Arch raymond🎵
Arch raymond🎵
  • Видео 9
  • Просмотров 19 240
Arch Raymond Ft Monica chakwe_Ahadi zako ni za kweli (new audio track 2024)
Karibu kusikiliza wimbo huu uitwao Ahadi zako ni za kweli, ukiwa ni wimbo wa injili (gospel song), kwa ajili ya kumsifu Mungu juu ya uhalisia wa ahadi zake zilizopo katika neno lake, umeimbwa nami Arch Raymond (achi raymond, ach raymond, ark raymond) nikishirikiana na mtumishi muimbaji Monica raphael chakwe.
Produced by Napol music and Mtemi record.
Producers; Napol flavor from Dar es salaam, who did mixing, and Ada beat from mtemi record Iringa urban who did vocal recording.
#joellwaga
#paulclement
#gospelsongs
#kenyagospel
#tanzaniagospel
Просмотров: 194

Видео

Arch Raymond_moyo wenye shimo(official audio)
Просмотров 1842 года назад
LYRICS Intro; Ark raymond Ark raymond yeah (napol music) Verse 1; Ni ibilisi ama nini? wanadamu hawa, wanafanya unafiki,kama nini, hawana haya. Hodi nagonga wanasonya,nikisogea homa. Ardhi ya wote ya mungu baba,twagombana siye. wanadunia wana makucha ya kukwangua sana, wameshika dunia wameacha vitabu vyake mungu baba, Pre chorus; Upendo wa dhati wa ki agape, umetoweka. Hakuna percent ya upendo,...
LALA SALAMA,TUTAONANA BAADAE,NENDA MAGUFULI By Arch raymond ft napol flavour & official radhia
Просмотров 17 тыс.3 года назад
Nyimbo inayohusu kumuenzi aliyekuwa rais wa taifa la Tanzania Dr John Joseph pombe magufuli aliyefariki siku rasmi iliyotangazwa na Makamu wa rais Mama samia suluhu hassan siku ya tarehe 17/03/2021 imeimbwa na kutayarishwa na wasanii kutoka Tanzania katika Studio za Napol music chini ya producer(mtayarishaji) Napol flavour Contacts: 255 656 108 595 Hashtags #RIPjpm #BurianiMagufuli #kifo #asant...
Arch raymond_imebaki sauti lyrics _(unofficial short clip)
Просмотров 493 года назад
#ArchRaymond #ArkRaymond Ark raymond
Imebaki sauti live playback video by Arch raymond
Просмотров 563 года назад
#Archraymond #Arkraymond