Dada Urembo
Dada Urembo
  • Видео 5
  • Просмотров 54 398
Samaki Anayekuza Nywele #shorts
Nini kitasaidia nywele zako kukua?
Jaribu kuweka vibua kwenye misosi yako ufurahie manufaa yake kwenye kukuza nywele. Na haibagui inakuza nywele za dawa na nywele asili nywele natural.
Madarasa mengine marefu zaidi yapo kwenye channel yangu. Karibu sana ujifunze
Subscribe ili upate kushtuliwa na youtube nikirusha video mpya.
#urembo #kuzanywele #nywele #kukuzanywele #urembo #mwanamke #jifunze #tanzania #kenya #daresalam #daressalaam #tanzaniashorts
Просмотров: 44

Видео

Haujui Hivi Vitu Vinne? Huna Uwezo wa Kupaka Dawa kwenye Nywele za Dawa!
Просмотров 26 тыс.Год назад
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kupaka Dawa kwenye Nywele za Dawa: Unajua Kuweka Dawa kwenye Nywele kwa Ufanisi Zaidi Kutumia dawa kwenye nywele zako za dawa inaweza kuwa jambo la kufurahisha, lakini unapopakua dawa kwenye nywele zako, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa. Katika video hii, tutajadili vitu vinne muhimu unavyohitaji kuzingatia kabla ya kupaka dawa kwenye nywele zako za dawa. Tutajifun...
USIUNGUE UKIPAKA DAWA YA NYWELE! FANYA HIVI....
Просмотров 9 тыс.3 года назад
Warembooo, natumaini mnaendelea vizuri Nimefurahi kupata nafasi ya kuwaelezea mbinu nzuri ya kuepuka kuungua na kuumia au kuharibika nywele ukipakwa dawa kichwani. Yote haya yanasaidia kutunza nywele za dawa inavyotakiwa, nywele zako za dawa ziwe ndefu, nywele zako za dawa zirefuke, nywele zako za dawa zing'ae na uzifurahie. Inachosha kwakweli kuungua kichwa kila saa na bado nywele zinakuwa haz...
UNAUA NYWELE ZAKO NA DAWA | FAIDA NA HASARA ZA DAWA "ZENYE" LYE NA AMBAZO "HAZINA" LYE
Просмотров 3 тыс.3 года назад
Warembo wanguuu, mambo zenu? Dawa za nywele zote duniani zina FAIDA na HASARA zake na bora uzijue, ili uweze kuchagua ipi inakufaa. Ni muhimu kuelewa nywele zako zinahitaji nini na zina hali gani ili uweze kuchagua dawa itakayoimarisha nywele zako Mara nyingi ngozi INAUNGUA sana wakati wa kupakwa dawa na BADO hufaidiki na kuungua huko. Kumbe ulitakiwa hata USIUNGUE, ulitakiwa uchague dawa tofau...
HEEH!...KUMBE DAWA ZA NYWELE ZINA HIVI VITU?! | AINA ZA DAWA ZA NYWELE | DADA UREMBO
Просмотров 17 тыс.3 года назад
Warembo wanguuu, Mko poa? Kuhusu video hii: Kuna aina ngapi za dawa za nywele? Dawa ya nywele imegawanyika katika makundi kuu mawili. Video hii inaelezea hizo aina za dawa za nywele ni zipi na kitu gani kinatofautisha dawa hizo za nywele. Video hii inaelezea maana ya dawa ya nywele na vilivyomo ndani ya dawa ya nywele. Na kwa kujua vitu hivyo, uelewa wako wa dawa ya nywele utaongezeka Utaweza k...