- Видео 183
- Просмотров 1 369 450
7T7 MINISTRY
Добавлен 15 май 2014
7t7 Ministries ni taasisi ya kidini ya kibinafsi iliyoanzishwa kwa madhumuni ya kueneza injili kupitia Mitandao ya kijamii katika kizazi hiki cha teknolojia.
Maono: Kugusa kila nafsi katika mitandao ya kijamii na kuwaelekeza kwa Yesu
Dhamira: Tunatumia rasilimali tulizobarikiwa na Mungu kwa wakati huu ili kugusa binadamu na kuwaongoza vyema hadi Kalvari kwa kueneza injili kwenye mitandao ya kijamii na kugusa mahitaji ya kiroho kwa Kila mtumiaji wa mitandao ya kijamii.

Je, ni halali kutafsiri au kutumia biblia iliyotafsiriwa?
JE, NI SAHIHI KUTAFSIRI MAANDIKO KWA LUGHA NYINGINE?
Tafsiri ya Biblia ni halali na muhimu kwa sababu inalenga kuhakikisha kwamba Neno la Mungu linaweza kufikiwa na kueleweka na watu wa kila lugha na tamaduni. Tangu nyakati za kale, viongozi wa dini na jamii walitambua kuwa lugha ni kikwazo kwa ufahamu wa maandiko. Tafsiri ya kwanza ya Biblia (Agano la Kale) iliitwa *Septuagint*. Wazee wa Kiyahudi wapatao 72 ndio walifanya kazi kubwa ya kutafsiri Agano la Kale kutoka lugha ya Kiebrania kwenda lugha ya Kigiriki. Tafsiri hiyo ilifanyika miaka mia mbili kabla ya kuzaliwa kwa Kristo ili kuwasaidia Wayahudi waliokuwa wamepoteza uwezo wa kusoma Kiebrania na badala yake walizungumza Kigiriki. Hii...

Просмотров: 74
Видео
Hivi ndio vipindi 5 ambavyo biblia imepitia tokea kuandikwa kwake
Просмотров 2876 месяцев назад
Hivi ndio vipindi 5 ambavyo biblia imepitia tokea kuandikwa kwake
Friedrich: Mtu aliyeipinga biblia na kugeuka chizi
Просмотров 1556 месяцев назад
Dive into the enigmatic life and revolutionary ideas of Friedrich Nietzsche in this compelling video. We explore Nietzsche's bold proclamation of God's death, his strong opposition to Christianity, and the profound impact his philosophical ideas had on the world. Learn about his upbringing in a religious family, the tragic death of his father, and how these events shaped his radical views on fa...
Njiani huniongoza. Nyimbo za Kristo No:155
Просмотров 4,7 тыс.Год назад
Subscribe ruclips.net/channel/UCGHxXeuqEJr3v63PLRKsQ0gchannels ili upate kubarikiwa na nyimbo za kiingereza
Hii ndio nafasi ya Mungu Baba katika Utatu Mtakatifu
Просмотров 229Год назад
Jiunge nasi katika mjadala huu wenye kuelimisha, huku mwanatheolojia wa Waadventista Wa Sabato, Danieli, akifafanua mtazamo wa pekee wa Mungu Baba ndani ya Utatu, kulingana na imani ya Waadventista Wa Sabato. Pata ufahamu jinsi jukumu la Baba kama Chanzo cha upendo na uzima linavyoboresha ufahamu wetu wa Utatu na kuimarisha safari yetu ya imani. Tunajadili vipengele vyenye utata na kutoa mifano...
kuelewa Utatu mtakatifu kwa njia rahisi
Просмотров 197Год назад
Sikiliza hadithi ya Yusuph, ambaye alikuwa na shaka kubwa kuhusu Utatu, lakini alikutana na mchungaji wake, ambaye aliamini Utatu. Ungana nasi katika safari hii ya kuvutia ya kubadilisha mtazamo, kwa kuchunguza Utatu na kujibu shaka na maswali yake kwa usahihi. Pamoja, tunajifunza jinsi mfano wa yai na historia ya Kanisa la mwanzoni vinavyothibitisha Utatu. Kupitia hadithi hii, tutagundua jinsi...
Profesa aifafanua biblia kwa namna ya kuvutia
Просмотров 228Год назад
Jiunge nasi katika safari ya kuvutia tunapojifunza zaidi kuhusu Biblia! Katika video hii ya uhuishaji, wawili kati ya wahusika wanajadiliana kuhusu asili ya Biblia, muktadha wa kihistoria, na jinsi inavyofaa katika maisha ya kisasa. Gundua hadithi, mafundisho, na hekima ya kudumu ambayo yameumba tamaduni na kuwaongoza vizazi. Iwe unavutiwa na historia, dini, au unatafuta ufahamu wa kibinafsi, v...
Habari Za Usiku. Nyimbo za Kristo No:77
Просмотров 5 тыс.Год назад
Subscribe ruclips.net/channel/UCGHxXeuqEJr3v63PLRKsQ0gchannels ili upate kubarikiwa na nyimbo za kiingereza
Msingi Imara, Ninyi Wa Bwana. Nyimbo zza Kristo No:75
Просмотров 8 тыс.Год назад
Subscribe ruclips.net/channel/UCGHxXeuqEJr3v63PLRKsQ0gchannels ili upate kubarikiwa na nyimbo za kiingereza
Niambie ee mlinzi. Nyimbo za Kristo No:74
Просмотров 90 тыс.Год назад
Subscribe ruclips.net/channel/UCGHxXeuqEJr3v63PLRKsQ0gchannels ili upate kubarikiwa na nyimbo za kiingereza
Bwana uniongoze juu. Nyimbo za Kristo No:73
Просмотров 6 тыс.Год назад
Subscribe ruclips.net/channel/UCGHxXeuqEJr3v63PLRKsQ0gchannels ili upate kubarikiwa na nyimbo za kiingereza
The Guilty Boy's Journey to Redemption: A Story of Forgiveness and Freedom
Просмотров 63Год назад
The Guilty Boy's Journey to Redemption: A Story of Forgiveness and Freedom
Kurasini SDA Choir vol 3 (full album)
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
Kurasini SDA Choir vol 3 (full album)
Nitakwenda utakaponituma. Nyimbo za Kristo No:60
Просмотров 6 тыс.2 года назад

Usijidharau. Hii ndio thamani yako halisi. Hadithi fupi yenye funzo
Просмотров 6062 года назад
Usijidharau. Hii ndio thamani yako halisi. Hadithi fupi yenye funzo
Fanyeni kazi zenu. Nyimbo za Kristo No:59
Просмотров 7 тыс.2 года назад

Mzee huyu alinunua mchoro kwa 20,000/= tu na akawa tajiri hapo hapo. Hii ni faida ya kumchagua Yesu.
Просмотров 5372 года назад
Mzee huyu alinunua mchoro kwa 20,000/= tu na akawa tajiri hapo hapo. Hii ni faida ya kumchagua Yesu.
Usikatae kazi. Nyimbo za Kristo No:57
Просмотров 6 тыс.2 года назад
Usikatae kazi. Nyimbo za Kristo No:57
Jifunze kutenda mema: Malipo ni hapa hapa duniani
Просмотров 4162 года назад
Jifunze kutenda mema: Malipo ni hapa hapa duniani
Nataka nimjue Yesu. Nyimbo za Kristo No:54
Просмотров 25 тыс.2 года назад
Nataka nimjue Yesu. Nyimbo za Kristo No:54
Nini kingetokea kama huyu mtu angeisikiliza sauti ya Mungu?
Просмотров 4172 года назад
Nini kingetokea kama huyu mtu angeisikiliza sauti ya Mungu?
Ijue Siri ya upendo wa Mungu. Unaweza kumfanyia hivi mwanao?
Просмотров 6922 года назад
Ijue Siri ya upendo wa Mungu. Unaweza kumfanyia hivi mwanao?
Hii ndio hasara ya kumkataa Mungu. Hadithi ya kijana aliyemweka Mungu kwenye buti la gari
Просмотров 9792 года назад
Hii ndio hasara ya kumkataa Mungu. Hadithi ya kijana aliyemweka Mungu kwenye buti la gari
Mungu nawe nanyi daima. Nyimbo za Kristo No:50
Просмотров 22 тыс.2 года назад
Mungu nawe nanyi daima. Nyimbo za Kristo No:50
Hii ndio faida ya kuishi pamoja na Mungu. Hadithi ya kijana aliyeendesha gari kwenye mvua kubwa
Просмотров 4372 года назад
Hii ndio faida ya kuishi pamoja na Mungu. Hadithi ya kijana aliyeendesha gari kwenye mvua kubwa
Miguuni pake Yesu. Nyimbo za Kristo No:46
Просмотров 7 тыс.2 года назад
Miguuni pake Yesu. Nyimbo za Kristo No:46
Mungu hutumia maumivu yetu kuonesha uweza wake. Hadithi ya Mkulima aliyemiliki ndoo mbovu
Просмотров 2152 года назад
Mungu hutumia maumivu yetu kuonesha uweza wake. Hadithi ya Mkulima aliyemiliki ndoo mbovu
Mungu anaweza kutumia njia rahisi kama hii kukuokoa. Hadithi ya askari aliyeokolewa na buibui.
Просмотров 2482 года назад
Mungu anaweza kutumia njia rahisi kama hii kukuokoa. Hadithi ya askari aliyeokolewa na buibui.
Wapenzi Wa Bwana (Twenenda Zayuni) Nyimbo za Kristo No:70
Просмотров 17 тыс.2 года назад
Wapenzi Wa Bwana (Twenenda Zayuni) Nyimbo za Kristo No:70
Majaribu, mateso na maumivu yasikufanye kuwa dhaifu
Просмотров 1332 года назад