The Anchor Couples Ministers
The Anchor Couples Ministers
  • Видео 23
  • Просмотров 537 155
PR. KARUNGU: TAFUTA MKORA WAKO OA UTAMTENGENEZA BAADAYE
For the Group It has been a journey and when you look back you can only say that it has been God. As individual couples in the group when we look back we can only say that it has been God and for individuals in the group when we look back we can only say that it has been God. Which is why we sung nimeguswa na upendo wako amid tears.
Просмотров: 128

Видео

Njooni Msikie - Pale Kisimani mwa Yakobo.
Просмотров 1,6 тыс.2 года назад
E-mail - theanchorcouplesministers@gmail.com Contact us : 0716719250 Pale kisimani mwa yakobo, akaja mwanamke( msamaria). Yesu kaketi, kamwambia nipe maji, katu wayaudi hawachangamani na wasamaria. Njooni njooni msikie mkaone aliye niambia siri zangu zote anijuaye nikitenda dhambi hizi na lile. Yesu mnazareti ameshuka nimemwona siwezi nyamaza natangaza njoo tuokoke. Yesu kamwambia mwanamke,ukin...
Katika Maisha Yangu Yote
Просмотров 9 тыс.2 года назад
Katika maishani yangu yote sijampata rafiki wa kweli iii, (kama Yesu mwana wa Daudi mnazorayo aliyebeba dhambi zangu Golgotha,)X2 Ni nani angeubeba mzigo wako kama sio Yesu pale msalabani..... (kwa kifo cha aibu sisi tumepona )... Hallelujah tumsifu milele x2 Upendo ulo mkuu kajitoa afe juu yangu uuh (kupitia kwa kifo chake msalabani nimeoshwa na sasa ni huru)X2
Tumekombolewa Kwa Neema
Просмотров 3,9 тыс.3 года назад
Tumekombolewa kwa neema kupitia imani, haitokani na nafsi yetu ni karama ya mungu, wala sio kwa matendo yetu tusije tukajisifu Neema yanitosha neema yanitosha, mwenye dhambi nilimwendea kanisafi, kanitakasa, niko huru nimekombolewa, neema yanitosha Kupitia kwa mtu mmoja,binadamu tukaanguka dhambini tulistahili kuangamia kifo cha milele , kupitia kwa msalaba tukapatanishwa na mungu, tukapatiwa u...
Juma nzima imepita - Sabato
Просмотров 5 тыс.3 года назад
E-mail - theanchorcouplesministers@gmail.com Contact us : 0716719250 Song Juma Nzima Imepita - Sabato Artist The Anchor Couples Ministers Juma nzima imepita na bwana bado yu mwema nasi, ametulinda vema tumekutana Katika sabato, tujeni sote kwa pamoja , tushiriki kumbukumbu ya uumbaji wetu mibaraka aliyo tupangia ya tungoja. Njooni njooni tumwimbie bwana yeye ndiye mweza wa vyote ametulinda tang...
Nani aliyenigusa vazi - Mwanamke
Просмотров 8 тыс.3 года назад
E-mail - theanchorcouplesministers@gmail.com Contact us : 0716719250 Mwanamke mwenye kuvuja damu, Alisikia habari za yesu, Akasema moyoni mwake, Nitagusa vazi lake tu. Mda mwingi aliteseka Kwa mkono ya matibabu, Akagharimiwa vitu vyote, Kusimfae hata kidogo. Alipogusa vazi la yesu, Chemichemi ukakauka. Nani aliyenigusa? Nani aliyenigusa? Japomsongamano mkubwa wa watu. Yesu atasikia mguso wako. ...
Tuseme nini basi
Просмотров 5 тыс.3 года назад
Tuseme nini basi
God is Love - This is the day for new Beginings -
Просмотров 6 тыс.3 года назад
God is Love - This is the day for new Beginings -
Nimeguswa na upendo Wako
Просмотров 39 тыс.3 года назад
Nimeguswa na upendo Wako
Pindi Walipovuka
Просмотров 58 тыс.3 года назад
Pindi Walipovuka
Polo E Dala
Просмотров 13 тыс.3 года назад
Polo E Dala
Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
Просмотров 16 тыс.3 года назад
Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
Chagueni Leo
Просмотров 10 тыс.3 года назад
Chagueni Leo
Abasani
Просмотров 336 тыс.3 года назад
Abasani
Mlima nebo
Просмотров 20 тыс.3 года назад
Mlima nebo
Gtv Intro
Просмотров 3,7 тыс.3 года назад
Gtv Intro