- Видео 2
- Просмотров 1 147
Emmanuely Beckham Thadeo
Добавлен 4 янв 2022
Artist From East Africa || Gospel Singer
Emmanuely Beckham WAKUMBUKE (official lyrics Video)
#wakumbuke
#emmanuelybeckham
Ni maombi yangu MUNGU akukumbuke kwa nyakati hizi sawasawa na uhitaji wako.
Nyimbo hii ifanyike baraka na ikufanye umwamini MUNGU na kumtazama yeye pekee.
Song written by: Emmanuely Beckham
Performed by. : Emmanuely Beckham
Produced by. : Zakayo sindwani(Annointed studio)
Graphics by. : Tripod creative agency
Mawasiliano : 0768356526
Unaweza kuusikiliza kwenye audio platform zote duniani
#wakumbuke
#emmanuelybeckham
Special thanks
Lutheran church Tabata kisiwani
GOD bless you..
#emmanuelybeckham
Ni maombi yangu MUNGU akukumbuke kwa nyakati hizi sawasawa na uhitaji wako.
Nyimbo hii ifanyike baraka na ikufanye umwamini MUNGU na kumtazama yeye pekee.
Song written by: Emmanuely Beckham
Performed by. : Emmanuely Beckham
Produced by. : Zakayo sindwani(Annointed studio)
Graphics by. : Tripod creative agency
Mawasiliano : 0768356526
Unaweza kuusikiliza kwenye audio platform zote duniani
#wakumbuke
#emmanuelybeckham
Special thanks
Lutheran church Tabata kisiwani
GOD bless you..
Просмотров: 639
Nyimbo kali sana hongera sana🔥🔥🔥🔥
Kipaju kipo kaka
Ubarikiwe sana kijana wangu Mungu azidi kukutumia kwa mapenzi yake🙏 Ahsante sana kwa kutuletea kitu kinzuri sana❤🙏
Nyimbo kali
Cool bro🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tukumbuke baba tukumbuke Mungu baba...Umemaliza kijana wangu Mungu akubariki
❤❤❤❤❤❤
Brother 🙌🙌
Barikiwa sana kaka kazi nzuri mno
Go brother ❤
God bless you🙏
Wimbo mzuri sana mwenyezi mungu azidi kukuinua zaid
Tunapomaliza mwaka 2024 na kuanza mwaka 2025, Mungu tunaomba UTUKUMBUKE
Hongeraaaaaa sana
Bravo🎉
Nimerud tena kuskiza verse ya kwanza Maombi yangu
0:55 1:05 1:09 1:15 🔥🔥🔥🔥🔥 all the best kaka
0:23 0:26 ❤❤❤
Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu 🎉🎉🎉
Good job mate 🎉
Umejua kutuweza🙏
Keep saving brooo🎉🎉🎉
Sina haja ya kuomba tena, maombi yangu Ushaniombea tayari..Big up sana kruti wa Mungu.😂
❤ we are together katibu wangu
Blessed bro let’s pray 🙏
Hatimaye Nimefika bila kuchoka ubarikiwe🙏🙏🙏
Safi sana, asante kwa support musician
@braynassary1429 p1 bro
barikiwa kaka
It's always perfect brother , God's bless you MOG🙏
Glory to God kazi nzuri sana
Hakika Mungu ameonekana kikamilifu sana Mungu akubariki sana ndogo wangu
more blessing brooh👏👏
Step one ahead from man of GOD ....💪
🙏🙏
Nabarikiwa mno🙏
Mungu wangu wambinguni azidi kukutumia kama chombo,na uzidi kuwa manukako na ukazidi kunukoa kila mahali upitapo...nakufurahiya na ninabarikiwa sana kwajil yako...hakika Mungu wambinguni awakumbuke/atukumbuke sote!!🙏🙏
Hongera mdogo wangu MUNGU azidi kukuinua viwango vya juu zaidi
Kazi njema man o God
🎉🎉
Hatari hii Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu🙏🙏
Tunafunga na Kufungua Mwaka Mungu azidi kutukumbuka
Good job
Pure talent 🎉
Keep grinding n shine blood
Mweeeeeee
Kazi nzuri Mwalimu
Wimbo wangu pendwa wa kufungia mwaka baba nikumbuke🎉🎉🎉
Mungu akutunze na kukuinua viwango visivyofikiqa🙌🙌
Amena
Wakwanza kabisa🙌🙌🙌
Mungu ata kuacha Kama ulivyo kuwa