- Видео 492
- Просмотров 457 111
Focus News Tanzania Tv 1
Танзания
Добавлен 10 окт 2023
Focus News Tanzania Tv 1, ni channel yako ya TV ya kiganjani ambapo utapata habari mbalimbali ikiwemo habari za kijamii, Siasa, Michezo na Burudani bila kusahau mahojiano katika mada mbalimbali.
Tupo Dodoma Makao Makuu ya Tanzania maeneo ya Ipagala jirani na kanisa la kwa Evance. Jiunge nasi kwa kubonyeza mandishi mekundu yaliyoandikwa Subscribe na kisha bonyeza alama ya kengere na hapo utakuwa umeungana nasi mubashara.
Akhsante kwa kuendelea kuichagua Focus News Tanzania kuwa channel yako pendwa ya TV ya kiganjani.
Focus News Tanzania Tv 1,
Mobile:.+255755834996
Whatsapp:….+255755834996
E-mail:...focusnewsroomtanzania@gmail.com
Tupo Dodoma Makao Makuu ya Tanzania maeneo ya Ipagala jirani na kanisa la kwa Evance. Jiunge nasi kwa kubonyeza mandishi mekundu yaliyoandikwa Subscribe na kisha bonyeza alama ya kengere na hapo utakuwa umeungana nasi mubashara.
Akhsante kwa kuendelea kuichagua Focus News Tanzania kuwa channel yako pendwa ya TV ya kiganjani.
Focus News Tanzania Tv 1,
Mobile:.+255755834996
Whatsapp:….+255755834996
E-mail:...focusnewsroomtanzania@gmail.com
MAAJABU YA KIJANA ANAISHI MSITUNI NA KUONGEA NA WANYAMA
#focusnewstanzaniatv1 #comedyvideo #interview #tanzanianyoutuber #eastafrica
Просмотров: 4
Видео
WAENDESHA MASHTAKA WA ISRAEL WAAMURU UCHUNGUZI WA MKE WA NETANYAHU
Просмотров 6716 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#israel ,#netanyahu ,#simba ,#yanga
NDEGE HIYO ILIYOTOLEWA NA NATO ILIRIPOTIWA KUJARIBU KULIPUA ENEO LA ZAPOROZHYE
Просмотров 2232 часа назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#ukraine ,#russia Tukielekea huko nchini Urusi tunafahamishwa ya kwamba, Moja ya ndege za F-16 zilizotolewa kwa Ukraine na NATO imeripotiwa kudunguliwa ilipokuwa ikijaribu kurusha makombora katika Mkoa wa Zaporozhye nchini Urusi.
WAANDISHI WA HABARI GAZA WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI LA ISRAEL
Просмотров 462 часа назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#gaza ,#palestine ,#israel Tukielekea huko Mashariki ya Kati tunafahamishwa ya kwamba, Kituo cha televisheni cha Palestina kimesema waandishi wa habari watano kutoka kituo hicho wameuawa katika shambulizi la Israeli katika Ukanda wa Gaza katikati.
MASWALI MENGI YAIBUKA KIFO CHA MTOTO WA MFANYABIASHARA MAARUFU DODOMA ALIYEUAWA DODOMA.
Просмотров 3702 часа назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#simba ,#yanga Kifo cha mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyeye mwenye umri wa miaka 6 anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuamkia Jumatano, kimeibua maswali mengi huko katika mitandao ya kijamii, huku watu mbalimbali wakihoji kuwa inawezekana vipi mama kumu...
SYRIA YASEMA MAAFISA 14 WA USALAMA WALIUAWA KWA SHAMBULIO LA 'KUVIZIWA' NA WAFUASI WATIIFU WA ASSAD
Просмотров 6512 часа назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#syria ,#russia ,#yanga ,#simba Tukielekea huko nchini Syria tunafahamishwa ya kwamba, Mamlaka mpya inayoongozwa na waasi nchini Syria imesema maafisa 14 wa wizara ya mambo ya ndani wameuawa na wengine 10 kujeruhiwa katika shambulizi la kuvizia lililofanywa na vikosi vinavyomtii Rais aliyepinduliwa Bashar al-Assad magharibi mwa nchi hiyo.
MAANDAMANO YAIBUKA SYRIA KUFUATIA KUCHOMWA KWA MTI WA KRISMASI
Просмотров 1,1 тыс.7 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#syria ,#palestine ,#usa ,#simba ,#yanga Tukielekea huko nchini Syria tunafahamishwa ya kwamba, Maandamano yameibuka nchini humo kufuatia kuchomwa kwa mti wa Krismasi karibu na jiji la Hama.
ISRAEL HATIMAYE YATHIBITISHA KUMUUA KIONGOZI WA HAMAS HANIYEH MJINI TEHRAN
Просмотров 1127 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#israel ,#hezbollah ,#netanyahu ,#simba ,#yanga Tukielekea huko nchini Israel tunafahamishwa ya kwamba, hatimaye Israel kwa mara ya kwanza imekiri bayana ilimuua kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran mwezi Julai mwaka huu.
VIONGOZI WA KIISLAMU WA URUSI WABADILI UAMUZI WA KURUHUSU KUOA WANAWAKE WENGI
Просмотров 1,7 тыс.7 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#russia ,#islamic ,#palestine ,#simba ,#yanga Tukielekea huko nchini Urusi tunafahamishwa ya kwamba, Baraza kuu la Kiislamu nchini Urusi limeondoa hati yenye utata inayowaruhusu wanaume Waislamu kuwa na wake wengi. Uamuzi huo ulitolewa kufuatia mikwaruzo kwenye mitandao ya kijamii na maafisa waliobaini kuwa sheria ya Urusi inapiga marufuku ndoa ya wake wengi.
URUSI YAKANUSHA KWAMBA MKE WA ASSAD AMEWASILISHA KESI YA TALAKA
Просмотров 14010 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#russia ,#syria ,#putin ,#simba ,#yanga Tukielekea huko nchini Urusi tunafahamishwa ya kwamba, Mke mzaliwa wa Uingereza wa rais aliyeondolewa madarakani wa Syria Bashar al-Assad hataki talaka, msemaji wa Kremlin amesema.
TRUMP KUIREJESHA MAREKANI KWA JINSIA MBILI PEKEE
Просмотров 85010 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#trump ,#usa ,#biden ,#yanga ,#simba Tukielekea huko nchini Marekani tunafahamishwa ya kwamba, Rais mteule wa Marekani Donald Trump alitangaza ajenda kuu ya kushughulikia kile alichokiita "kichaa waliobadili jinsia" wakati wa hotuba katika mkutano wa AmericaFest huko Phoenix, Arizona.
TRUMP AMTAKA ZELENSKY KUSITISHA MAPIGANO NA KUACHANA NA MAENEO YANAYODHITIWA NA URUSI.
Просмотров 1,5 тыс.12 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#trump ,#zelensky ,#putin ,#yanga ,#simba Tukielekea huko nchini Marekani tunafahamishwa ya kwamba, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametuma ujumbe kwa kiongozi wa Ukraine Vladimir Zelensky, akimtaka kuanza kufikiria kusitisha mapigano na kuachana na maeneo ambayo kwa sasa yanadhibitiwa na Urusi, El Pais iliripoti Jumapili.
PUTIN AAPA KULIPIZA KISASI KWA SHAMBULIO LA NDEGE ZISIZO NA RUBANI ZA UKRAINE
Просмотров 33912 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#russia ,#putin ,#ukraine Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kwamba waandaaji wa shambulio la Jumamosi la ndege zisizo na rubani kwenye mji wa Kazan watakabiliwa na jibu kali la kulipiza kisasi.
NDEGE ZISIZO NA RUBANI 19 ZA UKRAINE ZIMEDUNGULIWA USIKU KUCHA
Просмотров 9514 часов назад
#focusnewstanzaniatv1 ,#russia ,#ukraine ,#simba ,#yanga Wizara ya ulinzi ya Urusi imetangaza kuwa kuanzia Usiku wa Ijumaa hadi kufikia Jumamosi, imeendesha operesheni ya kijeshi iliyowezesha kudunguliwa kwa droni za Ukraine kwenye anga zake.
WAHUJUMU GESI WA UKRAINE WAKAMATWA SLOVAKIA - PUTIN
Просмотров 18314 часов назад
WAHUJUMU GESI WA UKRAINE WAKAMATWA SLOVAKIA - PUTIN
SPIKA AKANA KUHUSIKA NA MOTO ULIOTEKETEZA JENGO LA BUNGE
Просмотров 31617 часов назад
SPIKA AKANA KUHUSIKA NA MOTO ULIOTEKETEZA JENGO LA BUNGE
ALIYEHUKUMIWA KIFO KWA KUIBA KUKU NA MAYAI YA AFISA WA POLISI AAHIDIWA MSAMAHA NIGERIA.
Просмотров 8322 часа назад
ALIYEHUKUMIWA KIFO KWA KUIBA KUKU NA MAYAI YA AFISA WA POLISI AAHIDIWA MSAMAHA NIGERIA.
IDADI YA VIFO YAFIKIA 15 AJALI YA LORI MOROGORO.
Просмотров 15222 часа назад
IDADI YA VIFO YAFIKIA 15 AJALI YA LORI MOROGORO.
URUSI YAMKAMATA MSHUKIWA WA MAUAJI YA JENERALI IGOR KIRILLOV
Просмотров 97522 часа назад
URUSI YAMKAMATA MSHUKIWA WA MAUAJI YA JENERALI IGOR KIRILLOV
TAKRIBANI WATU 34 WAMEFARIKI KUFUATIA KIMBUNGA CHIDO, MSUMBIJI.
Просмотров 359День назад
TAKRIBANI WATU 34 WAMEFARIKI KUFUATIA KIMBUNGA CHIDO, MSUMBIJI.
NI PIGO KWA URUSI, MKUU WA ULINZI WA KEMIKALI AUAWA KWA BOMU MOSCOW.
Просмотров 99День назад
NI PIGO KWA URUSI, MKUU WA ULINZI WA KEMIKALI AUAWA KWA BOMU MOSCOW.
MAPAMBANO MAKALI KATI YA URUSI NA KAMBI YA KIJESHI INAYOONGOZWA NA MAREKANI YANAENDELEA KUSHIKA KASI
Просмотров 337День назад
MAPAMBANO MAKALI KATI YA URUSI NA KAMBI YA KIJESHI INAYOONGOZWA NA MAREKANI YANAENDELEA KUSHIKA KASI
TRUMP ANASEMA ZELENSKY HAKUALIKWA KWENYE SHEREHE ZA KUAPISHWA KWAKE.
Просмотров 785День назад
TRUMP ANASEMA ZELENSKY HAKUALIKWA KWENYE SHEREHE ZA KUAPISHWA KWAKE.
PUTIN ATANGAZA KUNYAKUA MAENEO 189 NCHINI UKRAINE MWAKA HUU.
Просмотров 77День назад
PUTIN ATANGAZA KUNYAKUA MAENEO 189 NCHINI UKRAINE MWAKA HUU.
MAHAKAMA YA KOREA KUSINI YAANZA MCHAKATO WA KUMUONDOA RAIS MADARAKANI
Просмотров 40День назад
MAHAKAMA YA KOREA KUSINI YAANZA MCHAKATO WA KUMUONDOA RAIS MADARAKANI
ZIGO LAWAANGUKIA SIMBA, SASA KUWAJIBIKA KUNG’OLEWA VITI KWA MKAPA
Просмотров 782День назад
ZIGO LAWAANGUKIA SIMBA, SASA KUWAJIBIKA KUNG’OLEWA VITI KWA MKAPA
RAIA WASHEREHEKEA BAADA YA BUNGE KUMUONDOA RAIS WA KOREA KUSINI MADARAKANI
Просмотров 494День назад
RAIA WASHEREHEKEA BAADA YA BUNGE KUMUONDOA RAIS WA KOREA KUSINI MADARAKANI
WAANDAMANAJI WA KOREA KUSINI WAKUSANYIKA KABLA YA KURA YA KUMUONDOA RAIS MADARAKANI
Просмотров 121День назад
WAANDAMANAJI WA KOREA KUSINI WAKUSANYIKA KABLA YA KURA YA KUMUONDOA RAIS MADARAKANI
RAIA WA SYRIA WASHEREHEKEA KUONDOLEWA MADARAKANI KWA UTAWALA WA BASHAR AL-ASSAD
Просмотров 9514 дней назад
RAIA WA SYRIA WASHEREHEKEA KUONDOLEWA MADARAKANI KWA UTAWALA WA BASHAR AL-ASSAD
Noma sana
Mungu atujaaliye mwisho mwema dunia imefika mwisho
Always the best
Mtume alikuwa na hesabu kali kwamba wakioa wanawake wengi maana yake wataongezeka na wakiristo kupungua lakini chaajabu wakiristo hawapungui bali kuongezeka.
mh! mnapunguza utamu
Siyo waislamuhuwezi kupinga ruhusa ya muungu
Safi sana
Safi kabisa Trump. Hao wanamsahihisha Mungu hawatakiwi popote.
Israel kichwa...
Kazi imekushinda mbwe mbwe nyingisana
Tramp rais bora kabisa 🎉🎉
hii Sasa ni too much, dah Mungu atusaidie. amina
Naandika nafuta, naandika nafuta.
Aisee bro, unatisha sana. Piga kazi kaka.
Shukran sana
Sauti hii nilitafuta sana
Sasa utakuwa ukiipata kupitia hapa Focus News Tanzania TV 1
Bigup
Nafurahia kupata Habari kutoka Focus News Na. Deo Kaji
Da simple man
Yes Sir.
Vp
Mapicha
Big up bro
Upo vizuri sana Deo Kaji. Mungu akuzidishie hapo
@maisha24TV akhsante sana chief.
Ila kiongozi una punch nzuri sana, unapaswa ufanikiwe zaidi ya ulivyofanikiwa hivi sasa.
@petermnyeshi190 Akhsante sana chief
DK
Yes Sir🤣🤣🤣
Good brother
Good bro
Israel ilishawaonya raia wa lebanon waondoke maeneo yaliyo karibu na hezbollah au silaha za hezbollah
Wao kaziyao kupiga raia wenzao wanalenga kambi za kijeshi
Hao magaidi wa hezbollah wanaweka kambi zao maeneo ya raia ili israel ikiwashambulia ionekane wanashambuliwa raia
Yalitunguliwa
Putin afe
Oreshnik oreshnik haina dnipro
Oreshnik oreshnik haina dnipro
Alaozuzh
Safi sana akamatwe tu netanyahu gaidi mkubwa anafanya mauwaji yakutisha
Putin afe
Safi
Sasa ni wakati wa kukaa meaning na kumaliza mzozo huu
So taifa la mungu ni lawazungu
Mas atasaidianinikwavita yaurusi ?
Wataelewa tu 😂😂😂😂
Uzalilishaji mwingi sana nchi hii
Hizo NI njamaa mbovu na hila za mmarekani na muisrael
Story imeshiba vilivyo,...hongera sana bro
Shukran kaka
Hatar sana
Ukraine karipua kamb urus
Focus News hongereni sana, mmeicover habari in a very professional way.
Shukran Sana ndugu. Endelea kufuatilia Focus News Tanzania TV 1 kwa habari wachungu tele
Trampo nimuhim sana wakati huu
Trump hapendi vita Dunia itatulia sasa mungu kamleta mtu mwema
Kafiri ni kafiri tu Wacha kujikomba kwao
Zelensky ni kibaraka tu wa.mabeberuuu😂
pigeni izo ngurue kwa kila hali
Ulizo langu poutine ana baki na kilomètres ngapi ili amalize vita
Tuna muomba Mungu wetu amjarie Hekima Rais trump ili atekereze kazi aliyopewa na wamarekani kama Alivyo Ahidi
Tunakupata vizuri zaidi kwa habari za ulimwengu mungu akubariki hivi kama sasa wakorea tayari wameonesha ulimwengu kuwa wanasaidiana na urusi wamarekani sasa kazi wanae kuamua kunyoa ama kusuka
Tunakupata vizuri zaidi kwa miendelezo ya habari za ulimwengu