KADI NEWS24
KADI NEWS24
  • Видео 260
  • Просмотров 1 639 766
VILIO VYATAWALA, KIFO CHA MWENYEKITI ACT WAZALENDO, JIMBO LA KIGOMA MJINI, MANENO MAZITO YATAWALA.
KIGOMA.
Vilio na Simanzi Vimetawala Wakati wa Kuaga Mwili wa Marehemu KHALFAN BONA, Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Na Baadae Chama cha ACT WAZALENDO Katika Jimbo la Kigoma Mjini, ambaye amefariki Dunia kutokana na Ugonjwa wa Figo.
Mamia ya wakazi wa Kigoma wakitawaliwa na Vilio na Simanzi wamejitokeza kuaga mwili wa Marehemu KHALFAN BONA.
Viongozi Mbalimbali wa Kisiasa Katika Jimbo la Kigoma Mjini, wanaeleza Marehemu kuwa Mfano wa Kuigwa katika kuunganisha jamii na kuweka kando tofauti za Kisiasa.
Просмотров: 2 410

Видео

MAJONZI, WATOTO WATEKETEA KWA MOTO, WAPO 2 WA FAMILIA MOJ, BABA YAO YUKO ICU.
Просмотров 35812 часов назад
KIGOMA. WATOTO Wawili wa Familia Moja Wamefariki Dunia Katika Ajali ya Moto, Kufuatia Kuungua Nyumba Wakiwa Wamelala Ndani, Huku Baba Yao Mzazi aliyetambulika kwa Jina la RASHID AHMAD NTAHONDI Akiungua Vibaya katika maeneo ya Mwili wake na kulazika kukimbizwa Katika hospital ya Rufaa Maweni Kigoma ambapo anaendelea kupatiwa matibabu. Tukio hilo la Kusikitisha, Limetokea Majira ya Jioni Janary M...
POLISI WAZAGAA MTAANI, HATUTAKI MCHEZO MWAKA MPYA UISHE KWA AMANI SIO VURUGU.
Просмотров 99216 часов назад
POLISI WAZAGAA MTAANI, HATUTAKI MCHEZO MWAKA MPYA UISHE KWA AMANI SIO VURUGU.
MAKOMANDO VIPENSI WA MASHUJA FC WAKICHAFUA, SISI HATUNA BAYA TUNAJEGEJA TU.
Просмотров 1,2 тыс.21 день назад
@Wasafi_Media @KadiNews @millardayoTZA
HAYA HAPA MASHINDANO YA MICHUANO YA MAIN FC CUP, KUIBUA VIPAJI NA KUTUNZA MAZINGIRA,
Просмотров 3728 дней назад
@KadiNews @Wasafi_Media
ZITTO AFUNGUKA, NONDO AMEKUTWA AMEPIGIKA VIBAYA HATAMANIKI YUPO HOSPITAL, WASAMALIA WAMESAIDIA.
Просмотров 1,3 тыс.Месяц назад
@UtekAji @KadiNews
HAWA JKT SIO MCHEZO USIOMBE KUKUTWA, MOTO WAO USIPIME, KWATA LA KIBABE MAKOMANDO WAKUBALI.
Просмотров 631Месяц назад
@kanembwajkt @ uzalendo.
SIRI ZAFICHUKA, ACT WAIBUA MAPYA, WADAI KUIBIWA NA KUPORWA.
Просмотров 2,9 тыс.Месяц назад
@KadiNews
PART 2, ZITTO ACHAFUA HALI YA HEWA POLISI WAMEKAMATWA NA KURA ZA WIZI, WAMEPIGA WATU WETU.
Просмотров 29 тыс.Месяц назад
@millardayoTZA @KadiNews
PART 1- ZITTO AFUNGUKA SIRI ZA CCM, TUMESHIDA WAMEPORA UCHAGUZI,
Просмотров 2,7 тыс.Месяц назад
@KadiNews @millardayoTZA
WAGOMBEA UPINZANI WALIOSHINDA UENYEKITI, TUNAPONGEZA WATANZANIA KUTUAMINI CCM.
Просмотров 1,6 тыс.Месяц назад
@KadiNews @Wasafi_Media
MAPYA YAIBUKA ACT, KUPINGA MATOKEO SERIKALI ZA MITAA, NI UHUNI HAKUNA HAKI.
Просмотров 15 тыс.Месяц назад
@KadiNews @Wasafi_Media @millardayoTZA
KUBWA KULIKO, MAKAMU WA RAIS MPANGO, APIGA NONDO KIJIJINI KWAO ALIKOZALIWA.
Просмотров 386Месяц назад
KUBWA KULIKO, MAKAMU WA RAIS MPANGO, APIGA NONDO KIJIJINI KWAO ALIKOZALIWA.
WAGOMBEA WA CCM WAPITA BILA KUPIGWA, KATIBU MWENEZI CCM AFUNGUKA MBELE YA WAANDISHI.
Просмотров 37Месяц назад
WAGOMBEA WA CCM WAPITA BILA KUPIGWA, KATIBU MWENEZI CCM AFUNGUKA MBELE YA WAANDISHI.
KIONGOZI WA ACT WAZALENDO, APIGA NONDO KUING'OA CCM MADARAKA - UENYEKITI.
Просмотров 2,7 тыс.Месяц назад
KIONGOZI WA ACT WAZALENDO, APIGA NONDO KUING'OA CCM MADARAKA - UENYEKITI.
MIZIMU YA ACT YASIMAMA, WATU KUFA NA KUWA MACHIZI, DUA YAPIGWA YA UHAKIKA- TAZAMA A-Z.
Просмотров 12 тыс.Месяц назад
MIZIMU YA ACT YASIMAMA, WATU KUFA NA KUWA MACHIZI, DUA YAPIGWA YA UHAKIKA- TAZAMA A-Z.
CASUAL STYLES 2024 - 2025, KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA SUTI AINA ZOTE KE & ME, KAUNDA ZA UHAKIKA.
Просмотров 32Месяц назад
CASUAL STYLES 2024 - 2025, KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA SUTI AINA ZOTE KE & ME, KAUNDA ZA UHAKIKA.
WADAU WA MICHEZO KIGOMA, WAOMBA WADAU KUIBUA VIPAJI VYA WACHEZAJI.
Просмотров 582 месяца назад
WADAU WA MICHEZO KIGOMA, WAOMBA WADAU KUIBUA VIPAJI VYA WACHEZAJI.
UFUNDI WA MCHEZO WA MASHUJAA FC VS AZAMU FC, KIGOMA.
Просмотров 2753 месяца назад
UFUNDI WA MCHEZO WA MASHUJAA FC VS AZAMU FC, KIGOMA.
UNYAMA WA JEZI MPYA ZA MASHUJAA FC, MSIMU 2024- 2025, BAADA YA KUZINDULIWA.
Просмотров 1323 месяца назад
UNYAMA WA JEZI MPYA ZA MASHUJAA FC, MSIMU 2024- 2025, BAADA YA KUZINDULIWA.
UMEME WA GRIDI YA TAIFA KIGOMA, UNAVYOLETA VIWANDA KWA KASI, NAIBU WAZIRI NA MBUNGE WAFUNGUKA.
Просмотров 3093 месяца назад
UMEME WA GRIDI YA TAIFA KIGOMA, UNAVYOLETA VIWANDA KWA KASI, NAIBU WAZIRI NA MBUNGE WAFUNGUKA.
WAKANDARASI WA UMEME WANAOCHELEWESHA MIRADI KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA, REB YAFUNGUKA.
Просмотров 983 месяца назад
WAKANDARASI WA UMEME WANAOCHELEWESHA MIRADI KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA, REB YAFUNGUKA.
NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO, ATEMA MADINI MBELE YA WANANCHI KIGOMA, AFUNGUKA MAZITO.
Просмотров 6243 месяца назад
NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO, ATEMA MADINI MBELE YA WANANCHI KIGOMA, AFUNGUKA MAZITO.
MSITUMIKE KUFANYA UHALIFU, ACHENI KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA, NYIE NI HAZINA YA TAIFA.
Просмотров 6254 месяца назад
MSITUMIKE KUFANYA UHALIFU, ACHENI KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA, NYIE NI HAZINA YA TAIFA.
BALAA LA JKT, KAMA VITANI SILAHA JUU JUU, MORARI KWA MAKAMANDA WAO. KWATA LA UHAKIKA.
Просмотров 1,4 тыс.4 месяца назад
BALAA LA JKT, KAMA VITANI SILAHA JUU JUU, MORARI KWA MAKAMANDA WAO. KWATA LA UHAKIKA.
WANAOJITEKA NA KUTAKA FEDHA KWA WAZAZI WADAKWA NA POLISI, WAPO WATATU.
Просмотров 3744 месяца назад
WANAOJITEKA NA KUTAKA FEDHA KWA WAZAZI WADAKWA NA POLISI, WAPO WATATU.
MZEE AANGUA KILIO, MUNIHURUMIE NAOMBA, AKAMATWA AKIIBA MAJI NJE YA UTALATIBU.
Просмотров 1814 месяца назад
MZEE AANGUA KILIO, MUNIHURUMIE NAOMBA, AKAMATWA AKIIBA MAJI NJE YA UTALATIBU.
KIMEUMANAA, WANANCHI WAPINGA MRADI WA SERIKALI, WAELEZA UPIGAJII, WATAKA RAIS AINGILIE.
Просмотров 4454 месяца назад
KIMEUMANAA, WANANCHI WAPINGA MRADI WA SERIKALI, WAELEZA UPIGAJII, WATAKA RAIS AINGILIE.

Комментарии

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 5 дней назад

    Allah akurehemu akupe kauli thabit na wepesi wa safari yako aminaa

  • @SeifSalim-jd1bn
    @SeifSalim-jd1bn 5 дней назад

    Innaalilah Waina Ilayhi rajiun,, Allah ampe kauli thabit

  • @arafasalim679
    @arafasalim679 5 дней назад

    Allah akufanyie wepesi ktk safari yake

  • @lutfiakassimjuma2933
    @lutfiakassimjuma2933 5 дней назад

    Allah amfanyiye wepwc kwa kila zito kwako

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 5 дней назад

    Ivi kigoma kuna kusgeherekea kweli 😂😂

  • @nassoribrahim5288
    @nassoribrahim5288 7 дней назад

    😊 operation fukuza kunguru

  • @judithjohn131
    @judithjohn131 11 дней назад

    Kama nimeingia tarehe za mwishoni kwa mfano tarehe 28 na huo mwezi ina tarehe mpaka 31 siku yangu yakubeba mimba mtoto wa kiume ni upi?

  • @madarakaiddi
    @madarakaiddi 16 дней назад

    Mwisho wa dunia

  • @madarakaiddi
    @madarakaiddi 16 дней назад

    ILOVE MOROGORO

  • @Swahibpower-i4p
    @Swahibpower-i4p 21 день назад

    ❤❤❤

  • @SophiaAmos-f6w
    @SophiaAmos-f6w 21 день назад

    Anayetaka kurangua bei inapungua?

  • @ATHUMANSelemani-rd8tq
    @ATHUMANSelemani-rd8tq 22 дня назад

    Waliiva

  • @MARTHAMWAYAHILA-l7g
    @MARTHAMWAYAHILA-l7g 25 дней назад

    Muhammed Chahe( Dunialeo Online Media) Kazi nzuri Kiongozi Wangu.

  • @AtikaJumuka
    @AtikaJumuka 25 дней назад

    Mgmbo jkt 835

  • @msafirially7849
    @msafirially7849 29 дней назад

    Kazi mzuri

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e Месяц назад

    ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU MY BROTHER FROM TZ I AM PROUD OF PEOPLE OF TANZANIA 🇹🇿 MY ALLAH PROCTER U FROM SHATAN AND JINN MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA. LOT OF DUA FROM BOTTOM OF MY HEART UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK WS. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @zenasalum2231
    @zenasalum2231 Месяц назад

    Toba yailah mamaweee

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Месяц назад

    This speech from zito kabwae was vary lmotion ever happened in this hearing since but under zito kabwae on CT wazalendo as the opposition CT wazalendo has spoken reality underground

  • @SuleimanKiyada-eb8er
    @SuleimanKiyada-eb8er Месяц назад

    Unajisifi ushaua lakini utaenda. Kumlipa Haki yake

  • @SuleimanKiyada-eb8er
    @SuleimanKiyada-eb8er Месяц назад

    Subhanallah hakuna duwa kama hiyo huo ni ushirikina mutaenda Kuona huo ushirikina mungu hatokupeni Kwa shiriki

  • @SuleimanKiyada-eb8er
    @SuleimanKiyada-eb8er Месяц назад

    Subhanallah hakuna duwa kama hiyo huo ni ushirikina mutaenda Kuona huo ushirikina mungu hatokupeni Kwa shiriki

  • @aljabrsaleh4378
    @aljabrsaleh4378 Месяц назад

    Huu ni ushirkina hili jambo sii la dini ya allah hili jambo la shaytwaani

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji Месяц назад

    Iyo ni lungwana albadili aikwepeki watazulika

  • @MasoudSultan-ks6kc
    @MasoudSultan-ks6kc Месяц назад

    ALLWA HAFANYIWI DHIHAKA

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Месяц назад

    😢

  • @addomapunda957
    @addomapunda957 Месяц назад

    Mwenye akili amemwelewa zito

  • @agreyanyimike4700
    @agreyanyimike4700 Месяц назад

    Amin

  • @alidau2193
    @alidau2193 Месяц назад

    Timuone na mchungaji

  • @alidau2193
    @alidau2193 Месяц назад

    Chama hiki Cha kidini

  • @noahemanuel7015
    @noahemanuel7015 Месяц назад

    Nasubiri matokeo nimekaa hapa😂😂

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 Месяц назад

    AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN Y

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w Месяц назад

    Amina Amina Amina

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd Месяц назад

    Mmeskia rorwa wamekufa watu wanne wenyekiti ccm kazi iendelee

  • @Nassib-h5k
    @Nassib-h5k Месяц назад

    Wapelekwe gaza

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

    Dua hi haipo kwenye dini. Ya kiislam hiyo mnaiita alalbadili

  • @aickatesha4542
    @aickatesha4542 Месяц назад

    Uwakika🌹🌹♥️♥️♥️♥️💋 8:33

  • @ClementMwampashi
    @ClementMwampashi Месяц назад

    Sjui unaeleweka?

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda Месяц назад

    Kumbe hii Dua ndo iliyonsaidia Nondo

  • @SadaSalum-x4j
    @SadaSalum-x4j Месяц назад

    Nzuli

  • @SadaSalum-x4j
    @SadaSalum-x4j Месяц назад

    Naupenda mkoa wangu kgm

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki Месяц назад

    😂wao ni wakamilifu kwanza

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL Месяц назад

    😂

  • @BekaKashamba-wi5sm
    @BekaKashamba-wi5sm Месяц назад

    zito ni mwamwi wa kigoma sio mwanasiasa kwe2

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 Месяц назад

    😂😂😂😂

  • @taitatimotheo3075
    @taitatimotheo3075 Месяц назад

    Jaman mtu ulie maasikar wafe tu maana wanateka raia nimeipenda sana hii

  • @JudicaShoo-x9n
    @JudicaShoo-x9n Месяц назад

    Dua nasiasa

  • @rosemaryalex-n4c
    @rosemaryalex-n4c Месяц назад

    Hatari sana

  • @zarihaSalum
    @zarihaSalum Месяц назад

    Jaman tunaenda mbali duuu kwann jaman hamuna huruma

  • @EmaJohn-z5q
    @EmaJohn-z5q Месяц назад

    Mnalalamika nini uchaguzi urudiwi cc wote ni watanzania

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x Месяц назад

    Safiii sanaaa