwa n vyovyote vile si sahihi kusemwa na sheikh Na kaul hzi ndo znaharibu taswira ya waislam!!! Huyo sheikh muulze yupo radhi mtoto wake kike afanyiwe hvyo,yupo tyr mama yake afanyiwe hvyo, yupo tyr dada ake afanyiwe hvyo?? THIS IS NOT ISLAM!!!
Jichunguze unacho kizungumuza Acha kuropoka Kwa hiyo Bora zinaa kuliko maulidi?
Tafuta Elimu kwanz shekh alaf njooo
Ya allah tusamee madhambi yetu
Hayo hayata kwesha maka sa efke sababu Leo masheke wetu ni kulubizana kwa mitandao mwa wapa faeda makafire makireseto hawa lobezani kabesa
ww.huna.jipya.bidaa.ngapi.wazifanya
Wadhanieni wanawake dhana njema na wanapokosea ni viumbe muwape nasaha na makosa ya baadhi yasivalishwe wote tujue ya kuwa Hawa wanawake ni ktk madhaifu wawili na ishini nao Kwa wema japo kuwa Wana madhaifu pia wame wao japo ni kidogo.
Suala Hilo ni hulka za watu SI wanawake tuu hata wanaume wapo wa namna.. Ninacho amini ni kauli ya mtume kuwa hawajuti wenye kushauriana.. wanandoa wanaendesha maisha Yao Kwa kushauriana bila kusahau suala la kiuchumi Allah huwa anatia baraka na Kwa taufiiq yake wanafanikiwa. Muhimu mtu atafute mume au mke mwenye tabia njema na mwanaume asisahau kuwa yeye ndie kiongozi wa familia.
Je mtume s.a.w aliishi hivyo na wakeze?
Ni haki ya mke kujua chumo la mumewe kama jambazi hapo vipi? Au kama anachukua riba inakuaje? Vp wanaume wako wanapaswa kujua Pato la mkewe? Sbb pia wapo wanawake Allah kawaruzuku na kawakunjulia rizk kweli kweli?
Akulu bidaa fii nar Allah atuifadhi atukinge tusiingie ktk bidaa Aaaam Kisha Allah akupe khr aky
Utakufa na chuki zako wewe Shekhe wa kishetwani, nguruwe mkubwa ww, Maulidi tutasoma mpaka kufa kwetu,kelbu mweusi ww
Astaghrullah muogopeni Allah enyi wapigaji maulidi juu matusi hayasaidii kitu unajitia dhambi lenye kwendelea unajuwa ni watu wangapi wamesoma comment yako kama mumesikia hakuna mtu alolazimishwa yaani uamuzi ni wako ukitaka uache ama uendalee
Kweli sheikh Mimi nakuunga mkono Kwa hilo
Hamna kitu ao Allah awaongoe
Allahu Ackbaru
Watu wa bidaa wakitetea bidaa zao, msimsingizie mtume kwa bidaa zenu, wapenda ubwabwa maulidini
Allah akuhifdh sheik Abdhala humeid
ماشاالله❤❤❤
Sio kila bidaa niharamu
Duh poleni na dalili zako mwenyewe kila kukicha mwatuzulia mabidaa kibao
Balaa zito .limetukuta ktk dini.
Subuhannah llah
Wacha uwongo
Haram
Mimi napita tu
Pia na hayo maneno yko ni uovu sugu na ni dhambi kuliko uliyoyataja
Sawa ndivyo haswa, lakini tutofautisheni kaswida ambayo Mtume kapenda, Tatizo kupiga ngoma nakucheza viumo Hilo ni bidaa ilio wazi
Wewe umepotea warabu wanafanya maulidi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂amakwli kuna masheh mashehena zia allah akusameh ten
Allahu Aqbar❤❤❤❤
Huyo mke atakua si mke Bali atakua mfanya biashara
ETI MAULID NI UOVU KULIKO ZINAA..!😂😂😂😂😂😂
Kweli kabisa
Haya ushaongea tumekuckia subir pesa sasa kutoka kwa waume zako Wa suudia
Weka aya hadithi ya uharamu wa hayo acha kelele
Shekh unayoyasema unaushahidi nayo kwely mpaka kula riba mwalim mpaka zinaaaaa kwely
Kuna tofauti kubwa Kati y maulid na dufu
Ukikimbilia safu ya mbele lkn ukitoka msikitini unawadharau na kuwagawa watu je, mbona husemi kuhusu riba, au vp tutawasaidia waislamu wanaoudhulumiwa, mbona maharishi ya quran unayapuuza, au hufahamu quran . ??unawania safu ya mbele usinukie , itakusaidia nn
Maneno haya nihatari kwako mzungumzaji kama hujui kutoa fatuwa nibora kukaa kimya Ahsante
Dah ni mtihan sana.WALLAH
Acha msemwe dufu ni uzushi mkitaka kumsifu mungu fanyeni ibada
Si kweli ..huu ni uongo kabisa
WW LENGO lako SIO HAO WATU ni kuishambulia Maulidi wala hiyo aikusaidii kitu...WW SI ujiepushe na Maulidi ?
Mimi nachanganyikiwa pa dogo sana,,,hv allah wetu hapendi kuwaona waje wake wakifurah na kumwimbia nyimbo nzuri huku wakiwa wamevalia vazi la mtume s.a.w???,hv ubaya uko wp???huwa nawaza sana ila ALLAHU YAGHALAMU🙏
Dada mwajuma tuende madrasa tusome dini ya Allah❤huwezi kusema mungu kwani hapendi utakufuru dada hutakiwi kudadis mambo yamungu kwanini hapendi 😢😢😢
Afurahie wanaume kukatà mauño?
😂😂😂😂mtihan
Dugu Hawa mashuna hawnaelim ivi unamini 😂😂😂zinaa namaulidi nibora zinaa😂😂😂😂kwli riba jani masi tusiolewe tumbaki tuna zinia maulidi tuache😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hee kasome tena umekufuru
@@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lmhapo ww kipofu kwli mabega nikiuna alafu unataka kuamini huyo maliti haram😂zinaa nibora 😂😂😂nariba kwli😂😂😂😂haya edeleni kuzini alafu maulidi bidaa warabuni tunayasoma misikitini bila wasiwas masuna hawajasoma tatizo wanarukia ngar bele mtume alipokeliwa nakina mama namadufu kaswida
masha alla
Wewe sh kasome mashi hawana shahada tatu azanan hiyio hata wewe muite unayo taka kwenye swala tunashada mbili tu
Wewe sh kasome wewe bado sana
😢😢HUYU ITAKUA HANA AKILI
Ach ubwege WWE unajua kinachisomwa maulidin
Wewe unaosema sikweli ni mtoto mdogo dunia huijui wala hayajakukuta
Tumeyaona hayo kuwanawatu leo wanafanjwa kama kinyago
Imethibiti wapi wewe muongo mkubwa wewe mrongo plus +
Kaeni muelewane acheni kuchanganya watu