- Видео 191
- Просмотров 2 145 679
Asha Yummy
Добавлен 4 июл 2020
mkate wa mayai mtamu sana /sponge cake
Ingredients:swahili
mkate wa mayai
mayai 10
sukari kikombe 1
unga kikombe 1
maziwa vijiko 3 vya chakula
mafuta vijiko 3 vya chakula
hiliki kijiko 1 cha chai
vanilla kijiko kidogo
zabibu kias
ingredients:English
How to make sponge cake
10 eggs
Sugar 1 cup
flour 1 cup
Milk 3 Tablespoon
Oil 3 Tablespoon
Cardamom powder 1 tea tablespoon
Vanilla extract 1 tea tablespoon
A bit Raisin
mkate wa mayai
mayai 10
sukari kikombe 1
unga kikombe 1
maziwa vijiko 3 vya chakula
mafuta vijiko 3 vya chakula
hiliki kijiko 1 cha chai
vanilla kijiko kidogo
zabibu kias
ingredients:English
How to make sponge cake
10 eggs
Sugar 1 cup
flour 1 cup
Milk 3 Tablespoon
Oil 3 Tablespoon
Cardamom powder 1 tea tablespoon
Vanilla extract 1 tea tablespoon
A bit Raisin
Просмотров: 3 046
Видео
ukiwa na kuku na viazi pika kababu tamu kama hizi /kababu
Просмотров 7627 месяцев назад
ukiwa na kuku na viazi pika kababu tamu kama hizi /kababu
pilau simple pika kwa dk 10 tamu sana utapenda
Просмотров 85211 месяцев назад
pilau simple pika kwa dk 10 tamu sana utapenda
jinsi ya kupika tambi za nyama / spaghetti tamu sanaa
Просмотров 571Год назад
tambi mfuko 1 nyama nusu kilo nyanya mbili au tatu pilipili boga nyekundu kitunguu maji 1 chemsha nyama weka kula kitu
vileja vya mwezi vitamu sana halif moon cookies vinapikwa hivi
Просмотров 5 тыс.Год назад
siagi nus kilo sukari robo kikombe yai 1 vanilla kijiko kidogo cha chai rangi ya manjano kidogo kungu manga kijiko 1 cha chakula unga wa ngano vikombe 3 baking powder kijiko kidogo cha chai
pilau ya nyama inapikwa hivi tamu sana sana
Просмотров 3 тыс.Год назад
pilau ya nyama inapikwa hivi tamu sana sana
donas za skukuu ya Eid za kiswahili zina pikwa hivi tamu sana Eid DONUTS
Просмотров 6 тыс.Год назад
donas za skukuu ya Eid za kiswahili zina pikwa hivi tamu sana Eid DONUTS
visheti vya skukuu ya eid pika kwa dk 5 tu vitamu sana oika hivi
Просмотров 1,7 тыс.Год назад
visheti vya skukuu ya eid pika kwa dk 5 tu vitamu sana oika hivi
chapati bila ya kukanda unga za skukuu ya eid zinapikwa hivi tamu sana
Просмотров 2,3 тыс.Год назад
chapati bila ya kukanda unga za skukuu ya eid zinapikwa hivi tamu sana
pika hivi jicho la mke mwenza la samaki tamu sanaa kababu za samak /fish kabab
Просмотров 7 тыс.Год назад
nimetumia vikopo 2 vya samak karot 1 pilipili mbichi 2 pilipili ya unga nusu kijiko pilipili manga nusu kijiko spice ya samaki nusu kijiko chumvi kidogo kipande cha limao kitunguu maji 1 Mayai 2 Ingredients in English 2 cans of tuna 1 carrot green chili 2 pieces chili powder half spoon spicy fish powder half spoon A pinch of salt lemon half (squeeze) 1 onion 2 eggs
bajia za dengu zinapikwa hivi tamu sana /bajia Pakora
Просмотров 4,4 тыс.Год назад
bajia za dengu zinapikwa hivi tamu sana /bajia Pakora
pika kaimati nzuri na tamu sana za shira ramadhan kama hizi how to make crunchy kalimati
Просмотров 25 тыс.Год назад
unga wa ngano vikombe 2 cornflour vijiko 2 sukar kijiko 1 hamira kijiko 1 vaniila kijiko kidogo maziwa kikombe 1 maji nusu na robo kikombe z Ingredients cornflour 2 spoons sugar 1 spoons Yeast 1 spoon 1 cup of milk 1/4 cup of water
jinsi ya kupika maandazi malain na matamu sana /how to make maandazi
Просмотров 12 тыс.Год назад
jinsi ya kupika maandazi malain na matamu sana /how to make maandazi
miguu ya kuku ya kukaanga kama ya kfc inapikwa hivi ni mitamu sanaaa
Просмотров 2,6 тыс.Год назад
miguu ya kuku ya kukaanga kama ya kfc inapikwa hivi ni mitamu sanaaa
pika hivi bajia za kunde utapenda tamu sana wapenzi
Просмотров 2,3 тыс.Год назад
pika hivi bajia za kunde utapenda tamu sana wapenzi
jinsi ya kupika cabbage na mayai tamu sana/ How to make breakfast egg cabbage
Просмотров 3,1 тыс.Год назад
jinsi ya kupika cabbage na mayai tamu sana/ How to make breakfast egg cabbage
pika hivi kashata za karanga tamu sana utapenda
Просмотров 7 тыс.Год назад
pika hivi kashata za karanga tamu sana utapenda
pika vitumbua vya kiini cha yai vizuri sana vilaini na vitamu sanaa
Просмотров 1,7 тыс.2 года назад
pika vitumbua vya kiini cha yai vizuri sana vilaini na vitamu sanaa
jinsi ya kupika biriani y kiswahili ya kuku simple /chiken biriani sinple
Просмотров 1,5 тыс.2 года назад
jinsi ya kupika biriani y kiswahili ya kuku simple /chiken biriani sinple
jinsi ya kupika kuku wa sauce matamu sana /how to cook chicken with sauce.
Просмотров 9502 года назад
jinsi ya kupika kuku wa sauce matamu sana /how to cook chicken with sauce.
jinsi ya kupika urojo wa zanzibar mtamu sana umekolea vitu utaupenda
Просмотров 6 тыс.2 года назад
jinsi ya kupika urojo wa zanzibar mtamu sana umekolea vitu utaupenda
jinsi ya kupika roast ya kamba tamu sana /prawn roast
Просмотров 1,5 тыс.2 года назад
jinsi ya kupika roast ya kamba tamu sana /prawn roast
jinsi ya kupika figoza kuku tamu sana sanaa
Просмотров 8542 года назад
jinsi ya kupika figoza kuku tamu sana sanaa
jinsi ya kupika mayai ya jicho la ngombe matamu sanaa
Просмотров 3,6 тыс.2 года назад
jinsi ya kupika mayai ya jicho la ngombe matamu sanaa
wali wa kuku mzima wa kiarabu mtamu sana/unaitwa wali wa kabsa
Просмотров 2,9 тыс.2 года назад
wali wa kuku mzima wa kiarabu mtamu sana/unaitwa wali wa kabsa
jinsi ya kupika kashata za maziwa tamu sana /BARFI
Просмотров 24 тыс.2 года назад
jinsi ya kupika kashata za maziwa tamu sana /BARFI
vileja vya tende rahisi kufanya na vitamu sana utapenda /date cookies
Просмотров 4,6 тыс.2 года назад
vileja vya tende rahisi kufanya na vitamu sana utapenda /date cookies
utapenda kupika chapati laini za hamira kama hizi /chapati
Просмотров 3,9 тыс.2 года назад
utapenda kupika chapati laini za hamira kama hizi /chapati
utapenda kupika viazi hivi kila siku vitamu sanaaa /potato crispy recipe
Просмотров 3 тыс.2 года назад
utapenda kupika viazi hivi kila siku vitamu sanaaa /potato crispy recipe
Naomba kuuliza huwa sukari wanaweka kwenye mchuzi wa biriani?
Mashaallah kavu vizuri ❤
Karanga ukibrend si hairainiki
Assalam alaykum Michele mzuri ni upi
Masha allah habibty
🎉
Masha Allah ,Allah akubarik
❤❤❤❤❤😂❤
Mchere wowote
mashaalh...nmefata hatua yametoka mabanzi laini mashaalh
Ukowp
🎉🎉 Mashallah mkate mzur laini mm napenda mkate wa mayai lkn Acha nijaribu🎉🎉
Mashaallah vitu vyako vizuri sana
Uko smart sana
Mashallah Allah ❤
Maashaalaah unaweza kpkia kwa oveni
Nitajarb kupk
Ukitmia kw kibati chngn inkbl
Mashallah daa ❤❤❤🎉🎉🎉
Safi. naomba nitumie picha ya samli unayotumia
Looks so yummy. Wish I was in tz and not in Canada.
Asante Sana dada
MashAllah yummy
Asante mama nayende kujalib leo hi kupika
Shukran sana ❤
Asante xnaaaa.mashallah..
Nakuoenda sanaaaaaa
Jamanii nilitaman sana pishi hili ❤❤❤❤❤
Kwan ni lazma kuweka kilainish
Mashaallah nimepika leo MaaashaAllah. JAZAAKA Allah
hello mimi nilipikabukawa kama una layer juu na chini ukatoka mzuri tuu sasa sijajua nilikosea wapi mpk ukawa na layer iyo iko kama sponge
Mashallah mashallah cku zote napenda mapishi yko...mm wangu cku zote unakua rojo au nakosea mchele ...mchele n gani
😂
Huo uji wa ubuyu unatakiwa uwe mzito au mwepes?
mashaallah
Thanks dear, Usafi ni muhimu wakati wa kutengeneza.
Ila umetumia maji ya baridi au ya vuguvugu
IPo vizurij
Mashallah mkate mzuru nitajaribu kupika
Thank you🎉
hamira sijakuona ukitumia ama haina haja
maashaallaa
na vp sijakuona ukitumia siagi hk
nakuambia mapishi ya wa swahili mashallah naipenda sana
Vp hapa keenye huu unga wa kuungia unaweza kutumia mayai au lazima unga
I bake it 😍😍 It’s became soooo soft and delicious Shukran habibty mungu akujazi kheri♥️♥️♥️♥️♥️♥️
nimeelewa asante
Umetumia moto kias gan
Hata karanga mbichi inafaa
Safi