TCCIA BUSINESS TV
TCCIA BUSINESS TV
  • Видео 163
  • Просмотров 6 719
HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI MHE. ABDALLAH ULEGA
Hotuba ya Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Hamis Ulega alipozungumza na Wananchi December 20, 2024 Kibaha Mailimoja Mkoa wa Pwani katika ufungaji wa Maonesho ya Biashara na Uwezekaji ambayo yaliandaliwa na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge.
.
.
.
.
#RoadtoAGM2024
#history
#afcfta
#kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
"Private sector engine of growth"
#kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @uwekezajiviwandabiashara @tantradetz @tnbc_tz @tpsf_tanzania @sido_tanzania @tratanzania @eastafricatrias @wasafitv @tbc_online @channeltentanzania @tzwomenchamber_twcc @tcciambeya @tcciamkuranga @tcciaman...
Просмотров: 15

Видео

MAONESHO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI PWANI YAHITIMISHWA
Просмотров 39День назад
Maonesho ya Biashara na Uwekezaji Pwani Yahitimishwa *Pwani, Desemba 20, 2024 Kwa upande wake, Mkurugenzi wa TCCIA, Bw. Oscar kissanga, aliwataka wafanyabiashara kujiunga na TCCIA, akisisitiza kuwa ni kazi mojawapo ya chemba kutetea ni maslahi yao na kuwapa fursa muhimu za kibiashara. "Tunawaomba wafanyabiashara wote kujiunga na TCCIA, kwani kuna fursa nyingi ambazo huwezi kuzipata ukiwa si seh...
WAFANYABIASHARA WASHAURI MAONESHO YAWE HADI SIKU YA WIKIENDI KUPATA WATU WENGI ZAIDI
Просмотров 17День назад
“Tunatamani kwa mwaka uja maonesho haya yaongezwe muda yakianza asubuhi basi yaende hadi saa mbili usiku au saa tatu ili watu wanaotoka makazini basi waweze kupata fursa nao kutembelea lakini pia yafanyike hadi siku ya weekend jumamosi na jumapili na tukifanya hivyo tutapata watu wengi zaidi siku ya weekend kwamaana watu wanaweza kutoka hata mikoani na kuja kutembelea Maonesho” Alisema, Agatha ...
TUMEIYONA FURSA KUBWA TCCIA HIVYO TUKO MBIONI KUJIUNGA KUA WANACHAMA
Просмотров 17День назад
“"Sisi kama Kinglion tumeiyona fursa kubwa inayopatikana katika Chama hiki cha Wafanyabiashara TCCIA hivyo nasisi tuko mbioni kujiunga n akua wanacha ili tuweze sasa kua karibu na fursa mbali mbali zinazopatikana TCCIA” Alisema Bi. Asha Idd Kingugu, Afisa Mauzo na Masoko - Kinglion. Aidha alimshukuru pia Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo kwa kuyafanya maonesho haya kua...
TUTATANGAZA BIASHARA ZETU KIMATAIFA MAONESHO YA MWAKANI
Просмотров 9День назад
“Tumeipokea kwa bashasha sana kauli ya Waziri ya Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo aliyoitoa Desemba 17, 2024 katika siku ya ufunguzi wa Maonesho haya ya 4 ya Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Pwani, kwetu sisi wafanyabiashara ni fursa kubwa sana kwasababu maonesho yakiwa ya kitaifa inamaana watu wataongezeka wengine watatoka mikoa mbalimbali kuja kuonesha bidhaa zao na wengine wata...
NEEMA YAWASHUKIA WAFANYABIASHARA MKOA WA PWANI
Просмотров 37День назад
Desemba 19, 2024 katika Maonesho ya 4 ya Biashara na uwekezaji Mkoamwa Pwani Wafanyabiashara waiona neema ikija baada ya kauli ya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo alioitoa Desemba 17, 2024 katika siku ya Ufunguzi ambapo alizungumza na wafanyabiashara na kuwambia kuwa Maonesho yajayo ya Biashara na Uwekezaji Mkoani Pwani yatakuwa ni yakitaifa. Chemba ya Biashara, Viwan...
WAFANYABIASHARA WAIONA NEEMA KAULI YA WAZIRI JAFO
Просмотров 10День назад
Desemba 19, 2024 katika Maonesho ya 4 ya Biashara na Uwekezaji Mkoamwa Pwani Wafanyabiashara waiona neema ikija baada ya kauli ya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo aliyoitoa Desemba 17, 2024 katika siku ya Ufunguzi ambapo alizungumza na wafanyabiashara na kuwambia kuwa Maonesho yajayo ya Biashara na Uwekezaji Mkoani Pwani yatakuwa ngazi ya Kitaifa na sio ngazi ya mkoa....
TCCIA YAWAWEKA WANACHAMA WAKE KATIKA NJIA YA MAFANIKIO KIBIASHARA
Просмотров 21День назад
Wafanyabiashara waiona neema ikija baada ya kauli ya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Seleman Jafo ya kuyafanya Maonesho ya Viwanda na Biashara Mkoani Pwani kua ya Kitaifa kuanzia mwaka ujao wa 2025 Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA inaendelea kuwaweka wanachama wake katika njia ya mafanikio kibiashara na uwekezaji. . . . . #history #afcfta #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 "Pr...
TUTENGENEZE BIDHAA ZENYE UBORA TUKASHINDANE KIMATAIFA (OSCAR KISSANGA) MKURUGENZI TCCIA
Просмотров 41День назад
Mkurugenzi. Mtendaji wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania - TCCIA Bw. Oscar Kissanga akizungumza kwenye Kongamano la Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Pwani lililofanyika leo Desemba 18, 2024 katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Leadership School Kibaha kwa Mfipa Mkoani Pwani. “Sekta binafsi inatambua na kupongeza jitihada kubwa zinazofanywa na serikali ya awamu ya 6 chini ya uwongo...
AFISA MTENDAJI TCCIA PWANI AWATAKA WAFANYABIASHARA KUJIUNGA NA TCCIA
Просмотров 41День назад
Afisa Mtendaji wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo mkoa wa pwani Bi. Amilwise Mkayula amewataka wafanyabiashara kujitokeza kwa wingi kwenye Maonesho ya 4 ya Biashara na Uwekezaji Aidha Aliongeza kwa kuwaomba wafanyabiashara kujiunga na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA ili wasiweze kupitwa na fursa za kibiashara na uwekezaji nchini
KARIBU UWEKEZE MKOA WA PWANI KWAMAANA FURSA NI NYINGI ZA UWEKEZAJI
Просмотров 2714 дней назад
"Maonesho haya imeshirikishwa ofisi ya mkuu wa mkoa wa pwani pamoja na TCCIA kama wa andaaji wa maomesho haya, maonesho haya yanashirikisha wajasiliamali na wafanya biashara na wenye viwanda walioko mkoa wa pwani wengine waliopo karibu na mkoa wa pwani ambao tumewaalika na wakatenga muda wao kushiriki nasi katika eneo hili kwaniaba ya ofisi ya mkuu wa mkoa na TCCIA mkoa wa pwani tunawakaribisha...
TCCIA KUWAVUTIA WAFANYABIASHARA KUJIUNGA NA UWANACHAMA
Просмотров 1314 дней назад
TCCIA KUWAVUTIA WAFANYABIASHARA KUJIUNGA NA UWANACHAMA
KONGAMANO LA MAJADILIANO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Просмотров 3214 дней назад
Kongamano la Majadiliano ya Biashara na Uwekezaji kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi kwa mwaka 2024:
KAMPUNI YA CAPS YANG’ARA TUZO ZA UBORA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI 2024
Просмотров 5514 дней назад
Kampala, Kampala, Uganda - Kampuni ya CAPS imeweka alama nyingine ya mafanikio kwa kushinda tuzo mbili za ubora kwenye Tuzo za Afrika Mashariki zilizofanyika Desemba 5, 2024, katika Hoteli ya Protea, Kampala, Uganda. Mkurugenzi Mtendaji wa CAPS, Bw. Peter Marealle, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam, alipokea tuzo hizo zilizotunukiwa kwa kampuni hiyo kuwa mshindi wa ...
TCCIA NA DUBAI INTERNATIONAL CHAMBER ZATIA SAINI HATI YA MAKUBARIANO
Просмотров 1514 дней назад
TCCIA na Dubai International Chamber Zatia Saini Hati ya Makubaliano (MoU) Kuhamasisha Biashara Na Uwekezaji
TCCIA NA DUBAI INTERNATIONAL CHAMBER ZATIA SAINI HATI YA MAKUBARIANO
Просмотров 4214 дней назад
TCCIA NA DUBAI INTERNATIONAL CHAMBER ZATIA SAINI HATI YA MAKUBARIANO
KONGAMANO LA MAJADILIANO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Просмотров 5914 дней назад
KONGAMANO LA MAJADILIANO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
NAIBU WAZIRI MKUU DKT DOTO BITEKO KATIKA MKUTANO MKUU WA TCCIA
Просмотров 4821 день назад
NAIBU WAZIRI MKUU DKT DOTO BITEKO KATIKA MKUTANO MKUU WA TCCIA
MIAKA 36 YA UJENZI WA SEKTA BINAFSI NCHINI
Просмотров 4621 день назад
MIAKA 36 YA UJENZI WA SEKTA BINAFSI NCHINI
KONGAMANO LA MAJADILIANO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Просмотров 4721 день назад
KONGAMANO LA MAJADILIANO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
TCCIA KUONGOZA MAJADILIANO YA KIBIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI 06/DESEMBA 2024
Просмотров 16921 день назад
TCCIA KUONGOZA MAJADILIANO YA KIBIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI 06/DESEMBA 2024
KONGAMANO LA KODI KIKANDA MKOA WA IRINGA
Просмотров 5328 дней назад
KONGAMANO LA KODI KIKANDA MKOA WA IRINGA
MWENTEKITI WA MASOKONI YA MANISPAA IRINGA
Просмотров 26Месяц назад
MWENTEKITI WA MASOKONI YA MANISPAA IRINGA
DIWANI WA MANISPAA YA IRINGA AISHUKURU TCCIA KUSHIRIKI KUANDAA KONGAMANO LA KODI KIKANDA
Просмотров 45Месяц назад
DIWANI WA MANISPAA YA IRINGA AISHUKURU TCCIA KUSHIRIKI KUANDAA KONGAMANO LA KODI KIKANDA
KAMISHNA MSAIDIZI IDARA YA SERA KATIKA KONGAMANO LA KODI KIKANDA MKA WA MBEYA
Просмотров 13Месяц назад
KAMISHNA MSAIDIZI IDARA YA SERA KATIKA KONGAMANO LA KODI KIKANDA MKA WA MBEYA
MWENYEKITI WA TCCIA MKOA WA MBEYA
Просмотров 17Месяц назад
MWENYEKITI WA TCCIA MKOA WA MBEYA
KONGAMANO LA KODI KIKANDA MKOA WA MBEYA
Просмотров 50Месяц назад
KONGAMANO LA KODI KIKANDA MKOA WA MBEYA
KONGAMANO LA KODI KIKANDA KIGOMA
Просмотров 173Месяц назад
KONGAMANO LA KODI KIKANDA KIGOMA
MWENYEKITI WA TCCIA KIGOMA
Просмотров 69Месяц назад
MWENYEKITI WA TCCIA KIGOMA
KONGAMANO LA KODI KIKANDA MKOA WA MWANZA
Просмотров 40Месяц назад
KONGAMANO LA KODI KIKANDA MKOA WA MWANZA