Jamco Media
Jamco Media
  • Видео 102
  • Просмотров 65 877

Видео

December 2024 Bukoba ni Motoo, RC Fatma Mwasa, asema Obomuka Muije, Ijuka Festival.
Просмотров 732 месяца назад
December 2024 Bukoba ni Motoo, RC Fatma Mwasa, asema Obomuka Muije, Ijuka Festival.
December hii 2024 Bukoba ni Motooo 🔥, Msikilize RC Fatma Mwasa, ilete Familia yako.
Просмотров 7122 месяца назад
December hii 2024 Bukoba ni Motooo 🔥, Msikilize RC Fatma Mwasa, ilete Familia yako.
RC Fatma Mwasa awafunda viongozi wa Baraza Kanda ya Ziwa.
Просмотров 2487 месяцев назад
RC Fatma Mwasa awafunda viongozi wa Baraza Kanda ya Ziwa.
Rugambwa Girls Foundation,wafanya jambo la Maana sana kwa Wanafunzi wa Rugambwa Girls Secondary Bk.
Просмотров 2458 месяцев назад
Rugambwa Girls Foundation,wafanya jambo la Maana sana kwa Wanafunzi wa Rugambwa Girls Secondary Bk.
Naibu Waziri Afrika Mashariki, Byabato amshukuru Rais Samia kwa kumleta Kagera Hajath Fatma Mwasa.
Просмотров 76410 месяцев назад
Naibu Waziri Afrika Mashariki, Byabato amshukuru Rais Samia kwa kumleta Kagera Hajath Fatma Mwasa.
Mwenyekiti Kamati ya Ujenzi wa Bweni Omumwani,amuomba Rais Samia asimuhamishwe Mkuu wa Mkoa Kagera.
Просмотров 19210 месяцев назад
Mwenyekiti Kamati ya Ujenzi wa Bweni Omumwani,amuomba Rais Samia asimuhamishwe Mkuu wa Mkoa Kagera.
Hajath Fatma Mwasa azindua Ujenzi wa Bweni, Omumwani Sekondari,awashukuru Wadau waliotuchangia.
Просмотров 15710 месяцев назад
Hajath Fatma Mwasa azindua Ujenzi wa Bweni, Omumwani Sekondari,awashukuru Wadau waliotuchangia.
Mamia Kwa Mamia wamlilia Balozi Dk Diodorus Kamala, Mwili Wake ulipowasili Bwanjai
Просмотров 3,1 тыс.10 месяцев назад
Mamia Kwa Mamia wamlilia Balozi Dk Diodorus Kamala, Mwili Wake ulipowasili Bwanjai
Dk Emmuel Nchimbi,awasili Bukoba kushiriki Mazishi ya Rafiki yake Kipenzi Balozi Dk Diodorus Kamala.
Просмотров 2,9 тыс.10 месяцев назад
Dk Emmuel Nchimbi,awasili Bukoba kushiriki Mazishi ya Rafiki yake Kipenzi Balozi Dk Diodorus Kamala.
Vilio na Simanzi , Mapokezi ya Mwili wa Marehemu Balozi Dk Diodorus Buberwa, Bukoba.
Просмотров 32010 месяцев назад
Vilio na Simanzi , Mapokezi ya Mwili wa Marehemu Balozi Dk Diodorus Buberwa, Bukoba.
Chimbo Jipya,Hadeb Property ( Bed & Breakfast Bukoba,wapo Kitendaguro barabara ya Kagemu.
Просмотров 47410 месяцев назад
Chimbo Jipya,Hadeb Property ( Bed & Breakfast Bukoba,wapo Kitendaguro barabara ya Kagemu.
Mushemba Trinity School,mbali na Elimu bora,wanamuandalia Mwanao kesho ya kujitegemea.
Просмотров 45311 месяцев назад
Mushemba Trinity School,mbali na Elimu bora,wanamuandalia Mwanao kesho ya kujitegemea.
Tuwajali na kuwakumbuka wazazi wetu,wanakalelabana waonyesha mfano.
Просмотров 77911 месяцев назад
Tuwajali na kuwakumbuka wazazi wetu,wanakalelabana waonyesha mfano.
Mh Nazir Karamagi Afuturisha Mayatima Bukoba.
Просмотров 111Год назад
Mh Nazir Karamagi Afuturisha Mayatima Bukoba.
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba,Jaji Immaculata anena kuelekea wiki ya Sheria.
Просмотров 232Год назад
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba,Jaji Immaculata anena kuelekea wiki ya Sheria.
Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya sheria Mkoa Kagera,Meja Jenerali Mbuge anena Mazito.
Просмотров 822 года назад
Uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya sheria Mkoa Kagera,Meja Jenerali Mbuge anena Mazito.
Mzee Raza Fazal azikwa leo Ijumaa Makaburi ya Kishenge Bukoba Inna lilayhi wainna ilayhi rajioon.
Просмотров 8712 года назад
Mzee Raza Fazal azikwa leo Ijumaa Makaburi ya Kishenge Bukoba Inna lilayhi wainna ilayhi rajioon.
Benki ya Biashara TCB yarudisha shukrani kwa Jamii, Milioni 36.2 Zamwagwa Kitunga S/M Muleba.
Просмотров 462 года назад
Benki ya Biashara TCB yarudisha shukrani kwa Jamii, Milioni 36.2 Zamwagwa Kitunga S/M Muleba.
Mushemba Trinity school washangilia Ufaulu Mzuri Darasa la Saba 2021 ,Shangwe kama lote.
Просмотров 3572 года назад
Mushemba Trinity school washangilia Ufaulu Mzuri Darasa la Saba 2021 ,Shangwe kama lote.
Mushemba Foundation watembelea familia zenye uhitaji na kuwapa zawadi za Christmas na Mwaka Mpya.
Просмотров 2563 года назад
Mushemba Foundation watembelea familia zenye uhitaji na kuwapa zawadi za Christmas na Mwaka Mpya.
Nkwama ashuka Airport Bukoba kwa Mbwembwe baada ya kushinda kesi alioshitakiwa na Jason Rweikiza.
Просмотров 3,9 тыс.3 года назад
Nkwama ashuka Airport Bukoba kwa Mbwembwe baada ya kushinda kesi alioshitakiwa na Jason Rweikiza.
Meja Jenerali Mbuge awaomba Wananchi,Taasisi, Mashirika kujitokeza Maadhimisho Miaka 60 Kimkoa .
Просмотров 893 года назад
Meja Jenerali Mbuge awaomba Wananchi,Taasisi, Mashirika kujitokeza Maadhimisho Miaka 60 Kimkoa .
Profesa Kamuzora awapa siri ya Utajiri Mawakala wa CRDB BANK
Просмотров 1373 года назад
Profesa Kamuzora awapa siri ya Utajiri Mawakala wa CRDB BANK
Akutwa akifanya Mapenzi na Mbuzi.
Просмотров 1173 года назад
Akutwa akifanya Mapenzi na Mbuzi.
CRDB BANK watoa pikipiki kwa Jeshi la polisi Kagera,Meja Jenerali Mbuge akabidhi.
Просмотров 503 года назад
CRDB BANK watoa pikipiki kwa Jeshi la polisi Kagera,Meja Jenerali Mbuge akabidhi.
gari la kubeba Mwili wa Marehemu,sasa linapatikana Bukoba.
Просмотров 1013 года назад
gari la kubeba Mwili wa Marehemu,sasa linapatikana Bukoba.
Omulangira Lambert aomba kibari cha kujenga Hospital kubwa Bugandika Bukoba.
Просмотров 6513 года назад
Omulangira Lambert aomba kibari cha kujenga Hospital kubwa Bugandika Bukoba.
Alizaliwa kipofu,Mke afariki, aacha Mtoto kipofu, Omulangira Lambert asema atamtibisha na kusoma
Просмотров 803 года назад
Alizaliwa kipofu,Mke afariki, aacha Mtoto kipofu, Omulangira Lambert asema atamtibisha na kusoma
Familia ya Omulangira Lambert na wana Bugandika wawa watatu Kitaifa,Majitoleo Redio Maria.
Просмотров 1903 года назад
Familia ya Omulangira Lambert na wana Bugandika wawa watatu Kitaifa,Majitoleo Redio Maria.

Комментарии

  • @StephenLifa
    @StephenLifa 21 час назад

    Immensely sorry to watch this, am sending all my love to Hollo and the Kaganda family.

  • @johnmbungo1971
    @johnmbungo1971 День назад

    Rest well and easy my friend an'gadu, an'gadu

  • @ElizabethPeter-cu8bg
    @ElizabethPeter-cu8bg День назад

    Poleni sana familia yote ya Kaganda!Mungu wetu ni mwema sana wakati wote,atawatia nguvu na faraja!

  • @johnmbungo1971
    @johnmbungo1971 День назад

    Rest well my friend an'gadu an'gadu

  • @bensonRwegoshora
    @bensonRwegoshora День назад

    Rest in peace my lovely uncle G . Ahsante Kwa support yako Yote hapa dunian... msalimiee mom huko .. bye uncle

  • @josephinegwaja4026
    @josephinegwaja4026 День назад

    R.I. P binamu yangu.

    • @SabinaOhindi
      @SabinaOhindi 22 часа назад

      Pole sana mama Kaganda mungu akupe nguvu kwa mwanao❤❤

  • @alicekitegwa3988
    @alicekitegwa3988 День назад

    Imekuwa mapema mnooo, pumzika kwa amani kaka mpenzi. Tunaishi kwa Neema tu Nina Imani tutakutana kwa Yesu na kuburudika pamoja. Sisi si wema kuzidi wewe Bali ni mapenzi yake MUNGU.❤❤

  • @happymagoha1542
    @happymagoha1542 День назад

    Pole sana Hollo na familia kwa msiba huu mkubwa. Mungu awafariji kwa namna ya pakee

  • @jamilaferuz3436
    @jamilaferuz3436 День назад

    Very painfull😭😭😭😞rest weĺl uncle🕊

  • @KassimAbubakary-f1d
    @KassimAbubakary-f1d День назад

    Poleni sana kwa ta kaganda

  • @yolatereza1300
    @yolatereza1300 День назад

    Dah RIP Godwin inauma sanaaaa beautiful soul

  • @jamilaferuz3436
    @jamilaferuz3436 День назад

    R.i.p my beloved uncle😢😞😞🕊🕊🕊

  • @EstherElisaria
    @EstherElisaria День назад

    Pumziko la Milele chini ya Kristo ndugu na rafiki yetu Godwin.Msiba huu umetuachia fumbo na maumivu.

  • @julieaswan7073
    @julieaswan7073 День назад

    Pole sana familia ya Kaganda, mwenyezi Mungu awakumbatie

  • @Terry1-w3n
    @Terry1-w3n День назад

    Rest easy my brother😭

  • @vickykatikaza3294
    @vickykatikaza3294 День назад

    Pole sana my sis , kwa Msiba huu Mkubwa , Umepoteza Rafiki na Mume wako , Mungu akakupe faraja katika kipindi hiki kigumu , Apumzike kwa Amani 😭😭

  • @hokapanya
    @hokapanya День назад

    Pumzika kwa anani Shemeji yetu. Pole Holo na Kaganda family. Roho Mt awe faraja kwenu.

  • @victorkaisi7948
    @victorkaisi7948 День назад

    Rip Dr.. poleni family

  • @hmbenja1980
    @hmbenja1980 День назад

    Pole sana familia ya Kaganda kwa kuondokewa na mpendwa wenu Godwin Kaganda. Mwenyezi Mungu akawe mfariji wenu katika kipindi hiki Cha majonzi. Pumzika kwa Amani Brother

    • @creativekatu8576
      @creativekatu8576 10 часов назад

      Ee Mungu Mwenyezi, tunakushukuru kwa yote utuonyeshayo hapa Duniani. Leo umemchukua kiumbe chako kwa upendo wako. Umetuumba bila sisi bila kutaka, vivyo hivyo unamutwaa bila sisi kutaka. Tunakuomba Ee Mungu tunakuomba muweke mahali pema peponi. Amina

  • @KakagGerson-q7p
    @KakagGerson-q7p День назад

    Boss kama boss duh kama movie vile ndo umesepa 😭😭😭😭

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 День назад

    Pole sana Hollo kwa msiba mzito Mungu awape faraja 🙏

  • @makenekabanda6802
    @makenekabanda6802 День назад

    Mwendo umeumaliza Kamanda. Tulikuwa wote , kucheza kwa pamoja. Rest in peace.

  • @brightmaguru8346
    @brightmaguru8346 День назад

    Polen sana kwa msiba wa kuondokewa na mpendwa Godwin,Mungu akawe mfariji wenu mkuu

  • @passimorehamukoma4602
    @passimorehamukoma4602 День назад

    MHSRIP

  • @Rdile
    @Rdile День назад

    Bali bali bali.....miss you brother, story doesn't make sense to me and something fishy around and has nothing to do with bwana ametoa or ametwa

  • @kokuberwakatunzi-mollel8923
    @kokuberwakatunzi-mollel8923 День назад

    Poleni Sana Familia ya Kaganda. Pole Sana Holo na watoto. RIEP Balilonda (Balii) 😭

  • @migymhenga9018
    @migymhenga9018 День назад

    Mwenyezi Mungu ailaze mahala pema peonies,amina

  • @binamugizitiigwera4881
    @binamugizitiigwera4881 Месяц назад

    🎉

  • @FrankCharles-f1q
    @FrankCharles-f1q 2 месяца назад

    Ongelenisana hyo ndo bukoba nayoijua wahaya mnajua kubebana

  • @YusuphAmani-yx7ur
    @YusuphAmani-yx7ur 2 месяца назад

    mkuu wa mkoa kagera ni jembe

  • @Mwilimaissa
    @Mwilimaissa 7 месяцев назад

    Bibi angu unafanya kazi nzuri sana

  • @adalaisonrwakalaza8082
    @adalaisonrwakalaza8082 8 месяцев назад

    Pumzika kwa Aman Mzee

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 10 месяцев назад

    Hongera sana Madam

  • @neemaevance80
    @neemaevance80 10 месяцев назад

    Mungu ampe pumziko jema

  • @neemaevance80
    @neemaevance80 10 месяцев назад

    Mungu ampe pumziko jema Kaka yangu mwenye upendo

  • @edsonrobert1714
    @edsonrobert1714 11 месяцев назад

    Hongereni sana 🙏

  • @erickmtasingwa7731
    @erickmtasingwa7731 11 месяцев назад

    Ni pazuri, toa location

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 Год назад

    Wahaya bwana da! Jinsi wanavoongea kwa mbwe mbwe Sasa 😁

  • @IrinNimrodi
    @IrinNimrodi Год назад

    Ni Bei gani jmn

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Год назад

    Mashaalah Allah azidi kupeni moyo rafiki na dini yenu

  • @davellymusicdani8683
    @davellymusicdani8683 2 года назад

    Jamanii huu wimbo unaitwajee tafathari naomba jibu

  • @alexkibala2381
    @alexkibala2381 2 года назад

    Rest in peace dad

  • @SyedAttaAbbas73
    @SyedAttaAbbas73 2 года назад

    May his soul rest in peace ✌️ Ameen 💔💔💔😭😭😭😭😭😭

  • @SyedAttaAbbas73
    @SyedAttaAbbas73 2 года назад

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun 💔💔😭😢😭💔😢😢

  • @nadiahussein5079
    @nadiahussein5079 2 года назад

    Innallillah wainna irayh rajiuna

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 года назад

    Unajua Siasa Ndugu....Dastani....

  • @julianusjameskimodoi4186
    @julianusjameskimodoi4186 3 года назад

    😄

  • @mauvaisecompagnie951
    @mauvaisecompagnie951 3 года назад

    Mr jordan the BOSS

  • @koburungomubahasha2207
    @koburungomubahasha2207 3 года назад

    Mnarusha abari kidgo za mkoa

  • @janethmuganyizi3155
    @janethmuganyizi3155 3 года назад

    Wow Shule nzuri saana 👏🏿👏🏿🙏🏿