- Видео 11
- Просмотров 162 288
Aly Choki
Добавлен 14 июн 2016
This is Official Chanel of Legend Aly Choki Musician from East Africa Tanzania
Hii ni Chanel halali ya Mwanamuziki Mkongwe Aly Choki Mwanamuziki wa Muziki wa Dansi Nchini Tanzania
Hii ni Chanel halali ya Mwanamuziki Mkongwe Aly Choki Mwanamuziki wa Muziki wa Dansi Nchini Tanzania
Видео
Aly Choki Ft King Kikii & Mulemule Fbi - 2 Way Traffic
Просмотров 13 тыс.5 лет назад
Aly Choki Ft King Kikii & Mulemule Fbi Audio Producer: Erasto Machine Video Production: Msafiri ( Travellah) Kwetu Studio
Aly Choki Ft Jack Chant Natamani
Просмотров 93 тыс.7 лет назад
Aly Choki Ft Jack Chant - Natamani (Official )
Aly Choki ft Chidy Benz
Просмотров 6918 лет назад
Huu Wimbo unaitwa Rudi nilimshikirisha Msanii Chidy Benz
Aly Choki Neema Extra Bongo Next Level
Просмотров 15 тыс.8 лет назад
Aly Choki Neema Extra Bongo Next Level
Aly Choki ft Banza Stone & Ngurumo & Kalidjo Kitokololo - Matamanio
Просмотров 11 тыс.8 лет назад
Huu ni Wimbo tuliofanya kwa kushirikiana Mimi Banza Stone na Mzee Ngurumo kwenye Rap ikiwa imeweka Kalidjo Kitokololo
Aly Choki ft Kassim Mganga Caro
Просмотров 2,2 тыс.8 лет назад
Huu ni Wimbo wangu mpya unaitwa Caro nimemshirikisha Kassim Mganga Msanii wa Bongo Flavor
Ally Choki ft Saynag Nisamahe Official Video
Просмотров 3,8 тыс.8 лет назад
Huu ni Wimbo wangu unao itwa Nisamehe niliomshirikisha Mwanadada Saynag
Ali Choki Ft Banza Stone Sisi Ndio Sisi
Просмотров 20 тыс.8 лет назад
Wimbo huu ni wzamani nilifanya na swahibwa Marehemu Banza Stone unaitwa Sisi ndo sisi
Ally Choki Ft Catty Mama Watoto
Просмотров 1,1 тыс.8 лет назад
Huu ni Wimbo wangu mpya unaitwa Mama Watoto niliomshirikisha Mwanamuziki Catty Chuma ( Catty Chokoraa )
Saf sana
Ally choki uko sawa
Dah combinenga ya ukwel sana
Grand Kimwa Ksm long time missing Aly Choki & Awilo (Jamnazi)
King kikiii
Lead guitar ni Kali sana.
Amina
@Aly choki
Rudi mama unirudishie fahamu
Uja upost ule wimbo mwaka wa tabu kk
Ipo vzr
Mkuu wewe kwangu mwalimu pia mzazi💪💪
Hi choki mbona kimya mzee was farasi
Ule wimbo ulio imba unamsifia Flora unaitwaje!
Its amazing song
banza stone unarudi mwanza lini Villa park
Kafariki kitambo banza
Dah ni kweli mapenz yanauma umeimba sahih
BolingoKing👑🦅🔥🔥🔥
Mziki mzur sana
❤❤❤❤
💥
Safi sana kaka wimbo upo vizili
nyimbo nzur choki sana zaid ya sana mkuu endelea kusonga mbele
King Kiki Mungu akubariki Legend wa Rhumbaaa
Mimi mzee wa Matai, hii kazi nzuri sana nimemuomba Zomboko apige Hizi nyimbo hazipewi air time tu.
Daa wmbo bomba
Bonge la ngoma
Legend banz Stone
Jack chant
Kiukweli umejitahidi ngoma kali sana
Hizi nyimbo hazipewi air time tuuu ila ni nouma Sana kwa Sis tunaojua mziki ukikutan nayo tuuu lazm UMALIZE MB
good song kwa wale wazee wasio na mambo mengi ila ombi langu ule wimbo wa mwaka wa tabu uko wap
Good music ... Hembu rudia Rhumba zako zile za zamani..katika ubora Kama hii
Mziki mtamu sana, naona wadau wa media bado hawajaona fursa iliyopo kwenye miziki ya Rhumba, kiukweli miziki hii inamashabiki wengi sana,@Alichoki kamarage
Choki Ngoma yako ninzur sema msipondane we na muumini Nina wakubali sana
Ngoma hainichoshi ksbisa hiii bonge moja la wimbo
Hatareeeee, Old is Gold
safi
Rest in paradise, you were the true definition of Tanzania rhumba music, missing you till death
Enzi za muziki huu sijui zitarudi lini dar ilikua raha sana
Muziki mzuri sana. Kaka hongera sana
Mtaalamu wangu, safi sana
Ali Choki kila siku nasearch nione habar zako mpya Tupe vitu vipya.
Naona Choki unamkumbuka swahiba wako Banza
WIMBO WA CALL BOX HUWA UPO ALBAM CANI NAUTAKA
ALY CHOKI NI BALAA....WOW MWANA KIBAHA....BARAKA SUNGA
Bonge la songi bro aiii
GUD
Bonge La Wimbo...hongereni
Naona choki unajikakamua kurudi kwenye game you guys mlikuwa mnaweza hebu rudini mtupe raha tulizi miss Sana.
Huu wimbo unamuhusu yy mwenyewe Choki. 2 way traffic ni kati ya Dar na Mwanza. Kama ww ni mshabiki nguli wa Choki utakua ushaelewa.
Choki baba ya rhumba bongo