- Видео 24
- Просмотров 13 983 591
Sultan Tamba
Танзания
Добавлен 3 апр 2020
Filamu za Kiswahili kutoka kwa Mtunzi maarufu nchini Tanzania na director Mkongwe Sultan Tamba zinapatikana hapa kwa ubora uleule kutoka kwenye mikono yake mwenyewe. Karibu
JOKA LA KIJIJI - SEASON 2: BALAA LIMEHAMIA KWENYE JUMBA LA KALE
Lililikuwa ni jengo lililolindwa na Joka la Zindiko kwa miaka 20 kabla ya kujulikana mmiliki wake. Katika miaka yote hiyo, Joka liliangamiza kila aliyethubutu kuingia kwenye jengo. Lilikuwa ni joka lenye nguvu na lenye urefu usiopimika.
#JokaLaKijiji #FilamuZaKusisimua #FilamuZaKiswahili #FantasyMovies #AfricanThrillers
Kila Mbinu zilitumika kutaka kuliondoa, lakini zilishindikana.
Lakini sasa, serikali ya Kijiji kupitia kwa diwani wanaingia kwenye mkakati mzito wa kuliondoa joka hilo.
Fuatilia mfululizo huu mwanzo hadi itakapoisha. Huu ni msimu wa pili wa Joka la Kijiji.

Просмотров: 1 719
Видео
KAFARA - 4 - KIU YA UTAJIRI KATIKA NJIA ZA MIUJIZA
Просмотров 3,3 тыс.6 месяцев назад
Alifikiria mafanikio akafikiria na njia inayotia wasiwasi. Akaiweka familia kwenye mashaka chungu nzima. Itazame
KAFARA - 3 - KIU YA UTAJIRI KATIKA NJIA ZA MIUJIZA
Просмотров 1,5 тыс.6 месяцев назад
Alifikiria mafanikio akafikiria na njia inayotia wasiwasi. Akaiweka familia kwenye mashaka chungu nzima. Itazame
KAFARA - 2 - SAFARI YA UTAJIRI KATIKA MASHAKA
Просмотров 2,9 тыс.7 месяцев назад
Alifikiria mafanikio akafikiria na njia inayotia wasiwasi. Akaiweka familia kwenye mashaka chungu nzima. Itazame
KAFARA - 1 - SAFARI YA UTAJIRI KATIKA MASHAKA
Просмотров 3,3 тыс.7 месяцев назад
Alifikiria mafanikio akafikiria na njia inayotia wasiwasi. Akaiweka familia kwenye mashaka chungu nzima. Itazame
KAFARA - SAFARI YA UTAJIRI KATIKA MASHARTI YA MAUAJI INAKUJA
Просмотров 1,3 тыс.7 месяцев назад
Jiandae kuiona filamu hii itakayoruka hapahapa kwenye Channel siku chache zijazo
CHUPA 6: JINI LILILOISHI KWENYE CHUPA
Просмотров 13 тыс.11 месяцев назад
Filamu hii nairudisha tena hapa kwa mara ya pili baada ya kuondolewa kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu. Naomba radhi kwa hilo. Ni mwendelezo wa CHUPA iliyopita iliyokuwa inachomuhusu kijana mhangaikaji wa kijijini aliyeokota chupa bila kujua madhara yaliyomo kwenye chupa hiyo.
CHUPA 5: JINI LA KWENYE CHUPA
Просмотров 14 тыс.11 месяцев назад

CHUPA 4: JINI LILILOISHI KWENYE CHUPA
Просмотров 14 тыс.11 месяцев назад
Filamu hii nairudisha tena hapa kwa mara ya pili baada ya kuondolewa kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu. Naomba radhi kwa hilo. Ni mwendelezo wa CHUPA iliyopita iliyokuwa inachomuhusu kijana mhangaikaji wa kijijini aliyeokota chupa bila kujua madhara yaliyomo kwenye chupa hiyo.
CHUPA 3: JINI LILILOISHI KWENYE CHUPA
Просмотров 19 тыс.11 месяцев назад
Filamu hii nairudisha tena hapa kwa mara ya pili baada ya kuondolewa kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu. Naomba radhi kwa hilo. Ni mwendelezo wa CHUPA iliyopita iliyokuwa inachomuhusu kijana mhangaikaji wa kijijini aliyeokota chupa bila kujua madhara yaliyomo kwenye chupa hiyo. Makubwa yakamkuta.
MKONO - 2: MTU WA AJABU ALIYEKUJA KWA SURA YAKE
Просмотров 4,8 тыс.Год назад
Siku ambayo haikutarajiwa, wenye nyumba wanashuhudia tukio la kushangaza nyumbani kwao. Tukio la Mkono wa ajabu.
MGENI: MTU ALIYEONEKANA SEHEMU MBILI KWA WAKATI MMOJA
Просмотров 9 тыс.Год назад
Ni swali la kujiuliza: Mtu huyohuyo alionekana huku na kwa wakati huohuo akaonekana kwingine. Tena kwa ndugu wawili tofauti. Inaogopesha sana. Hiki ndicho kilichopo kwenye filamu hii fupi.
YAI LA SIRI 3: LILIKUTWA NYUMBANI
Просмотров 21 тыс.Год назад
Nini hatima ya yule aliyeamka asubuhi na kukuta yai lenye ukubwa wa ajabu kando ya nyumba yako - yai la kushtua. Nini kimemkuta?
YAI LA SIRI - 2: LILIKUTWA NYUMBANI
Просмотров 16 тыс.Год назад
Unaamka asubuhi na kukuta yai lenye ukubwa wa ajabu kando ya nyumba yako - yai la kushtua. unafanya nini? Unachukua hatua gani?
YAI LA SIRI: LILIKUTWA NYUMBANI
Просмотров 19 тыс.Год назад
Unaamka asubuhi na kukuta yai lenye ukubwa wa ajabu kando ya nyumba yako - yai la kushtua. unafanya nini? Unachukua hatua gani?
JOKA LA KIJIJI - 4: FILAMU YA KUSISIMUA
Просмотров 2 млн3 года назад
JOKA LA KIJIJI - 4: FILAMU YA KUSISIMUA
JOKA LA KIJIJI (2) MISUKOSUKO YA JOKA NA WANAKIJIJI
Просмотров 2,5 млн3 года назад
JOKA LA KIJIJI (2) MISUKOSUKO YA JOKA NA WANAKIJIJI
Nc
Masailoo kumbe uko ikwenye hii movie hongeraa sana ❤❤❤❤❤🎉🎉
Weeee
Hatasjui iliishia wapi
Kazi nzuri
Jamani mzuri
Hongeleni sana kwakazi zuri duuuuuu noma sana❤❤❤❤❤❤❤❤
asante sana
Masailooo❤❤❤❤❤🎉🎉
Jamani kumbe bado inaendelea❤nimeipenda sana
❤❤
❤❤❤❤
Mambo matamu haya joooka kuuu w😂😂k
I love this video. From 🇰🇪 🇰🇪
Aki tamu sana lakini wapi part 4
Mmh joka kubwa sana mbona??😮
😢😢
Hii movie ni nzur sanaa
Inatisha
jamani uyu mamake madenge kwani bado yuko hai mana nahangalia 2024
This movie is beautiful
Ongera jitahid❤😊
Hakika na enjoy kuangalia hii move ongera mtunzi wa hiii move
Mambo ♥️💞
Tena oke swa ❤
🎉❤
Nimerudi tena 2025
Nc
Mwendelezo
Inanifundisha kitu
Itz so nice i ❤ it 🎉
Sawa vp umetundaria mov nyingne
Mm sjaona joka kubwa hiv latsha sana
too much ads
Nice movie over
mimi kwakweli nimeipenda hii filam
😮😮😮😮
Duu iko vzr
Kutoka UAE
Waooo🎉🎉🎉🎉
Unatisha mbaya kaka
Bonsoir mes amis
Tunakumbuahia
Teddy
Waaah nashangaa nyoka mgani uye
Naipenda sana joka la kijiji
hiyo ndo yenyewe
Joka la Kijiji 🔥
Pole Sana films nzuri sana
Naitwa fahima naipenda hii filamu nzur hajabu mashallah ❤️
Sultan hongera kwa joka nalipenda mno