AGAPE GRACE CHURCH
AGAPE GRACE CHURCH
  • Видео 30
  • Просмотров 12 825

Видео

Sifa ya hatare Agape Grace Church lansing
Просмотров 18921 день назад
Katika kipindi hiki cha kumsifu Mungu, Mtumishi wa Mungu Espoir L Akafungua ibada kwa kuongoza mkutano wa waamini katika Sifa Kali akiimba nyimbo tofauti.
Zilizopendwa Sifa na Maabudu Pamoja na @gugygustavo156 katika kanisa la Agape Grace Church
Просмотров 17721 день назад
Kwenye siku hiii ya furaha, mtumishi wa mungu @gugygustavo156 akaimba nyimbo za sifa na maabudu pale alipo alikwa kuimba Ameimba nyimo kama; - Negereye Intebe yawe - Goodness of God - You are Alpha Omega - Tuzahora Tugushima Pia akachangamsha umati kwanyimo za Animation.
Esther Niyokwizera Akiimba wimbo wake mpya 'Ameinuliwa Bwana' - Agape Grace Church
Просмотров 4,4 тыс.Месяц назад
Kwenye sikuu kuu hii, @esthaniyokwizera6312 akaimba wimbo wake AMEINULIWA BWANA, Akiungana na Kunda La AGAPE GRACE CHURCH Wimboo huu unatukumbusha kwama ijapo mengi tunapitiya, tumeumbwa kwa lengo flani na Mungu anampango juu ya kila mmoja atakae nyenyekeya na kumsifu
Kwanini watu wengi wanasumbuwa kwenye familia - Pastor Daniel MGOGO - Agape Grace Church
Просмотров 169Месяц назад
kutoka nchini Tanzania Pastor Daniel Mgogo, afunza sababu ambazo zinasababisha usumbufu kwenye familia za kisasa. Tarehe hizo 5 na tarehe sita za mwezi wa tano Ungana nasi kwenye mafunzo haya ili tufunzwe Jinsi Ya Kushinda kwa kushindwa
Papi Clever & Dorcas - Ameniweka Huru Kweli - Igisirimba || Agapegracechurch Lansing Mi
Просмотров 4902 месяца назад
🎵 Ameniweka Huru Kweli - Igisirimba - Wimbo wa wokovu 40 “Ameniweka Huru Kweli” ni wimbo wa wokovu unaoshuhudia jinsi Mungu ametufanya huru kupitia dhabihu ya Yesu Kristo msalabani. Ni shukrani kwa upendo wake usio na kipimo ambao umetuokoa na kutupa amani ya kweli. Tunaimba kwa furaha na amani, tukijua kwamba mateso yake yalituletea uhuru wa milele na kutuondoa kutoka kwenye vifungo vya dhambi...
Papi Clever & Dorcas - Mwokozi wetu - Agape Grace Church Lansing Mi
Просмотров 4842 месяца назад
Katika wimbo huu tunamshukuru Mungu Mwokozi wetu kwa furaha na amani anayotupa katika maisha haya. Anatuokoa kutoka kwenye dhiki, anatuelekeza kwa hekima yake, na kutuongoza kupitia changamoto zote za maisha. Tunapoimba, tunakumbushwa kwamba Mungu yupo nasi, akitupatia mwongozo na faraja tunayohitaji. Yeye ndiye chemchemi ya furaha ya kweli na amani inayodumu, na kupitia wokovu wake, maisha yet...
DUNDA MU YESU || @chrispinmuhuna6205 || AGAPE GRACE CHURCH In Lansing Mi
Просмотров 3422 месяца назад
🎵🎵 "Dunda Mu Yesu" - wimbo wa ukombozi na kumtegemea Mungu. Wimbo huu wenye nguvu wa Injili unasimulia hadithi ya mwanamume ambaye alikabiliana na mapambano na mfadhaiko mkubwa, akikabiliana na changamoto kutoka kwa wanawake watatu katika maisha yake. Lakini anapotafakari, anatambua kwamba alikuwa sehemu ya sababu ya matatizo yake mwenyewe. Katikati ya maumivu na kuchanganyikiwa kwake, alimgeuk...
NASEMA ASANTE by @sarahgraceofficial || AGAPE GRACE CHURCH || Lansing Mi
Просмотров 9762 месяца назад
🎵 "Nasema Asante" - Wimbo wa Shukrani kwa Wema wa Mungu 🎵 Ungana nasi katika kuinua mioyo na sauti zetu kumshukuru Mungu kwa neema na wema wake usio na mwisho. Wimbo huu wa muimbaji mzuri @sarahgraceofficial ni ukumbusho wa dhati wa njia nyingi ambazo Mungu ametubariki, alitubeba katika nyakati ngumu, na kutupa upendo. Tunapotafakari juu ya uaminifu Wake, hebu tukutane pamoja katika ibada na sh...
USIOGOPE (Do Not Be Afraid) || AGAPE GRACE CHURCH
Просмотров 773 месяца назад
USIOGOPE (Do Not Be Afraid) || AGAPE GRACE CHURCH
HATARI YA KUISHI NA MTU ASIE KUWA NA HOFU YA MUNGU || P. DANIEL MGOGO || AGAPE GRACE CHURCH
Просмотров 655 месяцев назад
HATARI YA KUISHI NA MTU ASIE KUWA NA HOFU YA MUNGU || P. DANIEL MGOGO || AGAPE GRACE CHURCH
PART 3 NIFAIDA GANI KUWA NA MAUSIANO MEMA NA WAZAZI || AGAPE GRACE CHURCH || PASTOR DANIEL MGOGO
Просмотров 916 месяцев назад
PART 3 NIFAIDA GANI KUWA NA MAUSIANO MEMA NA WAZAZI || AGAPE GRACE CHURCH || PASTOR DANIEL MGOGO
NGUVU YA MAABUDU (The power of worship) || AGAPE GRACE CHURCH || BY SERVANT OF GOD ISRAEL
Просмотров 1567 месяцев назад
NGUVU YA MAABUDU (The power of worship) || AGAPE GRACE CHURCH || BY SERVANT OF GOD ISRAEL
PART 2 || UTAFANYA AJE KAMA HUNA UWEZO WA KUOWA || AGAPE GRACE CHURCH || PASTOR DANIEL MGOGO
Просмотров 1377 месяцев назад
PART 2 || UTAFANYA AJE KAMA HUNA UWEZO WA KUOWA || AGAPE GRACE CHURCH || PASTOR DANIEL MGOGO
JINSI GANI UNAWEZA FIKIA FUTURE YAKO || NDOA || KIROHO || AGAPEGRACECHURCH \\\\ PASTOR DANIEL MGOGO
Просмотров 4307 месяцев назад
JINSI GANI UNAWEZA FIKIA FUTURE YAKO || NDOA || KIROHO || AGAPEGRACECHURCH \\\\ PASTOR DANIEL MGOGO
Ivy'ukora vyose, Ubikorere Murumuri
Просмотров 4611 месяцев назад
Ivy'ukora vyose, Ubikorere Murumuri
Kuishi maisha ya ndani ya neema "pastor Butoyi Kashindi"
Просмотров 195Год назад
Kuishi maisha ya ndani ya neema "pastor Butoyi Kashindi"
February 14, 2023
Просмотров 52Год назад
February 14, 2023
Nyimbo ya kusifu
Просмотров 244Год назад
Nyimbo ya kusifu

Комментарии