BEN CARSON PRE AND PRIMARY SCHOOL
BEN CARSON PRE AND PRIMARY SCHOOL
  • Видео 51
  • Просмотров 47 563
"I am A Girl Child" || Standard VI Program 2024
Amazing program performed during the 2nd STD VII Graduation Ceremony 2024.
Programu hii imeonyesha nafasi ya msichana katika jamii, kwamba ana haki ya kupata elimu na kutimiza malengo yake. Mila potofu kama vile, ndoa za utotoni, msichana kuaminika kuwa dhaifu tofauti na mvulana, na nyingine nyingi, elimu hii ndiyo iliyotolewa katika shairi hili.
#bencarson #elimu #africa #school #girlchild #girlchildeducation #showmetheway #educationmatters #education
Просмотров: 35

Видео

NI WAKATI SASA || Wahitimu wa Darasa la Saba 2024 || Ben Carson Pre and Primary School
Просмотров 51828 дней назад
Wimbo ulioimbwa na Wahitimu wa Darasa la Saba, katika mahafali ya UKG na STANDARD VII. Pia yalikuwa ni mahafali ya PILI ya Darasa la Saba tangu kuanzishwa kwa shule hii. Mungu awapiganie kokote waendako. Hakika tutawakumbuka sana! Instrumental: @mjmusicclassics Audio: Max Studios #elimu #BenCarson #graduation #icandoallthingsthroughchristwhostengthensme #godcreatorofallthatexits
HOTUBA YA MGENI RASMI - MAHAFALI YA DARALA LA VII NA UKG 2023
Просмотров 1133 месяца назад
PROF. PENDO MALANGWA kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
YUPO MUNGU - BEN CARSON SCHOOL STAFF CHOIR || Kahama Net - Event
Просмотров 3514 месяца назад
Ni katika nyakati zote Mungu yupo pamoja na watu wake, ziwe nyakati za shida au raha. Hata upitapo katika bonde la uvuli wa mauti, Mungu anajua na pia yu pamoja nawe hata mwisho wa yote. Barikiwa na wimbo huu kutoka kwa Kwaya ya Watumishi wa Shule ya Awali na Msingi Ben Carson. #godfirst #godisgood #godwithus #godwithyou #godsblessings #bencarson #watoto
HESABU - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
Просмотров 4508 месяцев назад
Kuna Mungu mmoja: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, umoja wa Nafsi Tatu za milele. Mungu hapatikani na mauti, ni mwenye uwezo wote, anajua yote, yuko juu ya yote na yupo wakati wote. Yeye hana ukomo na yuko nje ya uwezo wa mwanadamu kuelewa, lakini anajulikana kwa kujifunua yeye mwenyewe. Wakati wote anastahili kuabudiwa, kupendwa sana na kutumikiwa na viumbe wote. (Kum. 6:4; Mt. 28:19; 2 Kor. 13:...
GOD IS GOOD - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
Просмотров 7829 месяцев назад
God's character is goodness. His blessings, including family, friends, and health, reveal His love. As long as we live in this world, there will be good times and bad times; there will be times of peace and times of trouble and suffering. But one thing is for sure, God is always Good, even in times of difficulties. May this song give you hope and courage to keep on depending on God and to keep ...
IJUE SHULE YA AWALI NA MSINGI BEN CARSON
Просмотров 64411 месяцев назад
Ni shule ya awali na msingi, iliyopo nala, mkoa wa dodoma, tanzania. inatoa huduma za bweni na kutwa. Watoto wanafunzwa kufikia viwango vya juu katika nyanja zote, kimwili, kiakili, kijamii, na kiroho.
FAREWELL SONG || BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Lyric Video
Просмотров 429Год назад
Wimbo maalum kwa ajili ya kuwaaga Wahitimu wa Darasa la Saba. Wimbo huu uliimbwa wakati wa Mahafali ya Kwanza ya Darasa la Saba Shule ya Awali na Msingi Ben Carson tarehe 08/10/2023. #graduation #drbencarson #elimu #godcreatorofallthatexits #godfirst #watoto #children
NURTURING CHARACTERS FOR ETERNITY || THE SERMON || By The Graduands
Просмотров 430Год назад
This sermon was given on the UKG and STANDARD VII Graduation Ceremony at Ben Carson Pre and Primary School. God's purpose is to mold our characters so as to be in harmony with His character, the highest form any human could wish to attain! Kwa namna dunia ilivyochafuka, mwanadamu asipomtambua Mungu kama chanzo bora na kipimo cha mwenendo wake, mwanadamu anawezafanya mambo ya ajabu na ya kushang...
NIMEGUNDUA || BEN CARSON SCHOOL STAFF SONG
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
Katika maisha unayoishi ukitazama vizuri utagundua kuwa Yupo ambaye anashilikilia maisha ya viumbe, ambaye hutoa baraka za afya na uzima. Huyo ndiye Mungu muumbaji wetu. NIMEGUNDUA KUMWAMINI NA KUMTUMAINIA YEYE! #godcreatorofallthatexits #icandoallthingsthroughchristwhostengthensme #elimu #godfirst #graduation #trustingod
SAFARI YA PEKEE || Wahitimu wa Darasa la Saba 2023 || Ben Carson Pre and Primary School
Просмотров 1,8 тыс.Год назад
Wimbo wenye mguso mkubwa na wa kipekee kutoka kwa Wahitimu wa Darasa la Saba, ulioimbwa katika mahafali ya UKG na STANDARD VII. Pia yalikuwa ni mahafali ya Darasa la Saba wa Kwanza tangu kuanzishwa kwa shule hii. Mungu awapiganie kokote waendako. Hakika tutawakumbuka sana! Instrumental: @mjmusicclassics Audio: Max Studios #elimu #BenCarson #graduation #icandoallthingsthroughchristwhostengthensm...
REMEMBER ME - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
Просмотров 488Год назад
REMEMBER ME - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
ELIMU BORA - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
Просмотров 1,3 тыс.Год назад
ELIMU BORA - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
NITAKWENDA - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
NITAKWENDA - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
SHANGWE - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
Просмотров 3,2 тыс.Год назад
SHANGWE - BEN CARSON SCHOOL CHOIR || Official Video Release
BEN CARSON NEWS - Programu ya darasa la VI
Просмотров 474Год назад
BEN CARSON NEWS - Programu ya darasa la VI
BLOOD CIRCULATORY SYSTEM|The Program by Class V
Просмотров 146Год назад
BLOOD CIRCULATORY SYSTEM|The Program by Class V
MATUMIZI YA KISWAHILI SANIFU|Programu Kutoka kwa Darasa la Nne
Просмотров 687Год назад
MATUMIZI YA KISWAHILI SANIFU|Programu Kutoka kwa Darasa la Nne
MONEY || PROGRAMU YA DARASA LA TATU
Просмотров 206Год назад
MONEY || PROGRAMU YA DARASA LA TATU
THE USE OF ON, IN AND UNDER || PROGRAM BY CLASS TWO
Просмотров 917Год назад
THE USE OF ON, IN AND UNDER || PROGRAM BY CLASS TWO
UPPER KINDERGARTEN (UKG) PROGRAM || MAHAFALI YA UKG
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
UPPER KINDERGARTEN (UKG) PROGRAM || MAHAFALI YA UKG
UTAMBULISHO WA MGENI RASMI || MAHAFALI YA UKG 2022
Просмотров 987Год назад
UTAMBULISHO WA MGENI RASMI || MAHAFALI YA UKG 2022
HOTUBA YA MGENI RASMI- MH. MASHAKA MNJARO (Part II)
Просмотров 183Год назад
HOTUBA YA MGENI RASMI- MH. MASHAKA MNJARO (Part II)
HOTUBA YA MGENI RASMI- MH. MASHAKA MNJARO (Part I)
Просмотров 307Год назад
HOTUBA YA MGENI RASMI- MH. MASHAKA MNJARO (Part I)
MEASUREMENT | CLASS ONE PROGRAM |
Просмотров 627Год назад
MEASUREMENT | CLASS ONE PROGRAM |
RISALA || By the UKG Class 2022
Просмотров 129Год назад
RISALA || By the UKG Class 2022
PROGRAMU KUTOKA LKG- MAHAFALI YA UKG 2022
Просмотров 1,3 тыс.Год назад
PROGRAMU KUTOKA LKG- MAHAFALI YA UKG 2022
GOD CARES FOR YOU- THE SERMON
Просмотров 691Год назад
GOD CARES FOR YOU- THE SERMON
BABY CLASS PROGRAM- MAHAFALI YA UKG
Просмотров 7 тыс.Год назад
BABY CLASS PROGRAM- MAHAFALI YA UKG
GWARIDE LA HESHIMA NA GWARIDE LA MAONYESHO KATIKA MAHAFALI YA UKG
Просмотров 880Год назад
GWARIDE LA HESHIMA NA GWARIDE LA MAONYESHO KATIKA MAHAFALI YA UKG

Комментарии