MUUNGANO TV
MUUNGANO TV
  • Видео 1 265
  • Просмотров 498 949
CHW NI ASKARI WA AFYA -DKT. KAPOLOGWE
WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII NI NGUZO MUHIMU KATIKA AFYA , USTAWI WA JAMII NA LISHE-DKT.KAPOLOGWE.
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Ntuli Kapologwe amesema Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii ni nguzo muhimu katika afua za afya, Ustawi wa Jamii na Lishe.
Dkt. Kapologwe amebainisha hayo leo Septemba 4, 2024 Kikao Kazi cha Kuandaa Mpango wa Kuharakisha Utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii nchini ambacho kimekutanisha Wadau wa sekta ya Afya kutoka Tanzania Bara na Tanzania Visiwani kwa kushirikiana na Shirika la Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa la Afrika (Africa CDC) pamoja na Wadau wengine .
“Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wanatusaidia sana iki...
Просмотров: 6

Видео

UNICEF TANZANIA WAFUNGUKA KUHUSU CHW
Просмотров 34 часа назад
Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto Duniani - UNICEF Dkt. Ulrika Baker amesema Shirika linafanya kazi na Serikali kulingana na vipaumbele vya Serikali. Aliongeza kusema kuwa, katika Ngazi ya Jamii mipango mbalimbali inaendelea kutekelezwa ikiwemo mapambano dhidi ya Malaria, Nimonia, Usafi wa Mazingira na usafi binafsi hivyo ni wakati mwafaka kwa Tanzania kuwa na Mp...
CDC BEGA KWA BEGA NA SERIKALI KUWEZESHA CHW
Просмотров 44 часа назад
Mwakilishi kutoka Africa CDC Dkt. Barnabas Yeboah amesema wanashirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuhakikisha Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wanatekeleza majukumu ipasavyo kwani wamekuwa na mchango mkubwa kwenye jamii katika kutoa huduma mbalimbali za afya ikiwemo mapambano ya magonjwa ya mlipuko huku akichukulia mfano namna Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii walivyojizatiti katika mapamban...
TUKIONGEZA UBORA KWA CHW ITALETA TIJA KWENYE SEKTA YA AFYA
Просмотров 74 часа назад
“Kupitia Kikao hiki tutakuja na Mpango utakaoharakisha utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii sambamba na kuongeza ubora na tija ambapo Wahudumu wa Afya watasaidia kwenye eneo la Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii” Dkt. Meshack Chinyuli Afisa kutoka Mpango wa Taifa wa Huduma za Afya Ngazi ya Jamii akizungumza katika Kikao Kazi cha Kuandaa Mpango wa Kuharakisha Utekelezaji...
TUHAKIKISHE CHW WANAPATA STAHIKI NZURI
Просмотров 24 часа назад
“Tumekuja kuwekeza kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii katika kubadilisha mwenendo wa utoaji wa huduma, lazima tuwafundishe, tuwawezeshe, na tuhakikishe wanapata Stahiki nzuri ili watusaidie, kwa kweli Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na kule Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi wamejizatiti katika mstari wa mbele kulipeleka gurudumu la afya maana yake matatizo yote yanaanzia kulekule kwa jamii na kuyamal...
TAZAMA//WIZARA YA AFYA NANENANE
Просмотров 628 дней назад
Karibuni katika banda la Wizara ya Afya katika Maonyesho ya Nane Nane 2024 yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Nane nane hapa Nzunguni Dodoma. Katika Banda la Wizara ya Afya huduma mbalimbali zinatolewa kuanzia Elimu ya Afya, Huduma za Uchunguzi wa Magonjwa, Chanjo dhidi ya Homa ya ini, Uviko 19, pamoja na Chanjo dhidi ya Saratani ya Mlango wa Shingo ya Kizazi kwa wanawake Katika dawati ...
TAZAMA//WANANCHI VIKONJE DODOMA WAFUNGUKA KUHUSU REA
Просмотров 13Месяц назад
TAZAMA//WANANCHI VIKONJE DODOMA WAFUNGUKA KUHUSU REA
MRADI WA REA NEEMA KWA WANANCHI HOMBOLO
Просмотров 7Месяц назад
UMEME WA REA WALETA NEEMA HOMBOLO DODOMA KATIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA. Na.Elimu ya Afya Kwa Umma. Baadhi ya Wananchi kutoka katika Mitaa ya Kolimba na Hombolo Bwawani Kata ya Hombolo Halmashauri ya Jiji la Dodoma,wamesema uwepo wa Umeme wa Wakala wa Umeme Vijijini(REA) umekuwa na Mchango na Mchango mkubwa katika uboreshaji wa huduma za Afya. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wananc...
USAFI WA MAZINGIRA HUZUIA MAGONJWA YA MLIPUKO.
Просмотров 8Месяц назад
USAFI WA MAZINGIRA HUZUIA MAGONJWA YA MLIPUKO. Na. Elimu ya Afya kwa Umma. Katika utekelezaji wa kampeni ya mtu ni afya,wito umetolewa kwa wakazi wa jiji la dodoma kujenga tabia ya kufanya usafi mara kwa mara katika maeneo yanayowazunguka ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko. wito huo umetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa Kitengo cha Usafi na Mazingira Halmashauri ya Jiji la Dodoma Dickson Kimaro ...
DIRA YA WANACHI INAANDALIWA - DKT. BITEKO
Просмотров 4Месяц назад
DIRA YA WANACHI INAANDALIWA - DKT. BITEKO Hayo yamebainishwa leo Julai 20, 2024 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akifungua Kongamano la Kwanza la Kikanda kuhusu Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 jijini Mwanza. "Maandalizi ya Dira ni sehemu ya upangaji maendeleo na sisi kama Taifa ili tuweze kustawi hatuna budi kuchukua hatua madhubuti za kuchoc...
RUANGWA SDA LINDI-LIVE PERFORMANCE
Просмотров 29Месяц назад
RUANGWA SDA LINDI-LIVE PERFORMANCE
BITEKO:BORA UITWE MSHAMBA
Просмотров 102 месяца назад
SERIKALI ITAENDELEA KUSIMAMIA, KUKUZA UADILIFU WA MAADILI - DKT. BITEKO* 📌Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili 📌Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau 📌Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili 📌Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama msin...
GWARIDE LA VIJANA WA WATAFUTA NJIA WALIVYOMPOKEA RC SHINYANGA
Просмотров 152 месяца назад
GWARIDE LA VIJANA WA WATAFUTA NJIA WALIVYOMPOKEA RC SHINYANGA
WATAFUTA NJIA NOMAA
Просмотров 112 месяца назад
WATAFUTA NJIA NOMAA
*DKT. BITEKO ATETA NA VIONGOZI WA CCM BUKOMBE*
Просмотров 32 месяца назад
*DKT. BITEKO ATETA NA VIONGOZI WA CCM BUKOMBE* *"Nina madhaifu, mnanivumilia, nawaomba muwape ushirikiano madiwani wenu na viongozi wote," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akihutubia mkutano wa Mabalozi, viongozi wa CCM ngazi ya Matawi na Mashina ya Wilaya ya Bukombe*
DKT. BITEKO-TANZANIA INA UMEME WA KUTOSHA
Просмотров 52 месяца назад
DKT. BITEKO-TANZANIA INA UMEME WA KUTOSHA
FUATENI WANANCHI KUTATUA KERO-DKT. BITEKO.
Просмотров 52 месяца назад
FUATENI WANANCHI KUTATUA KERO-DKT. BITEKO.
TUSHINDANE KWA HOJA-DKT. BITEKO
Просмотров 32 месяца назад
TUSHINDANE KWA HOJA-DKT. BITEKO
MSIWAFICHE WATOTO-DKT.BITEKO.
Просмотров 12 месяца назад
MSIWAFICHE WATOTO-DKT.BITEKO.
MAAGIZO YA DKT. BITEKO KWA TANESCO.
Просмотров 122 месяца назад
MAAGIZO YA DKT. BITEKO KWA TANESCO.
USIDHARAU KAZI YAKO-DKT. BITEKO.
Просмотров 82 месяца назад
USIDHARAU KAZI YAKO-DKT. BITEKO.
MSING'OE BENDERA YA CHAMA-DKT. BITEKO
Просмотров 32 месяца назад
MSING'OE BENDERA YA CHAMA-DKT. BITEKO
BITEKO// UKATAJI WA MITI UNATUATHIRI SOTE
Просмотров 22 месяца назад
BITEKO// UKATAJI WA MITI UNATUATHIRI SOTE
DKT. BITEKO//TUTUNZE MAZINGIRA
Просмотров 62 месяца назад
DKT. BITEKO//TUTUNZE MAZINGIRA
ZIFAHAMU SARATANI ZA WATOTO.
Просмотров 32 месяца назад
ZIFAHAMU SARATANI ZA WATOTO.
DKT MPANGO// UTUPAJI TAKA BAHARINI NI HATARI
Просмотров 32 месяца назад
DKT MPANGO// UTUPAJI TAKA BAHARINI NI HATARI
DKT MPANGO// UCHUMI WA BLUEE
Просмотров 72 месяца назад
DKT MPANGO// UCHUMI WA BLUEE
TAZAMA// DKT MPANGO AFUNGUKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Просмотров 12 месяца назад
TAZAMA// DKT MPANGO AFUNGUKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
MILEMBE LUGOYE NA MCHANGO WA CHW
Просмотров 73 месяца назад
MILEMBE LUGOYE NA MCHANGO WA CHW
HELENA BUNDALA, CHW KAGONGWA ATOA SOMO KAYA KWA KAYA KAGONGWA
Просмотров 73 месяца назад
HELENA BUNDALA, CHW KAGONGWA ATOA SOMO KAYA KWA KAYA KAGONGWA

Комментарии

  • @dasilvajr9647
    @dasilvajr9647 10 часов назад

    Amina kwaya ya kagongwa inanibariki sana

  • @StandMwanzia-c8t
    @StandMwanzia-c8t 23 дня назад

    Aki isonyimbo zinaninguza kwaroho sanamno ,

  • @KimilaSayi
    @KimilaSayi Месяц назад

    Amen Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, Amen

  • @MussaEliasmasanjaMasanja
    @MussaEliasmasanjaMasanja Месяц назад

  • @nehemiajohni7207
    @nehemiajohni7207 Месяц назад

    Asante sana BWANA awainue zaidi

  • @thomasadriano4191
    @thomasadriano4191 7 месяцев назад

    Kazi nzuri kaka

  • @thomasadriano4191
    @thomasadriano4191 7 месяцев назад

    Kazi nzuriii

  • @thomasadriano4191
    @thomasadriano4191 7 месяцев назад

    Mungu awape wepesi wanafamilia katika wakati mgumu huuu 😭😭😭😭

  • @kimilasayi2626
    @kimilasayi2626 8 месяцев назад

    Amina

  • @Ngoshawamkaya
    @Ngoshawamkaya 9 месяцев назад

    👏👆

  • @SmilingCornflowers-hv3rd
    @SmilingCornflowers-hv3rd 9 месяцев назад

    Amina

  • @TuisengeTuisenge-qp9en
    @TuisengeTuisenge-qp9en 10 месяцев назад

    Kazi. Ninjema

  • @TuisengeTuisenge-qp9en
    @TuisengeTuisenge-qp9en 10 месяцев назад

    Bwana utunze amina

  • @thomasadriano4191
    @thomasadriano4191 10 месяцев назад

    🎉

  • @TuisengeTuisenge-qp9en
    @TuisengeTuisenge-qp9en 10 месяцев назад

    Mungu atutangulie katika kazi yamungu amen

  • @TuisengeTuisenge-qp9en
    @TuisengeTuisenge-qp9en 10 месяцев назад

    Twamshukuru mungu kwakufikisha sabato yaleo

  • @TuisengeTuisenge-qp9en
    @TuisengeTuisenge-qp9en 10 месяцев назад

    Bwana nimwema

  • @thomasadriano4191
    @thomasadriano4191 10 месяцев назад

    🎉🎉

  • @siaelgerald31
    @siaelgerald31 10 месяцев назад

    Apumzike kwa Amani

  • @JanethEnock-gk4de
    @JanethEnock-gk4de 11 месяцев назад

    Nawapenda Sana Asante kwa ujumbe mzuri

  • @marysona9999
    @marysona9999 11 месяцев назад

    Hahaaaaahaaaaa

  • @thomasadriano4191
    @thomasadriano4191 11 месяцев назад

    Kazi nzuri kakak

  • @DealersMan
    @DealersMan 11 месяцев назад

    Ongeza nyimbo wapendwa

  • @flowebenezeth
    @flowebenezeth 11 месяцев назад

    Amina

  • @mageletz
    @mageletz 11 месяцев назад

    Hahahaha 🤣🤣🤣

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura Год назад

    Barikiwa sana mtumishi

  • @isayadismasi4018
    @isayadismasi4018 Год назад

    Mngu awabaliki

  • @faustinegimu
    @faustinegimu Год назад

    Aisee huu wimbo umenibariki sana

  • @lusekeloemmanuel4569
    @lusekeloemmanuel4569 Год назад

    Baba tumesikia lakini tusaidieni tuwezesheni tumesoma lakini hatuja baatika kupata ajira tumejiajiri mitaji haitoshelezi toeni tamko la mikopo alafu wanaosimamia utoaji mikopo waache kuomba rushwa

  • @user-bp8fm3nl3w
    @user-bp8fm3nl3w Год назад

    Ishi sana ndugu zangu ❤❤

  • @user-bp8fm3nl3w
    @user-bp8fm3nl3w Год назад

    Ishi sana ndugu zangu ❤❤

  • @user-bp8fm3nl3w
    @user-bp8fm3nl3w Год назад

    Ishi sana ndugu zangu ❤❤

  • @majii5591
    @majii5591 Год назад

    Kwaya hii Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri. Nafarijika sana kuona maendeleo makuu. Mwombeni Bwana wa mavuno mshikamane mkavune.

  • @COVID19BMH-wg5mg
    @COVID19BMH-wg5mg Год назад

    Anayemjuwa Dr.Ibenzi mganga mkuu wa Hospital ya General kwawanaoishi Dodoma labda uwe hujawahi kuugua,aliyoyasema makamu wa Rais niukweli mtupu,huyu Dr. AKA yake huwa ni Dr. Wa bodaboda au wawazee nanikisema hivyo mtakuwa mmenielewa,safi sana

  • @maandikotv5953
    @maandikotv5953 Год назад

    Amen

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi Год назад

    Kagongwa mnaimba vizuri sana,na Kuna ujumbe,nitakuja kusali ktk kanisa lenu siku moja,mko katikati ya isaka na kahama

  • @anoldrichard8885
    @anoldrichard8885 Год назад

    Mananibariki sanaaaa unambii kwaya mfikembali

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Год назад

    Makanisa yawasaidie kuwaeleza wananchi. Maana makampuni ni.mengi mno

  • @GilesKhamis
    @GilesKhamis Год назад

    Mungu abariki mahubiri haya

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Год назад

    Hongereni Serikali kwa jitihada mnazosifanya, mapambano dhidi ya maralia ni jukumu letu sote, Serikali, watu binafsi na taasisi sizizo za kiserikali, Mbu wanatakiwa kupigwa vita kila kona, Ushauri: maeneo yenye idadi kubwa ya Mbu na yenye vyanzo vya kusambaza Maralia, wadau wapeleke Machine nyingi za kuvunia Mbu zinazotumia gas, ni wengi lakini zinasaidia, yajengwe mabwawa ya kuwafanya Mbu wazaliane lakini hayo mabwawa yanawekwa dawa za kuua vimelea na mayai yote yatakayo zalishwa, zipo dawa ukiweka kwenye mabwawa mbu hutaga mayai lakini hakuna kinachozalishwa kwahiyo Mbu eneo husika wanakufa, maana Mbu kama hawazaliani walioko huishi muda mchache, wasomi wetu wafanye utafiti wa dawa ya kutokomeza kabisa Maralia, ziko Nchi nyingi zina Mbu lakini hazina Maralia je wamefanyaje? watendaji na wenyeviti wadhibiti sehem zote zenye mazalia ya Mbu za zipigwe dawa, naamini kwa pamoja tunaweza kutokomeza huu ugonjwa, Mungu ibarik Tanzania, Mwenyezi naomba utuondolee huu ugonjwa nchini kwetu

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 Год назад

    Mnapochelewa kupanga mnakaa tu maofisini mnategemea Nini?

  • @dapesastudiosalon6875
    @dapesastudiosalon6875 Год назад

    wa kwanza hapa

  • @marcelinacarlos8918
    @marcelinacarlos8918 Год назад

    Mbarikiwe saaana watu wa Mungu

  • @MagoheKalage-tv9ww
    @MagoheKalage-tv9ww Год назад

    True

  • @salomejohnson455
    @salomejohnson455 Год назад

    Nice song... mbarikiwe

  • @zenaiddy-bf4dt
    @zenaiddy-bf4dt Год назад

    Amina mbarikiwe sana ujumbe mzuri sana

  • @muganyizisarapiano-ld7ko
    @muganyizisarapiano-ld7ko Год назад

    Niwajibu kweli kuutukuza utukufu wa Mungu

  • @anwarabdallah1301
    @anwarabdallah1301 Год назад

    Mheshimiwa na ile ya Rockcity mall THE CASK ambayo tunaaminishwa ni ya viongozi wa juu wa Serikali ambayo huwa haiguswi je nayo itadhibitiwa?

  • @esthersaguda
    @esthersaguda Год назад

    Mungu awabariki sana wapendwa popote pale mlipo bila kumsahau frola dadu umepotea xana kpenz

  • @ahz6907
    @ahz6907 Год назад

    Ni mpango mzuri.wasi wasi wangu ni usimamizi tu wa hizo fedha.