- Видео 572
- Просмотров 681 222
Red Pro Media T.O.T Strong Team
США
Добавлен 3 янв 2014
BREAKING NEWS ISRAEL YAISHAMBULIA IRAN MDA HUU ILI KULIPIZA KISASI
BREAKING NEWS ISRAEL YAISHAMBULIA IRAN MDA HUU ILI KULIPIZA KISASI
Просмотров: 35
Видео
SERIKALI YA CONGO NA RWANDA WAKUBALIANA KUWATOA FDLR CONGO NA BADO M23 NA FDLR NI VITA. KUNA NINI?
Просмотров 3821 день назад
SERIKALI YA CONGO NA RWANDA WAKUBALIANA KUWATOA FDLR CONGO NA BADO M23 NA FDLR NI VITA. KUNA NINI?
BUNGE KENYA LAMUONDOA NAIBU RAIS GACHAGUA HUKU RUTO AKIMCHAGUA PROF KITHURE KINDIKI KUWA NAIBU RAIS
Просмотров 6721 день назад
BUNGE KENYA LAMUONDOA NAIBU RAIS GACHAGUA HUKU RUTO AKIMCHAGUA PROF KITHURE KINDIKI KUWA NAIBU RAIS
TUNAOMBA VIONGOZI NA WASOMI NA DINI ZA KIKRISTO WAJE KUTUJIBU HAYA MASWALI SIKILIZA MASWALI YENYEWE
Просмотров 4221 день назад
KATIKA KIPINDI HIKI NIMEKUKULETEA MASWALI MEEEEENGI SANA YANAYOHITAJI UFAFANUZI. ENDELEA KUFATILIA VIPINDI VYETU KWA KARIBU ZAIDI.
MAKALIO MAKUBWA YAZIDI KUMTESA HARMONIZE, AANDIKA HAYA.
Просмотров 3821 день назад
MAKALIO MAKUBWA YAZIDI KUMTESA HARMONIZE, AANDIKA HAYA.
KAGAME ATEUWA ALEX KAGAME NA ANDREW KAGAME KUWA VIONGOZI WA JUU JESHINI, NINI KILICHO NYUMA YA PAZIA
Просмотров 7 тыс.21 день назад
KAGAME ATEUWA ALEX KAGAME NA ANDREW KAGAME KUWA VIONGOZI WA JUU JESHINI, NINI KILICHO NYUMA YA PAZIA
TOCHITO BY BOSS ELVICE
Просмотров 6121 день назад
WIMBO HUU NILIUWEKA HAPA RUclips MIAKA 3 ILIYOPITA. NA BADO NITAFANYA KILA IWEZEKANAVYO ILI SANAA HII IKUFIKIE. IKIBIDI HATA KUFANYA REMIX ILI HII IDEA IKUFIKIE NITAFANYA HIVYO. HII SIO OFFICIAL VIDEO ILA NIKUAHIDI TU KUWA KWA SASA NYIMBO ZANGU ZOTE NITAZITENGENEZEA VIDEO. UKIWEZA TAFADHALI TUUNGE MKONO KWA KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU. ruclips.net/video/Yxm18X4jV7U/видео.html
STORI YA KUHUZUNISHA: ASKARI WA USA ASALITIWA NA MKE WAKE AKIWA IRAQ VITANI, ALIPORUDI IKAWA HIVI. 3
Просмотров 8121 день назад
STORI YA KUHUZUNISHA: ASKARI WA USA ASALITIWA NA MKE WAKE AKIWA IRAQ VITANI, ALIPORUDI IKAWA HIVI. 3
UMOJA WA MATAIFA WAMGOMEA BENJAMIN NETANYAHU WA ISRAEL KUTOKA LEBANON ILI AKABILIANE NA HEZBOLLAH
Просмотров 2121 день назад
UMOJA WA MATAIFA WAMGOMEA BENJAMIN NETANYAHU WA ISRAEL KUTOKA LEBANON ILI AKABILIANE NA HEZBOLLAH
STORI YA KUHUZUNISHA: ASKARI WA USA ASALITIWA NA MKE WAKE AKIWA IRAQ VITANI, ALIPORUDI IKAWA HIVI. 2
Просмотров 8428 дней назад
STORI YA KUHUZUNISHA: ASKARI WA USA ASALITIWA NA MKE WAKE AKIWA IRAQ VITANI, ALIPORUDI IKAWA HIVI. 2
STORI YA KUHUZUNISHA: ASKARI WA USA ASALITIWA NA MKE WAKE AKIWA IRAQ VITANI, ALIPORUDI IKAWA HIVI. 1
Просмотров 7628 дней назад
STORI YA KUHUZUNISHA: ASKARI WA USA ASALITIWA NA MKE WAKE AKIWA IRAQ VITANI, ALIPORUDI IKAWA HIVI. 1
BINTI AOLEWA 50,000$ HAPA MAREKANI: SHANGAZI AOMBA WAONGEZE 20000$ NYINGINE
Просмотров 8328 дней назад
BINTI AOLEWA 50,000$ HAPA MAREKANI: SHANGAZI AOMBA WAONGEZE 20000$ NYINGINE
DIAMOND PLATNUMZ AUPELEKA WIMBO WA KOMASAVA KWENYE KINYANGANYIRO CHA GRAMMY. HATARI
Просмотров 6728 дней назад
DIAMOND PLATNUMZ AUPELEKA WIMBO WA KOMASAVA KWENYE KINYANGANYIRO CHA GRAMMY. HATARI
P DIDDY HALI INAZIDI KUWA TATA MAHAKAMA YAKATAA KUMTOA GEREZANI, ALIA NA FAMILIA
Просмотров 23128 дней назад
P DIDDY HALI INAZIDI KUWA TATA MAHAKAMA YAKATAA KUMTOA GEREZANI, ALIA NA FAMILIA
GODELIVE MLONGE: MASHABIKI ZANGU WA NYIMBO ZA INJILI NIMESHAFIKA MAREKANI, MDA SI MREFU NAACHIA KAZI
Просмотров 2,1 тыс.28 дней назад
GODELIVE MLONGE: MASHABIKI ZANGU WA NYIMBO ZA INJILI NIMESHAFIKA MAREKANI, MDA SI MREFU NAACHIA KAZI
HARMONIZE AMEACHANA NA POSHY QUEEN NA KURUDIANA NA KAJALA? POST YAKE KWENYE INSTA YALETA MASWALI.
Просмотров 4028 дней назад
HARMONIZE AMEACHANA NA POSHY QUEEN NA KURUDIANA NA KAJALA? POST YAKE KWENYE INSTA YALETA MASWALI.
ALEXANDRA ALIYEKUFA CANADA NA WALE 300 WALIOKUFA GOMA KUNA SIRI GANI ILIYOJIFICHA?
Просмотров 6428 дней назад
ALEXANDRA ALIYEKUFA CANADA NA WALE 300 WALIOKUFA GOMA KUNA SIRI GANI ILIYOJIFICHA?
NATAFUTA NUMBER YA MZEE AKOLO NIONGEE NAE: BASENGELELE MAKANAKI
Просмотров 173Месяц назад
NATAFUTA NUMBER YA MZEE AKOLO NIONGEE NAE: BASENGELELE MAKANAKI
BASENGELELE : ILE GARI ILIKUWA IMEHARIBIKA/MIMI MDOGO WAKE NITATAFUTA UKWELI/ UGONVI BINAFSI HUU?
Просмотров 271Месяц назад
BASENGELELE : ILE GARI ILIKUWA IMEHARIBIKA/MIMI MDOGO WAKE NITATAFUTA UKWELI/ UGONVI BINAFSI HUU?
KAMA NI UCHAWI MME WA ZAWADI KUNIJENGEA NYUMBA, BASI NJOO NIWAFUNDISHE HUU UCHAWI
Просмотров 472Месяц назад
KAMA NI UCHAWI MME WA ZAWADI KUNIJENGEA NYUMBA, BASI NJOO NIWAFUNDISHE HUU UCHAWI
JUMA MWENYEKITI WA WAFULERO ALICHANGIA KUMPIGA LINDA MWANANGU - MAMA CHRISTINA
Просмотров 76Месяц назад
JUMA MWENYEKITI WA WAFULERO ALICHANGIA KUMPIGA LINDA MWANANGU - MAMA CHRISTINA
NINA HIT SONGS NYINGI KUZIDI HATA STEPHANIE ALIEKUFA. JOSHUA PROMISE MTOTO WA NEEMA.
Просмотров 439Месяц назад
NINA HIT SONGS NYINGI KUZIDI HATA STEPHANIE ALIEKUFA. JOSHUA PROMISE MTOTO WA NEEMA.
MELI YA GOMA: HII NDIO SABABU KWANINI MELI ILIZAMA. INASIKITISHA SANA. TSHISEKEDI YUPO FRANCE.
Просмотров 66Месяц назад
MELI YA GOMA: HII NDIO SABABU KWANINI MELI ILIZAMA. INASIKITISHA SANA. TSHISEKEDI YUPO FRANCE.
DAYCARE AU CHILD CARE YA WAKIMBIZI IMEFUNGWA BOISE IDAHO? FATILIA KWA MAKINI
Просмотров 117Месяц назад
DAYCARE AU CHILD CARE YA WAKIMBIZI IMEFUNGWA BOISE IDAHO? FATILIA KWA MAKINI
BADMAN ISI: UNASUBIRI RITA AACHANE NA MME WAKE ILI MUOWANE? MIMI SIMTAKIAGI MEMA EX WANGU
Просмотров 197Месяц назад
BADMAN ISI: UNASUBIRI RITA AACHANE NA MME WAKE ILI MUOWANE? MIMI SIMTAKIAGI MEMA EX WANGU
DIAMOND PLATNUMZ ALITEMBEA KIMAPENZI NA DIDDY? SIKILIZA HUU MTAZAMO KABLA HUJADHIBITISHA! UTASHANGAA
Просмотров 12 тыс.Месяц назад
DIAMOND PLATNUMZ ALITEMBEA KIMAPENZI NA DIDDY? SIKILIZA HUU MTAZAMO KABLA HUJADHIBITISHA! UTASHANGAA
MDOGO WANGU AMPA MIMBA MAMA MKWE WANGU KISHA KUNIVURUGIA NDOA YANGU, NA BADO HAKUISHIA HAPO.INATISHA
Просмотров 413Месяц назад
MDOGO WANGU AMPA MIMBA MAMA MKWE WANGU KISHA KUNIVURUGIA NDOA YANGU, NA BADO HAKUISHIA HAPO.INATISHA
FAMILIA INASEMAJE KUHUSU AUDIO ILIYOMTAJA MICHELE ALIYEUWA JOAKIM? KUNA MIPANGO YA KUTAFUTA UKWELI?
Просмотров 400Месяц назад
FAMILIA INASEMAJE KUHUSU AUDIO ILIYOMTAJA MICHELE ALIYEUWA JOAKIM? KUNA MIPANGO YA KUTAFUTA UKWELI?
JE BABA MZAZI NA MZEE AMSI WALIKUWA WAMELEWA POMBE SIKU MTOTO ALITOWEKA? OLOMWENE ALETA UKOROFI. 4
Просмотров 469Месяц назад
JE BABA MZAZI NA MZEE AMSI WALIKUWA WAMELEWA POMBE SIKU MTOTO ALITOWEKA? OLOMWENE ALETA UKOROFI. 4
UKWELI WA KIFO CHA MTOTO CHAWEKWA WAZI.BARUTI,MICHELLE,MMA KOBE,NANI ALIUWA?MSEMAJI WA FAMILIA AMSI
Просмотров 337Месяц назад
UKWELI WA KIFO CHA MTOTO CHAWEKWA WAZI.BARUTI,MICHELLE,MMA KOBE,NANI ALIUWA?MSEMAJI WA FAMILIA AMSI
You are Right and true na uko muwazi
Kagame anaonekana kichwa kikubwa Kama cha ng'ombe, lkn kina akili mbovu(afya ya akili)
Tatizo la Rwanda ni KAGAME.Tatizo la Uganda(waganda) ni MSEVENI.Tatizo la Kenya (wakenya) ni UKABILA.Tatizo la Tanzania(Watanzania) ni CCM na UMBMBU wa WATANZANIA.
Good ❤❤❤❤❤❤❤❤👏🏽👏🏽💪🏽💪🏽💪🏽💕💕💕😍😭😍
Good Sermon
Maneno ya mzunguko ni mengi,na mzunguko wenyewe, ni mrefu mpaka maana mzima inapotea ! Sijui anahubiri injili au anaeleza habari za Diamond !
What is new? Afrika hii viongozi wote wameoza
Woga ndio chanzo cha haya yoote. Namkumbuka saana mzee bakili muluzi alisema raisi yeyote anapo ingia madarakani ni vyema akajuwa kuna maisha baada ya uraisi. Hiki kinacho tokea rwanda sasa si ajabu tukumbuke uganda nako ni vivyo. Hii ni maana nzima ya woga na hofu ya maisha baadae. Africa tuna matatizo saana
Wafahamishe zidi kuwaelimisha wawaelewe
Chanter en pleurant
Kagame ni raisi mzuri Kwa nchi yake, ila Kwa hapo Mzee kakosea
Nchi ya washenzi kabisa hii ovyokabisa alafu oooh tuigie hii nchi ushenzi kabisa
Ni inch ya washenz kivip ndg yangu labda wew baya unalo lijua lip?
Kama hao watoto wake anaowaweka ni waadifu wanaotenda haki basi mm sioni tatizo hapo, tukumbuke huo ni uongozi wa jeshi hauhitaji kura za wananchi
Ni serikali ya kifaume 😮
@@gracekagoma3231 kwa sababu gan? Tunacho taka sis Afrika sio kwamba kaz watu waachiane wew ongoza ata miaka 100 ila leta maendeleo♥️
Ni aibu sana 😢😢
YAANI TULIKATAA KUTAWALIWA NA WAZUNGU LAKINI BADO FAMILIA YA KIAFRIKA INATAWALA FULANI KIUKOO
Ndio mkubali yote yaishe
Rwanda na Uganda demokrasia zao zinafanana wantaka kutawala kiukoo jambo ambalo ni hatari huko mbeleni machafuko yakiingia
@@Selemlaki132 wanatawala kiukoo kivip? Mbona watu walio badilishana uongoz katika izo inch sio koo moja🤔
Hakuna shida kama wana sifa zinazotakiwa
Tumekuwa tunachambua ubaya tuu kwa viongozi wa afrika kuwapo madarakani mda mrefu. Yap mazur kwa viongozi hawa kuwepo madarakani. Sote tujua namna ambavyo hii democracy inavyo tutafuna African Kila kiongozi aingiapo madarakan wengi wetu huibuka na kuwa mafisadi.
Nchi ya kifalme hii.
Rwanda ni mali binafsi ya Kagame kama ilivyo kwa Yowel Kaguta Mseven wa Uganda na Uganda yake. Haya ndio mambo ambayo China na Urusi wanayakubali sana.
Safi sana
Kagame anataka family yake itawale Ruanda. Wanyaruanda msikubali kutawaliwa na iyo family
mtangazaji umetuchapia kidogo aliempindua obothe madarakani mara kwanza alikuwa idd amini dada ikaleta vita vya kagera baada ya vita amini alikimbia akarudi obothe mara ya pili obothe alipinduliwa na mkuu wake Wa majeshi general Tito okello muda mfupi tito okello akatolewa na museveni ndio yupo madarakani mpaka hivi sasa
Sahihi kabisa kk
@@danaseb1620 Tatizo wengne ni story za vijiwen ndizo zinawaendesha🤣
Anateua watoto wake du afrika bwana hata peponi hivihivi
@@NardhisMhagama-sy3eq Sasa ulitaka mtoto wake kama ana sifa asimteue? Iv wewe unajua Rwanda? Ukifika Rwanda ni sawa upo nyumban uyu mwamba ni muafrika kwer Kuna inch jiran ukienda tabia zao kama upo Sudan kusin🤔
Sinaga wasiwasi na uongoz wa uyu bwana uongoz wake Afrika lazima awepo kwenye 5 Bora👏👏
Duu
❤
Ibada njema
Upo vizuuuuuuuuuri sana na unaongea point ambazo wachache wamepewa hiyo mana kuelewa.na ujue inabidi uombe sana ulinzi wa mungu .coz shetani atakuandama sana anajuwa unamuharibia sana ajenda zake.za kuharibu mipango yake ya kutaka kuteka wanadamu ili siku ya mwisho apate mashahidi we gi kwenye hukumu.kitu ambacho hakiwezekani.
Kiukweli na hizo make up haija mpendeza kabisa. 😂😂😂😂😂 hacheni mtu awe jinsi alivyo tu. Hacheni kupandikiza hembe kwa mchungwa.
Unajuwa ❤❤
Mtangazaji nakupa 100%
Kyaaaah Mbona CAMP aukuwanajipodowa ivyo daaaah Niatari kweli
🇨🇩
Mlenge kwasasa sio mlima bwana😂 mlenge mahali panao ishi wanyamulenge houx plateau yote tunaiita mlenge (Imurenge) inchi ya wanyamulenge
Acha ki moja ya dunia unapenda na ya Mungu unapenda hamuwa kumtumikia mmoja tu sio unapenda kumuimbia Mungu alafu ungali napenda mambo ya dunia
Maswali mengine ya hovyo. Eti ulisnza mapenzi na miaka ngapi. Sizani kama ina mstaili mwimbaji wa nyimbo za injili. Maswali kama hayo yana staili wakina recho
Sasa iyi wigi ni ya nini sasa ?ukijitowa kumtumikia mungu achana na ya duniya kyekye😂😂
Ni kweli
Wig sio shida .izo kope bandia anakapua macho san😮mbon bila makeup anahonekana beautiful Ila me ❤❤👈
walimwengu sasa amkosagi vidimbwi
Karibu Marekani Godelive , Mungu akutangulie kwa kila atua 🙏🙏❤️💯 Sema nimependa vibe 😂😂😍
Ni kweli ahache kimoja😢
😂😂😂😂😂😂
😂
Simba anamjua p did anapididi wasanii wanae taka kuwa juu yeye kaenda kwake kafata nin
Nulishuhudia
SIMBAAAA atawaumiza vicwa saaana na anazidi kwenda juu zaidi SIMBAAAA ❤❤❤❤❤❤❤
Hahahahah ..... Kashaumizwa tayar
Kumbe
Diamond alisema mwenyewe tulifanya lskini sio vizuri mdomo uliponza diamond
Tumekuelewa kk
Maneno yako ya busara ubarkiwe
Kwali