lordnicky
lordnicky
  • Видео 60
  • Просмотров 440 004
Kutoka Zanzibar Hadi Guantanamo: Hadithi ya Ahmed Ghailani
"Hii ni hadithi ya Ahmed Ghailani, mshukiwa wa mashambulizi ya ubalozi wa Marekani 1998. Kutoka Zanzibar hadi Guantanamo, tunachunguza maisha yake, uhusiano wake na al-Qaeda, na jinsi alivyohukumiwa nchini Marekani.
Wale kitabu cha kuagiza vitu toka china link hii
"📦✨ Unataka kujua SIRI za kuagiza bidhaa kutoka China hadi Tanzania kwa urahisi na FAIDA kubwa? 🇨🇳➡️🇹🇿 Kitabu changu ni RAMANI yako ya mafanikio! 💯
👉 bonyeza link hii
lordnick.site/product/muoongozo-wa-kuagiza-bidhaa-china/
#ahmedghailan #tanzania #lordnicky #
Просмотров: 7 755

Видео

NDEGE YA AIR TANZANIA YATEKWA 1982 NA DERAVA TAX(HISTORIA)
Просмотров 8 тыс.Месяц назад
Je, unajua kuhusu tukio la utekaji nyara la mwaka 1982 katika ndege ya Air Tanzania? Katika video hii, tunakuletea simulizi kamili la tukio hili la kihistoria lililotikisa taifa. Tazama jinsi tukio hili lilivyotokea, majibu ya serikali, na jinsi lilivyoshughulikiwa kwa ustadi na maafisa usalama. Usikose kujua jinsi mambo yalivyokuwa ndani ya ndege wakati wa utekaji nyara huu. Hakikisha unabonye...
china ilikuwa masikini kama tanzania .je ilikuwaje wakawa taifa tajiri kiuchumi
Просмотров 9732 месяца назад
"Katika video hii, tutachunguza safari ya ajabu ya China kutoka kuwa taifa maskini hadi kuwa moja ya nguvu kubwa za kiuchumi duniani. Tutaangazia hatua muhimu za maendeleo ya China, kuanzia mageuzi ya kiuchumi yaliyoanzishwa na Deng Xiaoping, hadi ukuaji wa kiteknolojia na viwanda. Pia, tutaelezea jinsi China ilivyotumia rasilimali zake, nguvu kazi, na sera za kisasa za kibiashara kujenga uchum...
MAUAJI YA KUTISHA KISA MILLION 30 ILALA
Просмотров 3,7 тыс.4 месяца назад
MAUAJI YA KUTISHA KISA MILLION 30 ILALA Story ya kesi ya mauji yalitokea ilala sharfu shamba ambapo hemedy ally alimuua farahini maluni aliyekuwa amempa millioni 30 amsaidia kuagiza gari Mwaka 2014 #story #storytime #storyofmylife #storyrecap #storytimeanimated #mauaji #mauajiarusha #mauajikigogofresh #mauajigoba #mauajiyacongo #mauajiyakibiti #mauajiyamtotombagala #mauajiyamtotoasimwe #mauajiy...
story ya masogange wa belle 9 alishikwa na madawa ya kulevya south african 2013
Просмотров 17 тыс.5 месяцев назад
story ya masogange wa belle 9 alivyokamatwa na madawa ya kulevya south africa 2013
Tanzania chini ya jeshi la wa nigeria kwa muda wa miezi 6 mwaka 1964 #lord nick
Просмотров 3,7 тыс.10 месяцев назад
Tanzania chini ya jeshi la wa nigeria kwa muda wa miezi 6 mwaka 1964 #lord nick
mauaji ya dr kreluu huko iringa
Просмотров 6 тыс.11 месяцев назад
mauaji ya dr kreluu huko iringa
majambazi ubungo mataa na msimuliaji lord nicky #lordnicky
Просмотров 54 тыс.11 месяцев назад
majambazi ubungo mataa na msimuliaji lord nicky #lordnicky
jambazi jombi mbeya na alivyoiba pesa za mwarabu huku police wakiwa eneo la tukio
Просмотров 34 тыс.Год назад
jambazi jombi mbeya na alivyoiba pesa za mwarabu huku police wakiwa eneo la tukio
majambazi yaiba billion 3 CRDB bank
Просмотров 25 тыс.Год назад
majambazi yaiba billion 3 CRDB bank
chanzo halisi cha mgogoro wa israel na Palestine na lord nicky msimuliaji PART 1
Просмотров 4,7 тыс.Год назад
chanzo halisi cha mgogoro wa israel na Palestine na lord nicky msimuliaji PART 1
story ya nyerere na maasi(uhaini) ya mwaka 1964 short story
Просмотров 38 тыс.Год назад
story ya nyerere na maasi(uhaini) ya mwaka 1964 short story
Je wajua mwalimu nyerere aliwahi kuwa mvutaji wa sigara
Просмотров 1,5 тыс.Год назад
Je wajua mwalimu nyerere aliwahi kuwa mvutaji wa sigara
majambazi ya NMB sehemu ya mwisho msimuliaji lord nicky
Просмотров 19 тыс.Год назад
majambazi ya NMB sehemu ya mwisho msimuliaji lord nicky
ujambazi nmb mwanga 2007 part 2 ya youtube
Просмотров 10 тыс.Год назад
ujambazi nmb mwanga 2007 part 2 ya youtube
majambazi hatari yalivyovamia NMB mwanga 2007 na kupora 234 million noma sana
Просмотров 20 тыс.Год назад
majambazi hatari yalivyovamia NMB mwanga 2007 na kupora 234 million noma sana
tanesco na kaburi la mchawi iringa hakukuwa na dawa kuzuia mchawi huyu na kaburi lake la maajabu
Просмотров 5 тыс.Год назад
tanesco na kaburi la mchawi iringa hakukuwa na dawa kuzuia mchawi huyu na kaburi lake la maajabu
magufuli hakutakiwa kuwa raisi wa tanzania ni bahati story nzima kikwete mkapa wahusika
Просмотров 14 тыс.Год назад
magufuli hakutakiwa kuwa raisi wa tanzania ni bahati story nzima kikwete mkapa wahusika
Short story ya mchuna ngozi hatari ilse koch wa ujerumani #movie #bongomovie2023
Просмотров 7 тыс.Год назад
Short story ya mchuna ngozi hatari ilse koch wa ujerumani #movie #bongomovie2023
full story wa wahehe na wagerman ila wabena waangusha vibaya chini ya chief mkwawa
Просмотров 6 тыс.Год назад
full story wa wahehe na wagerman ila wabena waangusha vibaya chini ya chief mkwawa
raid in entebbe ya kiswahili iddi amin dada na israel
Просмотров 9 тыс.Год назад
raid in entebbe ya kiswahili iddi amin dada na israel
jambazi hatari dunia na mwenye akili kuliko wote kutoka india mohn sigh
Просмотров 31 тыс.Год назад
jambazi hatari dunia na mwenye akili kuliko wote kutoka india mohn sigh

Комментарии

  • @sahiltvontheline5560
    @sahiltvontheline5560 Час назад

    Nakubali sana story zako

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 5 дней назад

    Wamarekani wameripuwa na kuuwa wangapi hawajaw magaidi wachen story za kizamani Israel anafadhiliw n marekan huy huy kw asilimia 90% silah za kuuwa wapalestina n wengine hajawah kumuit Israel gaidi hat siku 1

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 5 дней назад

    Mwandishi nashukuru kwa kumsikia shujaa wetu , ila wewe bado unahakiri ya kitumwa , matini yako imejikita zaidi kuwasifia wamarekani

  • @PhilimonMwalukisa-cd6yn
    @PhilimonMwalukisa-cd6yn 6 дней назад

    sio hawashindw kitu mbn huwa wanafeli san

  • @mrpeace8419
    @mrpeace8419 7 дней назад

    Mie naomba kujua maana ya ugaidi naona sielewi wamagharibi na israel ayo ndio matukio yao kuuwa watu lakini vichannel uchwara kama hivi vibaraka kazi yao kuelemea upande mmoja tu

  • @allymachejo2996
    @allymachejo2996 8 дней назад

    Ukiona dili limeshndikana lazima kuna mbongo walimshirikisha hapo ndo kachoma

  • @johnbays2880
    @johnbays2880 8 дней назад

    ya india ilete maanaa inamkasa wa kusisimua mno

  • @ellymanjunju5074
    @ellymanjunju5074 8 дней назад

    Gaidi ilo

  • @lordnicky
    @lordnicky 9 дней назад

    "📦✨ Unataka kujua SIRI za kuagiza bidhaa kutoka China hadi Tanzania kwa urahisi na FAIDA kubwa? 🇨🇳➡️🇹🇿 Kitabu changu ni RAMANI yako ya mafanikio! 💯 👉 Bonyeza hapa kufungua milango ya biashara yako leo! 🔥 Usisubiri, nafasi ni sasa! 🚀" link hii lordnick.site/elementor-17704/ lordnick.site/elementor-17704/ lordnick.site/elementor-17704/

  • @flashbreezytz7472
    @flashbreezytz7472 9 дней назад

    Noma

  • @salummassoud9876
    @salummassoud9876 9 дней назад

    Kwanini unawaita magaidi au kisa marekani ndio wamepigwa

  • @kishimbaMathias
    @kishimbaMathias 11 дней назад

    Uko vzur ila matusi sio ujanja huo💔☠️☠️

  • @JumanneamiriSelemani
    @JumanneamiriSelemani 12 дней назад

    Kaka acha matusi

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 12 дней назад

    Pia ni Ajue tofauti ya Gaidi na Jangili...kawaita Magaidi ni Majangili😂 Bado story hujaiweka sawa...Bomu lilitengenezwa Ilala Bungoni,na mtengenezaji alikuwa Khalid Sheikh Mohamed ... halununua Lori bali walilipachika kwenye Boozer la maji la Ubalozi kwa kumtumia kijana wa kipemba mwenye mafunzo na alikuwa msaidizi wa Lori lile...anzia kuitafuta stori vzr.

    • @lordnicky
      @lordnicky 12 дней назад

      We nae acha kupotosha faaalaaa wewe

  • @allychilinga1958
    @allychilinga1958 12 дней назад

    Mtangazaji jitahidi kutamka maneno vizuri R na L ni tatizo kwako

    • @lordnicky
      @lordnicky 12 дней назад

      Mi sio mtangazaji boss wala sina nia ya kuwa mtangazaji

  • @farajistory
    @farajistory 12 дней назад

    🔥

  • @kigondo-w5n
    @kigondo-w5n 12 дней назад

    jamaa uwe unapost often

  • @MullahSaidi
    @MullahSaidi 12 дней назад

    Elezea kuhusu mwamba willy gamba hakika nitafurahi

  • @shehaog363
    @shehaog363 12 дней назад

    Wewe jamaa unajuwa xanaa

  • @MichaelSura-s1n
    @MichaelSura-s1n 15 дней назад

    👊👊

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 16 дней назад

    Mamlaka yanatoka kwa mungu

  • @Nani-o5b
    @Nani-o5b 17 дней назад

    Hahah kaachini Acha usenge

  • @BonifaceMaPunda-r5l
    @BonifaceMaPunda-r5l 19 дней назад

    Upo vizur sana acha matusi tu bas.

  • @mkmunguiko8858
    @mkmunguiko8858 20 дней назад

    Amen

  • @AbdulIsmail-ie4hp
    @AbdulIsmail-ie4hp 21 день назад

    Unajuaaaa broooooo

  • @suzanasanga2399
    @suzanasanga2399 26 дней назад

    I like it

  • @ericbuberwa7828
    @ericbuberwa7828 26 дней назад

    Mbona story ni fupi aisee na tiktok umetiambia full viseo ipo hapa😮

  • @yasirabdalla1430
    @yasirabdalla1430 Месяц назад

    Asa watekaj wao hawaja kamatwa au mbna hujasema hatma yao

  • @MankoWeitala-pe7mi
    @MankoWeitala-pe7mi Месяц назад

    Nomasana😂😂😂

  • @leonardpundo4366
    @leonardpundo4366 Месяц назад

    Mwanangu una kipaji kikubwa sana

  • @leonardpundo4366
    @leonardpundo4366 Месяц назад

    Nakubali❤❤❤

  • @leonardpundo4366
    @leonardpundo4366 Месяц назад

    Mwanangu we ni fundi sana

  • @SadamHussein-z6z
    @SadamHussein-z6z Месяц назад

    Pameanza kuchangamka

  • @adamuRamadhan-v5l
    @adamuRamadhan-v5l Месяц назад

    Uytd

  • @Kondaboy45
    @Kondaboy45 Месяц назад

    Kazi nzuri broo🎉🎉🎉

  • @Iliyyuunmedia
    @Iliyyuunmedia Месяц назад

    Courage

  • @JoramMalley
    @JoramMalley Месяц назад

    It’s a good start utafika mbali kama wauza “SEMBE” 😂👏

  • @clausmangula8077
    @clausmangula8077 Месяц назад

    Oiiii mi Leo ndo wa kwanza 😊🙌 nipeni maua yangu🎉🎉🎉

  • @AdamuMkimbu-x1q
    @AdamuMkimbu-x1q Месяц назад

    Unyamaa

  • @davidsongoro24
    @davidsongoro24 Месяц назад

    Mpka leo sijapata part 2

  • @AbdulIsmail-ie4hp
    @AbdulIsmail-ie4hp Месяц назад

    NAKUKUBALI SANA MAN

  • @deusoden3614
    @deusoden3614 Месяц назад

    🎉

  • @ramadhanomary2966
    @ramadhanomary2966 Месяц назад

    🎉❤

  • @ramadhanomary2966
    @ramadhanomary2966 Месяц назад

    🎉❤

  • @lordnicky
    @lordnicky Месяц назад

    Nimeandika kitabu kinaitwa MUONGOZO WA KUAGIZA BIDHAA CHINA Kitabu hiki kitakufundisha jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka China hadi Tanzania kwa urahisi. Utajifunza: ✅Jinsi ya kuagiza bidhaa ✅Jinsi ya kulipia bidhaa zako salama ✅Namna bora ya kusafirisha bidhaa kutoka China hadi Tanzania LIPIA ➡️ DOWNLOAD➡️ SOMA 🤠Usipoteze muda na pesa kwenye makosa🤠! Pata mwongozo wa uhakika na uanze biashara yako leo kwa kubonyeza link hii lordnick.site/product/muoongozo-wa-kuagiza-bidhaa-china/ LIPIA➡️ DOWNLOAD➡️SOMA

  • @haidarsalum9228
    @haidarsalum9228 Месяц назад

    Kasomeni tena hii story, inapotosha, si kweli tukio halijatokea mwanza .. n wala havijachongwa vinyago..

    • @lordnicky
      @lordnicky Месяц назад

      Limetokea nyumbani kwani chumbani kwa babakooo sio

  • @nyamaumekiller7761
    @nyamaumekiller7761 Месяц назад

    Kaka tupo pamoja 🙏 lete vituh

  • @KojackRuben-go8oy
    @KojackRuben-go8oy Месяц назад

    Nakukubali sana mwamba 🎉