- Видео 178
- Просмотров 86 153
COVENANT HOME FOR ALL NATIONS
Танзания
Добавлен 21 мар 2021
Shalom, welcome to this channel run by the covenant house church based in Moshono-Kwa Ayubu Arusha, Tanzania.
Here you will see/witness various prophets about the nation of Tanzania as well as other nations as well as about the lives of different people. Welcome to see the greatness of God.
Here you will see/witness various prophets about the nation of Tanzania as well as other nations as well as about the lives of different people. Welcome to see the greatness of God.
Видео
ADUI HAKUPINGI BURE, BALI ANAKUPINGA KWA KUWA ANAJUA MAHALI UNAPOKWENDA.
Просмотров 81516 часов назад
with PROPHET WILLIAM PRINCE.
SHUJAA HAANGALII CHANGAMOTO WAKATI WA JARIBU.
Просмотров 11821 день назад
with PROPHET WILLIAM PRINCE.
PROPHECY FULLFILLED..UNABII WA ISRAEL KUSHAMBULIWA NA IRANI WATIMIA
Просмотров 24728 дней назад
with PROPHET WILLIAM PRINCE.
UNABII KWA KANISA LA TANZANIA NA HATMA YA WATUMISHI WASIOTUMIA NGUVU ZA MUNGU.
Просмотров 437Месяц назад
with PROPHET WILLIAM PRINCE. Shalom, welcome to this channel run by the covenant house church based in Moshono-Kwa Ayubu Arusha, Tanzania. Here you will see/witness various prophets about the nation of Tanzania as well as other nations as well as about the lives of different people. Welcome to see the greatness of God.
UNABII WA TAIFA LA TANZANIA, WITH PROPHET WILLIAM PRINCE.
Просмотров 4,9 тыс.Месяц назад
Shalom, welcome to this channel run by the covenant house church based in Moshono-Kwa Ayubu Arusha, Tanzania. Here you will see/witness various prophets about the nation of Tanzania as well as other nations as well as about the lives of different people. Welcome to see the greatness of God. FOR MORE INFO CONTACT US: 0752585453 | 0759087473 | 0758592193S
UNABII WA ISRAEL NA IRAN WITH PROPHET WILLIAM PRINCE.
Просмотров 3,3 тыс.Месяц назад
UNABII WA ISRAEL NA IRAN WITH PROPHET WILLIAM PRINCE.
UNABII KUHUSU AJALI, ADUI AMEPANGA MIKAKATI YA KUMWAGA DAMU.
Просмотров 186Месяц назад
UNABII KUHUSU AJALI, ADUI AMEPANGA MIKAKATI YA KUMWAGA DAMU.
MAJIRA YA KUREJESHEWA VYOTE VILIVYOIBIWA NA KUMILIKISHWA VYOTE VILIVYOPOTEA
Просмотров 2353 месяца назад
MAJIRA YA KUREJESHEWA VYOTE VILIVYOIBIWA NA KUMILIKISHWA VYOTE VILIVYOPOTEA
ONA NABII HUYU ALIVYOSHANGAZA WATU KWA KUWAAMBIA MAMBO YAO
Просмотров 1,7 тыс.3 месяца назад
ONA NABII HUYU ALIVYOSHANGAZA WATU KWA KUWAAMBIA MAMBO YAO
AELEZEA JINSI MUNGU ALIVYOMTENDEA MEMA KATIKA UPONYAJI, KAZI NA MAISHA KWA UJUMLA
Просмотров 513 месяца назад
AELEZEA JINSI MUNGU ALIVYOMTENDEA MEMA KATIKA UPONYAJI, KAZI NA MAISHA KWA UJUMLA
DADA ALIYETESEKA NA U.T.I SUGU HADI KUKOJOA DAMU ASIMULIA MATENDO MAKUU YA MUNGU
Просмотров 383 месяца назад
DADA ALIYETESEKA NA U.T.I SUGU HADI KUKOJOA DAMU ASIMULIA MATENDO MAKUU YA MUNGU
ONA MAAJABU YA NABII HUYU ALITAMKA NENO NDANI YA SIKU TATU MTU ALIYEPOTEA APATIKANE IKAWA ALIVYOSEMA
Просмотров 1533 месяца назад
ONA MAAJABU YA NABII HUYU ALITAMKA NENO NDANI YA SIKU TATU MTU ALIYEPOTEA APATIKANE IKAWA ALIVYOSEMA
UNABII KUHUSU KENYA@kenyacitizentv WATIMIA, RAIS WILLIAM RUTO APINGWA HADHARANI "Ruto must go?
Просмотров 1864 месяца назад
UNABII KUHUSU KENYA@kenyacitizentv WATIMIA, RAIS WILLIAM RUTO APINGWA HADHARANI "Ruto must go?
UNABII MWINGINE WATIMIA,NDEGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAISI WA MALAWI YAPATA AJALI, TAZAMA KILICHOTOKEA
Просмотров 614 месяца назад
UNABII MWINGINE WATIMIA,NDEGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAISI WA MALAWI YAPATA AJALI, TAZAMA KILICHOTOKEA
UNABII KUHUSU RAIS WA AFRIKA KUSINI KUPINGWA NA RAIA HUU HAPA UTIMIZO WAKE
Просмотров 544 месяца назад
UNABII KUHUSU RAIS WA AFRIKA KUSINI KUPINGWA NA RAIA HUU HAPA UTIMIZO WAKE
KARIBU KATIKA SIKU YA JUMAPILI. HAKIKA UTAUONA MKONO WA BWANA KUPITIA NABII HUYU. HUNA HAJA YA KULIA
Просмотров 2155 месяцев назад
KARIBU KATIKA SIKU YA JUMAPILI. HAKIKA UTAUONA MKONO WA BWANA KUPITIA NABII HUYU. HUNA HAJA YA KULIA
NABII ANAKUKARIBISHA KATIKA IBADA KUBWA KESHO
Просмотров 2275 месяцев назад
NABII ANAKUKARIBISHA KATIKA IBADA KUBWA KESHO
USIAMINI KILA MTU NA USIJIBU KILA NENO
Просмотров 1605 месяцев назад
USIAMINI KILA MTU NA USIJIBU KILA NENO
TAZAMA JINSI MUNGU AKIVIKA WATU VAZI JIPYA KUPITIA NABII HUYU
Просмотров 2,5 тыс.5 месяцев назад
TAZAMA JINSI MUNGU AKIVIKA WATU VAZI JIPYA KUPITIA NABII HUYU
NABII WILLIAM PRINCE ANAKUKARIBISHA KATIKA IBADA KUBWAA SANA YA KUISEMESHA SIKU ULIYOZALIWA
Просмотров 915 месяцев назад
NABII WILLIAM PRINCE ANAKUKARIBISHA KATIKA IBADA KUBWAA SANA YA KUISEMESHA SIKU ULIYOZALIWA
UNABII KUHUSU VIMBUNGA WATIMIA. NA NABII AZUIA KIMBUNGA HIDAYA
Просмотров 1515 месяцев назад
UNABII KUHUSU VIMBUNGA WATIMIA. NA NABII AZUIA KIMBUNGA HIDAYA
UNABII AJALI ZA NDEGE,BOTI NA MELI WATIMIA @prophecywatchers
Просмотров 526 месяцев назад
UNABII AJALI ZA NDEGE,BOTI NA MELI WATIMIA @prophecywatchers
Weekend ni mjinga hujielewi. Huna ability timamu. Mjinga.wewe danganya hao waking. Wenzio Fala. Wewe
Wewe mchungaji unapata faida hipi na Israel? Je vifo vya waparestina, Syria, Lebanon na wengine wengi inakuhuma au haikuhumi?
Uwezo nilio nao kwa maana ya nguvu ya kiroho ndio maana adui anainua vita Juu yangu.lakini sipaswi kuogopa
Uwezo nilio nao kwa maana ya nguvu ya kiroho ndio maana adui anainua vita Juu yangu.lakini sipaswi kuogopa
Yesu mtenda muujira yeye ni Jana Leo na hata milele
Mhu tulishana matango pori mungu afurahiii matendo wanayotenda wa Israel ata shetan kiongoz wa waovu anaishangaa Israel kwa uhovu uliopitiliza
Achakudanganya watu wasimtegemeeUSA uonematokeo yake itafutiliwa mbali namu iran
Ahaa kumbe kwasababu Mimi nina Nguvu ndiyo maana maadui wengi wanainua Vita, Asante sana sasa nimepata Ufahamu.
Nyie ni wasenge wote hapo mnaacha kuwaombea wacongo kuombea hali ngumu ya nchi yetu mnawaombea wa Israel hao israel walishawaombeeni chochote yaani hii nchi kuna misenge imejaa kanisani huko
Nabii fake mshenzi wewe mbwa koko
I proud to be Mwana AGANO ❤️, Asantee Mungu kwa Neema hii🙏🙏
Ameen🙏
Amen Amen 🙏
Huyu ni mpuuzi na hakuna anachojua
Aloo bdo tupo huku tu sisi dah! 😂😂 waisrael wanamchukia yesu hatar na wanamuita mtoto wa haram thn nyny wakristo mnauita yesu mungu dah! Upofu wa moyo kwelikweli😂😂😂
Uwezo ulio nao unapimwa kwenye mizani kulingana na Baraka uliyo ibeba Mithali 17:3 Kalibuni kwa fedha, na tanuru kwa dhahabu; Bali BWANA huijaribu mioyo. The fining pot is for silver, and the furnace for gold: but the LORD trieth the hearts.
Ni kweli kabisa wana wa Mungu wengi tunapojaribiwa hatuna mda wa kukaa karibu na Mungu hivyo hutufanya tuone kama hatuna nguvu na kupelekea kumpima Mungu na jaribu tunalopitia
Mimi ni mshindi kwani baba yangu ananilinda ,mimi ni mwana wa aliye juu,wanaoshindana na mimi wataangamizwa kabisa
Very true
Amen
Irani ni taifa la shetani
Amen amen
Mungu akutendee sawasawa na mambo yote uliyomwomba ndani ya kipindi hiki wewe unayetazama Ibada hii
Mjngu akutendee sawasawa na haja ya moyo wako wewe unafuatilia Ibada hii kwa njia Live
Muongo heeee ati roho mtakatifu kamuambia, siku hizi ukristo ni usanii
Unatombwa wewe Israel imeiba sanduku la agano na kudanganya kuwao ni taifa teule la mungu biblia ya kikuma imejaa uwongo mbwa we hujui lolote kumamako watu wanapiga mabomu hospitali na mashule I na wamezuia umoja wa mataifa usitoe msaada unasema ni watu wa mungu wa Israel oke we mungu wako ni yupi mana mungu wa waizraeli ni shetani chizi we
Amen
Wacha Mimi niseme, Amen ya Nguvu, Aaaaameeen.
Mungu hawezi simama na mashoga pia wamemkataa yesu si wanasema mtoto wa zinaa
Pale tunasambaratisha na hakitabaki kitu pale israel
Wambie wasimtegemee USA wamtegemee mwenyezi mungu wa Ibrahim.musa.aruni
Sasa huo ni Unabii jamani si kila mtu anajua mgogoro unaoendelea na kwamba Iran lazima walipize kisasi?
Ila nyie wakristo mnalishana matango pori hiv mwataka kusema kweli hamjui kwamba mayahudi wana dini yao ya uyahudi na wako mbali sana na ukristo na wakitangaza kwamba mtu atake hubili kuhusu biblia kuhusu yesu anaenda jela na hv hamjui kwamba ndio nchi yenye wakristo wachache wanao ishi ndani ya israel na palestina ndio ina wakristo wengi kuliko israel hebu someni jamani mambo acheni kusomea ugali t huko school secular halafu bado mnataka kua na imani kama mnataka kua na imani mioyoni mwenu someni dini yenu na fanyeni utafiti kwenye dini zingine mtaijua dini ya kweli ni ipi manawasapoti watu ambao nyie hawawapendi kabisa
Ibada ya Baraka Sana Baba Mungu akuzidishe
Kama wasenge
Mshenzi sana wewe Huna akili katafute kazi Acha kusikiliza propaganda
Hii nguvu Ni kubwa mnooooo....Mungu anakutumia Sana Baba ,,IBADA YA USHINDI MKUBWAAA.....TUMEPOKEA HASWAAA
Amen Mungu azidi kukupa neema ya kuelewa neno lake
Angesema hananja tungeamini iyo kitu ya kusema nimeambiwa na roho mtakatifu
Mimi NI mkristo, uchungu wako kuusu Israel NI WA kijinga, sababu Israel WA kiroho ambao wanakufa Kila siku waafrika wenzako kuusu vita ausemi kitu
Nyinyi waongoo hamuna hata hayaa kumbe nyinyi na mayahudi ajenda yenu mojaa !maana yesu waliomuuwa ni mayahudi halafu iweje Leo mayahudi wawe ni wenzenu😂😂 kama sio nyote njama zenu mojaa halafu munajifanya watu wa yesu munampenda yesu alafu kumbe munawasaport maadui wa yesu 😂😂 ama kweli nyinyi ni wapumbavu hata hayaa hamuna😂
Amen 🙏
UNAWEZAJE KUMLAANI YEYE AMBAYE MUNGU MWENYEWE AMEMBARIKI??? THE BLESSED BY GOD CANNOT BE CURSED🇹🇿
🇮🇱🇹🇿
Nimemwona Mungu kwa viwango vikubwa mno Mimi in Mshindi MTU aliyebarikiwa
Kama taifa la mungu , huyo mungu kajemga makazi yake sehem gani , acheni kufitana nyinyi na Israelmtaangamia tu Iran oyeeeee anagonga kama pididi Wacha Israel wapelekew moto
Watu wengi hatuoni kubarikiwa au baraka kutufikia kwasababu hatuamini watu ambao Mungu amewaweka.mbele yetu.siku zote Mungu humtumia mtu kama kinywa chake ili baraka zimfikie mtu huyo
Sio wote wanaoelewa mambo hayo ispokuwa wale waliopewa neema ya kuzijua siri za ufalme wa Mungu
Amen asante Mungu kwa ujumbe wa leo
Amen 🙏
Ibada ya leo ilikuwa yakipekee kabisa💪💪💪💪💪 ,Nmevushwa
Hakika Ibada ya Leo ilikuwa nzury sana Mimi nimepokea kuvushwa eneo la uchumi